[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:13.16,Default,,0000,0000,0000,,Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:13.16,0:00:25.48,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, woga, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:00:26.80,0:00:40.52,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa Mungu, ni hali ipi inayowazunguka leo? Dialogue: 0,0:00:40.52,0:00:49.24,Default,,0000,0000,0000,,Moyo wako umeumizwa au umevunjika Dialogue: 0,0:00:49.24,0:00:59.80,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ya maswala ambayo maisha yamekukabili au yaliyosababishwa na chaguzi zisizo sahihi? Dialogue: 0,0:00:59.80,0:01:04.88,Default,,0000,0000,0000,,Niko hapa leo kukuambia ukweli huu. Dialogue: 0,0:01:04.88,0:01:16.28,Default,,0000,0000,0000,,Kuna uponyaji na utimilifu unaopatikana kwa ajili yako katika Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:01:16.28,0:01:25.56,Default,,0000,0000,0000,,Labda sijui ni nini kinasumbua roho yako kwa wakati huu Dialogue: 0,0:01:25.56,0:01:30.76,Default,,0000,0000,0000,,unapoungana na na huduma hii, lakini jambo moja najua - Dialogue: 0,0:01:30.76,0:01:39.48,Default,,0000,0000,0000,,kuna pumziko katika Kristo Yesu kwa ajili yako. Dialogue: 0,0:01:39.48,0:01:43.60,Default,,0000,0000,0000,,Lakini zingatia hili. Dialogue: 0,0:01:43.60,0:01:50.40,Default,,0000,0000,0000,,Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayeweza kutatua masuala ya nafsi yako. Dialogue: 0,0:01:50.40,0:01:59.12,Default,,0000,0000,0000,,Ni Muumba wa moyo wako pekee ndiye anayeweza kurekebisha masuala ya moyo wako. Dialogue: 0,0:01:59.12,0:02:11.72,Default,,0000,0000,0000,,Kutafuta misaada katika mwili, kwa juu tu katika uso, kutasababisha tu shida zaidi. Dialogue: 0,0:02:11.72,0:02:16.00,Default,,0000,0000,0000,,Kutakuacha ukiwa na sonona zaidi. Dialogue: 0,0:02:16.00,0:02:22.64,Default,,0000,0000,0000,,Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayewez akutatua masuala ya nafsi yako. Dialogue: 0,0:02:22.64,0:02:27.44,Default,,0000,0000,0000,,Na ndio maana nakuambia leo hongera Dialogue: 0,0:02:27.44,0:02:30.20,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu umefanya chaguo sahihi. Dialogue: 0,0:02:30.20,0:02:35.64,Default,,0000,0000,0000,,Umechagua kutafuta uhusikaji wa Mungu. Dialogue: 0,0:02:35.64,0:02:42.16,Default,,0000,0000,0000,,Ndiyo maana uko hapa kwa wakati huu, umeunganishwa kwenye huduma hii. Dialogue: 0,0:02:42.16,0:02:46.80,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo swali sasa hivi ni hili. Dialogue: 0,0:02:46.80,0:02:55.96,Default,,0000,0000,0000,,Je, hali ya moyo wako ikoje tunapokaribia kuomba pamoja? Dialogue: 0,0:02:55.96,0:03:01.28,Default,,0000,0000,0000,,Je, moyo wako uko wazi kwa ajili ya Roho Mtakatifu? Dialogue: 0,0:03:01.28,0:03:05.32,Default,,0000,0000,0000,,Je, roho yako iko huru? Dialogue: 0,0:03:05.32,0:03:10.04,Default,,0000,0000,0000,,Au roho yako bado imefungwa? Dialogue: 0,0:03:10.04,0:03:20.56,Default,,0000,0000,0000,,Umefungwa kwa maumivu ya siku za nyuma, uchungu, kutosamehe au chuki? Dialogue: 0,0:03:20.56,0:03:30.36,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu