naona ukitoka kwa hiyo ngome toka kutoka kwa hiyo ngome sasa hivi! toka kwa ngome ya laana ya vizazi toka kwa ngome ya mateso toka kwa ngome ya uraibu toka kwa ngome sasa hivi! sijui uchungu unayopitia sasa iliyokufanya uingie kwa maombi siku ya leo lakini kitu moja najua ni kuwa kwa kuwa haujasimamisha wewe kutafuta uso wa bwana, ni kwa ukombozi wako sio kuharibiwa kwako kwa hivyo usione uchungu; ukaangalie tu nia ya mungu kwako usiangalie yaliyopita; angalia kile ambacho mungu anasema kuhusu ya sasa hapa, sasa hivi ni wapi unakotoka sio muhimu cha muhimu ni moyo wako uamuzi wa moyo wako sasa hapa, wakati huu fungua moyo wako kwa mungu fungua moyo wako kwake na uwache nguvu ya roho mtakatifu ukaoshe kila uchungu ya yaliyopita - kila aibu, majuto, magonjwa yaliyopita katika anga huu wa imani, watu wa mungu, inukeni! ni wakati wa kuomba sasa! kila uongo shetani ametumia kukukumbusha yaliyopita ikanyamazishwe, katika jina la yesu. hiyo nyororo ya uchungu uliyopita - nasema ikavunjwe katika jina la yesu kumbuka, unachoshikilia dhidi ya mtu yeyote kwa hakika inakushikilia hiyo roho ya kukosa msamaha inayokushikilia nyuma usisonge mbele - nasema, itolewe! itolewe sasa hivi! hiyo roho ya kutosamehe, hiyo roho ya machungu, hiyo roho ya chuki - itolewe katika jina la yesu! sasa hivi watu wa mungu, sijui ni ngome gani shetani amekuweka au njia ambazo ametumia kukuweka ngomeni nanena kwako sasa kwa imani - leo ni siku yako ya kuwekwa huru uwekwe huru kutoka hiyo ngome! uwekwe huru katika jina la yesu uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya magonjwa uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya ndoto mbaya ukawe huru, katika jina la yesu, kutoka hiyo ngome ya kufungwa nasema, uwachiliwe kutoka hiyo ngome! toka katika hiyo ngome sasa hivi! naona ukitoka kwa hiyo ngome toka katika hiyo ngome sasa hivi! toka kwa ngome ya laana ya vizazi! nje ya ngome ya mateso! toke nje ya ngome ya uraibu! toka kwa hiyo ngome sasa hivi! chochote cha giza ambacho kiko ndani ya maisha yako nanena uwachiliwe huru sasa hivi! ukatolewe kutoka gizani! ukatolewe kutoka magonjwe! ukawekwe huru kutoka nguvu za adui! uwachiliwe sasa hivi, katika jina la yesu ndio, watu wa mungu, kuwekwa huru unafanyika sasa. roho mtakatifu inanena na mioyo yenu ssa. kuwe na mwanga! kila pepo inalohusika na shida unayopitia , kilicho nyuma na hiyo shida nasema sasa - toka, katika jina la yesu! hiyo roho ya machungu - toka sasa hivi! hiyo roho ya mateso - toka sasa hivi! hiyo roho ya uraibu - toka nje! nanena kwako - kila neno hasi kilichonenwa kwa maisha yako, kwa imani katika jina la yesu - ikaghairiwe sasa hivi! ukaghairi hayo maneno hasi yaliyonenwa juu ya maisha yako. ukatae katika jina la yesu wengi wetu tumepitia mambo yaliyo hasi katika ndoto zetu ndoto za ajabu nasema sasa hivi kila mtu anayeniskia katika prokramu hii aliyeathiriwa na ndoto mbaya hiyo ndoto mbaya, ikatolewe! ikatolewe sasa hivi! sasa hivi! nawataka kwa imani ukaweke mkono wako - mwilini mwako unapohisi uchungu wekelea mkono wako hapo ndio unakuunganisha kama unayo picha aliyedhurika ambaye hayukop na wewe shikilia juu hiyo picha kwa imani roho wa mungu ipo kazini sasa hivi chochote ulichoila kutoka kwa meza ya adui inayosababisha magonjwa , machungu, sema ikatolewe nje sasa hivi! tabika nje katika jina la yesu! toka nje ya mfumo! nje ya viungo vya mwilini! nje ya kila kinachohusu! nanena kwa mifupa chini ya madhara ya magonjwa - ukawekwe huru sasa! ukawekwe huru, katika jina la yesu! nanena kwa damu chini ya madhara ya magonjwa - ukasafishwe ukasafishwe kwa damu ya yesu! nanena kwa hiyo kiungo cha mwili wako uanze kufanya kazi! fanya kazi katika jina la yesu! mahali popote magonjwa inapatikana, ndani na nje, kwa mamlaka na katika jina la yesu natangaza uponyaji sasa hivi! uponywe katika jina la yesu! uponywe katika jina la yesu! Mahali popote maishani mwako inayoathiriwa na magonjwa, mateso na ugonjwa - leo, nanena urejesho! urejeshwe! urejeshwe kwa nguvu ya ufufuo! wewe shetani ambaye umehusika na machungu hayo, umehusika na laana ya magonjwa nanena wewe shetani lazima uondoke sasa hivi! nasema, ondoka katika jina la yesu! ondoka na magonjwa ya mgongo, ondoka na magonjwa ya maumivu ya roho ondoka na magonjwa ya magoti, ondoka na magonjwa ya maumivu ya kichwa! ondoka, katika