[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:06.20,Default,,0000,0000,0000,,naona ukitoka kwa hiyo ngome Dialogue: 0,0:00:06.20,0:00:09.00,Default,,0000,0000,0000,,toka kutoka kwa hiyo ngome sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:09.00,0:00:12.08,Default,,0000,0000,0000,,toka kwa ngome ya laana ya vizazi Dialogue: 0,0:00:12.08,0:00:14.44,Default,,0000,0000,0000,,toka kwa ngome ya mateso Dialogue: 0,0:00:14.44,0:00:16.92,Default,,0000,0000,0000,,toka kwa ngome ya uraibu Dialogue: 0,0:00:16.92,0:00:19.88,Default,,0000,0000,0000,,toka kwa ngome sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:21.60,0:00:27.56,Default,,0000,0000,0000,,sijui uchungu unayopitia sasa Dialogue: 0,0:00:27.56,0:00:33.48,Default,,0000,0000,0000,,iliyokufanya uingie kwa maombi siku ya leo Dialogue: 0,0:00:33.48,0:00:37.68,Default,,0000,0000,0000,,lakini kitu moja najua ni kuwa Dialogue: 0,0:00:37.68,0:00:44.56,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuwa haujasimamisha wewe kutafuta uso wa bwana, Dialogue: 0,0:00:44.56,0:00:50.64,Default,,0000,0000,0000,,ni kwa ukombozi wako sio kuharibiwa kwako Dialogue: 0,0:00:50.64,0:00:58.92,Default,,0000,0000,0000,,kwa hivyo usione uchungu; ukaangalie tu nia ya mungu kwako Dialogue: 0,0:00:58.92,0:01:06.72,Default,,0000,0000,0000,,usiangalie yaliyopita; angalia kile ambacho mungu anasema kuhusu ya sasa Dialogue: 0,0:01:06.72,0:01:09.60,Default,,0000,0000,0000,,hapa, sasa hivi Dialogue: 0,0:01:09.60,0:01:13.12,Default,,0000,0000,0000,,ni wapi unakotoka sio muhimu Dialogue: 0,0:01:13.12,0:01:19.80,Default,,0000,0000,0000,,cha muhimu ni moyo wako uamuzi wa moyo wako sasa Dialogue: 0,0:01:19.80,0:01:23.28,Default,,0000,0000,0000,,hapa, wakati huu Dialogue: 0,0:01:23.28,0:01:25.68,Default,,0000,0000,0000,,fungua moyo wako kwa mungu Dialogue: 0,0:01:25.68,0:01:30.64,Default,,0000,0000,0000,,fungua moyo wako kwake na uwache nguvu ya roho mtakatifu Dialogue: 0,0:01:30.64,0:01:41.04,Default,,0000,0000,0000,,ukaoshe kila uchungu ya yaliyopita - kila aibu, majuto, magonjwa yaliyopita Dialogue: 0,0:01:41.04,0:01:45.92,Default,,0000,0000,0000,,katika anga huu wa imani, watu wa mungu, inukeni! Dialogue: 0,0:01:45.92,0:01:49.24,Default,,0000,0000,0000,,ni wakati wa kuomba sasa! Dialogue: 0,0:01:49.24,0:01:56.96,Default,,0000,0000,0000,,kila uongo shetani ametumia kukukumbusha yaliyopita Dialogue: 0,0:01:56.96,0:02:02.60,Default,,0000,0000,0000,,ikanyamazishwe, katika jina la yesu. Dialogue: 0,0:02:18.32,0:02:29.52,Default,,0000,0000,0000,,hiyo nyororo ya uchungu uliyopita - nasema ikavunjwe katika jina la yesu Dialogue: 0,0:02:40.32,0:02:45.80,Default,,0000,0000,0000,,kumbuka, unachoshikilia dhidi ya mtu yeyote kwa hakika inakushikilia Dialogue: 0,0:02:45.80,0:02:52.08,Default,,0000,0000,0000,,hiyo roho ya kukosa msamaha inayokushikilia nyuma usisonge mbele - Dialogue: 0,0:02:52.08,0:02:55.80,Default,,0000,0000,0000,,nasema, itolewe! Dialogue: 0,0:02:55.80,0:02:57.96,Default,,0000,0000,0000,,itolewe sasa hivi! Dialogue: 0,0:02:57.96,0:03:02.84,Default,,0000,0000,0000,,hiyo roho ya kutosamehe, hiyo roho ya machungu, Dialogue: 0,0:03:02.84,0:03:05.36,Default,,0000,0000,0000,,hiyo