0:00:00.000,0:00:07.960 Kwa Jina Kuu la Yesu Kristo! 0:00:07.960,0:00:15.360 Pona kwa Jina La Yesu 0:00:15.360,0:00:21.560 Kila Roho isiyo ya Mungu , Toka kwa jina La Yesu! 0:00:21.560,0:00:24.640 Toka sasa! 0:00:24.640,0:00:30.800 Yesu Kristo , tunakuomba nguvu zako za uponyaji gusa kila mahali palipo haribika . 0:00:30.800,0:00:41.720 Mahali popote viungo vilipoharibika ! nasema anza kufanya kazi sasa! 0:00:41.720,0:00:49.480 Kwa Jina la Yesu Kristo 0:00:49.480,0:00:59.840 Sasa, roho mchafu , nasema toka kwa jina La Yesu Kristo! 0:00:59.840,0:01:08.040 Asante Yesu , kwa uhuru. 0:01:08.040,0:01:11.960 Kwa Kuu Jina La Yesu . 0:01:11.960,0:01:17.360 sasa mku huru . Kaka nataka ujiangalie . 0:01:17.360,0:01:20.960 Roho wa Mungu amegusa sehemu ya mwili iliyo kua na maumivu . 0:01:20.960,0:01:24.800 Jiangalie na ufurahie . furahia utukufu wa Mungu 0:01:24.800,0:01:29.120 Dada yetu , Mungu amekukomboa na kumweka mume wako huru 0:01:29.120,0:01:35.680 Unaweza amka na kufurahia sasa, uko huru kwa jina la Yesu. 0:01:37.080,0:01:42.920 Tafadhali tuambie nchi uliyotokea , na mtu aliye keti kando yako 0:01:42.920,0:01:51.320 Jina langu ni Shadreck: Mwanamke alikaa kando yangu ni mke wangu mpendwa , Naomi . Tunatokea Zambia. 0:01:51.320,0:01:56.400 Yote yalianza miaka sita iliyopita , nilipokua kazini (kwenye chimbo chini ya ardhi) 0:01:56.400,0:02:00.560 kwa sababu taaluma yangu ni ukarabati wa vifaa vizito, 0:02:00.560,0:02:03.560 maana yake natengeneza mashine za kazi nzito. 0:02:03.560,0:02:09.400 Nilipokua nafanya kazi ndani ya chimbo hilo , kwa ghafla nikasikia uchungu mkali mno. 0:02:09.400,0:02:15.200 kutokea bega langu la kushoto kwenda chini kwenye mguu wangu wa kushoto 0:02:15.200,0:02:21.880 Sikuweza kutembea - nikaviangusha chini vifaa vya kazi 0:02:21.880,0:02:24.680 sababu sikuweza kufanya kitu chochote wakati huo 0:02:24.680,0:02:30.080 Huo ulikua mwanzo wa zamu yangu kazini , nilitakiwa kufanya kazi kwa mda wa masaa nane. 0:02:30.080,0:02:34.280 Hayo yalitokea dakika chache baada ya kuanza zamu yangu kazini 0:02:34.280,0:02:40.640 Ilinilazimu kukaa chini na sikuweza kufanya kitu chochote mpaka masaa yangu ya zamu kazini yakaisha, 0:02:40.640,0:02:46.440 Nilitarajia kua labda uchungu huo ulikua tu mojawapo ya vitu vya kupita. 0:02:46.440,0:02:49.680 Siku iliyofuata , uchungu ulikua bado upo. 0:02:49.680,0:02:53.640 Nilienda hospitalini wakanipa dawa ya maumivi (Vituliza maumivu ) 0:02:53.640,0:03:00.640 Baada ya siku tatu nilidhani labda maumivu yangetoweka, lakini ndipo yalipozidi kuwa makali, 0:03:00.640,0:03:06.280 Singeweza hata kutembea - kutembea ilikua tatizo hata kuinama sikuweza. 0:03:06.280,0:03:10.360 Hata kulala- nilikua sina raha. 0:03:10.360,0:03:14.520 Singeweza kuchukua chochote sakafuni , hata kama kingekua kidogo kama chupa. 