WEBVTT 00:00:00.896 --> 00:00:03.437 Mwaka 2014 ulikua ,mkubwa kwangu. 00:00:03.461 --> 00:00:04.627 Ulishawahi kuwa na hio, 00:00:04.651 --> 00:00:06.896 kama tu mwaka mkubwa, kama mwaka bango? 00:00:07.198 --> 00:00:08.635 Kwangu, ulienda hivi: 00:00:08.659 --> 00:00:11.958 Oktoba 3, nilipoteza ujauzito wangu wa pili. 00:00:11.982 --> 00:00:15.077 Halfu Oktoba 3, baba yangu alifariki kwa saratani. 00:00:15.101 --> 00:00:17.871 Halafu tena Novemba 25, mme wangu Aaron alifariki 00:00:17.895 --> 00:00:20.673 baada ya miaka mitatu ya hatua ya nne ya glioblastoma, 00:00:20.697 --> 00:00:23.132 ambalo ni neno la mbwembwe la saratani ya ubongo. NOTE Paragraph 00:00:24.822 --> 00:00:25.972 Hivyo, nina vichekesho. NOTE Paragraph 00:00:26.639 --> 00:00:28.012 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:00:28.036 --> 00:00:31.877 Watu wanapenda kunialika sehemu kila mara. 00:00:31.901 --> 00:00:33.307 Maingiano kibao. 00:00:33.331 --> 00:00:36.395 Kawaida, ninapoongelea hiki kipindi cha maisha yangu, 00:00:36.419 --> 00:00:39.633 majibu ninayopata kimsingi ni: NOTE Paragraph 00:00:39.657 --> 00:00:41.592 (Mhemo) NOTE Paragraph 00:00:41.616 --> 00:00:43.476 "Siwezi -- siwezi kufikiria." 00:00:45.061 --> 00:00:46.595 Lakini ninafikiri unaweza. 00:00:47.696 --> 00:00:48.847 Ninafikiri unaweza. 00:00:48.871 --> 00:00:50.238 Na ninafikiri kua unatakiwa 00:00:50.262 --> 00:00:52.879 kwa sababu, siku moja, itakutokea wewe. 00:00:52.903 --> 00:00:57.561 Labda sio hizi hasara kabisa kwenye namna hii maalum au kwa kazi hii, 00:00:57.585 --> 00:00:58.975 ila nimesema, nina vichekesho 00:00:58.999 --> 00:01:02.696 na utafiti nilioona utakushangaza: 00:01:02.720 --> 00:01:06.330 kila mtu unaempenda ana nafasi asilimia 100 ya kufa. NOTE Paragraph 00:01:06.354 --> 00:01:08.950 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:01:08.974 --> 00:01:10.545 Na ndio maana ukaja TED. NOTE Paragraph 00:01:10.569 --> 00:01:12.631 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:01:12.655 --> 00:01:15.967 (Makofi) NOTE Paragraph 00:01:16.292 --> 00:01:18.022 Tangu hasara yote ilivyonitokea, 00:01:18.046 --> 00:01:22.339 nimefanya kazi kuongelea kuhusu kifo na hasara, 00:01:22.363 --> 00:01:24.783 sio yangu tu, kwa sababu ni rahisi kukumbuka, 00:01:24.807 --> 00:01:28.853 lakini hasara na mikasa ambayo watu wengine wamepitia. 00:01:28.877 --> 00:01:31.216 Ni sehemu, naweza kusema. NOTE Paragraph 00:01:31.240 --> 00:01:32.981 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:01:33.005 --> 00:01:36.104 Ni sehemu ndogo, na natamani ningekua na hela nyingi, lakini ... NOTE Paragraph 00:01:36.128 --> 00:01:37.458 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:01:37.482 --> 00:01:40.593 Nimeandika vitabu vya kuinua kweli, 00:01:40.617 --> 00:01:44.310 nikaendesha podikasti ya kuinua sana, nikaanzaisha shirika lisilo la serikali. 00:01:44.334 --> 00:01:45.934 Ninajaribu tu kufanya ninachoweza 00:01:45.958 --> 00:01:49.482 kufanya watu wengi zaidi wafarijike kwenye hali zilizo ngumu, 00:01:49.506 --> 00:01:51.640 na majonzi ni magumu sana. 00:01:52.014 --> 00:01:55.831 Ni magumu sana, haswa kama ni majonzi ya mtu mwingine. 