jin ala yesu! kuna wengi wetu ambao tumepatwa kwa mzunguko wa kunyanyaswa kutoka vizazi hadi vizazi unyanyasaji unaokaa na magonjwa, magumu na umaskini. sasa hivi, nasema kwako - ukawe huru kwa huo mviringo ukawe huru sasa hivi! ukawe huru kwa huo mviringo wa magonjwa! ukawe huru kwa huo mviringo wa umaskini! ukawe huru kutoka mzunguko wa kutosonga mbele ukawe huru! ukawe huru sasa hivi! najua kuna wengi wetu ambao tumeshikwa kwa mzunguko wa mahangaiko mahangaiko katika mahali pa kazi, fedha na biashara imetosha! sasa hivi, mzunguko wa mahangaiko - ikavunjwe! ikavunjwe sas hivi! navunja hiyo nyororo ya mahangaiko! navunja katika jina la yesu. hayo mateso katika kazi, fedha, biashara, utafutaji wa kazi, masomo - nasema ikavunjwe katika jina la yesu! navunja roho ya mahangaiko, na upokee hekima ya mungu. pokea hekima ya mungu sasa hivi! hekima ya kusimamia fedha hekima ya kufanya biashara hekima ya kusimama na familia. hekima ya kusimamia kuchagua njia ya masomo pokea hekima kutoka kwa mungu! kila roho ya uchoyo na kujiwaza sio yako nasema toka sasa hivi katika jina la yesu toka katika jina la yesu toka katika jina la yesu sasa hivi, nataka kuweka maombi kwa ajili ya wanandoa walio nasi sasa hivi. kama uko hapa na mume ama mke wako, jishikeni sasa hivi tunaomba kwa ajili ya ndoa kila pepo inayopiga uhusiano katika ndoa nasema toka katika jina la yesu toka katika jina la yesu fungua mdomo na kwa imani na uanze kuomba katika jina la yesu kinyume cha kila roho inayopigana na ndoa yako toka katika jina la yesu! chochote ambacho adui anatumia kuiba furaha yako katika ndoa kuiba amani , umoja katika ndoa nasema itolewe sasa hivi itolewe katika jina la yesu! sikia chochote inachopigana na moyo wako sasa bhivi - nasema ikasafishwe kwa imani ukatiwe nguvu katika uwezo wa roho mtakatifu sasa hivi! chochote inachopigana na moyo wako - pokea amani katika jina la yesu! amani ipitayo kila uelewa amani katika ndoa! amani nyumbani! amani katika familia! amani katika fedha pokea amani! tunapoulizia mungu kwa amani kama uko na bendera ya nchi yako inua juu tunaomba juu ya dunia nzima kuna nguvu kwa maombi omba mungu amani idumu mioyoni mwa viongozi wa nchi nauliza simama kwenye pengo kwa niaba ya viongozi tuulize amani sasa udumu mioyoni mwao amani ya kristo idumu mioyoni na ikadhuru uamuzi muulize sasa hivi uliza hekima ya mungu hekima ya mungu ikanene kwa viongozi wa nchi zenu hekima ya mungu ikawavukishe kwa yale mnayopitia kwa shida zikujazo kote duniani uliza hekima ya mungu sasa hivi! kila chombo ambacho adui shetani amepanga ikakutenge na mungu nasema pokea nguvu kukataa pokea nguvu kukataa majaribu pokea nguvu kukataa majaribu ya kutotii pokea huo nguvu ya kukataa majaribu ya kuwa na imani duni pokea nguvu ya kukaa juu, katika jina la yesu najua kuna sauti nyingi ya kukata tamaa, ikikuambia ukate tamaa simama ya kuwa hakuna njia mbele wala nyuma nasema kwako leo - pokea ujasiri uendelee pokea ujasiri ya kuendelea pokea nguvu ya kuendelea mbele na sio kukata tamaa wengi wetu tuko chini ya kutojiamini kwa sababu hatujamkubali kuwa na kristo kila uongo ya muovu shetaniinayopigana nawe uliye katika kristo nasema sasa hivi itolewe katika jina la yesu wewe ni chenye mungu amensema unayo chenye mungu amesema unayo unaweza kufanya yale mungu amesema utafanya katika jina tukufu la yesu kriston tunaomba watu wa mungu kwa imani naskia sauti ya furaha nyumbani naskia kelel ya kushangilia nyumbani kwenu naskia kelele ya ushuhuda nyumbani kwenu furahini sasa hivi! kwa nini kuna furaha! kwa kuwa yaliyopita yako imeisha maisha yako ya zamani imeisha maisha yako ya mawazo imeisha maisha yako ya kufungwa imeisha maisha yako ya ndoto mbaya imeisha maisha yako ya magonjwa imeisha! maisha yako ya mateso imeisha! imeisha! tangu mungu atangaze kuwa maisha yako ya zamani imesiha, ni nini jukumu lako? lazima ukubali ukweli na utembee kwa ukweli anza kutembea kwa ukweli sasa sherehekea kwa mwanga wa uhuru wako furahia kwa mwanga wa uhuru wako toa ushuhuda kwa mwanga wa uhuru wako wale mlio na magonjwa mwilini mjichunguze chunguzeni miili yenu sasa hivi kwa kuwa nguvu ya roho mtakatifu imewaguza - roho, nafsi na mwili. jichunguze na ushangilie unavyosherehekea, furahia na utoe ushuhuda wacha niwakumbushe watu wa mungu jinsi yaliyopita kwako