1 00:00:00,000 --> 00:00:06,200 naona ukitoka kwa hiyo ngome 2 00:00:06,200 --> 00:00:09,000 toka kutoka kwa hiyo ngome sasa hivi! 3 00:00:09,000 --> 00:00:12,080 toka kwa ngome ya laana ya vizazi 4 00:00:12,080 --> 00:00:14,440 toka kwa ngome ya mateso 5 00:00:14,440 --> 00:00:16,920 toka kwa ngome ya uraibu 6 00:00:16,920 --> 00:00:19,880 toka kwa ngome sasa hivi! 7 00:00:21,600 --> 00:00:27,560 sijui uchungu unayopitia sasa 8 00:00:27,560 --> 00:00:33,480 iliyokufanya uingie kwa maombi siku ya leo 9 00:00:33,480 --> 00:00:37,680 lakini kitu moja najua ni kuwa 10 00:00:37,680 --> 00:00:44,560 kwa kuwa haujasimamisha wewe kutafuta uso wa bwana, 11 00:00:44,560 --> 00:00:50,640 ni kwa ukombozi wako sio kuharibiwa kwako 12 00:00:50,640 --> 00:00:58,920 kwa hivyo usione uchungu; ukaangalie tu nia ya mungu kwako 13 00:00:58,920 --> 00:01:06,720 usiangalie yaliyopita; angalia kile ambacho mungu anasema kuhusu ya sasa 14 00:01:06,720 --> 00:01:09,600 hapa, sasa hivi 15 00:01:09,600 --> 00:01:13,120 ni wapi unakotoka sio muhimu 16 00:01:13,120 --> 00:01:19,800 cha muhimu ni moyo wako uamuzi wa moyo wako sasa 17 00:01:19,800 --> 00:01:23,280 hapa, wakati huu 18 00:01:23,280 --> 00:01:25,680 fungua moyo wako kwa mungu 19 00:01:25,680 --> 00:01:30,640 fungua moyo wako kwake na uwache nguvu ya roho mtakatifu 20 00:01:30,640 --> 00:01:41,040 ukaoshe kila uchungu ya yaliyopita - kila aibu, majuto, magonjwa yaliyopita 21 00:01:41,040 --> 00:01:45,920 katika anga huu wa imani, watu wa mungu, inukeni! 22 00:01:45,920 --> 00:01:49,240 ni wakati wa kuomba sasa! 23 00:01:49,240 --> 00:01:56,960 kila uongo shetani ametumia kukukumbusha yaliyopita 24 00:01:56,960 --> 00:02:02,600 ikanyamazishwe, katika jina la yesu. 25 00:02:18,320 --> 00:02:29,520 hiyo nyororo ya uchungu uliyopita - nasema ikavunjwe katika jina la yesu 26 00:02:40,320 --> 00:02:45,800 kumbuka, unachoshikilia dhidi ya mtu yeyote kwa hakika inakushikilia 27 00:02:45,800 --> 00:02:52,080 hiyo roho ya kukosa msamaha inayokushikilia nyuma usisonge mbele - 28 00:02:52,080 --> 00:02:55,800 nasema, itolewe! 29 00:02:55,800 --> 00:02:57,960 itolewe sasa hivi! 30 00:02:57,960 --> 00:03:02,840 hiyo roho ya kutosamehe, hiyo roho ya machungu, 31 00:03:02,840 --> 00:03:05,360 hiyo roho ya chuki - 32 00:03:05,360 --> 00:03:08,840 itolewe katika jina la yesu! 33 00:03:34,160 --> 00:03:41,280 sasa hivi watu wa mungu, sijui ni ngome gani shetani amekuweka 34 00:03:41,280 --> 00:03:44,880 au njia ambazo ametumia kukuweka ngomeni 35 00:03:44,880 --> 00:03:47,480 nanena kwako sasa kwa imani - 36 00:03:47,480 --> 00:03:54,680 leo ni siku yako ya kuwekwa huru 37 00:03:54,680 --> 00:03:59,800 uwekwe huru kutoka hiyo ngome! 