00:01:57.323 --> 00:02:01.545 Basi sehemu ya hio kazi ni hili kundi nililoanzisha na rafiki yangu Moe, 00:02:01.569 --> 00:02:02.791 ambae pia ni mjane; 00:02:02.815 --> 00:02:05.350 tunaliita Chama cha Wajane Wadogo Wakali. NOTE Paragraph 00:02:05.374 --> 00:02:06.748 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:02:06.772 --> 00:02:09.247 Na ni ukweli, tuna kadi za uwanachama 00:02:09.271 --> 00:02:10.644 na tisheti. 00:02:11.272 --> 00:02:14.952 Na pale mtu wako akifariki, mmeo, mke, mchumba, 00:02:14.976 --> 00:02:16.967 hatujali kabisa kama ulikua kwenye ndoa, 00:02:16.991 --> 00:02:19.742 marafiki zako na familia yako watakua tu wanaangalia 00:02:19.766 --> 00:02:22.122 kwa marafiki wa marafiki wa marafiki wa marafiki 00:02:22.146 --> 00:02:25.010 mpaka wapate mtu ambae amepitia hali inayofanana, 00:02:25.034 --> 00:02:27.395 halafu watawasukuma mje pamoja 00:02:27.419 --> 00:02:31.786 ili muongee miongoni mwenu na msiwe na masikitiko kwa watu wengine. NOTE Paragraph 00:02:31.810 --> 00:02:33.969 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:02:33.993 --> 00:02:35.394 Basi ndicho tunachofanya. 00:02:35.418 --> 00:02:38.910 Ni mfululizo tu wa makundi madogo, 00:02:38.934 --> 00:02:42.483 ambapo wanaume, wanawake, mashoga, wa kawaida, wanandoa, wenye wenza, 00:02:42.507 --> 00:02:46.776 wanaweza kuongelea kuhusu mtu wao aliyekufa, 00:02:46.800 --> 00:02:48.046 na kusema vile vitu 00:02:48.070 --> 00:02:51.789 ambavyo mtu mwingine kwenye maisha yao hayuko tayari kuvisikia bado. 00:02:51.813 --> 00:02:54.291 Eneo kubwa la mazungumzo. 00:02:54.315 --> 00:02:56.103 Kama, "Mme wangu alikufa wiki mbili zilizopita, 00:02:56.127 --> 00:02:58.445 siwezi kuacha kufikiria kuhusu ngono, ni kawaida?" NOTE Paragraph 00:02:58.469 --> 00:02:59.623 Ndio. NOTE Paragraph 00:02:59.647 --> 00:03:01.696 "Je kama ni mmoja wa Property Brothers?" NOTE Paragraph 00:03:01.720 --> 00:03:03.266 Kawaida kidogo, ila nitaikubali. NOTE Paragraph 00:03:03.290 --> 00:03:06.424 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:03:06.910 --> 00:03:10.751 Vitu kama, "Ona, nikiwa hadharani na nikaona wazee wanashikana mikono, 00:03:10.775 --> 00:03:13.361 wenzi ambao ni wazi wamekua pamoja kwa miongo, 00:03:13.385 --> 00:03:15.712 halafu ninawaangalia na kuwaza 00:03:15.736 --> 00:03:17.982 vitu vyote ambavyo wamepitia pamoja, 00:03:18.006 --> 00:03:19.545 vitu vizuri na vitu vibaya, 00:03:19.569 --> 00:03:22.640 ugomvi waliokuanao kuhusu nani wa kutoa taka ... 00:03:22.664 --> 00:03:25.696 nakuta tu moyo umejawa na hasira." NOTE Paragraph 00:03:25.720 --> 00:03:26.721 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:03:26.745 --> 00:03:28.552 Na huo mfano ni wa pekee kwangu. NOTE Paragraph 00:03:30.077 --> 00:03:33.228 Mazungumzo mengi ambayo tunakuwa nayo kwenye kundi 00:03:33.252 --> 00:03:35.229 yanaweza na yanakaa miongoni mwetu, 00:03:35.253 --> 00:03:37.172 lakini kuna vitu tunavyoviongelea 00:03:37.196 --> 00:03:40.379 ambavyo duniani -- dunia ambayo iko karibu na majonzi 00:03:40.403 --> 00:03:41.917 ila bado haijapigwa na majonzi 00:03:41.941 --> 00:03:43.847 inaweza kweli kunufaika kusikia. 