[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:07.96,Default,,0000,0000,0000,,Kwa Jina Kuu la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:00:07.96,0:00:15.36,Default,,0000,0000,0000,,Pona kwa Jina La Yesu Dialogue: 0,0:00:15.36,0:00:21.56,Default,,0000,0000,0000,,Kila Roho isiyo ya Mungu , Toka kwa jina La Yesu! Dialogue: 0,0:00:21.56,0:00:24.64,Default,,0000,0000,0000,,Toka sasa! Dialogue: 0,0:00:24.64,0:00:30.80,Default,,0000,0000,0000,,Yesu Kristo , tunakuomba nguvu zako za uponyaji gusa kila mahali palipo haribika . Dialogue: 0,0:00:30.80,0:00:41.72,Default,,0000,0000,0000,,Mahali popote viungo vilipoharibika ! nasema anza kufanya kazi sasa! Dialogue: 0,0:00:41.72,0:00:49.48,Default,,0000,0000,0000,,Kwa Jina la Yesu Kristo Dialogue: 0,0:00:49.48,0:00:59.84,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, roho mchafu , nasema toka kwa jina La Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:00:59.84,0:01:08.04,Default,,0000,0000,0000,,Asante Yesu , kwa uhuru. Dialogue: 0,0:01:08.04,0:01:11.96,Default,,0000,0000,0000,,Kwa Kuu Jina La Yesu . Dialogue: 0,0:01:11.96,0:01:17.36,Default,,0000,0000,0000,,sasa mku huru . Kaka nataka ujiangalie . Dialogue: 0,0:01:17.36,0:01:20.96,Default,,0000,0000,0000,,Roho wa Mungu amegusa sehemu ya mwili iliyo kua na maumivu . Dialogue: 0,0:01:20.96,0:01:24.80,Default,,0000,0000,0000,,Jiangalie na ufurahie . furahia utukufu wa Mungu Dialogue: 0,0:01:24.80,0:01:29.12,Default,,0000,0000,0000,,Dada yetu , Mungu amekukomboa na kumweka mume wako huru Dialogue: 0,0:01:29.12,0:01:35.68,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza amka na kufurahia sasa, uko huru kwa jina la Yesu. Dialogue: 0,0:01:37.08,0:01:42.92,Default,,0000,0000,0000,,Tafadhali tuambie nchi uliyotokea , na mtu aliye keti kando yako Dialogue: 0,0:01:42.92,0:01:51.32,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni Shadreck: Mwanamke alikaa kando yangu ni mke wangu mpendwa , Naomi . Tunatokea Zambia. Dialogue: 0,0:01:51.32,0:01:56.40,Default,,0000,0000,0000,,Yote yalianza miaka sita iliyopita , nilipokua kazini (kwenye chimbo chini ya ardhi) Dialogue: 0,0:01:56.40,0:02:00.56,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu taaluma yangu ni ukarabati wa vifaa vizito, Dialogue: 0,0:02:00.56,0:02:03.56,Default,,0000,0000,0000,,maana yake natengeneza mashine za kazi nzito. Dialogue: 0,0:02:03.56,0:02:09.40,Default,,0000,0000,0000,,Nilipokua nafanya kazi ndani ya chimbo hilo , kwa ghafla nikasikia uchungu mkali mno. Dialogue: 0,0:02:09.40,0:02:15.20,Default,,0000,0000,0000,,kutokea bega langu la kushoto kwenda chini kwenye mguu wangu wa kushoto Dialogue: 0,0:02:15.20,0:02:21.88,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kutembea - nikaviangusha chini vifaa vya kazi Dialogue: 0,0:02:21.88,0:02:24.68,Default,,0000,0000,0000,,sababu sikuweza kufanya kitu chochote wakati huo Dialogue: 0,0:02:24.68,0:02:30.08,Default,,0000,0000,0000,,Huo ulikua mwanzo wa zamu