1 00:00:00,000 --> 00:00:01,230 2 00:00:01,230 --> 00:00:04,280 Karibu kwenye kipindi cha milinganyo hatua ya nne. 3 00:00:04,280 --> 00:00:06,540 Hebu tufanye baadhi ya maswali. 4 00:00:06,540 --> 00:00:06,710 Hivyo. 5 00:00:06,710 --> 00:00:09,580 Tuchukulie nina-- ngoja nikupe baadhi ya 6 00:00:09,580 --> 00:00:20,110 maswali-- kama nikisema 3 juu ya x ni sawa na 5. 7 00:00:20,110 --> 00:00:23,180 Hivyo, tunachotaka kufanya--hili swali ni tofauti na 8 00:00:23,180 --> 00:00:24,260 yale tulioyaona. 9 00:00:24,260 --> 00:00:26,950 Kwa sababu hapa, badala ya kuwa na x kwenye kiasi, tuna 10 00:00:26,950 --> 00:00:28,150 x kwenye asili. 11 00:00:28,150 --> 00:00:31,270 Hivyo, sihitaji kuwa na x kwenye asili, 12 00:00:31,270 --> 00:00:34,190 tunahitaji kuitoa kwenye asili na kuwa kwenye 13 00:00:34,190 --> 00:00:36,140 kiasi na sio kwenye asili 14 00:00:36,140 --> 00:00:36,920 kama ifuatavyo. 15 00:00:36,920 --> 00:00:40,780 Hivyo, njia mojawapo ya kuondoa namba kwenye asili ni hivi, kama 16 00:00:40,780 --> 00:00:45,560 tunazidisha pande zote za huu mlinganyo kwa x, unaona 17 00:00:45,560 --> 00:00:47,460 kwenye huu upande wa kushoto wa mlinganyo hizi 18 00:00:47,460 --> 00:00:48,900 x mbili zitaisha. 19 00:00:48,900 --> 00:00:52,160 Na upande wa kulia, utapata 5 mara x. 20 00:00:52,160 --> 00:00:56,920 Hivyo hii ni sawa na -- x mbili zinaisha. 21 00:00:56,920 --> 00:01:00,890 na unapata 3 ni sawa na 5x. 22 00:01:00,890 --> 00:01:05,420 Tunaweza kuiandika hivi, 5x ni sawa na 3. 23 00:01:05,420 --> 00:01:07,810 Kisha tunachagua njia ya kufanya kati ya hizi mbili. 24 00:01:07,810 --> 00:01:12,210 Tunaweza kuzidisha pande zote kwa 1/5, au unaweza 25 00:01:12,210 --> 00:01:14,230 kugawanya kwa 5. 26 00:01:14,230 --> 00:01:16,490 Kama ukizidisha pande zote kwa 1/5. 27 00:01:16,490 --> 00:01:18,680 Upande wa kushoto unabakia na x. 28 00:01:18,680 --> 00:01:23,740 Na upande wa kulia ni, 3 mara 1/5, ni sawa na 3/5. 29 00:01:23,740 --> 00:01:24,640 Nini tulichokifanya hapa? 30 00:01:24,640 --> 00:01:26,860 Hii inaturudisha kwenye swali la hatua 31 00:01:26,860 --> 00:01:28,670 ya pili, au swali la hatua ya kwanza, 32 00:01:28,670 --> 00:01:29,480 napitia kwa haraka. 33 00:01:29,480 --> 00:01:31,990 Tulichokifanya nikuzidisha pande zote za huu 34 00:01:31,990 --> 00:01:33,260 mlinganyo kwa x. 35 00:01:33,260 --> 00:01:35,460 Na tukaitoa x kwenye asili. 36 00:01:35,460 --> 00:01:36,360 Hebu tufanye swali lingine. 