WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:13.160 Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi! 00:00:13.160 --> 00:00:25.480 Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, woga, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo! 00:00:26.800 --> 00:00:40.520 Watu wa Mungu, ni hali ipi inayowazunguka leo? 00:00:40.520 --> 00:00:49.240 Moyo wako umeumizwa au umevunjika 00:00:49.240 --> 00:00:59.800 kwa sababu ya maswala ambayo maisha yamekukabili au yaliyosababishwa na chaguzi zisizo sahihi? 00:00:59.800 --> 00:01:04.880 Niko hapa leo kukuambia ukweli huu. 00:01:04.880 --> 00:01:16.280 Kuna uponyaji na utimilifu unaopatikana kwa ajili yako katika Yesu Kristo. 00:01:16.280 --> 00:01:25.560 Labda sijui ni nini kinasumbua roho yako kwa wakati huu 00:01:25.560 --> 00:01:30.760 unapoungana na na huduma hii, lakini jambo moja najua - 00:01:30.760 --> 00:01:39.480 kuna pumziko katika Kristo Yesu kwa ajili yako. 00:01:39.480 --> 00:01:43.600 Lakini zingatia hili. 00:01:43.600 --> 00:01:50.400 Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayeweza kutatua masuala ya nafsi yako. 00:01:50.400 --> 00:01:59.120 Ni Muumba wa moyo wako pekee ndiye anayeweza kurekebisha masuala ya moyo wako. 00:01:59.120 --> 00:02:11.720 Kutafuta misaada katika mwili, kwa juu tu katika uso, kutasababisha tu shida zaidi. 00:02:11.720 --> 00:02:16.000 Kutakuacha ukiwa na sonona zaidi. 00:02:16.000 --> 00:02:22.640 Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayewez akutatua masuala ya nafsi yako. 00:02:22.640 --> 00:02:27.440 Na ndio maana nakuambia leo hongera 00:02:27.440 --> 00:02:30.200 kwa sababu umefanya chaguo sahihi. 00:02:30.200 --> 00:02:35.640 Umechagua kutafuta uhusikaji wa Mungu. 00:02:35.640 --> 00:02:42.160 Ndiyo maana uko hapa kwa wakati huu, umeunganishwa kwenye huduma hii. 00:02:42.160 --> 00:02:46.800 Kwa hivyo swali sasa hivi ni hili. 00:02:46.800 --> 00:02:55.960 Je, hali ya moyo wako ikoje tunapokaribia kuomba pamoja? 00:02:55.960 --> 00:03:01.280 Je, moyo wako uko wazi kwa ajili ya Roho Mtakatifu? 00:03:01.280 --> 00:03:05.320 Je, roho yako iko huru? 00:03:05.320 --> 00:03:10.040 Au roho yako bado imefungwa? 00:03:10.040 --> 00:03:20.560 Umefungwa kwa maumivu ya siku za nyuma, uchungu, kutosamehe au chuki? 00:03:20.560 --> 00:03:30.360 Kwa sababu kinachofunga roho yako kinaweza kuwa kinazuia baraka zako. 00:03:30.360 --> 00:03:40.040 Ni wakati sasa wa wewe kuachana na maumivu yote ya zamani. 00:03:40.040 --> 00:03:43.240 Achana na huko kutosamehe. 00:03:43.240 --> 00:03:53.440 Acha uchungu huo na umkaribishe Roho Mtakatifu aingie moyoni mwako sasa hivi. 00:03:53.440 --> 00:03:57.200 Mkaribishe Roho Mtakatifu ndani ya moyo wako. 00:03:57.200 --> 00:04:00.640 Mkaribishe Roho Mtakatifu katikati yako. 00:04:00.640 --> 00:04:03.960 Mkaribishe Roho Mtakatifu nyumbani kwako. 