yangu kazini , nilitakiwa kufanya kazi kwa mda wa masaa nane. Dialogue: 0,0:02:30.08,0:02:34.28,Default,,0000,0000,0000,,Hayo yalitokea dakika chache baada ya kuanza zamu yangu kazini Dialogue: 0,0:02:34.28,0:02:40.64,Default,,0000,0000,0000,,Ilinilazimu kukaa chini na sikuweza kufanya kitu chochote mpaka masaa yangu ya zamu kazini yakaisha, Dialogue: 0,0:02:40.64,0:02:46.44,Default,,0000,0000,0000,,Nilitarajia kua labda uchungu huo ulikua tu mojawapo ya vitu vya kupita. Dialogue: 0,0:02:46.44,0:02:49.68,Default,,0000,0000,0000,,Siku iliyofuata , uchungu ulikua bado upo. Dialogue: 0,0:02:49.68,0:02:53.64,Default,,0000,0000,0000,,Nilienda hospitalini wakanipa dawa ya maumivi (Vituliza maumivu ) Dialogue: 0,0:02:53.64,0:03:00.64,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya siku tatu nilidhani labda maumivu yangetoweka, lakini ndipo yalipozidi kuwa makali, Dialogue: 0,0:03:00.64,0:03:06.28,Default,,0000,0000,0000,,Singeweza hata kutembea - kutembea ilikua tatizo hata kuinama sikuweza. Dialogue: 0,0:03:06.28,0:03:10.36,Default,,0000,0000,0000,,Hata kulala- nilikua sina raha. Dialogue: 0,0:03:10.36,0:03:14.52,Default,,0000,0000,0000,,Singeweza kuchukua chochote sakafuni , hata kama kingekua kidogo kama chupa. Dialogue: 0,0:03:14.52,0:03:19.16,Default,,0000,0000,0000,,Kingeanguka sakafuni, ningeomba mtu mwingine kunichukulia. Dialogue: 0,0:03:19.16,0:03:25.64,Default,,0000,0000,0000,,NIlipokua nikioga , ilinilazimu kuketia stuli (Kigoda) sababu ilikua vigumu kwangu kuinama. Dialogue: 0,0:03:25.64,0:03:32.16,Default,,0000,0000,0000,,Hali ilikua mbaya , huku nikitafuta matibabu ya kiafya kwa miaka mbili. Dialogue: 0,0:03:32.16,0:03:37.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilikua mara kwa mara nikienda Hospitalini kuona wauguzi Dialogue: 0,0:03:37.00,0:03:49.64,Default,,0000,0000,0000,,Tabibu wa kwanza aliniambia aliona kukunjika kwa uti wa mgongo kusiko kua kwa kawaida. Dialogue: 0,0:03:49.64,0:03:52.64,Default,,0000,0000,0000,,Yeye ndiye aliye gundua ulemavu huo wa uti wa mgongo(Skoliosisi) Dialogue: 0,0:03:52.64,0:03:58.64,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kufanya chochote kazini na karibu nipoteze kazi. Dialogue: 0,0:03:58.64,0:04:01.32,Default,,0000,0000,0000,,Sababu singeweza kufanya chochote sikua nasaidia katika uzalishaji kazini Dialogue: 0,0:04:01.32,0:04:09.40,Default,,0000,0000,0000,,Ilinibiddi nihamishwe kutoka idara yangu kwenda idara ingine Dialogue: 0,0:04:09.40,0:04:15.92,Default,,0000,0000,0000,,Nilipofika idara yangu mpya hawakujua kamwe kwamba nilikuwa nikikabili tatizo hilo zito. Dialogue: 0,0:04:15.92,0:04:19.48,Default,,0000,0000,0000,,Waliona tu nikienda hospitalini. Dialogue: 0,0:04:19.48,0:04:22.48,Default,,0000,0000,0000,,Kila mara , sababu niliwekwa chini ya matibabu. Dialogue: 0,0:04:22.48,0:04:29.40,Default,,0000,0000,0000,,Niliwekwa chini ya matibabu ya mifupa ya mwili , ikanilazimu kwenda kwa matibabu mara tatu kwa wiki. Dialogue: 