kinachofunga roho yako kinaweza kuwa kinazuia baraka zako. Dialogue: 0,0:03:30.36,0:03:40.04,Default,,0000,0000,0000,,Ni wakati sasa wa wewe kuachana na maumivu yote ya zamani. Dialogue: 0,0:03:40.04,0:03:43.24,Default,,0000,0000,0000,,Achana na huko kutosamehe. Dialogue: 0,0:03:43.24,0:03:53.44,Default,,0000,0000,0000,,Acha uchungu huo na umkaribishe Roho Mtakatifu aingie moyoni mwako sasa hivi. Dialogue: 0,0:03:53.44,0:03:57.20,Default,,0000,0000,0000,,Mkaribishe Roho Mtakatifu ndani ya moyo wako. Dialogue: 0,0:03:57.20,0:04:00.64,Default,,0000,0000,0000,,Mkaribishe Roho Mtakatifu katikati yako. Dialogue: 0,0:04:00.64,0:04:03.96,Default,,0000,0000,0000,,Mkaribishe Roho Mtakatifu nyumbani kwako. Dialogue: 0,0:04:03.96,0:04:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Mkaribishe sasa hivi. Dialogue: 0,0:04:07.00,0:04:18.72,Default,,0000,0000,0000,,Ee Roho Mtakatifu, tunaomba utufungulie malango ya Mbinguni leo. Dialogue: 0,0:04:18.72,0:04:27.60,Default,,0000,0000,0000,,Tunapofungua mioyo yetu Kwako, fungua milango ya mafuriko kwetu katika jina la Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:04:52.28,0:05:01.84,Default,,0000,0000,0000,,Hivi sasa, mbegu yoyote ya uchungu ambayo imetia mizizi moyoni mwako - Dialogue: 0,0:05:01.84,0:05:08.24,Default,,0000,0000,0000,,Nasema, ng'olewa kwa jina kuu la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:05:24.48,0:05:33.56,Default,,0000,0000,0000,,Unapoachilia msamaha, pokea msamaha! Dialogue: 0,0:05:33.56,0:05:39.80,Default,,0000,0000,0000,,Unapoachilia msamaha, wekwa kando ka ajili ya uangalifu wa Mungu! Dialogue: 0,0:05:39.80,0:05:47.40,Default,,0000,0000,0000,,UtengwE kwa ajili ya huruma ya Mungu! Wekwa kando kando kwa upendeleo wa Mungu leo! Dialogue: 0,0:06:06.00,0:06:12.40,Default,,0000,0000,0000,,Kila doa la dhambi - lioshwe! Dialogue: 0,0:06:12.40,0:06:18.44,Default,,0000,0000,0000,,Uoshwe kwa Damu ya Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:06:31.64,0:06:39.68,Default,,0000,0000,0000,,Roho Mtakatifu, ruhusu malango yako ya ukombozi yafunguke sasa hivi. Dialogue: 0,0:06:39.68,0:06:50.24,Default,,0000,0000,0000,,Acha nguvu Yako ya ukombozi ishuke sasa hivi! Dialogue: 0,0:06:50.24,0:06:54.52,Default,,0000,0000,0000,,Pokea ukombozi wako! Dialogue: 0,0:06:54.52,0:06:58.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:07:21.32,0:07:28.36,Default,,0000,0000,0000,,Kila silaha ya giza inayosababisha dhiki katika nafsi yako, Dialogue: 0,0:07:28.36,0:07:33.28,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema hivi sasa - toweshwa! Dialogue: 0,0:07:33.28,0:07:36.76,Default,,0000,0000,0000,,Utoweshwe, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:07:36.76,0:07:40.64,Default,,0000,0000,0000,,Uvunjwe sasa hivi! Dialogue: 0,0:08:00.04,0:08:13.24,Default,,0000,0000,0000,,Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:08:13.24,0:08:26.