0:00:00.000,0:00:01.230 0:00:01.230,0:00:04.280 Karibu kwenye kipindi cha milinganyo hatua ya nne. 0:00:04.280,0:00:06.540 Hebu tufanye baadhi ya maswali. 0:00:06.540,0:00:06.710 Hivyo. 0:00:06.710,0:00:09.580 Tuchukulie nina-- ngoja nikupe baadhi ya 0:00:09.580,0:00:20.110 maswali-- kama nikisema 3 juu ya x ni sawa na 5. 0:00:20.110,0:00:23.180 Hivyo, tunachotaka kufanya--hili swali ni tofauti na 0:00:23.180,0:00:24.260 yale tulioyaona. 0:00:24.260,0:00:26.950 Kwa sababu hapa, badala ya kuwa na x kwenye kiasi, tuna 0:00:26.950,0:00:28.150 x kwenye asili. 0:00:28.150,0:00:31.270 Hivyo, sihitaji kuwa na x kwenye asili, 0:00:31.270,0:00:34.190 tunahitaji kuitoa kwenye asili na kuwa kwenye 0:00:34.190,0:00:36.140 kiasi na sio kwenye asili 0:00:36.140,0:00:36.920 kama ifuatavyo. 0:00:36.920,0:00:40.780 Hivyo, njia mojawapo ya kuondoa namba kwenye asili ni hivi, kama 0:00:40.780,0:00:45.560 tunazidisha pande zote za huu mlinganyo kwa x, unaona 0:00:45.560,0:00:47.460 kwenye huu upande wa kushoto wa mlinganyo hizi 0:00:47.460,0:00:48.900 x mbili zitaisha. 0:00:48.900,0:00:52.160 Na upande wa kulia, utapata 5 mara x. 0:00:52.160,0:00:56.920 Hivyo hii ni sawa na -- x mbili zinaisha. 0:00:56.920,0:01:00.890 na unapata 3 ni sawa na 5x. 0:01:00.890,0:01:05.420 Tunaweza kuiandika hivi, 5x ni sawa na 3. 0:01:05.420,0:01:07.810 Kisha tunachagua njia ya kufanya kati ya hizi mbili. 0:01:07.810,0:01:12.210 Tunaweza kuzidisha pande zote kwa 1/5, au unaweza 0:01:12.210,0:01:14.230 kugawanya kwa 5. 0:01:14.230,0:01:16.490 Kama ukizidisha pande zote kwa 1/5. 0:01:16.490,0:01:18.680 Upande wa kushoto unabakia na x. 0:01:18.680,0:01:23.740 Na upande wa kulia ni, 3 mara 1/5, ni sawa na 3/5. 0:01:23.740,0:01:24.640 Nini tulichokifanya hapa? 0:01:24.640,0:01:26.860 Hii inaturudisha kwenye swali la hatua 0:01:26.860,0:01:28.670 ya pili, au swali la hatua ya kwanza, 0:01:28.670,0:01:29.480 napitia kwa haraka. 0:01:29.480,0:01:31.990 Tulichokifanya nikuzidisha pande zote za huu 0:01:31.990,0:01:33.260 mlinganyo kwa x. 0:01:33.260,0:01:35.460 Na tukaitoa x kwenye asili. 0:01:35.460,0:01:36.360 Hebu tufanye swali lingine. 0:01:36.360,0:01:41.110 0:01:41.110,0:01:53.530 Tuchukulie tuna, x jumlisha 2 juu ya x jumlisha 1 ni 0:01:53.530,0:01:58.800 sawa na 7. 0:01:58.800,0:02:00.790 Hapa, badala ya kuwa na x kwenye asili, 0:02:00.790,0:02:02.920 tuna x jumlisha 1 kwenye asili. 0:02:02.920,0:02:05.000 Lakini tutafanya kwa njia ileile. 0:02:05.000,0:02:09.170 Ili kuondoa x jumlisha 1 kwenye asili, tunazidisha pande 0:02:09.170,0:02:15.450 zote za huu mlinganyo mara x jumlisha 1 juu ya 1 mara huu upande. 0:02:15.450,0:02:17.010 Kwa kuwa tumefanya hivyo upande wa kushoto pia tuna 0:02:17.010,0:02:19.640 fanya hivyo upande wa kulia, na hii ni 7/1, 0:02:19.640,0:02:24.420 mara x jumlisha 1 juu ya 1. 0:02:24.420,0:02:27.720 Kwenye upande wa kushoto, x jumlisha 1 zinaisha. 