naona ukitoka kwa hiyo ngome
toka kutoka kwa hiyo ngome sasa hivi!
toka kwa ngome ya laana ya vizazi
toka kwa ngome ya mateso
toka kwa ngome ya uraibu
toka kwa ngome sasa hivi!
sijui uchungu unayopitia sasa
iliyokufanya uingie kwa maombi siku ya leo
lakini kitu moja najua ni kuwa
kwa kuwa haujasimamisha wewe kutafuta uso wa bwana,
ni kwa ukombozi wako sio kuharibiwa kwako
kwa hivyo usione uchungu; ukaangalie tu nia ya mungu kwako
usiangalie yaliyopita; angalia kile ambacho mungu anasema kuhusu ya sasa
hapa, sasa hivi
ni wapi unakotoka sio muhimu
cha muhimu ni moyo wako uamuzi wa moyo wako sasa
hapa, wakati huu
fungua moyo wako kwa mungu
fungua moyo wako kwake na uwache nguvu ya roho mtakatifu
ukaoshe kila uchungu ya yaliyopita - kila aibu, majuto, magonjwa yaliyopita
katika anga huu wa imani, watu wa mungu, inukeni!
ni wakati wa kuomba sasa!
kila uongo shetani ametumia kukukumbusha yaliyopita
ikanyamazishwe, katika jina la yesu.
hiyo nyororo ya uchungu uliyopita - nasema ikavunjwe katika jina la yesu
kumbuka, unachoshikilia dhidi ya mtu yeyote kwa hakika inakushikilia
hiyo roho ya kukosa msamaha inayokushikilia nyuma usisonge mbele -
nasema, itolewe!
itolewe sasa hivi!
hiyo roho ya kutosamehe, hiyo roho ya machungu,
hiyo roho ya chuki -
itolewe katika jina la yesu!
sasa hivi watu wa mungu, sijui ni ngome gani shetani amekuweka
au njia ambazo ametumia kukuweka ngomeni
nanena kwako sasa kwa imani -
leo ni siku yako ya kuwekwa huru
uwekwe huru kutoka hiyo ngome!
uwekwe huru katika jina la yesu
uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya magonjwa
uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya ndoto mbaya
ukawe huru, katika jina la yesu, kutoka hiyo ngome ya kufungwa
nasema, uwachiliwe kutoka hiyo ngome!
toka katika hiyo ngome sasa hivi!
naona ukitoka kwa hiyo ngome
toka katika hiyo ngome sasa hivi!
toka kwa ngome ya laana ya vizazi!
nje ya ngome ya mateso!
toke nje ya ngome ya uraibu!
toka kwa hiyo ngome sasa hivi!
chochote cha giza ambacho kiko ndani ya maisha yako
nanena uwachiliwe huru sasa hivi!