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, mashaka, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:08:55.44,0:09:05.68,Default,,0000,0000,0000,,Wewe pepo mchafu uletaye madhara na chuki - sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:09:05.68,0:09:08.80,Default,,0000,0000,0000,,Tupwa nje! Dialogue: 0,0:09:08.80,0:09:13.28,Default,,0000,0000,0000,,Tupwa nje, kwa jina kuu la Yesu! Dialogue: 0,0:09:25.84,0:09:37.16,Default,,0000,0000,0000,,Kila roho chafu iliyo nyuma ya tabia hizo mbaya, ambayo inasababisha tabia yako mbaya - Dialogue: 0,0:09:37.16,0:09:38.44,Default,,0000,0000,0000,,inatosha! Dialogue: 0,0:09:38.44,0:09:45.20,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuamuru wewe pepo mchafu utoke sasa hivi! Dialogue: 0,0:09:45.20,0:09:53.68,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo iliyo nyuma ya uasherati -toka kwa jina kuu la Yesu! Dialogue: 0,0:10:22.44,0:10:26.04,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa Mungu, ukombozi unafanyika. Dialogue: 0,0:10:26.04,0:10:32.88,Default,,0000,0000,0000,,Nguvu za Roho Mtakatifu zinakutenganisha na nguvu zozote za giza. Dialogue: 0,0:10:32.88,0:10:34.96,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa uko pamoja na wanafamilia, Dialogue: 0,0:10:34.96,0:10:40.48,Default,,0000,0000,0000,,Ninataka kuombea familia sasa hivi kwa ajili ya ukombozi kutoka kwenye laana za vizazi. Dialogue: 0,0:10:40.48,0:10:45.12,Default,,0000,0000,0000,,Shikilia wanafamilia yako sasa hivi. Tuombe pamoja. Dialogue: 0,0:10:45.12,0:10:54.88,Default,,0000,0000,0000,,Kila roho ya umaskini inayoshikilia familia yako mateka - inatosha! Dialogue: 0,0:10:54.88,0:10:58.04,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mamlaka katika jina la Yesu Kristo, Dialogue: 0,0:10:58.04,0:11:03.20,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuamuru utoke katika gereza hilo la umaskini! Dialogue: 0,0:11:03.20,0:11:06.28,Default,,0000,0000,0000,,Toka katika gereza hilo la umaskini! Dialogue: 0,0:11:06.28,0:11:10.24,Default,,0000,0000,0000,,Toka katika gereza hilo katika familia yako! Dialogue: 0,0:11:39.44,0:11:43.68,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi, toka kwenye ngome hiyo katika familia yako! Dialogue: 0,0:11:43.68,0:11:51.64,Default,,0000,0000,0000,,Ngome hiyo ya kizuizi, vilio, kurudi nyuma - ufukuwe kutoka kwenye ngome hiyo! Dialogue: 0,0:11:51.64,0:11:57.20,Default,,0000,0000,0000,,Ukombolewe kutoka kwenye ngome hiyo! Dialogue: 0,0:12:18.08,0:12:21.64,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa wanafamilia wako hawako nawe kimwili lakini una picha yao, Dialogue: 0,0:12:21.64,0:12:23.20,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kuishikilia kwa imani. Dialogue: 0,0:12:23.20,0:12:25.24,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuzishikilia picha zao kwa imani. Dialogue: 0,0:12:25.24,0:12:27.44,Default,,0000,0000,0000,,Roho wa Mungu anatenda kazi. Dialogue: 0,0:12:27.44,0:12:32.48,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi, vunja laana hiyo katika familia yako! Dialogue: 0,0:12:32.48,0:12:35.32,Default,,0000,0000,0000,,Jiepushe na laana hiyo! Dialogue: 0,0:13:05.08,0:13:16.84,Default,,0000,0000,0000,,Laana hiyo ya kizazi cha ugumu katika familia yako - ivunjwe sasa hivi! Dialogue: 0,0:13:16.84,0:13:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Laana hiyo ya kizazi ya magonjwa, maradhi, maumivu katika familia yako - Dialogue: 