[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:01.23,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:01.23,0:00:04.28,Default,,0000,0000,0000,,Karibu kwenye kipindi cha milinganyo hatua ya nne. Dialogue: 0,0:00:04.28,0:00:06.54,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tufanye baadhi ya maswali. Dialogue: 0,0:00:06.54,0:00:06.71,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo. Dialogue: 0,0:00:06.71,0:00:09.58,Default,,0000,0000,0000,,Tuchukulie nina-- ngoja nikupe baadhi ya Dialogue: 0,0:00:09.58,0:00:20.11,Default,,0000,0000,0000,,maswali-- kama nikisema 3 juu ya x ni sawa na 5. Dialogue: 0,0:00:20.11,0:00:23.18,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, tunachotaka kufanya--hili swali ni tofauti na Dialogue: 0,0:00:23.18,0:00:24.26,Default,,0000,0000,0000,,yale tulioyaona. Dialogue: 0,0:00:24.26,0:00:26.95,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu hapa, badala ya kuwa na x kwenye kiasi, tuna Dialogue: 0,0:00:26.95,0:00:28.15,Default,,0000,0000,0000,,x kwenye asili. Dialogue: 0,0:00:28.15,0:00:31.27,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, sihitaji kuwa na x kwenye asili, Dialogue: 0,0:00:31.27,0:00:34.19,Default,,0000,0000,0000,,tunahitaji kuitoa kwenye asili na kuwa kwenye Dialogue: 0,0:00:34.19,0:00:36.14,Default,,0000,0000,0000,,kiasi na sio kwenye asili Dialogue: 0,0:00:36.14,0:00:36.92,Default,,0000,0000,0000,,kama ifuatavyo. Dialogue: 0,0:00:36.92,0:00:40.78,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, njia mojawapo ya kuondoa namba kwenye asili ni hivi, kama Dialogue: 0,0:00:40.78,0:00:45.56,Default,,0000,0000,0000,,tunazidisha pande zote za huu mlinganyo kwa x, unaona Dialogue: 0,0:00:45.56,0:00:47.46,Default,,0000,0000,0000,,kwenye huu upande wa kushoto wa mlinganyo hizi Dialogue: 0,0:00:47.46,0:00:48.90,Default,,0000,0000,0000,,x mbili zitaisha. Dialogue: 0,0:00:48.90,0:00:52.16,Default,,0000,0000,0000,,Na upande wa kulia, utapata 5 mara x. Dialogue: 0,0:00:52.16,0:00:56.92,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hii ni sawa na -- x mbili zinaisha. Dialogue: 0,0:00:56.92,0:01:00.89,Default,,0000,0000,0000,,na unapata 3 ni sawa na 5x. Dialogue: 0,0:01:00.89,0:01:05.42,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza kuiandika hivi, 5x ni sawa na 3. Dialogue: 0,0:01:05.42,0:01:07.81,Default,,0000,0000,0000,,Kisha tunachagua njia ya kufanya kati ya hizi mbili. Dialogue: 0,0:01:07.81,0:01:12.21,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza kuzidisha pande zote kwa 1/5, au unaweza Dialogue: 0,0:01:12.21,0:01:14.23,Default,,0000,0000,0000,,kugawanya kwa 5. Dialogue: 0,0:01:14.23,0:01:16.49,Default,,0000,0000,0000,,Kama ukizidisha pande zote kwa 1/5. Dialogue: 0,0:01:16.49,0:01:18.68,Default,,0000,0000,0000,,Upande wa kushoto unabakia na x. Dialogue: 0,0:01:18.68,0:01:23.74,Default,,0000,0000,0000,,Na upande wa kulia ni, 3 mara 1/5, ni sawa na 3/5. Dialogue: 0,0:01:23.74,0:01:24.64,Default,,0000,0000,0000,,Nini tulichokifanya hapa? Dialogue: 