roho ya chuki - Dialogue: 0,0:03:05.36,0:03:08.84,Default,,0000,0000,0000,,itolewe katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:03:34.16,0:03:41.28,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi watu wa mungu, sijui ni ngome gani shetani amekuweka Dialogue: 0,0:03:41.28,0:03:44.88,Default,,0000,0000,0000,,au njia ambazo ametumia kukuweka ngomeni Dialogue: 0,0:03:44.88,0:03:47.48,Default,,0000,0000,0000,,nanena kwako sasa kwa imani - Dialogue: 0,0:03:47.48,0:03:54.68,Default,,0000,0000,0000,,leo ni siku yako ya kuwekwa huru Dialogue: 0,0:03:54.68,0:03:59.80,Default,,0000,0000,0000,,uwekwe huru kutoka hiyo ngome! Dialogue: 0,0:03:59.80,0:04:03.60,Default,,0000,0000,0000,,uwekwe huru katika jina la yesu Dialogue: 0,0:04:27.72,0:04:31.92,Default,,0000,0000,0000,,uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya magonjwa Dialogue: 0,0:04:31.92,0:04:36.16,Default,,0000,0000,0000,,uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya ndoto mbaya Dialogue: 0,0:04:36.16,0:04:41.48,Default,,0000,0000,0000,,ukawe huru, katika jina la yesu, kutoka hiyo ngome ya kufungwa Dialogue: 0,0:04:41.48,0:04:44.24,Default,,0000,0000,0000,,nasema, uwachiliwe kutoka hiyo ngome! Dialogue: 0,0:04:44.24,0:04:47.64,Default,,0000,0000,0000,,toka katika hiyo ngome sasa hivi! Dialogue: 0,0:05:04.20,0:05:10.32,Default,,0000,0000,0000,,naona ukitoka kwa hiyo ngome Dialogue: 0,0:05:10.32,0:05:13.12,Default,,0000,0000,0000,,toka katika hiyo ngome sasa hivi! Dialogue: 0,0:05:13.12,0:05:16.20,Default,,0000,0000,0000,,toka kwa ngome ya laana ya vizazi! Dialogue: 0,0:05:16.20,0:05:18.56,Default,,0000,0000,0000,,nje ya ngome ya mateso! Dialogue: 0,0:05:18.56,0:05:21.04,Default,,0000,0000,0000,,toke nje ya ngome ya uraibu! Dialogue: 0,0:05:21.04,0:05:24.20,Default,,0000,0000,0000,,toka kwa hiyo ngome sasa hivi! Dialogue: 0,0:05:44.96,0:05:52.92,Default,,0000,0000,0000,,chochote cha giza ambacho kiko ndani ya maisha yako Dialogue: 0,0:05:52.92,0:05:56.72,Default,,0000,0000,0000,,nanena uwachiliwe huru sasa hivi! Dialogue: 0,0:05:56.72,0:05:59.04,Default,,0000,0000,0000,,ukatolewe kutoka gizani! Dialogue: 0,0:05:59.04,0:06:01.28,Default,,0000,0000,0000,,ukatolewe kutoka magonjwe! Dialogue: 0,0:06:01.28,0:06:04.80,Default,,0000,0000,0000,,ukawekwe huru kutoka nguvu za adui! Dialogue: 0,0:06:04.80,0:06:09.52,Default,,0000,0000,0000,,uwachiliwe sasa hivi, katika jina la yesu Dialogue: 0,0:06:26.52,0:06:32.80,Default,,0000,0000,0000,,ndio, watu wa mungu, kuwekwa huru unafanyika sasa. Dialogue: 0,0:06:32.80,0:06:36.68,Default,,0000,0000,0000,,roho mtakatifu inanena na mioyo yenu ssa. Dialogue: 0,0:06:36.68,0:06:43.12,Default,,0000,0000,0000,,kuwe na mwanga! Dialogue: 0,0:06:58.12,0:07:06.48,Default,,0000,0000,0000,,kila pepo inalohusika na shida unayopitia , kilicho nyuma na hiyo shida Dialogue: 0,0:07:06.48,0:07:11.40,Default,,0000,0000,0000,,nasema sasa - toka, katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:07:11.40,0:07:15.52,Default,,0000,0000,0000,,hiyo roho ya machungu - toka sasa hivi! Dialogue: 0,0:07:15.52,0:07:19.84,Default,,0000,0000,0000,,hiyo roho ya mateso - toka sasa hivi! Dialogue: 