WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:06.200 naona ukitoka kwa hiyo ngome 00:00:06.200 --> 00:00:09.000 toka kutoka kwa hiyo ngome sasa hivi! 00:00:09.000 --> 00:00:12.080 toka kwa ngome ya laana ya vizazi 00:00:12.080 --> 00:00:14.440 toka kwa ngome ya mateso 00:00:14.440 --> 00:00:16.920 toka kwa ngome ya uraibu 00:00:16.920 --> 00:00:19.880 toka kwa ngome sasa hivi! 00:00:21.600 --> 00:00:27.560 sijui uchungu unayopitia sasa 00:00:27.560 --> 00:00:33.480 iliyokufanya uingie kwa maombi siku ya leo 00:00:33.480 --> 00:00:37.680 lakini kitu moja najua ni kuwa 00:00:37.680 --> 00:00:44.560 kwa kuwa haujasimamisha wewe kutafuta uso wa bwana, 00:00:44.560 --> 00:00:50.640 ni kwa ukombozi wako sio kuharibiwa kwako 00:00:50.640 --> 00:00:58.920 kwa hivyo usione uchungu; ukaangalie tu nia ya mungu kwako 00:00:58.920 --> 00:01:06.720 usiangalie yaliyopita; angalia kile ambacho mungu anasema kuhusu ya sasa 00:01:06.720 --> 00:01:09.600 hapa, sasa hivi 00:01:09.600 --> 00:01:13.120 ni wapi unakotoka sio muhimu 00:01:13.120 --> 00:01:19.800 cha muhimu ni moyo wako uamuzi wa moyo wako sasa 00:01:19.800 --> 00:01:23.280 hapa, wakati huu 00:01:23.280 --> 00:01:25.680 fungua moyo wako kwa mungu 00:01:25.680 --> 00:01:30.640 fungua moyo wako kwake na uwache nguvu ya roho mtakatifu 00:01:30.640 --> 00:01:41.040 ukaoshe kila uchungu ya yaliyopita - kila aibu, majuto, magonjwa yaliyopita 00:01:41.040 --> 00:01:45.920 katika anga huu wa imani, watu wa mungu, inukeni! 00:01:45.920 --> 00:01:49.240 ni wakati wa kuomba sasa! 00:01:49.240 --> 00:01:56.960 kila uongo shetani ametumia kukukumbusha yaliyopita 00:01:56.960 --> 00:02:02.600 ikanyamazishwe, katika jina la yesu. 00:02:18.320 --> 00:02:29.520 hiyo nyororo ya uchungu uliyopita - nasema ikavunjwe katika jina la yesu 00:02:40.320 --> 00:02:45.800 kumbuka, unachoshikilia dhidi ya mtu yeyote kwa hakika inakushikilia 00:02:45.800 --> 00:02:52.080 hiyo roho ya kukosa msamaha inayokushikilia nyuma usisonge mbele - 00:02:52.080 --> 00:02:55.800 nasema, itolewe! 00:02:55.800 --> 00:02:57.960 itolewe sasa hivi! 00:02:57.960 --> 00:03:02.840 hiyo roho ya kutosamehe, hiyo roho ya machungu, 00:03:02.840 --> 00:03:05.360 hiyo roho ya chuki - 00:03:05.360 --> 00:03:08.840 itolewe katika jina la yesu! 00:03:34.160 --> 00:03:41.280 sasa hivi watu wa mungu, sijui ni ngome gani shetani amekuweka 00:03:41.280 --> 00:03:44.880 au njia ambazo ametumia kukuweka ngomeni 00:03:44.880 --> 00:03:47.480 nanena kwako sasa kwa imani - 00:03:47.480 --> 00:03:54.680 leo ni siku yako ya kuwekwa huru 00:03:54.680 --> 00:03:59.800 uwekwe huru kutoka hiyo ngome! 00:03:59.800 --> 00:04:03.600 uwekwe huru katika jina la yesu 00:04:27.720 --> 00:04:31.920 uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya magonjwa 00:04:31.920 --> 00:04:36.160 uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya ndoto mbaya 00:04:36.160 --> 00:04:41.480 ukawe huru, katika jina la yesu, kutoka hiyo ngome ya kufungwa 00:04:41.480 --> 00:04:44.240 nasema, uwachiliwe kutoka hiyo ngome! 