00:03:43.871 --> 00:03:45.149 Na kama huwezi kusema, 00:03:45.173 --> 00:03:49.553 ninavutiwa/uwezo tu wa masomo yabbsiyo ya kisayansi, 00:03:49.577 --> 00:03:51.951 nilienda kwenye Chama cha Wajane Wadogo Wakali 00:03:51.975 --> 00:03:56.585 na kusema, "Habari, marafiki, unakumbuka mtu wako alivyokufa?" Walikumbuka. NOTE Paragraph 00:03:56.609 --> 00:03:59.094 "Unakumbuka vitu vyote watu walikuambia?" NOTE Paragraph 00:03:59.118 --> 00:04:00.289 "Ah, ndio." NOTE Paragraph 00:04:00.313 --> 00:04:02.076 "Ni vipi ulivyovichukia zaidi?" NOTE Paragraph 00:04:02.100 --> 00:04:05.307 Nilipata maoni mengi, majibu mengi, watu wanasema vitu vingi, 00:04:05.331 --> 00:04:07.931 lakini viwili vilisimama juu haraka sana. 00:04:08.990 --> 00:04:10.140 "Kusonga mbele." NOTE Paragraph 00:04:11.561 --> 00:04:14.171 Sasa, tangu 2014, 00:04:14.195 --> 00:04:18.243 nitakuambia nilifunga ndoa tena na mwanaume mzuri kweli aitwae Matthew, 00:04:18.267 --> 00:04:21.370 tuna watoto wanne kwenye familia yetu iliyochanganyika, 00:04:21.394 --> 00:04:24.887 tuniashi kwenye viunga vya Minneapolis, Minnesota, Marekani. 00:04:24.911 --> 00:04:26.331 Tuna mbwa aliyeokolewa. NOTE Paragraph 00:04:26.355 --> 00:04:27.662 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:04:27.686 --> 00:04:29.098 ninaendesha gari la familia, 00:04:29.122 --> 00:04:31.938 kama la aina ambayo milango inafunguka bila hata kuigusa. NOTE Paragraph 00:04:31.962 --> 00:04:33.146 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:04:33.170 --> 00:04:36.363 Kama, "mezhure" yoyte, maisha ni mazuri. 00:04:36.387 --> 00:04:39.459 Sijawahi pia kusema "mezhure," sijawahi hata mara moja kuisema hivyo. NOTE Paragraph 00:04:39.483 --> 00:04:44.762 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:04:44.786 --> 00:04:46.437 Sijui hata imetokea wapi. NOTE Paragraph 00:04:46.461 --> 00:04:48.222 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:04:48.246 --> 00:04:50.521 Sijawahi kusikia mtu yeyote akiisema hivyo. 00:04:50.545 --> 00:04:52.522 Inaonekana kama inapaswa kusemwa hivyo, 00:04:52.546 --> 00:04:55.103 na ndio sababu lugha ya Kiingereza ni mbovu, basi ... NOTE Paragraph 00:04:55.127 --> 00:04:56.181 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:04:56.205 --> 00:04:58.331 Ninavutiwa sana na mtu ambae anaiongea 00:04:58.355 --> 00:05:01.228 kuongezea kwenye lugha inayoeleweka -- kazi nzuri. NOTE Paragraph 00:05:01.252 --> 00:05:03.244 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:05:03.268 --> 00:05:04.704 Lakini, kwa vyovote vile ... NOTE Paragraph 00:05:04.728 --> 00:05:06.228 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:05:06.252 --> 00:05:11.402 Kwa vyovyote vile, maisha ni mazuri sana sana, lakini "sijasonga mbele." 00:05:12.085 --> 00:05:15.109 Sijasonga mbele, na siupendi kabisa huo msemo, 00:05:15.133 --> 00:05:16.924 na ninaelewa kwanini wengine hawaupendi. 00:05:16.948 --> 00:05:18.098 Kwa sababu unachosema 00:05:18.122 --> 00:05:22.710 ni kua maisha na kifo cha Aaron na upendo ni wakati tu 00:05:22.734 --> 00:05:26.537 ambao nauweza kuuacha nyuma yangu -- na kua napaswa kufanya hivyo. 