naona ukitoka kwa hiyo ngome
toka kutoka kwa hiyo ngome sasa hivi!
toka kwa ngome ya laana ya vizazi
toka kwa ngome ya mateso
toka kwa ngome ya uraibu
toka kwa ngome sasa hivi!
sijui uchungu unayopitia sasa
iliyokufanya uingie kwa maombi siku ya leo
lakini kitu moja najua ni kuwa
kwa kuwa haujasimamisha wewe kutafuta uso wa bwana,
ni kwa ukombozi wako sio kuharibiwa kwako
kwa hivyo usione uchungu; ukaangalie tu nia ya mungu kwako
usiangalie yaliyopita; angalia kile ambacho mungu anasema kuhusu ya sasa
hapa, sasa hivi
ni wapi unakotoka sio muhimu
cha muhimu ni moyo wako uamuzi wa moyo wako sasa
hapa, wakati huu
fungua moyo wako kwa mungu
fungua moyo wako kwake na uwache nguvu ya roho mtakatifu
ukaoshe kila uchungu ya yaliyopita - kila aibu, majuto, magonjwa yaliyopita
katika anga huu wa imani, watu wa mungu, inukeni!
ni wakati wa kuomba sasa!
kila uongo shetani ametumia kukukumbusha yaliyopita
ikanyamazishwe, katika jina la yesu.
hiyo nyororo ya uchungu uliyopita - nasema ikavunjwe katika jina la yesu
kumbuka, unachoshikilia dhidi ya mtu yeyote kwa hakika inakushikilia
hiyo roho ya kukosa msamaha inayokushikilia nyuma usisonge mbele -
nasema, itolewe!
itolewe sasa hivi!
hiyo roho ya kutosamehe, hiyo roho ya machungu,
hiyo roho ya chuki -
itolewe katika jina la yesu!
sasa hivi watu wa mungu, sijui ni ngome gani shetani amekuweka
au njia ambazo ametumia kukuweka ngomeni
nanena kwako sasa kwa imani -
leo ni siku yako ya kuwekwa huru
uwekwe huru kutoka hiyo ngome!
uwekwe huru katika jina la yesu
uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya magonjwa
uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya ndoto mbaya
ukawe huru, katika jina la yesu, kutoka hiyo ngome ya kufungwa
nasema, uwachiliwe kutoka hiyo ngome!
toka katika hiyo ngome sasa hivi!
naona ukitoka kwa hiyo ngome
toka katika hiyo ngome sasa hivi!
toka kwa ngome ya laana ya vizazi!
nje ya ngome ya mateso!
toke nje ya ngome ya uraibu!
toka kwa hiyo ngome sasa hivi!
chochote cha giza ambacho kiko ndani ya maisha yako
nanena uwachiliwe huru sasa hivi!
ukatolewe kutoka gizani!
ukatolewe kutoka magonjwe!
ukawekwe huru kutoka nguvu za adui!
uwachiliwe sasa hivi, katika jina la yesu
ndio, watu wa mungu, kuwekwa huru unafanyika sasa.
roho mtakatifu inanena na mioyo yenu ssa.
kuwe na mwanga!
kila pepo inalohusika na shida unayopitia , kilicho nyuma na hiyo shida
nasema sasa - toka, katika jina la yesu!
hiyo roho ya machungu - toka sasa hivi!
hiyo roho ya mateso - toka sasa hivi!
hiyo roho ya uraibu - toka nje!
nanena kwako - kila neno hasi kilichonenwa kwa maisha yako,
kwa imani katika jina la yesu - ikaghairiwe sasa hivi!
ukaghairi hayo maneno hasi yaliyonenwa juu ya maisha yako.
ukatae katika jina la yesu
wengi wetu tumepitia mambo yaliyo hasi katika ndoto zetu
ndoto za ajabu
nasema sasa hivi kila mtu anayeniskia katika prokramu hii
aliyeathiriwa na ndoto mbaya
hiyo ndoto mbaya, ikatolewe!