00:04:03.960 --> 00:04:07.000 Mkaribishe sasa hivi. 00:04:07.000 --> 00:04:18.720 Ee Roho Mtakatifu, tunaomba utufungulie malango ya Mbinguni leo. 00:04:18.720 --> 00:04:27.600 Tunapofungua mioyo yetu Kwako, fungua milango ya mafuriko kwetu katika jina la Yesu Kristo. 00:04:52.280 --> 00:05:01.840 Hivi sasa, mbegu yoyote ya uchungu ambayo imetia mizizi moyoni mwako - 00:05:01.840 --> 00:05:08.240 Nasema, ng'olewa kwa jina kuu la Yesu Kristo! 00:05:24.480 --> 00:05:33.560 Unapoachilia msamaha, pokea msamaha! 00:05:33.560 --> 00:05:39.800 Unapoachilia msamaha, wekwa kando ka ajili ya uangalifu wa Mungu! 00:05:39.800 --> 00:05:47.400 UtengwE kwa ajili ya huruma ya Mungu! Wekwa kando kando kwa upendeleo wa Mungu leo! 00:06:06.000 --> 00:06:12.400 Kila doa la dhambi - lioshwe! 00:06:12.400 --> 00:06:18.440 Uoshwe kwa Damu ya Yesu Kristo! 00:06:31.640 --> 00:06:39.680 Roho Mtakatifu, ruhusu malango yako ya ukombozi yafunguke sasa hivi. 00:06:39.680 --> 00:06:50.240 Acha nguvu Yako ya ukombozi ishuke sasa hivi! 00:06:50.240 --> 00:06:54.520 Pokea ukombozi wako! 00:06:54.520 --> 00:06:58.000 Pokea, katika jina la Yesu Kristo! 00:07:21.320 --> 00:07:28.360 Kila silaha ya giza inayosababisha dhiki katika nafsi yako, 00:07:28.360 --> 00:07:33.280 Ninasema hivi sasa - toweshwa! 00:07:33.280 --> 00:07:36.760 Utoweshwe, katika jina la Yesu Kristo! 00:07:36.760 --> 00:07:40.640 Uvunjwe sasa hivi! 00:08:00.040 --> 00:08:13.240 Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi! 00:08:13.240 --> 00:08:26.000 Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, mashaka, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo! 00:08:55.440 --> 00:09:05.680 Wewe pepo mchafu uletaye madhara na chuki - sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi! 00:09:05.680 --> 00:09:08.800 Tupwa nje! 00:09:08.800 --> 00:09:13.280 Tupwa nje, kwa jina kuu la Yesu! 00:09:25.840 --> 00:09:37.160 Kila roho chafu iliyo nyuma ya tabia hizo mbaya, ambayo inasababisha tabia yako mbaya - 00:09:37.160 --> 00:09:38.440 inatosha! 00:09:38.440 --> 00:09:45.200 Ninakuamuru wewe pepo mchafu utoke sasa hivi! 00:09:45.200 --> 00:09:53.680 Roho hiyo iliyo nyuma ya uasherati -toka kwa jina kuu la Yesu! 00:10:22.440 --> 00:10:26.040 Watu wa Mungu, ukombozi unafanyika. 00:10:26.040 --> 00:10:32.880 Nguvu za Roho Mtakatifu zinakutenganisha na nguvu zozote za giza. 00:10:32.880 --> 00:10:34.960 Ikiwa uko pamoja na wanafamilia, 00:10:34.960 --> 00:10:40.480 Ninataka kuombea familia sasa hivi kwa ajili ya ukombozi kutoka kwenye laana za vizazi. 00:10:40.480 --> 00:10:45.120 Shikilia wanafamilia yako sasa hivi. Tuombe pamoja. 00:10:45.120 --> 00:10:54.880 Kila roho ya umaskini inayoshikilia familia yako mateka - inatosha! 00:10:54.880 --> 00:10:58.040 Kwa mamlaka katika jina la Yesu Kristo, 00:10:58.040 --> 00:11:03.200 Ninakuamuru utoke katika gereza hilo la umaskini! 00:11:03.200 --> 00:11:06.280 Toka katika gereza hilo la umaskini! 