0,0:13:24.00,0:13:30.40,Default,,0000,0000,0000,,vunjwa, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:13:59.76,0:14:05.80,Default,,0000,0000,0000,,Katika mazingira haya ya imani, weka mkono wako popote pale unapopata maumivu. Dialogue: 0,0:14:05.80,0:14:12.24,Default,,0000,0000,0000,,Roho Mtakatifu sasa hivi anaachilia nguvu zake za uponyaji. Dialogue: 0,0:14:12.24,0:14:14.32,Default,,0000,0000,0000,,Weka mkono wako hapo sasa hivi. Dialogue: 0,0:14:14.32,0:14:21.76,Default,,0000,0000,0000,,Malango ya Mbinguni yanafunguka na kuachilia uponyaji katika maisha yako leo. Dialogue: 0,0:14:21.76,0:14:34.72,Default,,0000,0000,0000,,Ninazungumza moja kwa moja na huyo pepo mchafu anayekuletea maumivu, magonjwa, maradhi. Dialogue: 0,0:14:34.72,0:14:40.56,Default,,0000,0000,0000,,Sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:14:40.56,0:14:45.76,Default,,0000,0000,0000,,Uponywe, katika jina la Yesu! Dialogue: 0,0:14:45.76,0:14:51.16,Default,,0000,0000,0000,,Uponywe, katikajina kuu la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:15:19.88,0:15:29.28,Default,,0000,0000,0000,,Kila chanzo cha ugonjwa katika mfumo wako - ufurumishwe leo! Dialogue: 0,0:15:29.28,0:15:32.08,Default,,0000,0000,0000,,Ufurumishwe sasa hivi! Dialogue: 0,0:15:32.08,0:15:34.80,Default,,0000,0000,0000,,Kitapike sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:15:34.80,0:15:39.32,Default,,0000,0000,0000,,Popote ambapo ugonjwa huo umejificha,p opote ugonjwa huo unanyemelea - Dialogue: 0,0:15:39.32,0:15:43.76,Default,,0000,0000,0000,,toka kwenye mfumo wako!Kutoka kwa viungo vyako! Dialogue: 0,0:15:43.76,0:15:46.00,Default,,0000,0000,0000,,Kutolewa sasa hivi! Dialogue: 0,0:16:12.64,0:16:21.80,Default,,0000,0000,0000,,Kila kitu kigeni katika mwili wako -uoshwe nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:16:21.80,0:16:26.00,Default,,0000,0000,0000,,Usafishwe kwa Damu ya Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:16:39.60,0:16:47.44,Default,,0000,0000,0000,,Ninazungumza na ugonjwa huo wa ajabu katika damu yako, katika misuli yako, katika mifupa yako. Dialogue: 0,0:16:47.44,0:16:52.28,Default,,0000,0000,0000,,Maambukizi hayo, sasa hivi -toka kwenye mfumo wao! Dialogue: 0,0:16:52.28,0:16:54.80,Default,,0000,0000,0000,,Usafishwe kwa jina la Yesu! Dialogue: 0,0:16:54.80,0:16:58.36,Default,,0000,0000,0000,,Katika damu yako - takaswa sasa hivi! Dialogue: 0,0:16:58.36,0:17:02.16,Default,,0000,0000,0000,,Katika mifupa yako - takaswa hivi sasa! Dialogue: 0,0:17:02.16,0:17:06.32,Default,,0000,0000,0000,,Katika uwezo wako -takaswa! Dialogue: 0,0:17:31.00,0:17:42.36,Default,,0000,0000,0000,,Kizuizi hicho kinachoathiri kupumua kwako, kinachoathiri moyo wako, kinachoathiri mapafu yako, Dialogue: 0,0:17:42.36,0:17:51.76,Default,,0000,0000,0000,,Ninakiambia kizuizi hicho -kiondolewe sasa hivi! Dialogue: 0,0:17:51.76,0:18:03.52,Default,,0000,0000,0000,,Pokea maisha mapya katika mapafu yako, moyo, uwezo, damu, mifupa! Dialogue: 0,0:18:03.52,0:18:06.20,Default,,0000,0000,0000,,Pokea kwa jina la Yesu! Dialogue: 0,0:18:42.52,0:18:47.32,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo ya ajabu inasumbua usingizi wako, Dialogue: 