0:03:14.520,0:03:19.160 Kingeanguka sakafuni, ningeomba mtu mwingine kunichukulia. 0:03:19.160,0:03:25.640 NIlipokua nikioga , ilinilazimu kuketia stuli (Kigoda) sababu ilikua vigumu kwangu kuinama. 0:03:25.640,0:03:32.160 Hali ilikua mbaya , huku nikitafuta matibabu ya kiafya kwa miaka mbili. 0:03:32.160,0:03:37.000 Nilikua mara kwa mara nikienda Hospitalini kuona wauguzi 0:03:37.000,0:03:49.640 Tabibu wa kwanza aliniambia aliona kukunjika kwa uti wa mgongo kusiko kua kwa kawaida. 0:03:49.640,0:03:52.640 Yeye ndiye aliye gundua ulemavu huo wa uti wa mgongo(Skoliosisi) 0:03:52.640,0:03:58.640 Sikuweza kufanya chochote kazini na karibu nipoteze kazi. 0:03:58.640,0:04:01.320 Sababu singeweza kufanya chochote sikua nasaidia katika uzalishaji kazini 0:04:01.320,0:04:09.400 Ilinibiddi nihamishwe kutoka idara yangu kwenda idara ingine 0:04:09.400,0:04:15.920 Nilipofika idara yangu mpya hawakujua kamwe kwamba nilikuwa nikikabili tatizo hilo zito. 0:04:15.920,0:04:19.480 Waliona tu nikienda hospitalini. 0:04:19.480,0:04:22.480 Kila mara , sababu niliwekwa chini ya matibabu. 0:04:22.480,0:04:29.400 Niliwekwa chini ya matibabu ya mifupa ya mwili , ikanilazimu kwenda kwa matibabu mara tatu kwa wiki. 0:04:29.400,0:04:34.880 Hata kama walinifanyia hayo yote sikupata nafuu. 0:04:34.880,0:04:39.680 Sababu saa zingine singeweza kutembea hata mita mia moja 0:04:39.680,0:04:43.800 Ningetembea mita mia moja , ingenilazimu kuketi chini nipumzike. 0:04:43.800,0:04:52.880 Nililazimika kutumwa kwa picha ya MRI kuona picha kamili ya shida hiyo 0:04:52.880,0:05:05.280 Kwa Picha hiyo ya MRI ilionesha uti wa mgongo upande wa chini ulikunjika visivyo. 0:05:05.280,0:05:15.600 Hii ndiyo repoti ya hospitalini niliyopewa. 0:05:15.600,0:05:23.280 Ripoti hii nilipewa Sinozam Friendship Hospital na inasema report ya MRI 0:05:23.280,0:05:30.640 Jina langu na miaka iko hapo . inaonesha utafiti uliofanywa. 0:05:30.640,0:05:36.760 Ambayo ni MRI ya uti wa mgongo upande wa chini . 0:05:36.760,0:05:42.760 Hii ndiyo repoti iliyo kuja na haikua ya kuridhisha. 0:05:42.760,0:05:49.640 'Taswira: Uharibifu mdogo wa uti wa mgongo wa L2', 0:05:49.640,0:05:56.080 ikimaanisha kuwa kulikuwa na hali isiyo ya kawaida kwenye sehemu ya chini ya mgongo wangu. 0:05:56.080,0:06:02.760 Hii shida ilisababisha shida nyingi , nilifikiria iwapo nikipoteza kazi 0:06:02.760,0:06:09.360 Singeweza kufanya lolote , hata kutafuta kazi kwingine. 0:06:09.360,0:06:16.400 Hali ilikua mbaya ilinibidi nitafute suluhisho mbadala. 0:06:16.400,0:06:25.120 Nikiwa katika mchakato huu, nilikutana na Huduma ya Maombi ya God's Heart TV. 0:06:25.120,0:06:31.320 Nilitaka kujua nitakavyo weza kua miongoni mwa watu wapokeao maombi. 