0,0:01:24.64,0:01:26.86,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaturudisha kwenye swali la hatua Dialogue: 0,0:01:26.86,0:01:28.67,Default,,0000,0000,0000,,ya pili, au swali la hatua ya kwanza, Dialogue: 0,0:01:28.67,0:01:29.48,Default,,0000,0000,0000,,napitia kwa haraka. Dialogue: 0,0:01:29.48,0:01:31.99,Default,,0000,0000,0000,,Tulichokifanya nikuzidisha pande zote za huu Dialogue: 0,0:01:31.99,0:01:33.26,Default,,0000,0000,0000,,mlinganyo kwa x. Dialogue: 0,0:01:33.26,0:01:35.46,Default,,0000,0000,0000,,Na tukaitoa x kwenye asili. Dialogue: 0,0:01:35.46,0:01:36.36,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tufanye swali lingine. Dialogue: 0,0:01:36.36,0:01:41.11,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:01:41.11,0:01:53.53,Default,,0000,0000,0000,,Tuchukulie tuna, x jumlisha 2 juu ya x jumlisha 1 ni Dialogue: 0,0:01:53.53,0:01:58.80,Default,,0000,0000,0000,,sawa na 7. Dialogue: 0,0:01:58.80,0:02:00.79,Default,,0000,0000,0000,,Hapa, badala ya kuwa na x kwenye asili, Dialogue: 0,0:02:00.79,0:02:02.92,Default,,0000,0000,0000,,tuna x jumlisha 1 kwenye asili. Dialogue: 0,0:02:02.92,0:02:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tutafanya kwa njia ileile. Dialogue: 0,0:02:05.00,0:02:09.17,Default,,0000,0000,0000,,Ili kuondoa x jumlisha 1 kwenye asili, tunazidisha pande Dialogue: 0,0:02:09.17,0:02:15.45,Default,,0000,0000,0000,,zote za huu mlinganyo mara x jumlisha 1 juu ya 1 mara huu upande. Dialogue: 0,0:02:15.45,0:02:17.01,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuwa tumefanya hivyo upande wa kushoto pia tuna Dialogue: 0,0:02:17.01,0:02:19.64,Default,,0000,0000,0000,,fanya hivyo upande wa kulia, na hii ni 7/1, Dialogue: 0,0:02:19.64,0:02:24.42,Default,,0000,0000,0000,,mara x jumlisha 1 juu ya 1. Dialogue: 0,0:02:24.42,0:02:27.72,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye upande wa kushoto, x jumlisha 1 zinaisha. Dialogue: 0,0:02:27.72,0:02:31.11,Default,,0000,0000,0000,,Na unabakiwa na x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:02:31.11,0:02:33.30,Default,,0000,0000,0000,,Juu ya 1, lakini tunaiacha 1. Dialogue: 0,0:02:33.30,0:02:39.26,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni sawa na 7 mara x jumlisha 1. Dialogue: 0,0:02:39.26,0:02:41.93,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ni sawa na x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:02:41.93,0:02:45.72,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka, 7 mara kitu kizima, x jumlisha 1. Dialogue: 0,0:02:45.72,0:02:47.79,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunatakiwa tufungua mabano. Dialogue: 0,0:02:47.79,0:02:54.40,Default,,0000,0000,0000,,Na hii ni sawa na 7x jumlisha 7. Dialogue: 0,0:02:54.40,0:02:57.20,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaturudisha kwenye mlinganyo Dialogue: 0,0:02:57.20,0:02:58.79,Default,,0000,0000,0000,,hatua ya tatu. Dialogue: 0,0:02:58.79,0:03:02.05,Default,,0000,0000,0000,,Tunachokifanya sasa, tunaweka x zote Dialogue: 0,0:03:02.05,0:03:02.96,Default,,0000,0000,0000,,upande