00:04:44.240 --> 00:04:47.640 toka katika hiyo ngome sasa hivi! 00:05:04.200 --> 00:05:10.320 naona ukitoka kwa hiyo ngome 00:05:10.320 --> 00:05:13.120 toka katika hiyo ngome sasa hivi! 00:05:13.120 --> 00:05:16.200 toka kwa ngome ya laana ya vizazi! 00:05:16.200 --> 00:05:18.560 nje ya ngome ya mateso! 00:05:18.560 --> 00:05:21.040 toke nje ya ngome ya uraibu! 00:05:21.040 --> 00:05:24.200 toka kwa hiyo ngome sasa hivi! 00:05:44.960 --> 00:05:52.920 chochote cha giza ambacho kiko ndani ya maisha yako 00:05:52.920 --> 00:05:56.720 nanena uwachiliwe huru sasa hivi! 00:05:56.720 --> 00:05:59.040 ukatolewe kutoka gizani! 00:05:59.040 --> 00:06:01.280 ukatolewe kutoka magonjwe! 00:06:01.280 --> 00:06:04.800 ukawekwe huru kutoka nguvu za adui! 00:06:04.800 --> 00:06:09.520 uwachiliwe sasa hivi, katika jina la yesu 00:06:26.520 --> 00:06:32.800 ndio, watu wa mungu, kuwekwa huru unafanyika sasa. 00:06:32.800 --> 00:06:36.680 roho mtakatifu inanena na mioyo yenu ssa. 00:06:36.680 --> 00:06:43.120 kuwe na mwanga! 00:06:58.120 --> 00:07:06.480 kila pepo inalohusika na shida unayopitia , kilicho nyuma na hiyo shida 00:07:06.480 --> 00:07:11.400 nasema sasa - toka, katika jina la yesu! 00:07:11.400 --> 00:07:15.520 hiyo roho ya machungu - toka sasa hivi! 00:07:15.520 --> 00:07:19.840 hiyo roho ya mateso - toka sasa hivi! 00:07:19.840 --> 00:07:23.840 hiyo roho ya uraibu - toka nje! 00:07:42.680 --> 00:07:51.240 nanena kwako - kila neno hasi kilichonenwa kwa maisha yako, 00:07:51.240 --> 00:07:59.640 kwa imani katika jina la yesu - ikaghairiwe sasa hivi! 00:07:59.640 --> 00:08:03.640 ukaghairi hayo maneno hasi yaliyonenwa juu ya maisha yako. 00:08:03.640 --> 00:08:06.680 ukatae katika jina la yesu 00:08:25.120 --> 00:08:30.840 wengi wetu tumepitia mambo yaliyo hasi katika ndoto zetu 00:08:30.840 --> 00:08:32.800 ndoto za ajabu 00:08:32.800 --> 00:08:38.080 nasema sasa hivi kila mtu anayeniskia katika prokramu hii 00:08:38.080 --> 00:08:40.440 aliyeathiriwa na ndoto mbaya 00:08:40.440 --> 00:08:45.440 hiyo ndoto mbaya, ikatolewe! 00:08:45.440 --> 00:08:47.880 ikatolewe sasa hivi! 00:09:07.880 --> 00:09:12.760 sasa hivi! nawataka kwa imani ukaweke mkono wako - 00:09:12.760 --> 00:09:17.240 mwilini mwako unapohisi uchungu 00:09:17.240 --> 00:09:21.200 wekelea mkono wako hapo ndio unakuunganisha 00:09:21.200 --> 00:09:25.200 kama unayo picha aliyedhurika ambaye hayukop na wewe 00:09:25.200 --> 00:09:27.520 shikilia juu hiyo picha kwa imani 00:09:27.520 --> 00:09:31.880 roho wa mungu ipo kazini sasa hivi 00:09:31.880 --> 00:09:38.360 chochote ulichoila kutoka kwa meza ya adui 00:09:38.360 --> 00:09:49.960 inayosababisha magonjwa , machungu, sema ikatolewe nje sasa hivi! 00:09:49.960 --> 00:09:53.480 tabika nje katika jina la yesu! 00:09:53.480 --> 00:09:59.840 toka nje ya mfumo! nje ya viungo vya mwilini! nje ya kila kinachohusu! 