38 00:03:59,800 --> 00:04:03,600 uwekwe huru katika jina la yesu 39 00:04:27,720 --> 00:04:31,920 uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya magonjwa 40 00:04:31,920 --> 00:04:36,160 uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya ndoto mbaya 41 00:04:36,160 --> 00:04:41,480 ukawe huru, katika jina la yesu, kutoka hiyo ngome ya kufungwa 42 00:04:41,480 --> 00:04:44,240 nasema, uwachiliwe kutoka hiyo ngome! 43 00:04:44,240 --> 00:04:47,640 toka katika hiyo ngome sasa hivi! 44 00:05:04,200 --> 00:05:10,320 naona ukitoka kwa hiyo ngome 45 00:05:10,320 --> 00:05:13,120 toka katika hiyo ngome sasa hivi! 46 00:05:13,120 --> 00:05:16,200 toka kwa ngome ya laana ya vizazi! 47 00:05:16,200 --> 00:05:18,560 nje ya ngome ya mateso! 48 00:05:18,560 --> 00:05:21,040 toke nje ya ngome ya uraibu! 49 00:05:21,040 --> 00:05:24,200 toka kwa hiyo ngome sasa hivi! 50 00:05:44,960 --> 00:05:52,920 chochote cha giza ambacho kiko ndani ya maisha yako 51 00:05:52,920 --> 00:05:56,720 nanena uwachiliwe huru sasa hivi! 52 00:05:56,720 --> 00:05:59,040 ukatolewe kutoka gizani! 53 00:05:59,040 --> 00:06:01,280 ukatolewe kutoka magonjwe! 54 00:06:01,280 --> 00:06:04,800 ukawekwe huru kutoka nguvu za adui! 55 00:06:04,800 --> 00:06:09,520 uwachiliwe sasa hivi, katika jina la yesu 56 00:06:26,520 --> 00:06:32,800 ndio, watu wa mungu, kuwekwa huru unafanyika sasa. 57 00:06:32,800 --> 00:06:36,680 roho mtakatifu inanena na mioyo yenu ssa. 58 00:06:36,680 --> 00:06:43,120 kuwe na mwanga! 59 00:06:58,120 --> 00:07:06,480 kila pepo inalohusika na shida unayopitia , kilicho nyuma na hiyo shida 60 00:07:06,480 --> 00:07:11,400 nasema sasa - toka, katika jina la yesu! 61 00:07:11,400 --> 00:07:15,520 hiyo roho ya machungu - toka sasa hivi! 62 00:07:15,520 --> 00:07:19,840 hiyo roho ya mateso - toka sasa hivi! 63 00:07:19,840 --> 00:07:23,840 hiyo roho ya uraibu - toka nje! 64 00:07:42,680 --> 00:07:51,240 nanena kwako - kila neno hasi kilichonenwa kwa maisha yako, 65 00:07:51,240 --> 00:07:59,640 kwa imani katika jina la yesu - ikaghairiwe sasa hivi! 66 00:07:59,640 --> 00:08:03,640 ukaghairi hayo maneno hasi yaliyonenwa juu ya maisha yako. 67 00:08:03,640 --> 00:08:06,680 ukatae katika jina la yesu 68 00:08:25,120 --> 00:08:30,840 wengi wetu tumepitia mambo yaliyo hasi katika ndoto zetu 69 00:08:30,840 --> 00:08:32,800 ndoto za ajabu 70 00:08:32,800 --> 00:08:38,080 nasema sasa hivi kila mtu anayeniskia katika prokramu hii 71 00:08:38,080 --> 00:08:40,440 aliyeathiriwa na ndoto mbaya 72 00:08:40,440 --> 00:08:45,440 hiyo ndoto mbaya, ikatolewe! 