0:02:27.720,0:02:31.110 Na unabakiwa na x jumlisha 2. 0:02:31.110,0:02:33.300 Juu ya 1, lakini tunaiacha 1. 0:02:33.300,0:02:39.260 Hii ni sawa na 7 mara x jumlisha 1. 0:02:39.260,0:02:41.930 Hiyo ni sawa na x jumlisha 2. 0:02:41.930,0:02:45.720 Kumbuka, 7 mara kitu kizima, x jumlisha 1. 0:02:45.720,0:02:47.790 Hivyo tunatakiwa tufungua mabano. 0:02:47.790,0:02:54.400 Na hii ni sawa na 7x jumlisha 7. 0:02:54.400,0:02:57.200 Hii inaturudisha kwenye mlinganyo 0:02:57.200,0:02:58.790 hatua ya tatu. 0:02:58.790,0:03:02.050 Tunachokifanya sasa, tunaweka x zote 0:03:02.050,0:03:02.965 upande mmoja wa mlinganyo. 0:03:02.965,0:03:05.570 Kisha tunaweka namba kamili, ambazo ni 2 na 7, kwenye 0:03:05.570,0:03:07.100 upande mwingine wa mlinganyo 0:03:07.100,0:03:08.890 Hivyo naamua kuweka x upande wa kushoto. 0:03:08.890,0:03:10.990 Hivyo tunaileta 7x kwenye upande wa kushoto. 0:03:10.990,0:03:14.450 Na tunafanya hivyo kwa kutoa 7x pande zote. 0:03:14.450,0:03:19.440 Toa 7x, toa 7x. 0:03:19.440,0:03:22.800 Upande wa kulia, hizi 7x mbili zinaisha. 0:03:22.800,0:03:26.410 Na upande wa kushoto tuna hasi 7x jumlisha x. 0:03:26.410,0:03:32.840 Vizuri, hii ni hasi 6x jumlisha 2 ni sawa na, 0:03:32.840,0:03:35.080 kulia tumebakiwa na 7. 0:03:35.080,0:03:36.470 Hivyo tunataka kuondoa hii 2. 0:03:36.470,0:03:41.360 Na tunfanya hivyo kwa kutoa 2 pande zote. 0:03:41.360,0:03:48.000 Na tutabakiwa na hasi 6x ni sawa na 5. 0:03:48.000,0:03:49.220 Hili ni swali la kwenye hatua ya kwanza. 0:03:49.220,0:03:52.410 Tunatakiwa tuzidishe pande zote mara kinyume katika kuzidisha 0:03:52.410,0:03:54.200 kizidishi upande wa kushoto. 0:03:54.200,0:03:56.150 Na kizidishi ni hasi 6. 0:03:56.150,0:03:59.620 Hivyo tunazidisha pande zote za mlinganyo kwa hasi 1/6. 0:03:59.620,0:04:02.540 0:04:02.540,0:04:05.610 Hasi 1/6. 0:04:05.610,0:04:08.890 Upande wa kushoto, hasi 1 juu ya 6 mara hasi 6. 0:04:08.890,0:04:10.190 Ni sawa na 1, 0:04:10.190,0:04:16.130 Tumepata x ni sawa na 5 mara hasi 1/6. 0:04:16.130,0:04:19.250 Hii ni hasi 5/6. 0:04:19.250,0:04:22.270 0:04:22.270,0:04:23.210 Na tumemaliza. 0:04:23.210,0:04:25.710 Na kama unataka kuhakikisha, utachukua hii x 0:04:25.710,0:04:28.950 sawa na hasi 5/6 na kuiweka kwenye swali letu la awali 0:04:28.950,0:04:30.580 kuthibitisha jibu. 0:04:30.580,0:04:31.340 Tufanye swali lingine. 0:04:31.340,0:04:34.610 0:04:34.610,0:04:37.940 Naandika kwa hapa juu. 0:04:37.940,0:04:40.020 Tuchukulie. 0:04:40.020,0:04:51.010 3 mara x jumlisha 5 ni sawa na 8 mara x jumlisha 2. 0:04:51.010,0:04:52.740 Tunafanya kitu kilekile hapa. 0:04:52.740,0:04:55.950 Ingawa tuna milinganyo miwili, tunayohitaji kuiondoa 0:04:55.950,0:04:56.680 kwenye asili. 0:04:56.680,0:04:58.870 Tunataka kuondoa x jumlisha 5 pia tunataka kuondoa 0:04:58.870,0:05:00.010 x jumlisha 2. 0:05:00.010,0:05:01.670 Tuondoe x jumlisha 5 kwanza. 