ikatolewe sasa hivi!
sasa hivi! nawataka kwa imani ukaweke mkono wako -
mwilini mwako unapohisi uchungu
wekelea mkono wako hapo ndio unakuunganisha
kama unayo picha aliyedhurika ambaye hayukop na wewe
shikilia juu hiyo picha kwa imani
roho wa mungu ipo kazini sasa hivi
chochote ulichoila kutoka kwa meza ya adui
inayosababisha magonjwa , machungu, sema ikatolewe nje sasa hivi!
tabika nje katika jina la yesu!
toka nje ya mfumo! nje ya viungo vya mwilini! nje ya kila kinachohusu!
nanena kwa mifupa chini ya madhara ya magonjwa - ukawekwe huru sasa!
ukawekwe huru, katika jina la yesu!
nanena kwa damu chini ya madhara ya magonjwa - ukasafishwe
ukasafishwe kwa damu ya yesu!
nanena kwa hiyo kiungo cha mwili wako uanze kufanya kazi!
fanya kazi katika jina la yesu!
mahali popote magonjwa inapatikana, ndani na nje,
kwa mamlaka na katika jina la yesu
natangaza uponyaji sasa hivi!
uponywe katika jina la yesu!
uponywe katika jina la yesu!
Mahali popote maishani mwako inayoathiriwa na magonjwa, mateso na ugonjwa -
leo, nanena urejesho! urejeshwe!
urejeshwe kwa nguvu ya ufufuo!
wewe shetani ambaye umehusika na machungu hayo,
umehusika na laana ya magonjwa
nanena wewe shetani lazima uondoke sasa hivi!
nasema, ondoka katika jina la yesu!
ondoka na magonjwa ya mgongo, ondoka na magonjwa ya maumivu ya roho
ondoka na magonjwa ya magoti, ondoka na magonjwa ya maumivu ya kichwa!
ondoka, katika jin ala yesu!
kuna wengi wetu ambao tumepatwa kwa mzunguko wa kunyanyaswa
kutoka vizazi hadi vizazi
unyanyasaji unaokaa na magonjwa, magumu na umaskini.
sasa hivi, nasema kwako - ukawe huru kwa huo mviringo
ukawe huru sasa hivi!
ukawe huru kwa huo mviringo wa magonjwa! ukawe huru kwa huo mviringo wa umaskini!
ukawe huru kutoka mzunguko wa kutosonga mbele
ukawe huru! ukawe huru sasa hivi!
najua kuna wengi wetu ambao tumeshikwa kwa mzunguko wa mahangaiko
mahangaiko katika mahali pa kazi, fedha na biashara
imetosha!
sasa hivi, mzunguko wa mahangaiko - ikavunjwe!
ikavunjwe sas hivi!
navunja hiyo nyororo ya mahangaiko!
navunja katika jina la yesu.
hayo mateso katika kazi, fedha, biashara, utafutaji wa kazi, masomo -
nasema ikavunjwe katika jina la yesu!
navunja roho ya mahangaiko, na upokee hekima ya mungu.
pokea hekima ya mungu sasa hivi!
hekima ya kusimamia fedha
hekima ya kufanya biashara
hekima ya kusimama na familia.
hekima ya kusimamia kuchagua njia ya masomo
pokea hekima kutoka kwa mungu!
kila roho ya uchoyo na kujiwaza
sio yako
nasema toka sasa hivi katika jina la yesu
toka katika jina la yesu
toka katika jina la yesu
sasa hivi, nataka kuweka maombi kwa ajili ya wanandoa
walio nasi sasa hivi.
kama uko hapa na mume ama mke wako, jishikeni sasa hivi
tunaomba kwa ajili ya ndoa
kila pepo inayopiga uhusiano katika ndoa
nasema toka katika jina la yesu
toka katika jina la yesu
fungua mdomo na kwa imani na uanze kuomba katika jina la yesu
kinyume cha kila roho inayopigana na ndoa yako
toka katika jina la yesu!