0,0:18:47.32,0:18:52.72,Default,,0000,0000,0000,,kusababisha kukosa utulivu usiku, kuathiri uwezo wako wa kulala, Dialogue: 0,0:18:52.72,0:18:58.32,Default,,0000,0000,0000,,Ninaiambia roho hiyo - toka leo! Dialogue: 0,0:18:58.32,0:19:01.72,Default,,0000,0000,0000,,Ondoka, kwa jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:19:01.72,0:19:08.84,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hilo pumziko katika roho,nafsi na mwili wako sasa hivi! Dialogue: 0,0:19:32.36,0:19:38.56,Default,,0000,0000,0000,,Jeraha hilo la ndani - liponywe sasa hivi! Dialogue: 0,0:19:38.56,0:19:46.48,Default,,0000,0000,0000,,Jeraha hilo la ndani - upone sasa hivi! Dialogue: 0,0:19:46.48,0:19:50.48,Default,,0000,0000,0000,,Uwe mzima, katika jina la Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:20:08.40,0:20:14.48,Default,,0000,0000,0000,,Hivi sasa, chochote ambacho shetani amekiingilia katika kazi yako Dialogue: 0,0:20:14.48,0:20:23.28,Default,,0000,0000,0000,,ambacho imesababisha kuchelewa, kizuizi, vilio - leo ni siku yako ya urejesho. Dialogue: 0,0:20:23.28,0:20:26.08,Default,,0000,0000,0000,,Urejeshwe sasa hivi! Dialogue: 0,0:20:26.08,0:20:28.64,Default,,0000,0000,0000,,Urejeshwe katika kazi yako! Dialogue: 0,0:20:28.64,0:20:31.48,Default,,0000,0000,0000,,Urejeshwe katika fedha zako! Dialogue: 0,0:20:31.48,0:20:34.36,Default,,0000,0000,0000,,Urejeshwe katika biashara yako! Dialogue: 0,0:20:34.36,0:20:36.80,Default,,0000,0000,0000,,Urejeshwe! Dialogue: 0,0:21:05.32,0:21:14.24,Default,,0000,0000,0000,,Ni kipi kinachosababisha 'uchhovu kupindukia' katika kazi yako? Dialogue: 0,0:21:14.24,0:21:25.08,Default,,0000,0000,0000,,Je, unateseka chini ya uzito wa shinikizo na mvutano mahali pa kazi yako? Dialogue: 0,0:21:25.08,0:21:29.56,Default,,0000,0000,0000,,Ni wakati wa kuchukua tena udhibiti wa moyo wako Dialogue: 0,0:21:29.56,0:21:36.28,Default,,0000,0000,0000,,na kuteka tena eneo lililochukuliwa na adui, lililoibiwa na adui. Dialogue: 0,0:21:36.28,0:21:41.44,Default,,0000,0000,0000,,Uchukue tena sasa hivi na upokee nguvu! Dialogue: 0,0:21:41.44,0:21:48.28,Default,,0000,0000,0000,,Pokea nguvu ya kuendelea kujitahidi -kupambana kufanya vizuri, Dialogue: 0,0:21:48.28,0:21:54.44,Default,,0000,0000,0000,,kupambania ukuu, kupambania mafanikio. Pokea nguvu hizo! Dialogue: 0,0:22:29.12,0:22:33.76,Default,,0000,0000,0000,,Pokea nguvu hizo katikati ya mapambano yako! Dialogue: 0,0:22:33.76,0:22:38.96,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuambia kwa imani - mapambano yakoyatakufanya uwe na nguvu zaidi! Dialogue: 0,0:22:38.96,0:22:41.64,Default,,0000,0000,0000,,Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu! Dialogue: 0,0:22:41.64,0:22:44.64,Default,,0000,0000,0000,,Mapambano yako yatafanya biashara yako kuwa imara. Dialogue: 0,0:22:44.64,0:22:47.56,Default,,0000,0000,0000,,Mapambano yako yataimarisha ndoa yako. Dialogue: 0,0:22:47.56,0:22:50.80,Default,,0000,0000,0000,,Mapambano yako yatafanya fedha zako kuwa na nguvu zaidi. Dialogue: 0,0:22:50.80,0:22:55.96,Default,,0000,0000,0000,,Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu zaidi. Pokea leo! Dialogue: 0,0:23:31.36,0:23:37.68,Default,,0000,0000,0000,,Shida