0,0:07:19.84,0:07:23.84,Default,,0000,0000,0000,,hiyo roho ya uraibu - toka nje! Dialogue: 0,0:07:42.68,0:07:51.24,Default,,0000,0000,0000,,nanena kwako - kila neno hasi kilichonenwa kwa maisha yako, Dialogue: 0,0:07:51.24,0:07:59.64,Default,,0000,0000,0000,,kwa imani katika jina la yesu - ikaghairiwe sasa hivi! Dialogue: 0,0:07:59.64,0:08:03.64,Default,,0000,0000,0000,,ukaghairi hayo maneno hasi yaliyonenwa juu ya maisha yako. Dialogue: 0,0:08:03.64,0:08:06.68,Default,,0000,0000,0000,,ukatae katika jina la yesu Dialogue: 0,0:08:25.12,0:08:30.84,Default,,0000,0000,0000,,wengi wetu tumepitia mambo yaliyo hasi katika ndoto zetu Dialogue: 0,0:08:30.84,0:08:32.80,Default,,0000,0000,0000,,ndoto za ajabu Dialogue: 0,0:08:32.80,0:08:38.08,Default,,0000,0000,0000,,nasema sasa hivi kila mtu anayeniskia katika prokramu hii Dialogue: 0,0:08:38.08,0:08:40.44,Default,,0000,0000,0000,,aliyeathiriwa na ndoto mbaya Dialogue: 0,0:08:40.44,0:08:45.44,Default,,0000,0000,0000,,hiyo ndoto mbaya, ikatolewe! Dialogue: 0,0:08:45.44,0:08:47.88,Default,,0000,0000,0000,,ikatolewe sasa hivi! Dialogue: 0,0:09:07.88,0:09:12.76,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi! nawataka kwa imani ukaweke mkono wako - Dialogue: 0,0:09:12.76,0:09:17.24,Default,,0000,0000,0000,,mwilini mwako unapohisi uchungu Dialogue: 0,0:09:17.24,0:09:21.20,Default,,0000,0000,0000,,wekelea mkono wako hapo ndio unakuunganisha Dialogue: 0,0:09:21.20,0:09:25.20,Default,,0000,0000,0000,,kama unayo picha aliyedhurika ambaye hayukop na wewe Dialogue: 0,0:09:25.20,0:09:27.52,Default,,0000,0000,0000,,shikilia juu hiyo picha kwa imani Dialogue: 0,0:09:27.52,0:09:31.88,Default,,0000,0000,0000,,roho wa mungu ipo kazini sasa hivi Dialogue: 0,0:09:31.88,0:09:38.36,Default,,0000,0000,0000,,chochote ulichoila kutoka kwa meza ya adui Dialogue: 0,0:09:38.36,0:09:49.96,Default,,0000,0000,0000,,inayosababisha magonjwa , machungu, sema ikatolewe nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:09:49.96,0:09:53.48,Default,,0000,0000,0000,,tabika nje katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:09:53.48,0:09:59.84,Default,,0000,0000,0000,,toka nje ya mfumo! nje ya viungo vya mwilini! nje ya kila kinachohusu! Dialogue: 0,0:10:21.20,0:10:29.80,Default,,0000,0000,0000,,nanena kwa mifupa chini ya madhara ya magonjwa - ukawekwe huru sasa! Dialogue: 0,0:10:29.80,0:10:33.68,Default,,0000,0000,0000,,ukawekwe huru, katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:10:46.24,0:10:54.68,Default,,0000,0000,0000,,nanena kwa damu chini ya madhara ya magonjwa - ukasafishwe Dialogue: 0,0:10:54.68,0:10:58.08,Default,,0000,0000,0000,,ukasafishwe kwa damu ya yesu! Dialogue: 0,0:11:11.80,0:11:21.44,Default,,0000,0000,0000,,nanena kwa hiyo kiungo cha mwili wako uanze kufanya kazi! Dialogue: 0,0:11:21.44,0:11:24.48,Default,,0000,0000,0000,,fanya kazi katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:11:36.16,0:11:47.96,Default,,0000,0000,0000,,mahali popote magonjwa inapatikana, ndani na nje, Dialogue: 0,0:11:47.96,0:11:52.32,Default,,0000,0000,0000,,kwa mamlaka na katika jina la yesu Dialogue: 0,0:11:52.32,0:11:55.44,Default,,0000,0000,0000,,natangaza uponyaji sasa