chochote ambacho adui anatumia kuiba furaha yako katika ndoa
kuiba amani , umoja katika ndoa
nasema itolewe sasa hivi
itolewe katika jina la yesu!
sikia chochote inachopigana na moyo wako sasa bhivi - nasema ikasafishwe kwa imani
ukatiwe nguvu katika uwezo wa roho mtakatifu sasa hivi!
chochote inachopigana na moyo wako - pokea amani katika jina la yesu!
amani ipitayo kila uelewa
amani katika ndoa! amani nyumbani!
amani katika familia! amani katika fedha pokea amani!
tunapoulizia mungu kwa amani
kama uko na bendera ya nchi yako inua juu
tunaomba juu ya dunia nzima
kuna nguvu kwa maombi
omba mungu amani idumu mioyoni mwa viongozi wa nchi
nauliza simama kwenye pengo kwa niaba ya viongozi
tuulize amani sasa udumu mioyoni mwao
amani ya kristo idumu mioyoni na ikadhuru uamuzi
muulize sasa hivi
uliza hekima ya mungu
hekima ya mungu ikanene kwa viongozi wa nchi zenu
hekima ya mungu ikawavukishe kwa yale mnayopitia
kwa shida zikujazo kote duniani
uliza hekima ya mungu sasa hivi!
kila chombo ambacho adui shetani amepanga ikakutenge na mungu
nasema pokea nguvu kukataa
pokea nguvu kukataa majaribu
pokea nguvu kukataa majaribu ya kutotii
pokea huo nguvu ya kukataa majaribu ya kuwa na imani duni
pokea nguvu ya kukaa juu, katika jina la yesu
najua kuna sauti nyingi ya kukata tamaa, ikikuambia ukate tamaa simama
ya kuwa hakuna njia mbele wala nyuma
nasema kwako leo - pokea ujasiri uendelee
pokea ujasiri ya kuendelea
pokea nguvu ya kuendelea mbele na sio kukata tamaa
wengi wetu tuko chini ya kutojiamini
kwa sababu hatujamkubali kuwa na kristo
kila uongo ya muovu shetaniinayopigana nawe uliye katika kristo
nasema sasa hivi itolewe katika jina la yesu
wewe ni chenye mungu amensema
unayo chenye mungu amesema unayo
unaweza kufanya yale mungu amesema utafanya
katika jina tukufu la yesu kriston tunaomba
watu wa mungu kwa imani naskia sauti ya furaha nyumbani
naskia kelel ya kushangilia nyumbani kwenu
naskia kelele ya ushuhuda nyumbani kwenu
furahini sasa hivi!
kwa nini kuna furaha!
kwa kuwa yaliyopita yako imeisha
maisha yako ya zamani imeisha
maisha yako ya mawazo imeisha
maisha yako ya kufungwa imeisha
maisha yako ya ndoto mbaya imeisha
maisha yako ya magonjwa imeisha!
maisha yako ya mateso imeisha!
imeisha!
tangu mungu atangaze kuwa maisha yako ya zamani imesiha, ni nini jukumu lako?
lazima ukubali ukweli na utembee kwa ukweli
anza kutembea kwa ukweli sasa
sherehekea kwa mwanga wa uhuru wako
furahia kwa mwanga wa uhuru wako
toa ushuhuda kwa mwanga wa uhuru wako
wale mlio na magonjwa mwilini
mjichunguze chunguzeni miili yenu sasa hivi
kwa kuwa nguvu ya roho mtakatifu imewaguza - roho, nafsi na mwili.
jichunguze na ushangilie
unavyosherehekea, furahia na utoe ushuhuda
wacha niwakumbushe watu wa mungu
jinsi yaliyopita kwako