37 00:01:36,360 --> 00:01:41,110 38 00:01:41,110 --> 00:01:53,530 Tuchukulie tuna, x jumlisha 2 juu ya x jumlisha 1 ni 39 00:01:53,530 --> 00:01:58,800 sawa na 7. 40 00:01:58,800 --> 00:02:00,790 Hapa, badala ya kuwa na x kwenye asili, 41 00:02:00,790 --> 00:02:02,920 tuna x jumlisha 1 kwenye asili. 42 00:02:02,920 --> 00:02:05,000 Lakini tutafanya kwa njia ileile. 43 00:02:05,000 --> 00:02:09,170 Ili kuondoa x jumlisha 1 kwenye asili, tunazidisha pande 44 00:02:09,170 --> 00:02:15,450 zote za huu mlinganyo mara x jumlisha 1 juu ya 1 mara huu upande. 45 00:02:15,450 --> 00:02:17,010 Kwa kuwa tumefanya hivyo upande wa kushoto pia tuna 46 00:02:17,010 --> 00:02:19,640 fanya hivyo upande wa kulia, na hii ni 7/1, 47 00:02:19,640 --> 00:02:24,420 mara x jumlisha 1 juu ya 1. 48 00:02:24,420 --> 00:02:27,720 Kwenye upande wa kushoto, x jumlisha 1 zinaisha. 49 00:02:27,720 --> 00:02:31,110 Na unabakiwa na x jumlisha 2. 50 00:02:31,110 --> 00:02:33,300 Juu ya 1, lakini tunaiacha 1. 51 00:02:33,300 --> 00:02:39,260 Hii ni sawa na 7 mara x jumlisha 1. 52 00:02:39,260 --> 00:02:41,930 Hiyo ni sawa na x jumlisha 2. 53 00:02:41,930 --> 00:02:45,720 Kumbuka, 7 mara kitu kizima, x jumlisha 1. 54 00:02:45,720 --> 00:02:47,790 Hivyo tunatakiwa tufungua mabano. 55 00:02:47,790 --> 00:02:54,400 Na hii ni sawa na 7x jumlisha 7. 56 00:02:54,400 --> 00:02:57,200 Hii inaturudisha kwenye mlinganyo 57 00:02:57,200 --> 00:02:58,790 hatua ya tatu. 58 00:02:58,790 --> 00:03:02,050 Tunachokifanya sasa, tunaweka x zote 59 00:03:02,050 --> 00:03:02,965 upande mmoja wa mlinganyo. 60 00:03:02,965 --> 00:03:05,570 Kisha tunaweka namba kamili, ambazo ni 2 na 7, kwenye 61 00:03:05,570 --> 00:03:07,100 upande mwingine wa mlinganyo 62 00:03:07,100 --> 00:03:08,890 Hivyo naamua kuweka x upande wa kushoto. 63 00:03:08,890 --> 00:03:10,990 Hivyo tunaileta 7x kwenye upande wa kushoto. 64 00:03:10,990 --> 00:03:14,450 Na tunafanya hivyo kwa kutoa 7x pande zote. 65 00:03:14,450 --> 00:03:19,440 Toa 7x, toa 7x. 66 00:03:19,440 --> 00:03:22,800 Upande wa kulia, hizi 7x mbili zinaisha. 67 00:03:22,800 --> 00:03:26,410 Na upande wa kushoto tuna hasi 7x jumlisha x. 68 00:03:26,410 --> 00:03:32,840 Vizuri, hii ni hasi 6x jumlisha 2 ni sawa na, 69 00:03:32,840 --> 00:03:35,080 kulia tumebakiwa na 7. 70 00:03:35,080 --> 00:03:36,470 Hivyo tunataka kuondoa hii 2. 71 00:03:36,470 --> 00:03:41,360 Na tunfanya hivyo kwa kutoa 2 pande zote. 72 00:03:41,360 --> 00:03:48,000 Na tutabakiwa na hasi 6x ni sawa na 5. 73 00:03:48,000 --> 00:03:49,220 Hili ni swali la kwenye hatua ya kwanza. 