0:05:01.670,0:05:03.640 Vizuri, kama tulivyofanya awali, tunazidisha pande zote 0:05:03.640,0:05:05.570 za huu mlinganyo kwa x jumlisha 5. 0:05:05.570,0:05:07.630 Unaweza kusema x jumlisha 5 juu ya 1. 0:05:07.630,0:05:12.680 Mara x jumlisha 5 juu ya 1. 0:05:12.680,0:05:15.080 Upande wa kushoto, zinaisha. 0:05:15.080,0:05:24.230 Hivyo tunabakiwa na 3 ni sawa na 8 mara x jumlisha tano. 0:05:24.230,0:05:28.770 juu ya x jumlisha 2. 0:05:28.770,0:05:31.820 Sasa, tunarahisisha, kwa mara nyingine 0:05:31.820,0:05:34.420 tunazidisha 8 mara mlinganyo wote. 0:05:34.420,0:05:41.860 Hivyo ni 8x jumlisha 40 juu ya x jumlisha 2. 0:05:41.860,0:05:43.500 Sasa, tunataka kuondoa x jumlisha 2. 0:05:43.500,0:05:44.510 Hivyo tutafanya njia ileile. 0:05:44.510,0:05:46.505 Tunazidisha pande zote za mlinganyo kwa 0:05:46.505,0:05:50.904 x jumlisha 2 juu ya 1. 0:05:50.904,0:05:52.580 x jumlisha 2. 0:05:52.580,0:05:53.690 Tunaweza kusema tunazidisha 0:05:53.690,0:05:54.420 pande zote kwa x jumlisha 2. 0:05:54.420,0:05:56.630 Hii 1 ni sio ya lazima. 0:05:56.630,0:06:02.910 Hivyo upande wa kushoto unakuwa 3x jumlisha 6. 0:06:02.910,0:06:05.070 Kumbuka kuzidisha mara 3 kote, kwa sababu 0:06:05.070,0:06:07.030 unaizidisha kwa mlinganyo wote. 0:06:07.030,0:06:08.540 x jumlisha 2. 0:06:08.540,0:06:09.860 Kwenye upande wa kulia. 0:06:09.860,0:06:13.620 Hii x jumlisha 2 na hii x jumlisha 2 zinaisha. 0:06:13.620,0:06:16.380 Tunabakiwa na 8x jumlisha 40. 0:06:16.380,0:06:19.340 Na hii ni swali la hatua ya tatu. 0:06:19.340,0:06:25.380 Kama tunatoa 8x pande zote, hasi 8x, jumlisha 0:06:25.380,0:06:26.970 nafikiri nimemaliza nafasi. 0:06:26.970,0:06:28.470 Toa 8x. 0:06:28.470,0:06:31.290 Kwenye upande wa kulia 8x zinaisha. 0:06:31.290,0:06:38.620 Kwenye upande wa kushoto tuna hasi 5x jumlisha 6 ni sawa 0:06:38.620,0:06:42.320 na, kwenye upande wa kulia tumebakiwa na 40. 0:06:42.320,0:06:45.380 Sasa tunatoa 6 kwenye pande zote za mlinganyo. 0:06:45.380,0:06:46.380 Naandika hapa. 0:06:46.380,0:06:49.510 Toa 6 jumlisha toa 6. 0:06:49.510,0:06:51.470 Natumaini mmenielewa 0:06:51.470,0:06:53.160 mpaka hapa. 0:06:53.160,0:06:55.720 0:06:55.720,0:06:58.410 Tukitoa kwa hasi 6 pande zote, upande wa kushoto 0:06:58.410,0:07:05.280 tumebakiwa na hasi 5x sawa na kwenye 0:07:05.280,0:07:08.780 upande wa kulia tuna 34. 0:07:08.780,0:07:09.880 Hili ni swali la kwenye hatua ya kwanza. 0:07:09.880,0:07:12.780 Tunazidisha pande zote mara hasi 1/5. 0:07:12.780,0:07:16.510 0:07:16.510,0:07:18.360 Hasi 1/5. 0:07:18.360,0:07:21.130 Kwenye upande wa kushoto tuna x. 0:07:21.130,0:07:27.130 Na kwenye upande wa kulia tuna hasi 34/5. 0:07:27.130,0:07:29.640 Huenda kuna makosa madogomadogo, lakini natumai nipo sahihi. 0:07:29.640,0:07:33.190 Natumai kama umeelewa tulichofanya hapa, basi 0:07:33.190,0:07:36.780 upo tayari kufanya maswali ya milinganyo ya hatua ya nne. 0:07:36.780,0:07:38.290 Uwe na furaha. 0:07:38.290,0:07:38.790