WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:07.960 Kwa Jina Kuu la Yesu Kristo! 00:00:07.960 --> 00:00:15.360 Pona kwa Jina La Yesu 00:00:15.360 --> 00:00:21.560 Kila Roho isiyo ya Mungu , Toka kwa jina La Yesu! 00:00:21.560 --> 00:00:24.640 Toka sasa! 00:00:24.640 --> 00:00:30.800 Yesu Kristo , tunakuomba nguvu zako za uponyaji gusa kila mahali palipo haribika . 00:00:30.800 --> 00:00:41.720 Mahali popote viungo vilipoharibika ! nasema anza kufanya kazi sasa! 00:00:41.720 --> 00:00:49.480 Kwa Jina la Yesu Kristo 00:00:49.480 --> 00:00:59.840 Sasa, roho mchafu , nasema toka kwa jina La Yesu Kristo! 00:00:59.840 --> 00:01:08.040 Asante Yesu , kwa uhuru. 00:01:08.040 --> 00:01:11.960 Kwa Kuu Jina La Yesu . 00:01:11.960 --> 00:01:17.360 sasa mku huru . Kaka nataka ujiangalie . 00:01:17.360 --> 00:01:20.960 Roho wa Mungu amegusa sehemu ya mwili iliyo kua na maumivu . 00:01:20.960 --> 00:01:24.800 Jiangalie na ufurahie . furahia utukufu wa Mungu 00:01:24.800 --> 00:01:29.120 Dada yetu , Mungu amekukomboa na kumweka mume wako huru 00:01:29.120 --> 00:01:35.680 Unaweza amka na kufurahia sasa, uko huru kwa jina la Yesu. 00:01:37.080 --> 00:01:42.920 Tafadhali tuambie nchi uliyotokea , na mtu aliye keti kando yako 00:01:42.920 --> 00:01:51.320 Jina langu ni Shadreck: Mwanamke alikaa kando yangu ni mke wangu mpendwa , Naomi . Tunatokea Zambia. 00:01:51.320 --> 00:01:56.400 Yote yalianza miaka sita iliyopita , nilipokua kazini (kwenye chimbo chini ya ardhi) 00:01:56.400 --> 00:02:00.560 kwa sababu taaluma yangu ni ukarabati wa vifaa vizito, 00:02:00.560 --> 00:02:03.560 maana yake natengeneza mashine za kazi nzito. 00:02:03.560 --> 00:02:09.400 Nilipokua nafanya kazi ndani ya chimbo hilo , kwa ghafla nikasikia uchungu mkali mno. 00:02:09.400 --> 00:02:15.200 kutokea bega langu la kushoto kwenda chini kwenye mguu wangu wa kushoto 00:02:15.200 --> 00:02:21.880 Sikuweza kutembea - nikaviangusha chini vifaa vya kazi 00:02:21.880 --> 00:02:24.680 sababu sikuweza kufanya kitu chochote wakati huo 00:02:24.680 --> 00:02:30.080 Huo ulikua mwanzo wa zamu yangu kazini , nilitakiwa kufanya kazi kwa mda wa masaa nane. 00:02:30.080 --> 00:02:34.280 Hayo yalitokea dakika chache baada ya kuanza zamu yangu kazini 00:02:34.280 --> 00:02:40.640 Ilinilazimu kukaa chini na sikuweza kufanya kitu chochote mpaka masaa yangu ya zamu kazini yakaisha, 00:02:40.640 --> 00:02:46.440 Nilitarajia kua labda uchungu huo ulikua tu mojawapo ya vitu vya kupita. 00:02:46.440 --> 00:02:49.680 Siku iliyofuata , uchungu ulikua bado upo. 00:02:49.680 --> 00:02:53.640 Nilienda hospitalini wakanipa dawa ya maumivi (Vituliza maumivu ) 00:02:53.640 --> 00:03:00.640 Baada ya siku tatu nilidhani labda maumivu yangetoweka, lakini ndipo yalipozidi kuwa makali, 00:03:00.640 --> 00:03:06.280 Singeweza hata kutembea - kutembea ilikua tatizo hata kuinama sikuweza. 