tuliyonayo wengi siku hizi tunajikuta tunachanganyikiwa kirahisi, Dialogue: 0,0:23:37.68,0:23:43.08,Default,,0000,0000,0000,,na kuchanganyikiwa kumetushawishi kuchukua maamuzi ya kizembe Dialogue: 0,0:23:43.08,0:23:45.76,Default,,0000,0000,0000,,ambayo hufanya hali zetu kuwa mbaya zaidi. Dialogue: 0,0:23:45.76,0:23:53.64,Default,,0000,0000,0000,,Ninaamuru roho hiyo ya kuchanganyikiwa ikuache leo! Dialogue: 0,0:23:53.64,0:23:55.84,Default,,0000,0000,0000,,Iachie biashara yako leo! Dialogue: 0,0:23:55.84,0:23:58.28,Default,,0000,0000,0000,,Iachie fedha zako leo! Dialogue: 0,0:23:58.28,0:24:03.56,Default,,0000,0000,0000,,Iachie familia yako leo ,katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:24:45.96,0:24:49.48,Default,,0000,0000,0000,,Najua kuna wengi wetu tunaungana sasa hivi Dialogue: 0,0:24:49.48,0:24:55.52,Default,,0000,0000,0000,,ambao wanatafuta kazi, wanatafuta kazi. Dialogue: 0,0:24:55.52,0:25:02.68,Default,,0000,0000,0000,,Nakuambia, leo ni siku yako! Dialogue: 0,0:25:02.68,0:25:07.36,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mamlaka katika jina kuu la Yesu Kristo, Dialogue: 0,0:25:07.36,0:25:14.72,Default,,0000,0000,0000,,acha maombi yako ya kazi yapate kibali cha Mungu! Dialogue: 0,0:25:14.72,0:25:23.52,Default,,0000,0000,0000,,Acha CV yako ivutie kibali cha kimungu, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:25:45.76,0:25:48.84,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya Ibada hii Shirikishi ya Maombi, Dialogue: 0,0:25:48.84,0:25:58.68,Default,,0000,0000,0000,,tuma ombi lako la kazi n aupokee kazi uliyokusudiwa! Dialogue: 0,0:25:58.68,0:26:03.68,Default,,0000,0000,0000,,Pokea kupandishwa cheo kwako, kwa jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:26:27.20,0:26:30.40,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa Mungu, nataka mzingatie jambo fulani. Dialogue: 0,0:26:30.40,0:26:39.84,Default,,0000,0000,0000,,Sio kila kushindwa, kukokufanikiwa katika biashara yako, fedha ni kutokana na mashambulizi ya kiroho. Dialogue: 0,0:26:39.84,0:26:47.04,Default,,0000,0000,0000,,Hapana! Mara nyingi, sisi ndio wabunifu wa anguko letu wenyewe Dialogue: 0,0:26:47.04,0:26:52.88,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ya jinsi tunavyotumia vibaya rasilimali zetu. Dialogue: 0,0:26:52.88,0:26:55.24,Default,,0000,0000,0000,,Leo, nakuombea. Dialogue: 0,0:26:55.24,0:27:00.16,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hekima yausimamizi wa fedha. Dialogue: 0,0:27:00.16,0:27:04.08,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hekima yausimamizi wa biashara. Dialogue: 0,0:27:04.08,0:27:10.72,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hekima ya usimamizi wa watu, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:27:37.88,0:27:45.36,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi, watu wa Mungu, nataka muombee mataifa ya ulimwengu. Dialogue: 0,0:27:45.36,0:27:51.40,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa una bendera ya taifa lako, ishikilie kama mahali pa kuwasiliana. Dialogue: 0,0:27:51.40,0:27:56.16,Default,,0000,0000,0000,,Tumeunganishwa kwa huduma hii kutoka kote ulimwenguni