mmoja wa mlinganyo. Dialogue: 0,0:03:02.96,0:03:05.57,Default,,0000,0000,0000,,Kisha tunaweka namba kamili, ambazo ni 2 na 7, kwenye Dialogue: 0,0:03:05.57,0:03:07.10,Default,,0000,0000,0000,,upande mwingine wa mlinganyo Dialogue: 0,0:03:07.10,0:03:08.89,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo naamua kuweka x upande wa kushoto. Dialogue: 0,0:03:08.89,0:03:10.99,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunaileta 7x kwenye upande wa kushoto. Dialogue: 0,0:03:10.99,0:03:14.45,Default,,0000,0000,0000,,Na tunafanya hivyo kwa kutoa 7x pande zote. Dialogue: 0,0:03:14.45,0:03:19.44,Default,,0000,0000,0000,,Toa 7x, toa 7x. Dialogue: 0,0:03:19.44,0:03:22.80,Default,,0000,0000,0000,,Upande wa kulia, hizi 7x mbili zinaisha. Dialogue: 0,0:03:22.80,0:03:26.41,Default,,0000,0000,0000,,Na upande wa kushoto tuna hasi 7x jumlisha x. Dialogue: 0,0:03:26.41,0:03:32.84,Default,,0000,0000,0000,,Vizuri, hii ni hasi 6x jumlisha 2 ni sawa na, Dialogue: 0,0:03:32.84,0:03:35.08,Default,,0000,0000,0000,,kulia tumebakiwa na 7. Dialogue: 0,0:03:35.08,0:03:36.47,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunataka kuondoa hii 2. Dialogue: 0,0:03:36.47,0:03:41.36,Default,,0000,0000,0000,,Na tunfanya hivyo kwa kutoa 2 pande zote. Dialogue: 0,0:03:41.36,0:03:48.00,Default,,0000,0000,0000,,Na tutabakiwa na hasi 6x ni sawa na 5. Dialogue: 0,0:03:48.00,0:03:49.22,Default,,0000,0000,0000,,Hili ni swali la kwenye hatua ya kwanza. Dialogue: 0,0:03:49.22,0:03:52.41,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa tuzidishe pande zote mara kinyume katika kuzidisha Dialogue: 0,0:03:52.41,0:03:54.20,Default,,0000,0000,0000,,kizidishi upande wa kushoto. Dialogue: 0,0:03:54.20,0:03:56.15,Default,,0000,0000,0000,,Na kizidishi ni hasi 6. Dialogue: 0,0:03:56.15,0:03:59.62,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunazidisha pande zote za mlinganyo kwa hasi 1/6. Dialogue: 0,0:03:59.62,0:04:02.54,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:02.54,0:04:05.61,Default,,0000,0000,0000,,Hasi 1/6. Dialogue: 0,0:04:05.61,0:04:08.89,Default,,0000,0000,0000,,Upande wa kushoto, hasi 1 juu ya 6 mara hasi 6. Dialogue: 0,0:04:08.89,0:04:10.19,Default,,0000,0000,0000,,Ni sawa na 1, Dialogue: 0,0:04:10.19,0:04:16.13,Default,,0000,0000,0000,,Tumepata x ni sawa na 5 mara hasi 1/6. Dialogue: 0,0:04:16.13,0:04:19.25,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni hasi 5/6. Dialogue: 0,0:04:19.25,0:04:22.27,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:22.27,0:04:23.21,Default,,0000,0000,0000,,Na tumemaliza. Dialogue: 0,0:04:23.21,0:04:25.71,Default,,0000,0000,0000,,Na kama unataka kuhakikisha, utachukua hii x Dialogue: 0,0:04:25.71,0:04:28.95,Default,,0000,0000,0000,,sawa na hasi 5/6 na kuiweka kwenye swali letu la awali Dialogue: 0,0:04:28.95,0:04:30.58,Default,,0000,0000,0000,,kuthibitisha jibu. Dialogue: 0,0:04:30.58,0:04:31.34,Default,,0000,0000,0000,,Tufanye swali lingine. Dialogue: 0,0:04:31.34,0:04:34.61,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:34.61,0:04:37.94,Default,,0000,0000,0000,,Naandika