73 00:08:45,440 --> 00:08:47,880 ikatolewe sasa hivi! 74 00:09:07,880 --> 00:09:12,760 sasa hivi! nawataka kwa imani ukaweke mkono wako - 75 00:09:12,760 --> 00:09:17,240 mwilini mwako unapohisi uchungu 76 00:09:17,240 --> 00:09:21,200 wekelea mkono wako hapo ndio unakuunganisha 77 00:09:21,200 --> 00:09:25,200 kama unayo picha aliyedhurika ambaye hayukop na wewe 78 00:09:25,200 --> 00:09:27,520 shikilia juu hiyo picha kwa imani 79 00:09:27,520 --> 00:09:31,880 roho wa mungu ipo kazini sasa hivi 80 00:09:31,880 --> 00:09:38,360 chochote ulichoila kutoka kwa meza ya adui 81 00:09:38,360 --> 00:09:49,960 inayosababisha magonjwa , machungu, sema ikatolewe nje sasa hivi! 82 00:09:49,960 --> 00:09:53,480 tabika nje katika jina la yesu! 83 00:09:53,480 --> 00:09:59,840 toka nje ya mfumo! nje ya viungo vya mwilini! nje ya kila kinachohusu! 84 00:10:21,200 --> 00:10:29,800 nanena kwa mifupa chini ya madhara ya magonjwa - ukawekwe huru sasa! 85 00:10:29,800 --> 00:10:33,680 ukawekwe huru, katika jina la yesu! 86 00:10:46,240 --> 00:10:54,680 nanena kwa damu chini ya madhara ya magonjwa - ukasafishwe 87 00:10:54,680 --> 00:10:58,080 ukasafishwe kwa damu ya yesu! 88 00:11:11,800 --> 00:11:21,440 nanena kwa hiyo kiungo cha mwili wako uanze kufanya kazi! 89 00:11:21,440 --> 00:11:24,480 fanya kazi katika jina la yesu! 90 00:11:36,160 --> 00:11:47,960 mahali popote magonjwa inapatikana, ndani na nje, 91 00:11:47,960 --> 00:11:52,320 kwa mamlaka na katika jina la yesu 92 00:11:52,320 --> 00:11:55,440 natangaza uponyaji sasa hivi! 93 00:11:55,440 --> 00:12:00,440 uponywe katika jina la yesu! 94 00:12:00,440 --> 00:12:03,800 uponywe katika jina la yesu! 95 00:12:23,920 --> 00:12:33,800 Mahali popote maishani mwako inayoathiriwa na magonjwa, mateso na ugonjwa - 96 00:12:33,800 --> 00:12:39,760 leo, nanena urejesho! urejeshwe! 97 00:12:39,760 --> 00:12:43,440 urejeshwe kwa nguvu ya ufufuo! 98 00:13:01,200 --> 00:13:08,160 wewe shetani ambaye umehusika na machungu hayo, 99 00:13:08,160 --> 00:13:12,280 umehusika na laana ya magonjwa 100 00:13:12,280 --> 00:13:16,280 nanena wewe shetani lazima uondoke sasa hivi! 101 00:13:16,280 --> 00:13:19,600 nasema, ondoka katika jina la yesu! 102 00:13:19,600 --> 00:13:23,840 ondoka na magonjwa ya mgongo, ondoka na magonjwa ya maumivu ya roho 103 00:13:23,840 --> 00:13:27,680 ondoka na magonjwa ya magoti, ondoka na magonjwa ya maumivu ya kichwa! 104 00:13:27,680 --> 00:13:31,240 ondoka, katika jin ala yesu! 105 00:13:52,200 --> 00:13:58,680 kuna wengi wetu ambao tumepatwa kwa mzunguko wa kunyanyaswa 106 00:13:58,680 --> 00:14:00,760 kutoka vizazi hadi vizazi 107 00:14:00,760 --> 00:14:07,080 unyanyasaji unaokaa na magonjwa, magumu na umaskini. 108 00:14:07,080 --> 00:14:16,560 sasa hivi, nasema kwako - ukawe huru kwa huo mviringo 109 00:14:16,560 --> 00:14:20,360 ukawe huru sasa hivi! 110 00:14:39,800 --> 00:14:46,320 ukawe huru kwa huo mviringo wa magonjwa! ukawe huru kwa huo mviringo wa umaskini! 