74 00:03:49,220 --> 00:03:52,410 Tunatakiwa tuzidishe pande zote mara kinyume katika kuzidisha 75 00:03:52,410 --> 00:03:54,200 kizidishi upande wa kushoto. 76 00:03:54,200 --> 00:03:56,150 Na kizidishi ni hasi 6. 77 00:03:56,150 --> 00:03:59,620 Hivyo tunazidisha pande zote za mlinganyo kwa hasi 1/6. 78 00:03:59,620 --> 00:04:02,540 79 00:04:02,540 --> 00:04:05,610 Hasi 1/6. 80 00:04:05,610 --> 00:04:08,890 Upande wa kushoto, hasi 1 juu ya 6 mara hasi 6. 81 00:04:08,890 --> 00:04:10,190 Ni sawa na 1, 82 00:04:10,190 --> 00:04:16,130 Tumepata x ni sawa na 5 mara hasi 1/6. 83 00:04:16,130 --> 00:04:19,250 Hii ni hasi 5/6. 84 00:04:19,250 --> 00:04:22,270 85 00:04:22,270 --> 00:04:23,210 Na tumemaliza. 86 00:04:23,210 --> 00:04:25,710 Na kama unataka kuhakikisha, utachukua hii x 87 00:04:25,710 --> 00:04:28,950 sawa na hasi 5/6 na kuiweka kwenye swali letu la awali 88 00:04:28,950 --> 00:04:30,580 kuthibitisha jibu. 89 00:04:30,580 --> 00:04:31,340 Tufanye swali lingine. 90 00:04:31,340 --> 00:04:34,610 91 00:04:34,610 --> 00:04:37,940 Naandika kwa hapa juu. 92 00:04:37,940 --> 00:04:40,020 Tuchukulie. 93 00:04:40,020 --> 00:04:51,010 3 mara x jumlisha 5 ni sawa na 8 mara x jumlisha 2. 94 00:04:51,010 --> 00:04:52,740 Tunafanya kitu kilekile hapa. 95 00:04:52,740 --> 00:04:55,950 Ingawa tuna milinganyo miwili, tunayohitaji kuiondoa 96 00:04:55,950 --> 00:04:56,680 kwenye asili. 97 00:04:56,680 --> 00:04:58,870 Tunataka kuondoa x jumlisha 5 pia tunataka kuondoa 98 00:04:58,870 --> 00:05:00,010 x jumlisha 2. 99 00:05:00,010 --> 00:05:01,670 Tuondoe x jumlisha 5 kwanza. 100 00:05:01,670 --> 00:05:03,640 Vizuri, kama tulivyofanya awali, tunazidisha pande zote 101 00:05:03,640 --> 00:05:05,570 za huu mlinganyo kwa x jumlisha 5. 102 00:05:05,570 --> 00:05:07,630 Unaweza kusema x jumlisha 5 juu ya 1. 103 00:05:07,630 --> 00:05:12,680 Mara x jumlisha 5 juu ya 1. 104 00:05:12,680 --> 00:05:15,080 Upande wa kushoto, zinaisha. 105 00:05:15,080 --> 00:05:24,230 Hivyo tunabakiwa na 3 ni sawa na 8 mara x jumlisha tano. 106 00:05:24,230 --> 00:05:28,770 juu ya x jumlisha 2. 107 00:05:28,770 --> 00:05:31,820 Sasa, tunarahisisha, kwa mara nyingine 108 00:05:31,820 --> 00:05:34,420 tunazidisha 8 mara mlinganyo wote. 109 00:05:34,420 --> 00:05:41,860 Hivyo ni 8x jumlisha 40 juu ya x jumlisha 2. 110 00:05:41,860 --> 00:05:43,500 Sasa, tunataka kuondoa x jumlisha 2. 111 00:05:43,500 --> 00:05:44,510 Hivyo tutafanya njia ileile. 112 00:05:44,510 --> 00:05:46,505 Tunazidisha pande zote za mlinganyo kwa 113 00:05:46,505 --> 00:05:50,904 x jumlisha 2 juu ya 1. 