00:11:06.280 --> 00:11:10.240 Toka katika gereza hilo katika familia yako! 00:11:39.440 --> 00:11:43.680 Sasa hivi, toka kwenye ngome hiyo katika familia yako! 00:11:43.680 --> 00:11:51.640 Ngome hiyo ya kizuizi, vilio, kurudi nyuma - ufukuwe kutoka kwenye ngome hiyo! 00:11:51.640 --> 00:11:57.200 Ukombolewe kutoka kwenye ngome hiyo! 00:12:18.080 --> 00:12:21.640 Ikiwa wanafamilia wako hawako nawe kimwili lakini una picha yao, 00:12:21.640 --> 00:12:23.200 unaweza kuishikilia kwa imani. 00:12:23.200 --> 00:12:25.240 Unaweza kuzishikilia picha zao kwa imani. 00:12:25.240 --> 00:12:27.440 Roho wa Mungu anatenda kazi. 00:12:27.440 --> 00:12:32.480 Sasa hivi, vunja laana hiyo katika familia yako! 00:12:32.480 --> 00:12:35.320 Jiepushe na laana hiyo! 00:13:05.080 --> 00:13:16.840 Laana hiyo ya kizazi cha ugumu katika familia yako - ivunjwe sasa hivi! 00:13:16.840 --> 00:13:24.000 Laana hiyo ya kizazi ya magonjwa, maradhi, maumivu katika familia yako - 00:13:24.000 --> 00:13:30.400 vunjwa, katika jina la Yesu Kristo! 00:13:59.760 --> 00:14:05.800 Katika mazingira haya ya imani, weka mkono wako popote pale unapopata maumivu. 00:14:05.800 --> 00:14:12.240 Roho Mtakatifu sasa hivi anaachilia nguvu zake za uponyaji. 00:14:12.240 --> 00:14:14.320 Weka mkono wako hapo sasa hivi. 00:14:14.320 --> 00:14:21.760 Malango ya Mbinguni yanafunguka na kuachilia uponyaji katika maisha yako leo. 00:14:21.760 --> 00:14:34.720 Ninazungumza moja kwa moja na huyo pepo mchafu anayekuletea maumivu, magonjwa, maradhi. 00:14:34.720 --> 00:14:40.560 Sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi! 00:14:40.560 --> 00:14:45.760 Uponywe, katika jina la Yesu! 00:14:45.760 --> 00:14:51.160 Uponywe, katikajina kuu la Yesu Kristo! 00:15:19.880 --> 00:15:29.280 Kila chanzo cha ugonjwa katika mfumo wako - ufurumishwe leo! 00:15:29.280 --> 00:15:32.080 Ufurumishwe sasa hivi! 00:15:32.080 --> 00:15:34.800 Kitapike sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo! 00:15:34.800 --> 00:15:39.320 Popote ambapo ugonjwa huo umejificha,p opote ugonjwa huo unanyemelea - 00:15:39.320 --> 00:15:43.760 toka kwenye mfumo wako!Kutoka kwa viungo vyako! 00:15:43.760 --> 00:15:46.000 Kutolewa sasa hivi! 00:16:12.640 --> 00:16:21.800 Kila kitu kigeni katika mwili wako -uoshwe nje sasa hivi! 00:16:21.800 --> 00:16:26.000 Usafishwe kwa Damu ya Yesu Kristo! 00:16:39.600 --> 00:16:47.440 Ninazungumza na ugonjwa huo wa ajabu katika damu yako, katika misuli yako, katika mifupa yako. 00:16:47.440 --> 00:16:52.280 Maambukizi hayo, sasa hivi -toka kwenye mfumo wao! 00:16:52.280 --> 00:16:54.800 Usafishwe kwa jina la Yesu! 00:16:54.800 --> 00:16:58.360 Katika damu yako - takaswa sasa hivi! 00:16:58.360 --> 00:17:02.160 Katika mifupa yako - takaswa hivi sasa! 00:17:02.160 --> 00:17:06.320 Katika uwezo wako -takaswa! 00:17:31.000 --> 00:17:42.360 Kizuizi hicho kinachoathiri kupumua kwako, kinachoathiri moyo wako, kinachoathiri mapafu yako, 00:17:42.360 --> 00:17:51.760 Ninakiambia kizuizi hicho -kiondolewe sasa hivi! 00:17:51.760 --> 00:18:03.520 Pokea maisha mapya katika mapafu yako, moyo, uwezo, damu, mifupa! 