0,0:04:29.40,0:04:34.88,Default,,0000,0000,0000,,Hata kama walinifanyia hayo yote sikupata nafuu. Dialogue: 0,0:04:34.88,0:04:39.68,Default,,0000,0000,0000,,Sababu saa zingine singeweza kutembea hata mita mia moja Dialogue: 0,0:04:39.68,0:04:43.80,Default,,0000,0000,0000,,Ningetembea mita mia moja , ingenilazimu kuketi chini nipumzike. Dialogue: 0,0:04:43.80,0:04:52.88,Default,,0000,0000,0000,,Nililazimika kutumwa kwa picha ya MRI kuona picha kamili ya shida hiyo Dialogue: 0,0:04:52.88,0:05:05.28,Default,,0000,0000,0000,,Kwa Picha hiyo ya MRI ilionesha uti wa mgongo upande wa chini ulikunjika visivyo. Dialogue: 0,0:05:05.28,0:05:15.60,Default,,0000,0000,0000,,Hii ndiyo repoti ya hospitalini niliyopewa. Dialogue: 0,0:05:15.60,0:05:23.28,Default,,0000,0000,0000,,Ripoti hii nilipewa Sinozam Friendship Hospital na inasema report ya MRI Dialogue: 0,0:05:23.28,0:05:30.64,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu na miaka iko hapo . inaonesha utafiti uliofanywa. Dialogue: 0,0:05:30.64,0:05:36.76,Default,,0000,0000,0000,,Ambayo ni MRI ya uti wa mgongo upande wa chini . Dialogue: 0,0:05:36.76,0:05:42.76,Default,,0000,0000,0000,,Hii ndiyo repoti iliyo kuja na haikua ya kuridhisha. Dialogue: 0,0:05:42.76,0:05:49.64,Default,,0000,0000,0000,,'Taswira: Uharibifu mdogo wa uti wa mgongo wa L2', Dialogue: 0,0:05:49.64,0:05:56.08,Default,,0000,0000,0000,,ikimaanisha kuwa kulikuwa na hali isiyo ya kawaida kwenye sehemu ya chini ya mgongo wangu. Dialogue: 0,0:05:56.08,0:06:02.76,Default,,0000,0000,0000,,Hii shida ilisababisha shida nyingi , nilifikiria iwapo nikipoteza kazi Dialogue: 0,0:06:02.76,0:06:09.36,Default,,0000,0000,0000,,Singeweza kufanya lolote , hata kutafuta kazi kwingine. Dialogue: 0,0:06:09.36,0:06:16.40,Default,,0000,0000,0000,,Hali ilikua mbaya ilinibidi nitafute suluhisho mbadala. Dialogue: 0,0:06:16.40,0:06:25.12,Default,,0000,0000,0000,,Nikiwa katika mchakato huu, nilikutana na Huduma ya Maombi ya God's Heart TV. Dialogue: 0,0:06:25.12,0:06:31.32,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kujua nitakavyo weza kua miongoni mwa watu wapokeao maombi. Dialogue: 0,0:06:31.32,0:06:34.76,Default,,0000,0000,0000,,Nilingundua kua baada ya kuwasilisha ombi langu la kupokea maombi , nilipokea mwaliko. Dialogue: 0,0:06:34.76,0:06:42.40,Default,,0000,0000,0000,,Nilitumia mwaliko huo kujiunga na ibada ya maombi tarehe 24th mwezi wa tisa 2023 Dialogue: 0,0:06:42.40,0:06:46.60,Default,,0000,0000,0000,,Kama mlivyo ona kwenye video fupi hapo awali nilipokua nikiombewa. Dialogue: 0,0:06:46.60,0:06:53.36,Default,,0000,0000,0000,,Alipokua anatuombea Ndugu Chris sikusikia chochote wakati huo Dialogue: 0,0:06:53.36,0:06:59.88,Default,,0000,0000,0000,,lakini niligundua kuwa mke wangu alikuwa ameanguka sakafuni na niliombwa nimsimamishe. Dialogue: 0,0:06:59.88,0:07:03.60,Default,,0000,0000,0000,,Kisha mtu wa Mungu akatuombea. Aliniomba nifanye mazoezi mwenyewe, Dialogue: 0,0:07:03.60,0:07:07.64,Default,,0000,0000,0000,,Nilikua