00:05:26.561 --> 00:05:30.791 Na ninapoongelea kuhusu Aaron, ninaingia kirahisi kwenye hali halisi, 00:05:30.815 --> 00:05:33.371 na nimewaza kweli kua hio inanifanya wa ajabu. 00:05:33.395 --> 00:05:35.819 Halafu nikagundua kua kila mtu anafanya hivyo. 00:05:36.595 --> 00:05:40.762 Na sio kwa sababu tuna kana au kwa sababu tunasahau, 00:05:40.786 --> 00:05:43.047 ni kwa sababu watu tunaowapenda, tuliowapoteza, 00:05:43.071 --> 00:05:45.229 bado ni halisi kwetu sisi. 00:05:46.800 --> 00:05:49.400 Basi, ninaposema, "Oh, Aaron ni ..." 00:05:50.276 --> 00:05:52.521 Ni kwa sababu Aaron bado yupo. 00:05:53.831 --> 00:05:55.871 Na sio kwa namna alivyokua kabla. 00:05:55.895 --> 00:05:57.078 iliyokua bora zaidi, 00:05:57.102 --> 00:06:00.744 na sio namna ambayo watu wa kanisani wanavyojaribu kuniambia anavyokua. 00:06:00.768 --> 00:06:04.447 ni kua tu amezimika, 00:06:05.411 --> 00:06:08.047 na hivyo yupo sasa kwangu. NOTE Paragraph 00:06:08.610 --> 00:06:09.760 Hapa, 00:06:09.784 --> 00:06:12.043 yupo hapa kwenye kazi ninayofanya, 00:06:12.067 --> 00:06:14.675 kwenye mtoto tulionae pamoja, 00:06:14.699 --> 00:06:16.754 kwenye hawa watoto wengine watatu ninaolea, 00:06:16.778 --> 00:06:19.564 ambao hawajawahi kunuona, ambao hawana DNA yake, 00:06:19.588 --> 00:06:23.453 lakini wapo kwenye maisha yangu tu kwa sababu nilikuwa na Aaron 00:06:23.477 --> 00:06:25.143 na kwa sababu nilimpoteza Aaron. 00:06:26.302 --> 00:06:28.653 Yupo nami kwenye ndoa yangu na Matthew, 00:06:28.677 --> 00:06:31.882 kwa sababu maisha na upendo na kifo cha Aaron 00:06:31.906 --> 00:06:34.572 vimenifanya kua mtu ambae Matthew angetaka kuoa. 00:06:34.596 --> 00:06:38.829 Hivyo sijasonga mbele kutoka kwa Aaron, 00:06:38.853 --> 00:06:41.694 nimesonga mbele na yeye. NOTE Paragraph 00:06:44.925 --> 00:06:50.574 (Makofi) NOTE Paragraph 00:06:50.995 --> 00:06:55.662 Tulisambaza majivu ya Aaron kwenye mto aupendao huko Minnesota, 00:06:55.686 --> 00:06:57.193 na pale begi lilipokua tupu -- 00:06:57.217 --> 00:07:01.938 kwa sababu ukiwa umechomwa, unatoshea kwenye mfuko wa plastiki -- 00:07:01.962 --> 00:07:04.882 kulikua na majibu bado yamebaki kwenye vidole vyangu. 00:07:04.906 --> 00:07:07.993 Na ningeingiza tu mikono yangu kwenye maji na kuisuuza, 00:07:08.017 --> 00:07:10.823 lakini badala lake, nililamba mikono yangu, 00:07:11.617 --> 00:07:15.339 kwa sababu niliogopa kupoteza zaidi ya nilichopoteza zaidi, 00:07:15.363 --> 00:07:19.426 na nilitamani sana kuhakikisha kua atakua ni sehemu yangu daima. 00:07:20.371 --> 00:07:22.104 Lakini bila shaka atakua. NOTE Paragraph 00:07:22.878 --> 00:07:27.339 Kwa sababu unapomuona mtu wako akijijaza na sumu kwa miaka mitatu, 00:07:27.363 --> 00:07:30.023 ili tu aweze kuishi zaidi kidogo na wewe, 00:07:30.047 --> 00:07:31.791 hilo linakaa na wewe. 00:07:33.196 --> 00:07:37.846 Unapomuangalia akififia kutoka kwenye mtu mwenye afya siku mliokutana 00:07:37.870 --> 00:07:39.453 kuwa sifuri, hiyo inakaa na wewe. 00:07:39.477 --> 00:07:42.314 Unapomuangalia mwanao, amba hata bado hana miaka miwili, 00:07:42.338 --> 00:07:45.029 akienda kitandani kwa baba yake siku ya mwisho ya maisha yake, 00:07:45.053 --> 00:07:47.323 kama vile anajua kinachofuata masaa machache, 00:07:47.347 --> 00:07:52.363 na kusema, "Nakupenda. Nimemaliza. Kwaheri." 