hivi! Dialogue: 0,0:11:55.44,0:12:00.44,Default,,0000,0000,0000,,uponywe katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:12:00.44,0:12:03.80,Default,,0000,0000,0000,,uponywe katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:12:23.92,0:12:33.80,Default,,0000,0000,0000,,Mahali popote maishani mwako inayoathiriwa na magonjwa, mateso na ugonjwa - Dialogue: 0,0:12:33.80,0:12:39.76,Default,,0000,0000,0000,,leo, nanena urejesho! urejeshwe! Dialogue: 0,0:12:39.76,0:12:43.44,Default,,0000,0000,0000,,urejeshwe kwa nguvu ya ufufuo! Dialogue: 0,0:13:01.20,0:13:08.16,Default,,0000,0000,0000,,wewe shetani ambaye umehusika na machungu hayo, Dialogue: 0,0:13:08.16,0:13:12.28,Default,,0000,0000,0000,,umehusika na laana ya magonjwa Dialogue: 0,0:13:12.28,0:13:16.28,Default,,0000,0000,0000,,nanena wewe shetani lazima uondoke sasa hivi! Dialogue: 0,0:13:16.28,0:13:19.60,Default,,0000,0000,0000,,nasema, ondoka katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:13:19.60,0:13:23.84,Default,,0000,0000,0000,,ondoka na magonjwa ya mgongo, ondoka na magonjwa ya maumivu ya roho Dialogue: 0,0:13:23.84,0:13:27.68,Default,,0000,0000,0000,,ondoka na magonjwa ya magoti, ondoka na magonjwa ya maumivu ya kichwa! Dialogue: 0,0:13:27.68,0:13:31.24,Default,,0000,0000,0000,,ondoka, katika jin ala yesu! Dialogue: 0,0:13:52.20,0:13:58.68,Default,,0000,0000,0000,,kuna wengi wetu ambao tumepatwa kwa mzunguko wa kunyanyaswa Dialogue: 0,0:13:58.68,0:14:00.76,Default,,0000,0000,0000,,kutoka vizazi hadi vizazi Dialogue: 0,0:14:00.76,0:14:07.08,Default,,0000,0000,0000,,unyanyasaji unaokaa na magonjwa, magumu na umaskini. Dialogue: 0,0:14:07.08,0:14:16.56,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi, nasema kwako - ukawe huru kwa huo mviringo Dialogue: 0,0:14:16.56,0:14:20.36,Default,,0000,0000,0000,,ukawe huru sasa hivi! Dialogue: 0,0:14:39.80,0:14:46.32,Default,,0000,0000,0000,,ukawe huru kwa huo mviringo wa magonjwa! ukawe huru kwa huo mviringo wa umaskini! Dialogue: 0,0:14:46.32,0:14:49.48,Default,,0000,0000,0000,,ukawe huru kutoka mzunguko wa kutosonga mbele Dialogue: 0,0:14:49.48,0:14:54.04,Default,,0000,0000,0000,,ukawe huru! ukawe huru sasa hivi! Dialogue: 0,0:15:10.48,0:15:18.68,Default,,0000,0000,0000,,najua kuna wengi wetu ambao tumeshikwa kwa mzunguko wa mahangaiko Dialogue: 0,0:15:18.68,0:15:26.72,Default,,0000,0000,0000,,mahangaiko katika mahali pa kazi, fedha na biashara Dialogue: 0,0:15:26.72,0:15:28.60,Default,,0000,0000,0000,,imetosha! Dialogue: 0,0:15:28.60,0:15:39.00,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi, mzunguko wa mahangaiko - ikavunjwe! Dialogue: 0,0:15:39.00,0:15:40.92,Default,,0000,0000,0000,,ikavunjwe sas hivi! Dialogue: 0,0:15:40.92,0:15:43.68,Default,,0000,0000,0000,,navunja hiyo nyororo ya mahangaiko! Dialogue: 0,0:15:43.68,0:15:46.20,Default,,0000,0000,0000,,navunja katika jina la yesu. Dialogue: 0,0:16:10.08,0:16:24.72,Default,,0000,0000,0000,,hayo mateso katika kazi, fedha, biashara, utafutaji wa kazi, masomo - Dialogue: 0,0:16:24.72,0:16:32.00,Default,,0000,0000,0000,,nasema ikavunjwe katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:16:50.40,0:17:00.24,Default,,0000,0000,0000,,navunja