kwa hapa juu. Dialogue: 0,0:04:37.94,0:04:40.02,Default,,0000,0000,0000,,Tuchukulie. Dialogue: 0,0:04:40.02,0:04:51.01,Default,,0000,0000,0000,,3 mara x jumlisha 5 ni sawa na 8 mara x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:04:51.01,0:04:52.74,Default,,0000,0000,0000,,Tunafanya kitu kilekile hapa. Dialogue: 0,0:04:52.74,0:04:55.95,Default,,0000,0000,0000,,Ingawa tuna milinganyo miwili, tunayohitaji kuiondoa Dialogue: 0,0:04:55.95,0:04:56.68,Default,,0000,0000,0000,,kwenye asili. Dialogue: 0,0:04:56.68,0:04:58.87,Default,,0000,0000,0000,,Tunataka kuondoa x jumlisha 5 pia tunataka kuondoa Dialogue: 0,0:04:58.87,0:05:00.01,Default,,0000,0000,0000,,x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:05:00.01,0:05:01.67,Default,,0000,0000,0000,,Tuondoe x jumlisha 5 kwanza. Dialogue: 0,0:05:01.67,0:05:03.64,Default,,0000,0000,0000,,Vizuri, kama tulivyofanya awali, tunazidisha pande zote Dialogue: 0,0:05:03.64,0:05:05.57,Default,,0000,0000,0000,,za huu mlinganyo kwa x jumlisha 5. Dialogue: 0,0:05:05.57,0:05:07.63,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kusema x jumlisha 5 juu ya 1. Dialogue: 0,0:05:07.63,0:05:12.68,Default,,0000,0000,0000,,Mara x jumlisha 5 juu ya 1. Dialogue: 0,0:05:12.68,0:05:15.08,Default,,0000,0000,0000,,Upande wa kushoto, zinaisha. Dialogue: 0,0:05:15.08,0:05:24.23,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunabakiwa na 3 ni sawa na 8 mara x jumlisha tano. Dialogue: 0,0:05:24.23,0:05:28.77,Default,,0000,0000,0000,,juu ya x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:05:28.77,0:05:31.82,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, tunarahisisha, kwa mara nyingine Dialogue: 0,0:05:31.82,0:05:34.42,Default,,0000,0000,0000,,tunazidisha 8 mara mlinganyo wote. Dialogue: 0,0:05:34.42,0:05:41.86,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ni 8x jumlisha 40 juu ya x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:05:41.86,0:05:43.50,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, tunataka kuondoa x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:05:43.50,0:05:44.51,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tutafanya njia ileile. Dialogue: 0,0:05:44.51,0:05:46.50,Default,,0000,0000,0000,,Tunazidisha pande zote za mlinganyo kwa Dialogue: 0,0:05:46.50,0:05:50.90,Default,,0000,0000,0000,,x jumlisha 2 juu ya 1. Dialogue: 0,0:05:50.90,0:05:52.58,Default,,0000,0000,0000,,x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:05:52.58,0:05:53.69,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza kusema tunazidisha Dialogue: 0,0:05:53.69,0:05:54.42,Default,,0000,0000,0000,,pande zote kwa x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:05:54.42,0:05:56.63,Default,,0000,0000,0000,,Hii 1 ni sio ya lazima. Dialogue: 0,0:05:56.63,0:06:02.91,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo upande wa kushoto unakuwa 3x jumlisha 6. Dialogue: 0,0:06:02.91,0:06:05.07,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka kuzidisha