0:06:31.320,0:06:34.760 Nilingundua kua baada ya kuwasilisha ombi langu la kupokea maombi , nilipokea mwaliko. 0:06:34.760,0:06:42.400 Nilitumia mwaliko huo kujiunga na ibada ya maombi tarehe 24th mwezi wa tisa 2023 0:06:42.400,0:06:46.600 Kama mlivyo ona kwenye video fupi hapo awali nilipokua nikiombewa. 0:06:46.600,0:06:53.360 Alipokua anatuombea Ndugu Chris sikusikia chochote wakati huo 0:06:53.360,0:06:59.880 lakini niligundua kuwa mke wangu alikuwa ameanguka sakafuni na niliombwa nimsimamishe. 0:06:59.880,0:07:03.600 Kisha mtu wa Mungu akatuombea. Aliniomba nifanye mazoezi mwenyewe, 0:07:03.600,0:07:07.640 Nilikua mwoga kwa mara ya kwanza sababu sikusikia kitu ama kujua 0:07:07.640,0:07:11.880 Kua kitu cha tofauti kimetendeka mwilini mwangu 0:07:11.880,0:07:17.200 Nikajarubu kuinama na kufanya mazoezi na sikusikia uchungu 0:07:17.200,0:07:22.560 Lakini hiyo haikutosha , nilipopokea maombi niligundua kua 0:07:22.560,0:07:28.960 Kusumbuka na uchungu wote ulikua umeisha 0:07:28.960,0:07:33.880 Niliweza kuketi , kufanya mazoezi , kukimbia na kuinama 0:07:33.880,0:07:40.200 Usiku huo nililala kama mtoto, nilipoamka nilijiskia huru. 0:07:40.200,0:07:55.160 Naweza kuinua mikono, kuinama , kufanya mazoezi , kuchukua kitu sakafuni 0:07:55.160,0:08:01.560 Niko huru kabisa - hakuna chochote kinachozuia harakati zangu za mwili kwa sasa. 0:08:01.560,0:08:07.680 Jina langu ni Naomi , natoka Zambia 0:08:07.680,0:08:16.040 Shida nilio kua nayo kabla ya kupokea maombi kutoka kwa Ndugu Chris. 0:08:16.040,0:08:22.680 Nilikua na uchungu mwilini wote , nilihisi uchungu siku zote. 0:08:22.680,0:08:33.000 Kichwa kuuma , mabega kuuma na ndoto mbaya 0:08:33.000,0:08:41.200 Wakati wa ibada ya maombi , mtu wa mungu alituombea. 0:08:41.200,0:08:46.640 Aliniwekelea mkono na nikajipata sakafuni. 0:08:46.640,0:08:52.320 Tangu wakati huo, maumivu ambayo nilikuwa nikisikia hayakuwepo tena. 0:08:52.320,0:09:00.640 Nimekombolewa kutoka kwenye maumivu na ndoto mbaya; ndoto mbaya nilizokuwa nazo zimetoweka! 0:09:00.640,0:09:06.920 Namshukuru huyu Yesu ameniweka huru na niko hapa kama ushuhuda ulio hai. 0:09:06.920,0:09:18.240 Ushauri wangu kwa watazamaji ni kuja kwa Mungu na moyo safi, uliojaa imani. 0:09:18.240,0:09:23.440 Mwamini Mungu, kwa sababu tunamtumikia Mungu aliye hai ambaye hashindwi kamwe. 0:09:23.440,0:09:29.600 Unapokumbana na matatizo yoyote katika maisha yako, tafuta uso wa Mungu. 0:09:29.600,0:09:39.000 Ushauri wangu kwa watazamaji wanaotazama ni kwamba umbali sio kikwazo. 0:09:39.000,0:09:41.600 Sharti pekee linalohitajika ni kuamini tu. 0:09:41.600,0:09:48.800 Ikiwa utaamini, leo masuala yako yote, shida na magonjwa yatakuwa jambo la zamani.