1 00:00:00,000 --> 00:00:07,960 Kwa Jina Kuu la Yesu Kristo! 2 00:00:07,960 --> 00:00:15,360 Pona kwa Jina La Yesu 3 00:00:15,360 --> 00:00:21,560 Kila Roho isiyo ya Mungu , Toka kwa jina La Yesu! 4 00:00:21,560 --> 00:00:24,640 Toka sasa! 5 00:00:24,640 --> 00:00:30,800 Yesu Kristo , tunakuomba nguvu zako za uponyaji gusa kila mahali palipo haribika . 6 00:00:30,800 --> 00:00:41,720 Mahali popote viungo vilipoharibika ! nasema anza kufanya kazi sasa! 7 00:00:41,720 --> 00:00:49,480 Kwa Jina la Yesu Kristo 8 00:00:49,480 --> 00:00:59,840 Sasa, roho mchafu , nasema toka kwa jina La Yesu Kristo! 9 00:00:59,840 --> 00:01:08,040 Asante Yesu , kwa uhuru. 10 00:01:08,040 --> 00:01:11,960 Kwa Kuu Jina La Yesu . 11 00:01:11,960 --> 00:01:17,360 sasa mku huru . Kaka nataka ujiangalie . 12 00:01:17,360 --> 00:01:20,960 Roho wa Mungu amegusa sehemu ya mwili iliyo kua na maumivu . 13 00:01:20,960 --> 00:01:24,800 Jiangalie na ufurahie . furahia utukufu wa Mungu 14 00:01:24,800 --> 00:01:29,120 Dada yetu , Mungu amekukomboa na kumweka mume wako huru 15 00:01:29,120 --> 00:01:35,680 Unaweza amka na kufurahia sasa, uko huru kwa jina la Yesu. 16 00:01:37,080 --> 00:01:42,920 Tafadhali tuambie nchi uliyotokea , na mtu aliye keti kando yako 17 00:01:42,920 --> 00:01:51,320 Jina langu ni Shadreck: Mwanamke alikaa kando yangu ni mke wangu mpendwa , Naomi . Tunatokea Zambia. 18 00:01:51,320 --> 00:01:56,400 Yote yalianza miaka sita iliyopita , nilipokua kazini (kwenye chimbo chini ya ardhi) 19 00:01:56,400 --> 00:02:00,560 kwa sababu taaluma yangu ni ukarabati wa vifaa vizito, 20 00:02:00,560 --> 00:02:03,560 maana yake natengeneza mashine za kazi nzito. 21 00:02:03,560 --> 00:02:09,400 Nilipokua nafanya kazi ndani ya chimbo hilo , kwa ghafla nikasikia uchungu mkali mno. 22 00:02:09,400 --> 00:02:15,200 kutokea bega langu la kushoto kwenda chini kwenye mguu wangu wa kushoto 23 00:02:15,200 --> 00:02:21,880 Sikuweza kutembea - nikaviangusha chini vifaa vya kazi 24 00:02:21,880 --> 00:02:24,680 sababu sikuweza kufanya kitu chochote wakati huo 25 00:02:24,680 --> 00:02:30,080 Huo ulikua mwanzo wa zamu yangu kazini , nilitakiwa kufanya kazi kwa mda wa masaa nane. 26 00:02:30,080 --> 00:02:34,280 Hayo yalitokea dakika chache baada ya kuanza zamu yangu kazini 27 00:02:34,280 --> 00:02:40,640 Ilinilazimu kukaa chini na sikuweza kufanya kitu chochote mpaka masaa yangu ya zamu kazini yakaisha, 28 00:02:40,640 --> 00:02:46,440 Nilitarajia kua labda uchungu huo ulikua tu mojawapo ya vitu vya kupita. 29 00:02:46,440 --> 00:02:49,680 Siku iliyofuata , uchungu ulikua bado upo. 30 00:02:49,680 --> 00:02:53,640 Nilienda hospitalini wakanipa dawa ya maumivi (Vituliza maumivu ) 31 00:02:53,640 --> 00:03:00,640 Baada ya siku tatu nilidhani labda maumivu yangetoweka, lakini ndipo yalipozidi kuwa makali, 32 00:03:00,640 --> 00:03:06,280 Singeweza hata kutembea - kutembea ilikua tatizo hata kuinama sikuweza. 