roho ya mahangaiko, na upokee hekima ya mungu. Dialogue: 0,0:17:00.24,0:17:03.68,Default,,0000,0000,0000,,pokea hekima ya mungu sasa hivi! Dialogue: 0,0:17:03.68,0:17:06.24,Default,,0000,0000,0000,,hekima ya kusimamia fedha Dialogue: 0,0:17:06.24,0:17:08.48,Default,,0000,0000,0000,,hekima ya kufanya biashara Dialogue: 0,0:17:08.48,0:17:10.72,Default,,0000,0000,0000,,hekima ya kusimama na familia. Dialogue: 0,0:17:10.72,0:17:13.56,Default,,0000,0000,0000,,hekima ya kusimamia kuchagua njia ya masomo Dialogue: 0,0:17:13.56,0:17:16.48,Default,,0000,0000,0000,,pokea hekima kutoka kwa mungu! Dialogue: 0,0:17:36.64,0:17:44.40,Default,,0000,0000,0000,,kila roho ya uchoyo na kujiwaza Dialogue: 0,0:17:44.40,0:17:46.08,Default,,0000,0000,0000,,sio yako Dialogue: 0,0:17:46.08,0:17:49.12,Default,,0000,0000,0000,,nasema toka sasa hivi katika jina la yesu Dialogue: 0,0:17:49.12,0:17:51.96,Default,,0000,0000,0000,,toka katika jina la yesu Dialogue: 0,0:17:51.96,0:17:55.76,Default,,0000,0000,0000,,toka katika jina la yesu Dialogue: 0,0:18:09.80,0:18:14.84,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi, nataka kuweka maombi kwa ajili ya wanandoa Dialogue: 0,0:18:14.84,0:18:17.36,Default,,0000,0000,0000,,walio nasi sasa hivi. Dialogue: 0,0:18:17.36,0:18:23.04,Default,,0000,0000,0000,,kama uko hapa na mume ama mke wako, jishikeni sasa hivi Dialogue: 0,0:18:23.04,0:18:25.48,Default,,0000,0000,0000,,tunaomba kwa ajili ya ndoa Dialogue: 0,0:18:25.48,0:18:33.88,Default,,0000,0000,0000,,kila pepo inayopiga uhusiano katika ndoa Dialogue: 0,0:18:33.88,0:18:38.88,Default,,0000,0000,0000,,nasema toka katika jina la yesu Dialogue: 0,0:18:38.88,0:18:41.84,Default,,0000,0000,0000,,toka katika jina la yesu Dialogue: 0,0:18:41.84,0:18:48.08,Default,,0000,0000,0000,,fungua mdomo na kwa imani na uanze kuomba katika jina la yesu Dialogue: 0,0:18:48.08,0:18:52.68,Default,,0000,0000,0000,,kinyume cha kila roho inayopigana na ndoa yako Dialogue: 0,0:18:52.68,0:18:54.52,Default,,0000,0000,0000,,toka katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:19:15.92,0:19:20.64,Default,,0000,0000,0000,,chochote ambacho adui anatumia kuiba furaha yako katika ndoa Dialogue: 0,0:19:20.64,0:19:25.20,Default,,0000,0000,0000,,kuiba amani , umoja katika ndoa Dialogue: 0,0:19:25.20,0:19:30.36,Default,,0000,0000,0000,,nasema itolewe sasa hivi Dialogue: 0,0:19:30.36,0:19:33.76,Default,,0000,0000,0000,,itolewe katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:19:50.08,0:20:08.56,Default,,0000,0000,0000,,sikia chochote inachopigana na moyo wako sasa bhivi - nasema ikasafishwe kwa imani Dialogue: 0,0:20:08.56,0:20:12.84,Default,,0000,0000,0000,,ukatiwe nguvu katika uwezo wa roho mtakatifu sasa hivi! Dialogue: 0,0:20:27.88,0:20:33.80,Default,,0000,0000,0000,,chochote inachopigana na moyo wako - pokea amani katika jina la yesu! Dialogue: 0,0:20:33.80,0:20:36.64,Default,,0000,0000,0000,,amani ipitayo kila uelewa Dialogue: 0,0:20:36.64,0:20:39.84,Default,,0000,0000,0000,,amani katika ndoa! amani nyumbani! Dialogue: 0,0:20:39.84,0:20:45.00,Default,,0000,0000,0000,,amani katika familia! amani katika fedha pokea amani! Dialogue: 