00:03:06.280 --> 00:03:10.360 Hata kulala- nilikua sina raha. 00:03:10.360 --> 00:03:14.520 Singeweza kuchukua chochote sakafuni , hata kama kingekua kidogo kama chupa. 00:03:14.520 --> 00:03:19.160 Kingeanguka sakafuni, ningeomba mtu mwingine kunichukulia. 00:03:19.160 --> 00:03:25.640 NIlipokua nikioga , ilinilazimu kuketia stuli (Kigoda) sababu ilikua vigumu kwangu kuinama. 00:03:25.640 --> 00:03:32.160 Hali ilikua mbaya , huku nikitafuta matibabu ya kiafya kwa miaka mbili. 00:03:32.160 --> 00:03:37.000 Nilikua mara kwa mara nikienda Hospitalini kuona wauguzi 00:03:37.000 --> 00:03:49.640 Tabibu wa kwanza aliniambia aliona kukunjika kwa uti wa mgongo kusiko kua kwa kawaida. 00:03:49.640 --> 00:03:52.640 Yeye ndiye aliye gundua ulemavu huo wa uti wa mgongo(Skoliosisi) 00:03:52.640 --> 00:03:58.640 Sikuweza kufanya chochote kazini na karibu nipoteze kazi. 00:03:58.640 --> 00:04:01.320 Sababu singeweza kufanya chochote sikua nasaidia katika uzalishaji kazini 00:04:01.320 --> 00:04:09.400 Ilinibiddi nihamishwe kutoka idara yangu kwenda idara ingine 00:04:09.400 --> 00:04:15.920 Nilipofika idara yangu mpya hawakujua kamwe kwamba nilikuwa nikikabili tatizo hilo zito. 00:04:15.920 --> 00:04:19.480 Waliona tu nikienda hospitalini. 00:04:19.480 --> 00:04:22.480 Kila mara , sababu niliwekwa chini ya matibabu. 00:04:22.480 --> 00:04:29.400 Niliwekwa chini ya matibabu ya mifupa ya mwili , ikanilazimu kwenda kwa matibabu mara tatu kwa wiki. 00:04:29.400 --> 00:04:34.880 Hata kama walinifanyia hayo yote sikupata nafuu. 00:04:34.880 --> 00:04:39.680 Sababu saa zingine singeweza kutembea hata mita mia moja 00:04:39.680 --> 00:04:43.800 Ningetembea mita mia moja , ingenilazimu kuketi chini nipumzike. 00:04:43.800 --> 00:04:52.880 Nililazimika kutumwa kwa picha ya MRI kuona picha kamili ya shida hiyo 00:04:52.880 --> 00:05:05.280 Kwa Picha hiyo ya MRI ilionesha uti wa mgongo upande wa chini ulikunjika visivyo. 00:05:05.280 --> 00:05:15.600 Hii ndiyo repoti ya hospitalini niliyopewa. 00:05:15.600 --> 00:05:23.280 Ripoti hii nilipewa Sinozam Friendship Hospital na inasema report ya MRI 00:05:23.280 --> 00:05:30.640 Jina langu na miaka iko hapo . inaonesha utafiti uliofanywa. 00:05:30.640 --> 00:05:36.760 Ambayo ni MRI ya uti wa mgongo upande wa chini . 00:05:36.760 --> 00:05:42.760 Hii ndiyo repoti iliyo kuja na haikua ya kuridhisha. 00:05:42.760 --> 00:05:49.640 'Taswira: Uharibifu mdogo wa uti wa mgongo wa L2', 00:05:49.640 --> 00:05:56.080 ikimaanisha kuwa kulikuwa na hali isiyo ya kawaida kwenye sehemu ya chini ya mgongo wangu. 00:05:56.080 --> 00:06:02.760 Hii shida ilisababisha shida nyingi , nilifikiria iwapo nikipoteza kazi 00:06:02.760 --> 00:06:09.360 Singeweza kufanya lolote , hata kutafuta kazi kwingine. 00:06:09.360 --> 00:06:16.400 Hali ilikua mbaya ilinibidi nitafute suluhisho mbadala. 00:06:16.400 --> 00:06:25.120 Nikiwa katika mchakato huu, nilikutana na Huduma ya Maombi ya God's Heart TV. 00:06:25.120 --> 00:06:31.320 Nilitaka kujua nitakavyo weza kua miongoni mwa watu wapokeao maombi. 