mara 3 kote, kwa sababu Dialogue: 0,0:06:05.07,0:06:07.03,Default,,0000,0000,0000,,unaizidisha kwa mlinganyo wote. Dialogue: 0,0:06:07.03,0:06:08.54,Default,,0000,0000,0000,,x jumlisha 2. Dialogue: 0,0:06:08.54,0:06:09.86,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye upande wa kulia. Dialogue: 0,0:06:09.86,0:06:13.62,Default,,0000,0000,0000,,Hii x jumlisha 2 na hii x jumlisha 2 zinaisha. Dialogue: 0,0:06:13.62,0:06:16.38,Default,,0000,0000,0000,,Tunabakiwa na 8x jumlisha 40. Dialogue: 0,0:06:16.38,0:06:19.34,Default,,0000,0000,0000,,Na hii ni swali la hatua ya tatu. Dialogue: 0,0:06:19.34,0:06:25.38,Default,,0000,0000,0000,,Kama tunatoa 8x pande zote, hasi 8x, jumlisha Dialogue: 0,0:06:25.38,0:06:26.97,Default,,0000,0000,0000,,nafikiri nimemaliza nafasi. Dialogue: 0,0:06:26.97,0:06:28.47,Default,,0000,0000,0000,,Toa 8x. Dialogue: 0,0:06:28.47,0:06:31.29,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye upande wa kulia 8x zinaisha. Dialogue: 0,0:06:31.29,0:06:38.62,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye upande wa kushoto tuna hasi 5x jumlisha 6 ni sawa Dialogue: 0,0:06:38.62,0:06:42.32,Default,,0000,0000,0000,,na, kwenye upande wa kulia tumebakiwa na 40. Dialogue: 0,0:06:42.32,0:06:45.38,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tunatoa 6 kwenye pande zote za mlinganyo. Dialogue: 0,0:06:45.38,0:06:46.38,Default,,0000,0000,0000,,Naandika hapa. Dialogue: 0,0:06:46.38,0:06:49.51,Default,,0000,0000,0000,,Toa 6 jumlisha toa 6. Dialogue: 0,0:06:49.51,0:06:51.47,Default,,0000,0000,0000,,Natumaini mmenielewa Dialogue: 0,0:06:51.47,0:06:53.16,Default,,0000,0000,0000,,mpaka hapa. Dialogue: 0,0:06:53.16,0:06:55.72,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:55.72,0:06:58.41,Default,,0000,0000,0000,,Tukitoa kwa hasi 6 pande zote, upande wa kushoto Dialogue: 0,0:06:58.41,0:07:05.28,Default,,0000,0000,0000,,tumebakiwa na hasi 5x sawa na kwenye Dialogue: 0,0:07:05.28,0:07:08.78,Default,,0000,0000,0000,,upande wa kulia tuna 34. Dialogue: 0,0:07:08.78,0:07:09.88,Default,,0000,0000,0000,,Hili ni swali la kwenye hatua ya kwanza. Dialogue: 0,0:07:09.88,0:07:12.78,Default,,0000,0000,0000,,Tunazidisha pande zote mara hasi 1/5. Dialogue: 0,0:07:12.78,0:07:16.51,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:16.51,0:07:18.36,Default,,0000,0000,0000,,Hasi 1/5. Dialogue: 0,0:07:18.36,0:07:21.13,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye upande wa kushoto tuna x. Dialogue: 0,0:07:21.13,0:07:27.13,Default,,0000,0000,0000,,Na kwenye upande wa kulia tuna hasi 34/5. Dialogue: 0,0:07:27.13,0:07:29.64,Default,,0000,0000,0000,,Huenda kuna makosa madogomadogo, lakini natumai nipo sahihi. Dialogue: 0,0:07:29.64,0:07:33.19,Default,,0000,0000,0000,,Natumai kama umeelewa tulichofanya hapa, basi Dialogue: 0,0:07:33.19,0:07:36.78,Default,,0000,0000,0000,,upo tayari kufanya maswali ya milinganyo ya hatua ya nne. Dialogue: 0,0:07:36.78,0:07:38.29,Default,,0000,0000,0000,,Uwe na furaha. Dialogue: 0,0:07:38.29,0:07:38.79,Default,,0000,0000,0000,,