00:07:53.776 --> 00:07:55.751 Hiyo inakaa na wewe. 00:07:57.347 --> 00:08:02.037 Kama tu unapopenda, hatimae, unapopenda kweli 00:08:02.061 --> 00:08:04.403 mtu anaekuelewa na kukuona 00:08:04.427 --> 00:08:07.524 na unaona pia, "Mungu wangu, nimekua nikikosea mda wote huu. 00:08:07.548 --> 00:08:12.332 Upendo sio mashindano au kipindi cha televisheni -- ni ukimya sana, 00:08:12.356 --> 00:08:16.045 ni huu uzi usioonekana wa utulivu unatuunganisha wawili 00:08:16.069 --> 00:08:17.837 hata kama kila kitu kina vurugu, 00:08:17.861 --> 00:08:20.787 vitu vinapoenda vibaya, hata kama akiondoka." 00:08:22.474 --> 00:08:24.743 Hio inakaa na wewe. 00:08:26.958 --> 00:08:28.329 Tulikua tunafanya hivi -- 00:08:28.353 --> 00:08:30.988 mikono yangu ilikua na baridi na yeye ana joto, 00:08:31.012 --> 00:08:34.424 nilichukua mikono yangu ya barafu na kuisukuma ndani ya shati lake ... 00:08:34.886 --> 00:08:36.895 kuikandamiza kwenye mwili wake mkali. NOTE Paragraph 00:08:36.919 --> 00:08:38.982 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:08:39.405 --> 00:08:41.920 Na alikua hapendi kabisa, NOTE Paragraph 00:08:41.944 --> 00:08:42.965 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:08:42.989 --> 00:08:44.347 lakini alinipenda, 00:08:44.371 --> 00:08:49.228 na alivyokufa, nililala kitandani na Aaron 00:08:49.252 --> 00:08:51.656 na nikaweka mikono yangu chini yake 00:08:53.355 --> 00:08:55.845 na nikahisi joto lake. 00:08:58.374 --> 00:09:01.881 Na sikuweza hata kusema kama mikono yangu ilikua na baridi, 00:09:01.905 --> 00:09:03.461 lakini ninaweza kuwaambia 00:09:03.485 --> 00:09:06.413 kua nilijua ilikua mara ya mwisho ningeweza kufanya hivyo. 00:09:08.209 --> 00:09:11.409 Na hio kumbukumbu itakua ya kusikitisha daima. 00:09:11.733 --> 00:09:13.666 Hio kumbukumbu itauma daima. 00:09:14.051 --> 00:09:16.895 Hata kama nikiwa na miaka 600 na ni hologramu tu. NOTE Paragraph 00:09:16.919 --> 00:09:19.196 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:09:20.204 --> 00:09:25.897 Kama tu kumbukumbu ya kukutana nae itanifanya nicheke daima. 00:09:27.860 --> 00:09:29.654 Maombolezo hayatokei kwenye huu utupu, 00:09:29.678 --> 00:09:36.146 yanatokea pamoja na na ikichanganyika na hisia zote hizi nyingine. NOTE Paragraph 00:09:38.024 --> 00:09:42.572 Hivyo, nikakutana na Matthew, mme wangu wa sasa -- 00:09:42.596 --> 00:09:44.468 ambae hapendi hicho cheo, NOTE Paragraph 00:09:44.492 --> 00:09:48.270 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:09:48.713 --> 00:09:50.189 lakini ni sawa kabisa. NOTE Paragraph 00:09:50.213 --> 00:09:52.823 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:09:53.935 --> 00:09:56.283 Nilikutana na Matthew, na ... 00:09:57.577 --> 00:10:00.908 kulikua na hii pumzi ya wazi ya faraja kati ya watu wanaonipenda, 00:10:00.932 --> 00:10:03.354 kama, "Imekwisha! 00:10:04.680 --> 00:10:05.830 Ameweza. 