00:10:21.200 --> 00:10:29.800 nanena kwa mifupa chini ya madhara ya magonjwa - ukawekwe huru sasa! 00:10:29.800 --> 00:10:33.680 ukawekwe huru, katika jina la yesu! 00:10:46.240 --> 00:10:54.680 nanena kwa damu chini ya madhara ya magonjwa - ukasafishwe 00:10:54.680 --> 00:10:58.080 ukasafishwe kwa damu ya yesu! 00:11:11.800 --> 00:11:21.440 nanena kwa hiyo kiungo cha mwili wako uanze kufanya kazi! 00:11:21.440 --> 00:11:24.480 fanya kazi katika jina la yesu! 00:11:36.160 --> 00:11:47.960 mahali popote magonjwa inapatikana, ndani na nje, 00:11:47.960 --> 00:11:52.320 kwa mamlaka na katika jina la yesu 00:11:52.320 --> 00:11:55.440 natangaza uponyaji sasa hivi! 00:11:55.440 --> 00:12:00.440 uponywe katika jina la yesu! 00:12:00.440 --> 00:12:03.800 uponywe katika jina la yesu! 00:12:23.920 --> 00:12:33.800 Mahali popote maishani mwako inayoathiriwa na magonjwa, mateso na ugonjwa - 00:12:33.800 --> 00:12:39.760 leo, nanena urejesho! urejeshwe! 00:12:39.760 --> 00:12:43.440 urejeshwe kwa nguvu ya ufufuo! 00:13:01.200 --> 00:13:08.160 wewe shetani ambaye umehusika na machungu hayo, 00:13:08.160 --> 00:13:12.280 umehusika na laana ya magonjwa 00:13:12.280 --> 00:13:16.280 nanena wewe shetani lazima uondoke sasa hivi! 00:13:16.280 --> 00:13:19.600 nasema, ondoka katika jina la yesu! 00:13:19.600 --> 00:13:23.840 ondoka na magonjwa ya mgongo, ondoka na magonjwa ya maumivu ya roho 00:13:23.840 --> 00:13:27.680 ondoka na magonjwa ya magoti, ondoka na magonjwa ya maumivu ya kichwa! 00:13:27.680 --> 00:13:31.240 ondoka, katika jin ala yesu! 00:13:52.200 --> 00:13:58.680 kuna wengi wetu ambao tumepatwa kwa mzunguko wa kunyanyaswa 00:13:58.680 --> 00:14:00.760 kutoka vizazi hadi vizazi 00:14:00.760 --> 00:14:07.080 unyanyasaji unaokaa na magonjwa, magumu na umaskini. 00:14:07.080 --> 00:14:16.560 sasa hivi, nasema kwako - ukawe huru kwa huo mviringo 00:14:16.560 --> 00:14:20.360 ukawe huru sasa hivi! 00:14:39.800 --> 00:14:46.320 ukawe huru kwa huo mviringo wa magonjwa! ukawe huru kwa huo mviringo wa umaskini! 00:14:46.320 --> 00:14:49.480 ukawe huru kutoka mzunguko wa kutosonga mbele 00:14:49.480 --> 00:14:54.040 ukawe huru! ukawe huru sasa hivi! 00:15:10.480 --> 00:15:18.680 najua kuna wengi wetu ambao tumeshikwa kwa mzunguko wa mahangaiko 00:15:18.680 --> 00:15:26.720 mahangaiko katika mahali pa kazi, fedha na biashara 00:15:26.720 --> 00:15:28.600 imetosha! 00:15:28.600 --> 00:15:39.000 sasa hivi, mzunguko wa mahangaiko - ikavunjwe! 00:15:39.000 --> 00:15:40.920 ikavunjwe sas hivi! 00:15:40.920 --> 00:15:43.680 navunja hiyo nyororo ya mahangaiko! 00:15:43.680 --> 00:15:46.200 navunja katika jina la yesu. 00:16:10.080 --> 00:16:24.720 hayo mateso katika kazi, fedha, biashara, utafutaji wa kazi, masomo - 00:16:24.720 --> 00:16:32.000 nasema ikavunjwe katika jina la yesu! 00:16:50.400 --> 00:17:00.240 navunja roho ya mahangaiko, na upokee hekima ya mungu. 00:17:00.240 --> 00:17:03.680 pokea hekima ya mungu sasa hivi! 00:17:03.680 --> 00:17:06.240 hekima ya kusimamia fedha 00:17:06.240 --> 00:17:08.480 hekima ya kufanya biashara 00:17:08.480 --> 00:17:10.720 hekima ya kusimama na familia. 