33 00:03:06,280 --> 00:03:10,360 Hata kulala- nilikua sina raha. 34 00:03:10,360 --> 00:03:14,520 Singeweza kuchukua chochote sakafuni , hata kama kingekua kidogo kama chupa. 35 00:03:14,520 --> 00:03:19,160 Kingeanguka sakafuni, ningeomba mtu mwingine kunichukulia. 36 00:03:19,160 --> 00:03:25,640 NIlipokua nikioga , ilinilazimu kuketia stuli (Kigoda) sababu ilikua vigumu kwangu kuinama. 37 00:03:25,640 --> 00:03:32,160 Hali ilikua mbaya , huku nikitafuta matibabu ya kiafya kwa miaka mbili. 38 00:03:32,160 --> 00:03:37,000 Nilikua mara kwa mara nikienda Hospitalini kuona wauguzi 39 00:03:37,000 --> 00:03:49,640 Tabibu wa kwanza aliniambia aliona kukunjika kwa uti wa mgongo kusiko kua kwa kawaida. 40 00:03:49,640 --> 00:03:52,640 Yeye ndiye aliye gundua ulemavu huo wa uti wa mgongo(Skoliosisi) 41 00:03:52,640 --> 00:03:58,640 Sikuweza kufanya chochote kazini na karibu nipoteze kazi. 42 00:03:58,640 --> 00:04:01,320 Sababu singeweza kufanya chochote sikua nasaidia katika uzalishaji kazini 43 00:04:01,320 --> 00:04:09,400 Ilinibiddi nihamishwe kutoka idara yangu kwenda idara ingine 44 00:04:09,400 --> 00:04:15,920 Nilipofika idara yangu mpya hawakujua kamwe kwamba nilikuwa nikikabili tatizo hilo zito. 45 00:04:15,920 --> 00:04:19,480 Waliona tu nikienda hospitalini. 46 00:04:19,480 --> 00:04:22,480 Kila mara , sababu niliwekwa chini ya matibabu. 47 00:04:22,480 --> 00:04:29,400 Niliwekwa chini ya matibabu ya mifupa ya mwili , ikanilazimu kwenda kwa matibabu mara tatu kwa wiki. 48 00:04:29,400 --> 00:04:34,880 Hata kama walinifanyia hayo yote sikupata nafuu. 49 00:04:34,880 --> 00:04:39,680 Sababu saa zingine singeweza kutembea hata mita mia moja 50 00:04:39,680 --> 00:04:43,800 Ningetembea mita mia moja , ingenilazimu kuketi chini nipumzike. 51 00:04:43,800 --> 00:04:52,880 Nililazimika kutumwa kwa picha ya MRI kuona picha kamili ya shida hiyo 52 00:04:52,880 --> 00:05:05,280 Kwa Picha hiyo ya MRI ilionesha uti wa mgongo upande wa chini ulikunjika visivyo. 53 00:05:05,280 --> 00:05:15,600 Hii ndiyo repoti ya hospitalini niliyopewa. 54 00:05:15,600 --> 00:05:23,280 Ripoti hii nilipewa Sinozam Friendship Hospital na inasema report ya MRI 55 00:05:23,280 --> 00:05:30,640 Jina langu na miaka iko hapo . inaonesha utafiti uliofanywa. 56 00:05:30,640 --> 00:05:36,760 Ambayo ni MRI ya uti wa mgongo upande wa chini . 57 00:05:36,760 --> 00:05:42,760 Hii ndiyo repoti iliyo kuja na haikua ya kuridhisha. 58 00:05:42,760 --> 00:05:49,640 'Taswira: Uharibifu mdogo wa uti wa mgongo wa L2', 59 00:05:49,640 --> 00:05:56,080 ikimaanisha kuwa kulikuwa na hali isiyo ya kawaida kwenye sehemu ya chini ya mgongo wangu. 60 00:05:56,080 --> 00:06:02,760 Hii shida ilisababisha shida nyingi , nilifikiria iwapo nikipoteza kazi 61 00:06:02,760 --> 00:06:09,360 Singeweza kufanya lolote , hata kutafuta kazi kwingine. 62 00:06:09,360 --> 00:06:16,400 Hali ilikua mbaya ilinibidi nitafute suluhisho mbadala. 63 00:06:16,400 --> 00:06:25,120 Nikiwa katika mchakato huu, nilikutana na Huduma ya Maombi ya God's Heart TV. 64 00:06:25,120 --> 00:06:31,320 Nilitaka kujua nitakavyo weza kua miongoni mwa watu wapokeao maombi. 