hivi sasa. Dialogue: 0,0:27:56.16,0:27:58.12,Default,,0000,0000,0000,,Sisi hatuko hapa kwa ajili yetu wenyewe tu. Dialogue: 0,0:27:58.12,0:28:02.08,Default,,0000,0000,0000,,Tuko hapa kusimama kwenye pengo kwa ajili ya mataifa. Dialogue: 0,0:28:02.08,0:28:06.48,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka sasa hivi mataifa hayoyanayoshughulika Dialogue: 0,0:28:06.48,0:28:11.00,Default,,0000,0000,0000,,na athari za majanga ya asili. Dialogue: 0,0:28:11.00,0:28:18.64,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka mataifa hayo na uombe Mungu aingilie kati sasa hivi. Dialogue: 0,0:28:18.64,0:28:21.80,Default,,0000,0000,0000,,Omba uingiliaji kati wa Mungu. Dialogue: 0,0:28:45.00,0:28:53.20,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka mataifa ambayo yanashughulika na migogoro na machafuko inayoendelea. Dialogue: 0,0:28:53.20,0:28:54.88,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka mataifa hayo. Dialogue: 0,0:28:54.88,0:28:59.92,Default,,0000,0000,0000,,Omba uingiliaji kati wa Mungu. Dialogue: 0,0:28:59.92,0:29:03.40,Default,,0000,0000,0000,,Omba Mungu aingilie kati leo. Dialogue: 0,0:29:24.28,0:29:28.00,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka taifa lako mwenyewe katika maombi sasa hivi. Dialogue: 0,0:29:28.00,0:29:30.48,Default,,0000,0000,0000,,Taja jina la taifa lako. Dialogue: 0,0:29:30.48,0:29:35.60,Default,,0000,0000,0000,,Likabidhi taifa lako, wakabidhi viongozi wako mikononi mwa Mungu Dialogue: 0,0:29:35.60,0:29:45.44,Default,,0000,0000,0000,,na uombe uingiliaji wa kimungu katika mambo ya taifa lako. Dialogue: 0,0:30:08.84,0:30:14.40,Default,,0000,0000,0000,,Kila pazia linalotia giza moyo wako, Dialogue: 0,0:30:14.40,0:30:20.04,Default,,0000,0000,0000,,ukizuia moyo wako kupokea ufunuo kutoka juu, Dialogue: 0,0:30:20.04,0:30:27.20,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema kwa pazia hilo - vunjwa leo! Dialogue: 0,0:30:27.20,0:30:36.20,Default,,0000,0000,0000,,Macho ya imani yako na yafumbuke, kwa jina kuu la Yesu. Dialogue: 0,0:31:15.08,0:31:23.24,Default,,0000,0000,0000,,Macho ya imani yako - yafumbuliwe sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:31:23.24,0:31:25.96,Default,,0000,0000,0000,,Anza kuona maisha dhahiri. Dialogue: 0,0:31:25.96,0:31:28.44,Default,,0000,0000,0000,,Jionee dhahiri. Dialogue: 0,0:31:28.44,0:31:30.40,Default,,0000,0000,0000,,Tazama wengine kwa uwazi. Dialogue: 0,0:31:30.40,0:31:34.20,Default,,0000,0000,0000,,Jitambue. Dialogue: 0,0:31:34.20,0:31:41.48,Default,,0000,0000,0000,,Pata maoni ya Mungu juu yako mwenyewe na wengine, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:32:10.88,0:32:17.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina kuu la Yesu Kristo tunaomba. Dialogue: 0,0:32:24.84,0:32:33.08,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa Mungu, Maandiko yanasema katika kitabu cha Zaburi 142:7 Dialogue: 0,0:32:33.08,0:32:43.16,Default,,0000,0000,0000,,ili Mungu azifungue roho zetu kutoka gerezani ili tulisifu jina lake takatifu. Dialogue: 0,0:32:43.16,0:32:51.20,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema sasa hivi, leo, kwa mamlakakatika jina la Yesu