00:17:10.720 --> 00:17:13.560 hekima ya kusimamia kuchagua njia ya masomo 00:17:13.560 --> 00:17:16.480 pokea hekima kutoka kwa mungu! 00:17:36.640 --> 00:17:44.400 kila roho ya uchoyo na kujiwaza 00:17:44.400 --> 00:17:46.080 sio yako 00:17:46.080 --> 00:17:49.120 nasema toka sasa hivi katika jina la yesu 00:17:49.120 --> 00:17:51.960 toka katika jina la yesu 00:17:51.960 --> 00:17:55.760 toka katika jina la yesu 00:18:09.800 --> 00:18:14.840 sasa hivi, nataka kuweka maombi kwa ajili ya wanandoa 00:18:14.840 --> 00:18:17.360 walio nasi sasa hivi. 00:18:17.360 --> 00:18:23.040 kama uko hapa na mume ama mke wako, jishikeni sasa hivi 00:18:23.040 --> 00:18:25.480 tunaomba kwa ajili ya ndoa 00:18:25.480 --> 00:18:33.880 kila pepo inayopiga uhusiano katika ndoa 00:18:33.880 --> 00:18:38.880 nasema toka katika jina la yesu 00:18:38.880 --> 00:18:41.840 toka katika jina la yesu 00:18:41.840 --> 00:18:48.080 fungua mdomo na kwa imani na uanze kuomba katika jina la yesu 00:18:48.080 --> 00:18:52.680 kinyume cha kila roho inayopigana na ndoa yako 00:18:52.680 --> 00:18:54.520 toka katika jina la yesu! 00:19:15.920 --> 00:19:20.640 chochote ambacho adui anatumia kuiba furaha yako katika ndoa 00:19:20.640 --> 00:19:25.200 kuiba amani , umoja katika ndoa 00:19:25.200 --> 00:19:30.360 nasema itolewe sasa hivi 00:19:30.360 --> 00:19:33.760 itolewe katika jina la yesu! 00:19:50.080 --> 00:20:08.560 sikia chochote inachopigana na moyo wako sasa bhivi - nasema ikasafishwe kwa imani 00:20:08.560 --> 00:20:12.840 ukatiwe nguvu katika uwezo wa roho mtakatifu sasa hivi! 00:20:27.880 --> 00:20:33.800 chochote inachopigana na moyo wako - pokea amani katika jina la yesu! 00:20:33.800 --> 00:20:36.640 amani ipitayo kila uelewa 00:20:36.640 --> 00:20:39.840 amani katika ndoa! amani nyumbani! 00:20:39.840 --> 00:20:45.000 amani katika familia! amani katika fedha pokea amani! 00:21:04.040 --> 00:21:07.160 tunapoulizia mungu kwa amani 00:21:07.160 --> 00:21:13.000 kama uko na bendera ya nchi yako inua juu 00:21:13.000 --> 00:21:16.280 tunaomba juu ya dunia nzima 00:21:16.280 --> 00:21:19.800 kuna nguvu kwa maombi 00:21:19.800 --> 00:21:27.520 omba mungu amani idumu mioyoni mwa viongozi wa nchi 00:21:27.520 --> 00:21:32.040 nauliza simama kwenye pengo kwa niaba ya viongozi 00:21:32.040 --> 00:21:36.040 tuulize amani sasa udumu mioyoni mwao 00:21:36.040 --> 00:21:45.840 amani ya kristo idumu mioyoni na ikadhuru uamuzi 00:21:45.840 --> 00:21:47.320 muulize sasa hivi 00:22:08.120 --> 00:22:12.640 uliza hekima ya mungu 00:22:12.640 --> 00:22:18.480 hekima ya mungu ikanene kwa viongozi wa nchi zenu 00:22:18.480 --> 00:22:23.800 hekima ya mungu ikawavukishe kwa yale mnayopitia 00:22:23.800 --> 00:22:27.440 kwa shida zikujazo kote duniani 00:22:27.440 --> 00:22:30.040 uliza hekima ya mungu sasa hivi! 00:22:47.360 --> 00:22:55.680 kila chombo ambacho adui shetani amepanga ikakutenge na