111 00:14:46,320 --> 00:14:49,480 ukawe huru kutoka mzunguko wa kutosonga mbele 112 00:14:49,480 --> 00:14:54,040 ukawe huru! ukawe huru sasa hivi! 113 00:15:10,480 --> 00:15:18,680 najua kuna wengi wetu ambao tumeshikwa kwa mzunguko wa mahangaiko 114 00:15:18,680 --> 00:15:26,720 mahangaiko katika mahali pa kazi, fedha na biashara 115 00:15:26,720 --> 00:15:28,600 imetosha! 116 00:15:28,600 --> 00:15:39,000 sasa hivi, mzunguko wa mahangaiko - ikavunjwe! 117 00:15:39,000 --> 00:15:40,920 ikavunjwe sas hivi! 118 00:15:40,920 --> 00:15:43,680 navunja hiyo nyororo ya mahangaiko! 119 00:15:43,680 --> 00:15:46,200 navunja katika jina la yesu. 120 00:16:10,080 --> 00:16:24,720 hayo mateso katika kazi, fedha, biashara, utafutaji wa kazi, masomo - 121 00:16:24,720 --> 00:16:32,000 nasema ikavunjwe katika jina la yesu! 122 00:16:50,400 --> 00:17:00,240 navunja roho ya mahangaiko, na upokee hekima ya mungu. 123 00:17:00,240 --> 00:17:03,680 pokea hekima ya mungu sasa hivi! 124 00:17:03,680 --> 00:17:06,240 hekima ya kusimamia fedha 125 00:17:06,240 --> 00:17:08,480 hekima ya kufanya biashara 126 00:17:08,480 --> 00:17:10,720 hekima ya kusimama na familia. 127 00:17:10,720 --> 00:17:13,560 hekima ya kusimamia kuchagua njia ya masomo 128 00:17:13,560 --> 00:17:16,480 pokea hekima kutoka kwa mungu! 129 00:17:36,640 --> 00:17:44,400 kila roho ya uchoyo na kujiwaza 130 00:17:44,400 --> 00:17:46,080 sio yako 131 00:17:46,080 --> 00:17:49,120 nasema toka sasa hivi katika jina la yesu 132 00:17:49,120 --> 00:17:51,960 toka katika jina la yesu 133 00:17:51,960 --> 00:17:55,760 toka katika jina la yesu 134 00:18:09,800 --> 00:18:14,840 sasa hivi, nataka kuweka maombi kwa ajili ya wanandoa 135 00:18:14,840 --> 00:18:17,360 walio nasi sasa hivi. 136 00:18:17,360 --> 00:18:23,040 kama uko hapa na mume ama mke wako, jishikeni sasa hivi 137 00:18:23,040 --> 00:18:25,480 tunaomba kwa ajili ya ndoa 138 00:18:25,480 --> 00:18:33,880 kila pepo inayopiga uhusiano katika ndoa 139 00:18:33,880 --> 00:18:38,880 nasema toka katika jina la yesu 140 00:18:38,880 --> 00:18:41,840 toka katika jina la yesu 141 00:18:41,840 --> 00:18:48,080 fungua mdomo na kwa imani na uanze kuomba katika jina la yesu 142 00:18:48,080 --> 00:18:52,680 kinyume cha kila roho inayopigana na ndoa yako 143 00:18:52,680 --> 00:18:54,520 toka katika jina la yesu! 144 00:19:15,920 --> 00:19:20,640 chochote ambacho adui anatumia kuiba furaha yako katika ndoa 145 00:19:20,640 --> 00:19:25,200 kuiba amani , umoja katika ndoa 146 00:19:25,200 --> 00:19:30,360 nasema itolewe sasa hivi 147 00:19:30,360 --> 00:19:33,760 itolewe katika jina la yesu! 148 00:19:50,080 --> 00:20:08,560 sikia chochote inachopigana na moyo wako sasa bhivi - nasema ikasafishwe kwa imani 149 00:20:08,560 --> 00:20:12,840 ukatiwe nguvu katika uwezo wa roho mtakatifu sasa hivi! 150 00:20:27,880 --> 00:20:33,800 chochote inachopigana na moyo wako - pokea amani katika jina la yesu! 151 00:20:33,800 --> 00:20:36,640 amani ipitayo kila uelewa 152 00:20:36,640 --> 00:20:39,840 amani katika ndoa! amani nyumbani! 