0,0:21:04.04,0:21:07.16,Default,,0000,0000,0000,,tunapoulizia mungu kwa amani Dialogue: 0,0:21:07.16,0:21:13.00,Default,,0000,0000,0000,,kama uko na bendera ya nchi yako inua juu Dialogue: 0,0:21:13.00,0:21:16.28,Default,,0000,0000,0000,,tunaomba juu ya dunia nzima Dialogue: 0,0:21:16.28,0:21:19.80,Default,,0000,0000,0000,,kuna nguvu kwa maombi Dialogue: 0,0:21:19.80,0:21:27.52,Default,,0000,0000,0000,,omba mungu amani idumu mioyoni mwa viongozi wa nchi Dialogue: 0,0:21:27.52,0:21:32.04,Default,,0000,0000,0000,,nauliza simama kwenye pengo kwa niaba ya viongozi Dialogue: 0,0:21:32.04,0:21:36.04,Default,,0000,0000,0000,,tuulize amani sasa udumu mioyoni mwao Dialogue: 0,0:21:36.04,0:21:45.84,Default,,0000,0000,0000,,amani ya kristo idumu mioyoni na ikadhuru uamuzi Dialogue: 0,0:21:45.84,0:21:47.32,Default,,0000,0000,0000,,muulize sasa hivi Dialogue: 0,0:22:08.12,0:22:12.64,Default,,0000,0000,0000,,uliza hekima ya mungu Dialogue: 0,0:22:12.64,0:22:18.48,Default,,0000,0000,0000,,hekima ya mungu ikanene kwa viongozi wa nchi zenu Dialogue: 0,0:22:18.48,0:22:23.80,Default,,0000,0000,0000,,hekima ya mungu ikawavukishe kwa yale mnayopitia Dialogue: 0,0:22:23.80,0:22:27.44,Default,,0000,0000,0000,,kwa shida zikujazo kote duniani Dialogue: 0,0:22:27.44,0:22:30.04,Default,,0000,0000,0000,,uliza hekima ya mungu sasa hivi! Dialogue: 0,0:22:47.36,0:22:55.68,Default,,0000,0000,0000,,kila chombo ambacho adui shetani amepanga ikakutenge na mungu Dialogue: 0,0:22:55.68,0:23:02.76,Default,,0000,0000,0000,,nasema pokea nguvu kukataa Dialogue: 0,0:23:02.76,0:23:07.76,Default,,0000,0000,0000,,pokea nguvu kukataa majaribu Dialogue: 0,0:23:27.36,0:23:33.40,Default,,0000,0000,0000,,pokea nguvu kukataa majaribu ya kutotii Dialogue: 0,0:23:33.40,0:23:39.88,Default,,0000,0000,0000,,pokea huo nguvu ya kukataa majaribu ya kuwa na imani duni Dialogue: 0,0:23:39.88,0:23:44.44,Default,,0000,0000,0000,,pokea nguvu ya kukaa juu, katika jina la yesu Dialogue: 0,0:24:02.52,0:24:13.92,Default,,0000,0000,0000,,najua kuna sauti nyingi ya kukata tamaa, ikikuambia ukate tamaa simama Dialogue: 0,0:24:13.92,0:24:18.20,Default,,0000,0000,0000,,ya kuwa hakuna njia mbele wala nyuma Dialogue: 0,0:24:18.20,0:24:28.48,Default,,0000,0000,0000,,nasema kwako leo - pokea ujasiri uendelee Dialogue: 0,0:24:28.48,0:24:32.00,Default,,0000,0000,0000,,pokea ujasiri ya kuendelea Dialogue: 0,0:24:32.00,0:24:39.92,Default,,0000,0000,0000,,pokea nguvu ya kuendelea mbele na sio kukata tamaa Dialogue: 0,0:25:07.84,0:25:17.44,Default,,0000,0000,0000,,wengi wetu tuko chini ya kutojiamini Dialogue: 0,0:25:17.44,0:25:25.24,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hatujamkubali kuwa na kristo Dialogue: 0,0:25:25.24,0:25:34.16,Default,,0000,0000,0000,,kila uongo ya muovu shetaniinayopigana nawe uliye katika kristo Dialogue: 0,0:25:34.16,0:25:43.00,Default,,0000,0000,0000,,nasema sasa hivi itolewe katika jina la yesu Dialogue: 0,0:25:43.00,0:25:45.28,Default,,0000,0000,0000,,wewe ni chenye mungu amensema Dialogue: 0,0:25:45.28,0:25:47.56,Default,,0000,0000,0000,,unayo chenye mungu amesema unayo Dialogue: 0,0:25:47.56,0:25:50.68,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kufanya