mungu 00:22:55.680 --> 00:23:02.760 nasema pokea nguvu kukataa 00:23:02.760 --> 00:23:07.760 pokea nguvu kukataa majaribu 00:23:27.360 --> 00:23:33.400 pokea nguvu kukataa majaribu ya kutotii 00:23:33.400 --> 00:23:39.880 pokea huo nguvu ya kukataa majaribu ya kuwa na imani duni 00:23:39.880 --> 00:23:44.440 pokea nguvu ya kukaa juu, katika jina la yesu 00:24:02.520 --> 00:24:13.920 najua kuna sauti nyingi ya kukata tamaa, ikikuambia ukate tamaa simama 00:24:13.920 --> 00:24:18.200 ya kuwa hakuna njia mbele wala nyuma 00:24:18.200 --> 00:24:28.480 nasema kwako leo - pokea ujasiri uendelee 00:24:28.480 --> 00:24:32.000 pokea ujasiri ya kuendelea 00:24:32.000 --> 00:24:39.920 pokea nguvu ya kuendelea mbele na sio kukata tamaa 00:25:07.840 --> 00:25:17.440 wengi wetu tuko chini ya kutojiamini 00:25:17.440 --> 00:25:25.240 kwa sababu hatujamkubali kuwa na kristo 00:25:25.240 --> 00:25:34.160 kila uongo ya muovu shetaniinayopigana nawe uliye katika kristo 00:25:34.160 --> 00:25:43.000 nasema sasa hivi itolewe katika jina la yesu 00:25:43.000 --> 00:25:45.280 wewe ni chenye mungu amensema 00:25:45.280 --> 00:25:47.560 unayo chenye mungu amesema unayo 00:25:47.560 --> 00:25:50.680 unaweza kufanya yale mungu amesema utafanya 00:26:15.960 --> 00:26:21.320 katika jina tukufu la yesu kriston tunaomba 00:26:27.560 --> 00:26:38.000 watu wa mungu kwa imani naskia sauti ya furaha nyumbani 00:26:38.000 --> 00:26:43.080 naskia kelel ya kushangilia nyumbani kwenu 00:26:43.080 --> 00:26:48.760 naskia kelele ya ushuhuda nyumbani kwenu 00:26:48.760 --> 00:26:52.240 furahini sasa hivi! 00:26:52.240 --> 00:26:54.280 kwa nini kuna furaha! 00:26:54.280 --> 00:26:59.200 kwa kuwa yaliyopita yako imeisha 00:26:59.200 --> 00:27:02.400 maisha yako ya zamani imeisha 00:27:02.400 --> 00:27:05.800 maisha yako ya mawazo imeisha 00:27:05.800 --> 00:27:08.840 maisha yako ya kufungwa imeisha 00:27:08.840 --> 00:27:11.800 maisha yako ya ndoto mbaya imeisha 00:27:11.800 --> 00:27:14.640 maisha yako ya magonjwa imeisha! 00:27:14.640 --> 00:27:17.520 maisha yako ya mateso imeisha! 00:27:17.520 --> 00:27:21.280 imeisha! 00:27:21.280 --> 00:27:27.120 tangu mungu atangaze kuwa maisha yako ya zamani imesiha, ni nini jukumu lako? 00:27:27.120 --> 00:27:34.800 lazima ukubali ukweli na utembee kwa ukweli 00:27:34.800 --> 00:27:38.160 anza kutembea kwa ukweli sasa 00:27:38.160 --> 00:27:40.480 00:27:40.480 --> 00:27:42.640 00:27:42.640 --> 00:27:45.040 00:27:45.040 --> 00:27:47.280 00:27:47.280 --> 00:27:51.080 00:27:51.080 --> 00:27:57.080 00:27:57.080 --> 00:28:01.480 00:28:01.480 --> 00:28:06.320 00:28:06.320 --> 00:28:10.320 00:28:10.320 --> 00:28:19.960 00:28:19.960 --> 00:28:24.360 00:28:24.360 --> 00:28:33.640 00:28:33.640 --> 00:28:36.880 00:28:36.880 --> 00:28:41.160 00:28:41.160 --> 00:28:45.560 00:28:45.560 --> 00:28:53.200 00:28:53.200 --> 00:29:03.440 00:29:03.440 --> 00:29:10.920 00:29:10.920 --> 00:29:17.960 00:29:17.960 --> 00:29:25.400 00:29:25.400 --> 00:29:31.880