mwoga kwa mara ya kwanza sababu sikusikia kitu ama kujua Dialogue: 0,0:07:07.64,0:07:11.88,Default,,0000,0000,0000,,Kua kitu cha tofauti kimetendeka mwilini mwangu Dialogue: 0,0:07:11.88,0:07:17.20,Default,,0000,0000,0000,,Nikajarubu kuinama na kufanya mazoezi na sikusikia uchungu Dialogue: 0,0:07:17.20,0:07:22.56,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hiyo haikutosha , nilipopokea maombi niligundua kua Dialogue: 0,0:07:22.56,0:07:28.96,Default,,0000,0000,0000,,Kusumbuka na uchungu wote ulikua umeisha Dialogue: 0,0:07:28.96,0:07:33.88,Default,,0000,0000,0000,,Niliweza kuketi , kufanya mazoezi , kukimbia na kuinama Dialogue: 0,0:07:33.88,0:07:40.20,Default,,0000,0000,0000,,Usiku huo nililala kama mtoto, nilipoamka nilijiskia huru. Dialogue: 0,0:07:40.20,0:07:55.16,Default,,0000,0000,0000,,Naweza kuinua mikono, kuinama , kufanya mazoezi , kuchukua kitu sakafuni Dialogue: 0,0:07:55.16,0:08:01.56,Default,,0000,0000,0000,,Niko huru kabisa - hakuna chochote kinachozuia harakati zangu za mwili kwa sasa. Dialogue: 0,0:08:01.56,0:08:07.68,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni Naomi , natoka Zambia Dialogue: 0,0:08:07.68,0:08:16.04,Default,,0000,0000,0000,,Shida nilio kua nayo kabla ya kupokea maombi kutoka kwa Ndugu Chris. Dialogue: 0,0:08:16.04,0:08:22.68,Default,,0000,0000,0000,,Nilikua na uchungu mwilini wote , nilihisi uchungu siku zote. Dialogue: 0,0:08:22.68,0:08:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Kichwa kuuma , mabega kuuma na ndoto mbaya Dialogue: 0,0:08:33.00,0:08:41.20,Default,,0000,0000,0000,,Wakati wa ibada ya maombi , mtu wa mungu alituombea. Dialogue: 0,0:08:41.20,0:08:46.64,Default,,0000,0000,0000,,Aliniwekelea mkono na nikajipata sakafuni. Dialogue: 0,0:08:46.64,0:08:52.32,Default,,0000,0000,0000,,Tangu wakati huo, maumivu ambayo nilikuwa nikisikia hayakuwepo tena. Dialogue: 0,0:08:52.32,0:09:00.64,Default,,0000,0000,0000,,Nimekombolewa kutoka kwenye maumivu na ndoto mbaya; ndoto mbaya nilizokuwa nazo zimetoweka! Dialogue: 0,0:09:00.64,0:09:06.92,Default,,0000,0000,0000,,Namshukuru huyu Yesu ameniweka huru na niko hapa kama ushuhuda ulio hai. Dialogue: 0,0:09:06.92,0:09:18.24,Default,,0000,0000,0000,,Ushauri wangu kwa watazamaji ni kuja kwa Mungu na moyo safi, uliojaa imani. Dialogue: 0,0:09:18.24,0:09:23.44,Default,,0000,0000,0000,,Mwamini Mungu, kwa sababu tunamtumikia Mungu aliye hai ambaye hashindwi kamwe. Dialogue: 0,0:09:23.44,0:09:29.60,Default,,0000,0000,0000,,Unapokumbana na matatizo yoyote katika maisha yako, tafuta uso wa Mungu. Dialogue: 0,0:09:29.60,0:09:39.00,Default,,0000,0000,0000,,Ushauri wangu kwa watazamaji wanaotazama ni kwamba umbali sio kikwazo. Dialogue: 0,0:09:39.00,0:09:41.60,Default,,0000,0000,0000,,Sharti pekee linalohitajika ni kuamini tu. Dialogue: 0,0:09:41.60,0:09:48.80,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa utaamini, leo masuala yako yote, shida na magonjwa yatakuwa jambo la zamani.