114 00:05:50,904 --> 00:05:52,580 x jumlisha 2. 115 00:05:52,580 --> 00:05:53,690 Tunaweza kusema tunazidisha 116 00:05:53,690 --> 00:05:54,420 pande zote kwa x jumlisha 2. 117 00:05:54,420 --> 00:05:56,630 Hii 1 ni sio ya lazima. 118 00:05:56,630 --> 00:06:02,910 Hivyo upande wa kushoto unakuwa 3x jumlisha 6. 119 00:06:02,910 --> 00:06:05,070 Kumbuka kuzidisha mara 3 kote, kwa sababu 120 00:06:05,070 --> 00:06:07,030 unaizidisha kwa mlinganyo wote. 121 00:06:07,030 --> 00:06:08,540 x jumlisha 2. 122 00:06:08,540 --> 00:06:09,860 Kwenye upande wa kulia. 123 00:06:09,860 --> 00:06:13,620 Hii x jumlisha 2 na hii x jumlisha 2 zinaisha. 124 00:06:13,620 --> 00:06:16,380 Tunabakiwa na 8x jumlisha 40. 125 00:06:16,380 --> 00:06:19,340 Na hii ni swali la hatua ya tatu. 126 00:06:19,340 --> 00:06:25,380 Kama tunatoa 8x pande zote, hasi 8x, jumlisha 127 00:06:25,380 --> 00:06:26,970 nafikiri nimemaliza nafasi. 128 00:06:26,970 --> 00:06:28,470 Toa 8x. 129 00:06:28,470 --> 00:06:31,290 Kwenye upande wa kulia 8x zinaisha. 130 00:06:31,290 --> 00:06:38,620 Kwenye upande wa kushoto tuna hasi 5x jumlisha 6 ni sawa 131 00:06:38,620 --> 00:06:42,320 na, kwenye upande wa kulia tumebakiwa na 40. 132 00:06:42,320 --> 00:06:45,380 Sasa tunatoa 6 kwenye pande zote za mlinganyo. 133 00:06:45,380 --> 00:06:46,380 Naandika hapa. 134 00:06:46,380 --> 00:06:49,510 Toa 6 jumlisha toa 6. 135 00:06:49,510 --> 00:06:51,470 Natumaini mmenielewa 136 00:06:51,470 --> 00:06:53,160 mpaka hapa. 137 00:06:53,160 --> 00:06:55,720 138 00:06:55,720 --> 00:06:58,410 Tukitoa kwa hasi 6 pande zote, upande wa kushoto 139 00:06:58,410 --> 00:07:05,280 tumebakiwa na hasi 5x sawa na kwenye 140 00:07:05,280 --> 00:07:08,780 upande wa kulia tuna 34. 141 00:07:08,780 --> 00:07:09,880 Hili ni swali la kwenye hatua ya kwanza. 142 00:07:09,880 --> 00:07:12,780 Tunazidisha pande zote mara hasi 1/5. 143 00:07:12,780 --> 00:07:16,510 144 00:07:16,510 --> 00:07:18,360 Hasi 1/5. 145 00:07:18,360 --> 00:07:21,130 Kwenye upande wa kushoto tuna x. 146 00:07:21,130 --> 00:07:27,130 Na kwenye upande wa kulia tuna hasi 34/5. 147 00:07:27,130 --> 00:07:29,640 Huenda kuna makosa madogomadogo, lakini natumai nipo sahihi. 148 00:07:29,640 --> 00:07:33,190 Natumai kama umeelewa tulichofanya hapa, basi 149 00:07:33,190 --> 00:07:36,780 upo tayari kufanya maswali ya milinganyo ya hatua ya nne. 150 00:07:36,780 --> 00:07:38,290 Uwe na furaha. 151 00:07:38,290 --> 00:07:38,790