00:06:31.320 --> 00:06:34.760 Nilingundua kua baada ya kuwasilisha ombi langu la kupokea maombi , nilipokea mwaliko. 00:06:34.760 --> 00:06:42.400 Nilitumia mwaliko huo kujiunga na ibada ya maombi tarehe 24th mwezi wa tisa 2023 00:06:42.400 --> 00:06:46.600 Kama mlivyo ona kwenye video fupi hapo awali nilipokua nikiombewa. 00:06:46.600 --> 00:06:53.360 Alipokua anatuombea Ndugu Chris sikusikia chochote wakati huo 00:06:53.360 --> 00:06:59.880 lakini niligundua kuwa mke wangu alikuwa ameanguka sakafuni na niliombwa nimsimamishe. 00:06:59.880 --> 00:07:03.600 Kisha mtu wa Mungu akatuombea. Aliniomba nifanye mazoezi mwenyewe, 00:07:03.600 --> 00:07:07.640 Nilikua mwoga kwa mara ya kwanza sababu sikusikia kitu ama kujua 00:07:07.640 --> 00:07:11.880 Kua kitu cha tofauti kimetendeka mwilini mwangu 00:07:11.880 --> 00:07:17.200 Nikajarubu kuinama na kufanya mazoezi na sikusikia uchungu 00:07:17.200 --> 00:07:22.560 Lakini hiyo haikutosha , nilipopokea maombi niligundua kua 00:07:22.560 --> 00:07:28.960 Kusumbuka na uchungu wote ulikua umeisha 00:07:28.960 --> 00:07:33.880 Niliweza kuketi , kufanya mazoezi , kukimbia na kuinama 00:07:33.880 --> 00:07:40.200 Usiku huo nililala kama mtoto, nilipoamka nilijiskia huru. 00:07:40.200 --> 00:07:55.160 Naweza kuinua mikono, kuinama , kufanya mazoezi , kuchukua kitu sakafuni 00:07:55.160 --> 00:08:01.560 Niko huru kabisa - hakuna chochote kinachozuia harakati zangu za mwili kwa sasa. 00:08:01.560 --> 00:08:07.680 Jina langu ni Naomi , natoka Zambia 00:08:07.680 --> 00:08:16.040 Shida nilio kua nayo kabla ya kupokea maombi kutoka kwa Ndugu Chris. 00:08:16.040 --> 00:08:22.680 Nilikua na uchungu mwilini wote , nilihisi uchungu siku zote. 00:08:22.680 --> 00:08:33.000 Kichwa kuuma , mabega kuuma na ndoto mbaya 00:08:33.000 --> 00:08:41.200 Wakati wa ibada ya maombi , mtu wa mungu alituombea. 00:08:41.200 --> 00:08:46.640 Aliniwekelea mkono na nikajipata sakafuni. 00:08:46.640 --> 00:08:52.320 Tangu wakati huo, maumivu ambayo nilikuwa nikisikia hayakuwepo tena. 00:08:52.320 --> 00:09:00.640 Nimekombolewa kutoka kwenye maumivu na ndoto mbaya; ndoto mbaya nilizokuwa nazo zimetoweka! 00:09:00.640 --> 00:09:06.920 Namshukuru huyu Yesu ameniweka huru na niko hapa kama ushuhuda ulio hai. 00:09:06.920 --> 00:09:18.240 Ushauri wangu kwa watazamaji ni kuja kwa Mungu na moyo safi, uliojaa imani. 00:09:18.240 --> 00:09:23.440 Mwamini Mungu, kwa sababu tunamtumikia Mungu aliye hai ambaye hashindwi kamwe. 00:09:23.440 --> 00:09:29.600 Unapokumbana na matatizo yoyote katika maisha yako, tafuta uso wa Mungu. 00:09:29.600 --> 00:09:39.000 Ushauri wangu kwa watazamaji wanaotazama ni kwamba umbali sio kikwazo. 00:09:39.000 --> 00:09:41.600 Sharti pekee linalohitajika ni kuamini tu. 00:09:41.600 --> 00:09:48.800 Ikiwa utaamini, leo masuala yako yote, shida na magonjwa yatakuwa jambo la zamani.