153 00:20:39,840 --> 00:20:45,000 amani katika familia! amani katika fedha pokea amani! 154 00:21:04,040 --> 00:21:07,160 tunapoulizia mungu kwa amani 155 00:21:07,160 --> 00:21:13,000 kama uko na bendera ya nchi yako inua juu 156 00:21:13,000 --> 00:21:16,280 tunaomba juu ya dunia nzima 157 00:21:16,280 --> 00:21:19,800 kuna nguvu kwa maombi 158 00:21:19,800 --> 00:21:27,520 omba mungu amani idumu mioyoni mwa viongozi wa nchi 159 00:21:27,520 --> 00:21:32,040 nauliza simama kwenye pengo kwa niaba ya viongozi 160 00:21:32,040 --> 00:21:36,040 tuulize amani sasa udumu mioyoni mwao 161 00:21:36,040 --> 00:21:45,840 amani ya kristo idumu mioyoni na ikadhuru uamuzi 162 00:21:45,840 --> 00:21:47,320 muulize sasa hivi 163 00:22:08,120 --> 00:22:12,640 uliza hekima ya mungu 164 00:22:12,640 --> 00:22:18,480 hekima ya mungu ikanene kwa viongozi wa nchi zenu 165 00:22:18,480 --> 00:22:23,800 hekima ya mungu ikawavukishe kwa yale mnayopitia 166 00:22:23,800 --> 00:22:27,440 kwa shida zikujazo kote duniani 167 00:22:27,440 --> 00:22:30,040 uliza hekima ya mungu sasa hivi! 168 00:22:47,360 --> 00:22:55,680 kila chombo ambacho adui shetani amepanga ikakutenge na mungu 169 00:22:55,680 --> 00:23:02,760 nasema pokea nguvu kukataa 170 00:23:02,760 --> 00:23:07,760 pokea nguvu kukataa majaribu 171 00:23:27,360 --> 00:23:33,400 pokea nguvu kukataa majaribu ya kutotii 172 00:23:33,400 --> 00:23:39,880 pokea huo nguvu ya kukataa majaribu ya kuwa na imani duni 173 00:23:39,880 --> 00:23:44,440 pokea nguvu ya kukaa juu, katika jina la yesu 174 00:24:02,520 --> 00:24:13,920 najua kuna sauti nyingi ya kukata tamaa, ikikuambia ukate tamaa simama 175 00:24:13,920 --> 00:24:18,200 ya kuwa hakuna njia mbele wala nyuma 176 00:24:18,200 --> 00:24:28,480 nasema kwako leo - pokea ujasiri uendelee 177 00:24:28,480 --> 00:24:32,000 pokea ujasiri ya kuendelea 178 00:24:32,000 --> 00:24:39,920 pokea nguvu ya kuendelea mbele na sio kukata tamaa 179 00:25:07,840 --> 00:25:17,440 wengi wetu tuko chini ya kutojiamini 180 00:25:17,440 --> 00:25:25,240 kwa sababu hatujamkubali kuwa na kristo 181 00:25:25,240 --> 00:25:34,160 kila uongo ya muovu shetaniinayopigana nawe uliye katika kristo 182 00:25:34,160 --> 00:25:43,000 nasema sasa hivi itolewe katika jina la yesu 183 00:25:43,000 --> 00:25:45,280 wewe ni chenye mungu amensema 184 00:25:45,280 --> 00:25:47,560 unayo chenye mungu amesema unayo 185 00:25:47,560 --> 00:25:50,680 unaweza kufanya yale mungu amesema utafanya 186 00:26:15,960 --> 00:26:21,320 katika jina tukufu la yesu kriston tunaomba 187 00:26:27,560 --> 00:26:38,000 watu wa mungu kwa imani naskia sauti ya furaha nyumbani 188 00:26:38,000 --> 00:26:43,080 naskia kelel ya kushangilia nyumbani kwenu 189 00:26:43,080 --> 00:26:48,760 naskia kelele ya ushuhuda nyumbani kwenu 190 00:26:48,760 --> 00:26:52,240 furahini sasa hivi! 191 00:26:52,240 --> 00:26:54,280 kwa nini kuna furaha! 