yale mungu amesema utafanya Dialogue: 0,0:26:15.96,0:26:21.32,Default,,0000,0000,0000,,katika jina tukufu la yesu kriston tunaomba Dialogue: 0,0:26:27.56,0:26:38.00,Default,,0000,0000,0000,,watu wa mungu kwa imani naskia sauti ya furaha nyumbani Dialogue: 0,0:26:38.00,0:26:43.08,Default,,0000,0000,0000,,naskia kelel ya kushangilia nyumbani kwenu Dialogue: 0,0:26:43.08,0:26:48.76,Default,,0000,0000,0000,,naskia kelele ya ushuhuda nyumbani kwenu Dialogue: 0,0:26:48.76,0:26:52.24,Default,,0000,0000,0000,,furahini sasa hivi! Dialogue: 0,0:26:52.24,0:26:54.28,Default,,0000,0000,0000,,kwa nini kuna furaha! Dialogue: 0,0:26:54.28,0:26:59.20,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuwa yaliyopita yako imeisha Dialogue: 0,0:26:59.20,0:27:02.40,Default,,0000,0000,0000,,maisha yako ya zamani imeisha Dialogue: 0,0:27:02.40,0:27:05.80,Default,,0000,0000,0000,,maisha yako ya mawazo imeisha Dialogue: 0,0:27:05.80,0:27:08.84,Default,,0000,0000,0000,,maisha yako ya kufungwa imeisha Dialogue: 0,0:27:08.84,0:27:11.80,Default,,0000,0000,0000,,maisha yako ya ndoto mbaya imeisha Dialogue: 0,0:27:11.80,0:27:14.64,Default,,0000,0000,0000,,maisha yako ya magonjwa imeisha! Dialogue: 0,0:27:14.64,0:27:17.52,Default,,0000,0000,0000,,maisha yako ya mateso imeisha! Dialogue: 0,0:27:17.52,0:27:21.28,Default,,0000,0000,0000,,imeisha! Dialogue: 0,0:27:21.28,0:27:27.12,Default,,0000,0000,0000,,tangu mungu atangaze kuwa maisha yako ya zamani imesiha, ni nini jukumu lako? Dialogue: 0,0:27:27.12,0:27:34.80,Default,,0000,0000,0000,,lazima ukubali ukweli na utembee kwa ukweli Dialogue: 0,0:27:34.80,0:27:38.16,Default,,0000,0000,0000,,anza kutembea kwa ukweli sasa Dialogue: 0,0:27:38.16,0:27:40.48,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:40.48,0:27:42.64,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:42.64,0:27:45.04,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:45.04,0:27:47.28,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:47.28,0:27:51.08,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:51.08,0:27:57.08,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:57.08,0:28:01.48,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:01.48,0:28:06.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:06.32,0:28:10.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:10.32,0:28:19.96,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:19.96,0:28:24.36,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:24.36,0:28:33.64,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:33.64,0:28:36.88,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:36.88,0:28:41.16,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:41.16,0:28:45.56,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:45.56,0:28:53.20,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:53.20,0:29:03.44,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:29:03.44,0:29:10.92,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:29:10.92,0:29:17.96,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:29:17.96,0:29:25.40,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:29:25.40,0:29:31.88,Default,,0000,0000,0000,,