00:18:03.520 --> 00:18:06.200 Pokea kwa jina la Yesu! 00:18:42.520 --> 00:18:47.320 Roho hiyo ya ajabu inasumbua usingizi wako, 00:18:47.320 --> 00:18:52.720 kusababisha kukosa utulivu usiku, kuathiri uwezo wako wa kulala, 00:18:52.720 --> 00:18:58.320 Ninaiambia roho hiyo - toka leo! 00:18:58.320 --> 00:19:01.720 Ondoka, kwa jina la Yesu Kristo! 00:19:01.720 --> 00:19:08.840 Pokea hilo pumziko katika roho,nafsi na mwili wako sasa hivi! 00:19:32.360 --> 00:19:38.560 Jeraha hilo la ndani - liponywe sasa hivi! 00:19:38.560 --> 00:19:46.480 Jeraha hilo la ndani - upone sasa hivi! 00:19:46.480 --> 00:19:50.480 Uwe mzima, katika jina la Yesu Kristo. 00:20:08.400 --> 00:20:14.480 Hivi sasa, chochote ambacho shetani amekiingilia katika kazi yako 00:20:14.480 --> 00:20:23.280 ambacho imesababisha kuchelewa, kizuizi, vilio - leo ni siku yako ya urejesho. 00:20:23.280 --> 00:20:26.080 Urejeshwe sasa hivi! 00:20:26.080 --> 00:20:28.640 Urejeshwe katika kazi yako! 00:20:28.640 --> 00:20:31.480 Urejeshwe katika fedha zako! 00:20:31.480 --> 00:20:34.360 Urejeshwe katika biashara yako! 00:20:34.360 --> 00:20:36.800 Urejeshwe! 00:21:05.320 --> 00:21:14.240 Ni kipi kinachosababisha 'uchhovu kupindukia' katika kazi yako? 00:21:14.240 --> 00:21:25.080 Je, unateseka chini ya uzito wa shinikizo na mvutano mahali pa kazi yako? 00:21:25.080 --> 00:21:29.560 Ni wakati wa kuchukua tena udhibiti wa moyo wako 00:21:29.560 --> 00:21:36.280 na kuteka tena eneo lililochukuliwa na adui, lililoibiwa na adui. 00:21:36.280 --> 00:21:41.440 Uchukue tena sasa hivi na upokee nguvu! 00:21:41.440 --> 00:21:48.280 Pokea nguvu ya kuendelea kujitahidi -kupambana kufanya vizuri, 00:21:48.280 --> 00:21:54.440 kupambania ukuu, kupambania mafanikio. Pokea nguvu hizo! 00:22:29.120 --> 00:22:33.760 Pokea nguvu hizo katikati ya mapambano yako! 00:22:33.760 --> 00:22:38.960 Ninakuambia kwa imani - mapambano yakoyatakufanya uwe na nguvu zaidi! 00:22:38.960 --> 00:22:41.640 Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu! 00:22:41.640 --> 00:22:44.640 Mapambano yako yatafanya biashara yako kuwa imara. 00:22:44.640 --> 00:22:47.560 Mapambano yako yataimarisha ndoa yako. 00:22:47.560 --> 00:22:50.800 Mapambano yako yatafanya fedha zako kuwa na nguvu zaidi. 00:22:50.800 --> 00:22:55.960 Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu zaidi. Pokea leo! 00:23:31.360 --> 00:23:37.680 Shida tuliyonayo wengi siku hizi tunajikuta tunachanganyikiwa kirahisi, 00:23:37.680 --> 00:23:43.080 na kuchanganyikiwa kumetushawishi kuchukua maamuzi ya kizembe 00:23:43.080 --> 00:23:45.760 ambayo hufanya hali zetu kuwa mbaya zaidi. 00:23:45.760 --> 00:23:53.640 Ninaamuru roho hiyo ya kuchanganyikiwa ikuache leo! 00:23:53.640 --> 00:23:55.840 Iachie biashara yako leo! 00:23:55.840 --> 00:23:58.280 Iachie fedha zako leo! 00:23:58.280 --> 00:24:03.560 Iachie familia yako leo ,katika jina la Yesu Kristo! 