65 00:06:31,320 --> 00:06:34,760 Nilingundua kua baada ya kuwasilisha ombi langu la kupokea maombi , nilipokea mwaliko. 66 00:06:34,760 --> 00:06:42,400 Nilitumia mwaliko huo kujiunga na ibada ya maombi tarehe 24th mwezi wa tisa 2023 67 00:06:42,400 --> 00:06:46,600 Kama mlivyo ona kwenye video fupi hapo awali nilipokua nikiombewa. 68 00:06:46,600 --> 00:06:53,360 Alipokua anatuombea Ndugu Chris sikusikia chochote wakati huo 69 00:06:53,360 --> 00:06:59,880 lakini niligundua kuwa mke wangu alikuwa ameanguka sakafuni na niliombwa nimsimamishe. 70 00:06:59,880 --> 00:07:03,600 Kisha mtu wa Mungu akatuombea. Aliniomba nifanye mazoezi mwenyewe, 71 00:07:03,600 --> 00:07:07,640 Nilikua mwoga kwa mara ya kwanza sababu sikusikia kitu ama kujua 72 00:07:07,640 --> 00:07:11,880 Kua kitu cha tofauti kimetendeka mwilini mwangu 73 00:07:11,880 --> 00:07:17,200 Nikajarubu kuinama na kufanya mazoezi na sikusikia uchungu 74 00:07:17,200 --> 00:07:22,560 Lakini hiyo haikutosha , nilipopokea maombi niligundua kua 75 00:07:22,560 --> 00:07:28,960 Kusumbuka na uchungu wote ulikua umeisha 76 00:07:28,960 --> 00:07:33,880 Niliweza kuketi , kufanya mazoezi , kukimbia na kuinama 77 00:07:33,880 --> 00:07:40,200 Usiku huo nililala kama mtoto, nilipoamka nilijiskia huru. 78 00:07:40,200 --> 00:07:55,160 Naweza kuinua mikono, kuinama , kufanya mazoezi , kuchukua kitu sakafuni 79 00:07:55,160 --> 00:08:01,560 Niko huru kabisa - hakuna chochote kinachozuia harakati zangu za mwili kwa sasa. 80 00:08:01,560 --> 00:08:07,680 Jina langu ni Naomi , natoka Zambia 81 00:08:07,680 --> 00:08:16,040 Shida nilio kua nayo kabla ya kupokea maombi kutoka kwa Ndugu Chris. 82 00:08:16,040 --> 00:08:22,680 Nilikua na uchungu mwilini wote , nilihisi uchungu siku zote. 83 00:08:22,680 --> 00:08:33,000 Kichwa kuuma , mabega kuuma na ndoto mbaya 84 00:08:33,000 --> 00:08:41,200 Wakati wa ibada ya maombi , mtu wa mungu alituombea. 85 00:08:41,200 --> 00:08:46,640 Aliniwekelea mkono na nikajipata sakafuni. 86 00:08:46,640 --> 00:08:52,320 Tangu wakati huo, maumivu ambayo nilikuwa nikisikia hayakuwepo tena. 87 00:08:52,320 --> 00:09:00,640 Nimekombolewa kutoka kwenye maumivu na ndoto mbaya; ndoto mbaya nilizokuwa nazo zimetoweka! 88 00:09:00,640 --> 00:09:06,920 Namshukuru huyu Yesu ameniweka huru na niko hapa kama ushuhuda ulio hai. 89 00:09:06,920 --> 00:09:18,240 Ushauri wangu kwa watazamaji ni kuja kwa Mungu na moyo safi, uliojaa imani. 90 00:09:18,240 --> 00:09:23,440 Mwamini Mungu, kwa sababu tunamtumikia Mungu aliye hai ambaye hashindwi kamwe. 91 00:09:23,440 --> 00:09:29,600 Unapokumbana na matatizo yoyote katika maisha yako, tafuta uso wa Mungu. 92 00:09:29,600 --> 00:09:39,000 Ushauri wangu kwa watazamaji wanaotazama ni kwamba umbali sio kikwazo. 93 00:09:39,000 --> 00:09:41,600 Sharti pekee linalohitajika ni kuamini tu. 94 00:09:41,600 --> 00:09:48,800 Ikiwa utaamini, leo masuala yako yote, shida na magonjwa yatakuwa jambo la zamani.