00:10:07.069 --> 00:10:09.537 Amepata mwisho mzuri, tunaweza kurudi nyumbani sasa. 00:10:09.561 --> 00:10:11.562 Na tumefanya vizuri." 00:10:11.586 --> 00:10:14.609 Na hio hadithi inafaa hata hata kwangu, 00:10:14.633 --> 00:10:18.475 na nikawaza labda nimeipata hio pia, lakini haikua hivyo. 00:10:18.499 --> 00:10:21.037 Nilipata sura nyingine. 00:10:21.061 --> 00:10:25.006 Na ni sura nzuri sana -- nakupenda, mpenzi -- 00:10:25.030 --> 00:10:26.775 ni sura nzuri sana. 00:10:27.419 --> 00:10:31.280 Tena haswahaswa mwanzoni, ilikua kama ulimwengu mbadala, 00:10:31.304 --> 00:10:34.462 au moja ya vile vitabu ya zamani vya "chagua shani yako" vya miaka ya 80 00:10:34.486 --> 00:10:36.414 ambapo kuna mistari miwili sambamba. 00:10:36.438 --> 00:10:38.032 Nikafungua moyo wangu kwa Matthew, 00:10:38.056 --> 00:10:41.820 na ubongo wangu ukawa, "Ungependa kumfikiria Aaron? 00:10:42.409 --> 00:10:46.409 Kama zamani, sasa, mbeleni, ingia tu huko," na nilifanya hivyo. 00:10:47.052 --> 00:10:50.141 Na ghafla, hiyo mistari miwili ilifunguka kwa pamoja, 00:10:50.165 --> 00:10:53.752 na kupendana na Matthew kumenisaidia sana kugundua ukubwa 00:10:53.776 --> 00:10:55.842 wa nilichopoteza Aaron alivyofariki. 00:10:57.680 --> 00:10:58.843 Na ilivyo muhimu, 00:10:58.867 --> 00:11:02.617 ilinisaidia kugundua kua upendo wangu kwa Aaron 00:11:02.641 --> 00:11:04.752 na maombolezo yangu kwa Aaron, 00:11:04.776 --> 00:11:09.307 na upendo wangu kwa Matthew, sio nguvu za kupishana. 00:11:10.680 --> 00:11:13.480 Ni sehemu tu za uzi mmoja 00:11:14.111 --> 00:11:15.644 Ni vitu sawa sawa. NOTE Paragraph 00:11:18.000 --> 00:11:21.246 Wazazi wangu wangesemaje? 00:11:21.270 --> 00:11:22.809 Mimi sio wa pekee. NOTE Paragraph 00:11:23.645 --> 00:11:24.660 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:11:24.684 --> 00:11:27.220 Walikua na watoto wanne, walikua kama ... wa kweli. NOTE Paragraph 00:11:27.244 --> 00:11:29.029 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:11:29.053 --> 00:11:30.821 Lakini mimi sio, mimi sio wa pekee. 00:11:30.845 --> 00:11:32.903 Ninajua hilo, ninajua vizuri 00:11:32.927 --> 00:11:35.434 kua siku nzima, kila siku duniani kote, 00:11:35.458 --> 00:11:37.236 vitu vibaya vinatokea. 00:11:37.260 --> 00:11:38.411 Kila mara. 00:11:38.435 --> 00:11:40.180 Kama nilivyosema, mtu mcheshi. 00:11:40.204 --> 00:11:42.690 Lakini vitu vibaya vinatokea, 00:11:42.714 --> 00:11:49.108 watu wanapata hasara za kina na mbaya kila siku. 00:11:49.132 --> 00:11:51.720 Na kama sehemu ya kazi yangu, 00:11:51.744 --> 00:11:53.426 hii podikasti ya ajabu niliyonayo, 00:11:53.450 --> 00:11:54.698 kuna mda ninaongea na watu 00:11:54.722 --> 00:11:57.706 kuhusu kitu kibaya kilichowahi kuwatokea. 00:11:57.730 --> 00:12:00.761 Na saa nyingine, hio ni kupotelewa na mpendwa, 00:12:00.785 --> 00:12:05.475 mara nyingine siku, wiki miaka au miongo iliyopita. 00:12:06.373 --> 00:12:08.903 Na hawa watu ninaowahoji, 00:12:08.927 --> 00:12:11.235 hawajajifungia wenyewe kwenye hii hasara 00:12:11.259 --> 00:12:13.609 na kuifanya sehemu kuu ya maisha yao. 00:12:13.911 --> 00:12:18.212 Wameishi, dunia zao zimeendelea kuzunguka. 