00:24:45.960 --> 00:24:49.480 Najua kuna wengi wetu tunaungana sasa hivi 00:24:49.480 --> 00:24:55.520 ambao wanatafuta kazi, wanatafuta kazi. 00:24:55.520 --> 00:25:02.680 Nakuambia, leo ni siku yako! 00:25:02.680 --> 00:25:07.360 Kwa mamlaka katika jina kuu la Yesu Kristo, 00:25:07.360 --> 00:25:14.720 acha maombi yako ya kazi yapate kibali cha Mungu! 00:25:14.720 --> 00:25:23.520 Acha CV yako ivutie kibali cha kimungu, katika jina la Yesu Kristo! 00:25:45.760 --> 00:25:48.840 Baada ya Ibada hii Shirikishi ya Maombi, 00:25:48.840 --> 00:25:58.680 tuma ombi lako la kazi n aupokee kazi uliyokusudiwa! 00:25:58.680 --> 00:26:03.680 Pokea kupandishwa cheo kwako, kwa jina la Yesu Kristo! 00:26:27.200 --> 00:26:30.400 Watu wa Mungu, nataka mzingatie jambo fulani. 00:26:30.400 --> 00:26:39.840 Sio kila kushindwa, kukokufanikiwa katika biashara yako, fedha ni kutokana na mashambulizi ya kiroho. 00:26:39.840 --> 00:26:47.040 Hapana! Mara nyingi, sisi ndio wabunifu wa anguko letu wenyewe 00:26:47.040 --> 00:26:52.880 kwa sababu ya jinsi tunavyotumia vibaya rasilimali zetu. 00:26:52.880 --> 00:26:55.240 Leo, nakuombea. 00:26:55.240 --> 00:27:00.160 Pokea hekima yausimamizi wa fedha. 00:27:00.160 --> 00:27:04.080 Pokea hekima yausimamizi wa biashara. 00:27:04.080 --> 00:27:10.720 Pokea hekima ya usimamizi wa watu, katika jina la Yesu Kristo! 00:27:37.880 --> 00:27:45.360 Sasa hivi, watu wa Mungu, nataka muombee mataifa ya ulimwengu. 00:27:45.360 --> 00:27:51.400 Ikiwa una bendera ya taifa lako, ishikilie kama mahali pa kuwasiliana. 00:27:51.400 --> 00:27:56.160 Tumeunganishwa kwa huduma hii kutoka kote ulimwenguni hivi sasa. 00:27:56.160 --> 00:27:58.120 Sisi hatuko hapa kwa ajili yetu wenyewe tu. 00:27:58.120 --> 00:28:02.080 Tuko hapa kusimama kwenye pengo kwa ajili ya mataifa. 00:28:02.080 --> 00:28:06.480 Kumbuka sasa hivi mataifa hayoyanayoshughulika 00:28:06.480 --> 00:28:11.000 na athari za majanga ya asili. 00:28:11.000 --> 00:28:18.640 Kumbuka mataifa hayo na uombe Mungu aingilie kati sasa hivi. 00:28:18.640 --> 00:28:21.800 Omba uingiliaji kati wa Mungu. 00:28:45.000 --> 00:28:53.200 Kumbuka mataifa ambayo yanashughulika na migogoro na machafuko inayoendelea. 00:28:53.200 --> 00:28:54.880 Kumbuka mataifa hayo. 00:28:54.880 --> 00:28:59.920 Omba uingiliaji kati wa Mungu. 00:28:59.920 --> 00:29:03.400 Omba Mungu aingilie kati leo. 00:29:24.280 --> 00:29:28.000 Kumbuka taifa lako mwenyewe katika maombi sasa hivi. 00:29:28.000 --> 00:29:30.480 Taja jina la taifa lako. 00:29:30.480 --> 00:29:35.600 Likabidhi taifa lako, wakabidhi viongozi wako mikononi mwa Mungu 00:29:35.600 --> 00:29:45.440 na uombe uingiliaji wa kimungu katika mambo ya taifa lako. 00:30:08.840 --> 00:30:14.400 Kila pazia linalotia giza moyo wako, 00:30:14.400 --> 00:30:20.040 ukizuia moyo wako kupokea ufunuo kutoka juu, 00:30:20.040 --> 00:30:27.200 Ninasema kwa pazia hilo - vunjwa leo! 00:30:27.200 --> 00:30:36.200 Macho ya imani yako na yafumbuke, kwa jina kuu la Yesu. 00:31:15.080 --> 00:31:23.240 Macho ya imani yako - yafumbuliwe sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo! 00:31:23.240 --> 00:31:25.960 Anza kuona maisha dhahiri. 