192 00:26:54,280 --> 00:26:59,200 kwa kuwa yaliyopita yako imeisha 193 00:26:59,200 --> 00:27:02,400 maisha yako ya zamani imeisha 194 00:27:02,400 --> 00:27:05,800 maisha yako ya mawazo imeisha 195 00:27:05,800 --> 00:27:08,840 maisha yako ya kufungwa imeisha 196 00:27:08,840 --> 00:27:11,800 maisha yako ya ndoto mbaya imeisha 197 00:27:11,800 --> 00:27:14,640 maisha yako ya magonjwa imeisha! 198 00:27:14,640 --> 00:27:17,520 maisha yako ya mateso imeisha! 199 00:27:17,520 --> 00:27:21,280 imeisha! 200 00:27:21,280 --> 00:27:27,120 tangu mungu atangaze kuwa maisha yako ya zamani imesiha, ni nini jukumu lako? 201 00:27:27,120 --> 00:27:34,800 lazima ukubali ukweli na utembee kwa ukweli 202 00:27:34,800 --> 00:27:38,160 anza kutembea kwa ukweli sasa 203 00:27:38,160 --> 00:27:40,480 sherehekea kwa mwanga wa uhuru wako 204 00:27:40,480 --> 00:27:42,640 furahia kwa mwanga wa uhuru wako 205 00:27:42,640 --> 00:27:45,040 toa ushuhuda kwa mwanga wa uhuru wako 206 00:27:45,040 --> 00:27:47,280 wale mlio na magonjwa mwilini 207 00:27:47,280 --> 00:27:51,080 mjichunguze chunguzeni miili yenu sasa hivi 208 00:27:51,080 --> 00:27:57,080 kwa kuwa nguvu ya roho mtakatifu imewaguza - roho, nafsi na mwili. 209 00:27:57,080 --> 00:28:01,480 jichunguze na ushangilie 210 00:28:01,480 --> 00:28:06,320 unavyosherehekea, furahia na utoe ushuhuda 211 00:28:06,320 --> 00:28:10,320 wacha niwakumbushe watu wa mungu 212 00:28:10,320 --> 00:28:19,960 jinsi yaliyopita kwako hayatakurudisha kwa ya kale 213 00:28:19,960 --> 00:28:24,360 kwamba unajua haikumfurahisha mungu 214 00:28:24,360 --> 00:28:33,640 ndio, umechukua hatua huo imani sasa lazima ukae kwa imani 215 00:28:33,640 --> 00:28:36,880 kumbukeni maneno ya yesu tuliyosoma hapo awali - 216 00:28:36,880 --> 00:28:41,160 kaeni ndani yangu nami ndani yenu 217 00:28:41,160 --> 00:28:45,560 tunabaki vipi ndani ya kristo 218 00:28:45,560 --> 00:28:53,200 kristo na neno lake ni moja 219 00:28:53,200 --> 00:29:03,440 nawatia moyo mkasome bibilia kwa moyo ulio wazi 220 00:29:03,440 --> 00:29:10,920 zaidi unavyosoma neno la mungu, zaidi unavyojielewa 221 00:29:10,920 --> 00:29:17,960 na zaidi unavyoelewa mipango na nia juu ya maisha yako 222 00:29:17,960 --> 00:29:25,400 na unavyochukua hatua, watu wa mungu, hatuwezi kungoja kusikia ushuhuda 223 00:29:25,400 --> 00:29:31,880 ka sababu mungu ameguza maisha yako leo kwa njia iliyo ya pekee.