00:12:19.478 --> 00:12:22.620 Lakini wanaongea na mimi, mgeni kabisa, 00:12:22.644 --> 00:12:24.579 kuhusu mtu wanaempenda aliyekufa, 00:12:24.603 --> 00:12:27.743 kwa sababu hivi ndivyo vitu tunavyopitia 00:12:27.767 --> 00:12:32.854 vinavyotuonyesha na kutufanya kama tu wale wenye furaha. 00:12:33.355 --> 00:12:35.212 Na kama ilivyo ya kudumu. 00:12:36.895 --> 00:12:39.466 Baadae baada ya kupata kadi yako ya mwisho ya huruma 00:12:39.490 --> 00:12:40.957 au pishi la moto la mwisho. 00:12:41.546 --> 00:12:43.577 Kama, hatuangalii watu wanaotuzunguka 00:12:43.601 --> 00:12:48.100 wakipitia furaha na maajabu ya maisha na kuwaambia "wasonge mbele", ndio? 00:12:48.124 --> 00:12:51.680 Hatutumi kadi ambazo zinasema "Hongera kwa mtoto mzuri," 00:12:51.704 --> 00:12:55.395 halafu, miaka mitano baadae, tunawaza, "Sherehe nyingine ya kuzaliwa? Acha hizo." NOTE Paragraph 00:12:55.419 --> 00:12:57.085 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:12:57.109 --> 00:12:58.768 Ndio, tunaelewa, ana miaka mitano. NOTE Paragraph 00:12:58.792 --> 00:13:00.220 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:13:00.244 --> 00:13:01.418 Wow. NOTE Paragraph 00:13:01.442 --> 00:13:02.592 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:13:04.148 --> 00:13:06.164 Lakini maombolezo ni moja ya vile vitu, 00:13:06.188 --> 00:13:09.967 kama kupenda au kuwa na mtoto au kuangalia "The Wire" kwenye HBO, 00:13:09.991 --> 00:13:14.073 ambapo hauelewi mpaka upate, mpaka ufanye. 00:13:15.219 --> 00:13:20.522 Na punde unavyofanya, punde ni mpenzi wako au mtoto wako, 00:13:20.546 --> 00:13:25.736 punde ni maombolezo yako na uko mstari wa mbele kwenye msiba, 00:13:25.760 --> 00:13:26.910 unaelewa. 00:13:27.315 --> 00:13:31.451 Unaelewa unachopitia sio sehemu ya mda, 00:13:31.475 --> 00:13:33.417 sio mfupa kua utajirudi, 00:13:33.441 --> 00:13:36.307 lakini kua umeguswa na kitu kikali. 00:13:36.919 --> 00:13:38.117 Kitu kisichotibika. 00:13:38.141 --> 00:13:40.997 Hakiui, lakini saa nyingine yanakua kama yanaweza. 00:13:43.269 --> 00:13:46.848 Na kama hatuwezi kuzuia miongoni mwetu, 00:13:46.872 --> 00:13:48.189 nini tunaweza kufanya? NOTE Paragraph 00:13:50.554 --> 00:13:54.874 Nini tunaweza kufanya zaidi ya kukumbushiana 00:13:54.898 --> 00:13:57.604 kua vitu vingine havirekebishiki, 00:13:58.136 --> 00:14:01.318 na sio kila kidonda kinapaswa kupona. 00:14:02.493 --> 00:14:05.684 Tunahitajiana kukumbuka, 00:14:05.708 --> 00:14:07.470 kusaidiana kukumbuka, 00:14:07.494 --> 00:14:10.263 kua maombolezo ni hisia ya mambo mengi. 00:14:10.287 --> 00:14:16.084 Kua unaweza na utakua na huzuni, na furaha; utaomboleza na kupenda 00:14:16.108 --> 00:14:19.347 kwenye mwaka au wiki au pumzi hio hio. 00:14:20.982 --> 00:14:26.704 Tunahitaji kukumbuka kua mtu anaeomboleza ataenda kucheka na kutabasamu tena. 00:14:27.498 --> 00:14:30.698 Wakibahatika, wanaweza hata kupenda tena. 00:14:31.697 --> 00:14:35.163 Lakini ndio, hakika wataenda kusonga mbele. 00:14:36.071 --> 00:14:39.071 Lakini hiyo haimaanishi kua wameendelea mbele. NOTE Paragraph 00:14:40.253 --> 00:14:41.412 Asanteni. NOTE Paragraph 00:14:41.436 --> 00:14:48.078 (Makofi)