00:31:25.960 --> 00:31:28.440 Jionee dhahiri. 00:31:28.440 --> 00:31:30.400 Tazama wengine kwa uwazi. 00:31:30.400 --> 00:31:34.200 Jitambue. 00:31:34.200 --> 00:31:41.480 Pata maoni ya Mungu juu yako mwenyewe na wengine, katika jina la Yesu Kristo! 00:32:10.880 --> 00:32:17.000 Katika jina kuu la Yesu Kristo tunaomba. 00:32:24.840 --> 00:32:33.080 Watu wa Mungu, Maandiko yanasema katika kitabu cha Zaburi 142:7 00:32:33.080 --> 00:32:43.160 ili Mungu azifungue roho zetu kutoka gerezani ili tulisifu jina lake takatifu. 00:32:43.160 --> 00:32:51.200 Ninasema sasa hivi, leo, kwa mamlakakatika jina la Yesu Kristo, 00:32:51.200 --> 00:32:55.960 nafsi yako imefunguliwa kutoka katika gereza hilo la utumwa. 00:32:55.960 --> 00:33:01.440 Familia yako imeachiliwa kutoka katika gereza la laana za vizazi. 00:33:01.440 --> 00:33:06.200 Biashara yako imeachiliwa kutoka kwenye gereza la vilio. 00:33:06.200 --> 00:33:10.880 Afya yako imetolewa kutoka katika gereza la mateso. 00:33:10.880 --> 00:33:13.880 Maisha yako yamekombolewa leo. 00:33:13.880 --> 00:33:17.760 Furahia kukombolewa kwako! 00:33:17.760 --> 00:33:23.960 Ndiyo, furahia kuachiliwa kwako na ulisifu jina lake kwa uponyaji wako. 00:33:23.960 --> 00:33:26.640 Lisifuni jina lake kwa ukombozi wako. 00:33:26.640 --> 00:33:29.120 Lisifuni jina lake kwa uhuru wako. 00:33:29.120 --> 00:33:31.640 Lisifuni jina lake kwa kazi hiyo mpya. 00:33:31.640 --> 00:33:34.160 Lisifiwe jina lake kwa kupandiswa cheo. 00:33:34.160 --> 00:33:36.760 Lisifuni jina lake kwa ongezeko hilo. 00:33:36.760 --> 00:33:39.600 Lisifuni jina lake kwa upatanisho huo. 00:33:39.600 --> 00:33:42.880 Lisifuni jina lake! 00:33:42.880 --> 00:33:49.600 Kila mwenye pumzina amsifu Bwana! 00:33:49.600 --> 00:34:01.280 Na zingatia haya - unapomtafuta Mungu katikati ya hali yako. 00:34:01.280 --> 00:34:06.880 utamwona Mungu katikati ya hali yako. 00:34:06.880 --> 00:34:12.960 Lakini hamu yako ya kupokea kutoka kwa Yesu Kristo 00:34:12.960 --> 00:34:23.360 lazima iambatane na kujitolea kumfuata Yesu Kristo. 00:34:23.360 --> 00:34:30.560 Je, kuna eneo lolote la maisha yako ,maisha yako ya kila siku, 00:34:30.560 --> 00:34:40.440 kwamba unajua unahitaji kulirekebisha ili kudumisha uhusiano wako pamoja na Mungu? 00:34:40.440 --> 00:34:47.280 Ukweli wa utayari wako wa kumfuata Yesu 00:34:47.280 --> 00:34:54.080 unaonyeshwa na uzito ambao unajibu swali hili - 00:34:54.080 --> 00:35:01.040 si kwa midomo tu bali kwa maisha yako. 00:35:01.040 --> 00:35:02.960 Kumbuka, watu wa Mungu. 00:35:02.960 --> 00:35:07.000 Bila shaka, kila mtu hufanya makosa. 00:35:07.000 --> 00:35:12.080 Na ndio, sote tunapambana na udhaifu wetu. 00:35:12.080 --> 00:35:22.920 Lakini la msingi ni wewe kumkimbilia Mungu kwa ajili ya toba. 00:35:22.920 --> 00:35:30.480 Unapomkimbilia Mungu kwa toba, utapata nguvu ya kushinda 00:35:30.480 --> 00:35:33.720 na neema ya kuendelea.