Kristo, Dialogue: 0,0:32:51.20,0:32:55.96,Default,,0000,0000,0000,,nafsi yako imefunguliwa kutoka katika gereza hilo la utumwa. Dialogue: 0,0:32:55.96,0:33:01.44,Default,,0000,0000,0000,,Familia yako imeachiliwa kutoka katika gereza la laana za vizazi. Dialogue: 0,0:33:01.44,0:33:06.20,Default,,0000,0000,0000,,Biashara yako imeachiliwa kutoka kwenye gereza la vilio. Dialogue: 0,0:33:06.20,0:33:10.88,Default,,0000,0000,0000,,Afya yako imetolewa kutoka katika gereza la mateso. Dialogue: 0,0:33:10.88,0:33:13.88,Default,,0000,0000,0000,,Maisha yako yamekombolewa leo. Dialogue: 0,0:33:13.88,0:33:17.76,Default,,0000,0000,0000,,Furahia kukombolewa kwako! Dialogue: 0,0:33:17.76,0:33:23.96,Default,,0000,0000,0000,,Ndiyo, furahia kuachiliwa kwako na ulisifu jina lake kwa uponyaji wako. Dialogue: 0,0:33:23.96,0:33:26.64,Default,,0000,0000,0000,,Lisifuni jina lake kwa ukombozi wako. Dialogue: 0,0:33:26.64,0:33:29.12,Default,,0000,0000,0000,,Lisifuni jina lake kwa uhuru wako. Dialogue: 0,0:33:29.12,0:33:31.64,Default,,0000,0000,0000,,Lisifuni jina lake kwa kazi hiyo mpya. Dialogue: 0,0:33:31.64,0:33:34.16,Default,,0000,0000,0000,,Lisifiwe jina lake kwa kupandiswa cheo. Dialogue: 0,0:33:34.16,0:33:36.76,Default,,0000,0000,0000,,Lisifuni jina lake kwa ongezeko hilo. Dialogue: 0,0:33:36.76,0:33:39.60,Default,,0000,0000,0000,,Lisifuni jina lake kwa upatanisho huo. Dialogue: 0,0:33:39.60,0:33:42.88,Default,,0000,0000,0000,,Lisifuni jina lake! Dialogue: 0,0:33:42.88,0:33:49.60,Default,,0000,0000,0000,,Kila mwenye pumzina amsifu Bwana! Dialogue: 0,0:33:49.60,0:34:01.28,Default,,0000,0000,0000,,Na zingatia haya - unapomtafuta Mungu katikati ya hali yako. Dialogue: 0,0:34:01.28,0:34:06.88,Default,,0000,0000,0000,,utamwona Mungu katikati ya hali yako. Dialogue: 0,0:34:06.88,0:34:12.96,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hamu yako ya kupokea kutoka kwa Yesu Kristo Dialogue: 0,0:34:12.96,0:34:23.36,Default,,0000,0000,0000,,lazima iambatane na kujitolea kumfuata Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:34:23.36,0:34:30.56,Default,,0000,0000,0000,,Je, kuna eneo lolote la maisha yako ,maisha yako ya kila siku, Dialogue: 0,0:34:30.56,0:34:40.44,Default,,0000,0000,0000,,kwamba unajua unahitaji kulirekebisha ili kudumisha uhusiano wako pamoja na Mungu? Dialogue: 0,0:34:40.44,0:34:47.28,Default,,0000,0000,0000,,Ukweli wa utayari wako wa kumfuata Yesu Dialogue: 0,0:34:47.28,0:34:54.08,Default,,0000,0000,0000,,unaonyeshwa na uzito ambao unajibu swali hili - Dialogue: 0,0:34:54.08,0:35:01.04,Default,,0000,0000,0000,,si kwa midomo tu bali kwa maisha yako. Dialogue: 0,0:35:01.04,0:35:02.96,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka, watu wa Mungu. Dialogue: 0,0:35:02.96,0:35:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Bila shaka, kila mtu hufanya makosa. Dialogue: 0,0:35:07.00,0:35:12.08,Default,,0000,0000,0000,,Na ndio, sote tunapambana na udhaifu wetu. Dialogue: 0,0:35:12.08,0:35:22.92,Default,,0000,0000,0000,,Lakini la msingi ni wewe kumkimbilia Mungu kwa ajili ya toba. Dialogue: 0,0:35:22.92,0:35:30.48,Default,,0000,0000,0000,,Unapomkimbilia Mungu kwa toba, utapata nguvu ya kushinda Dialogue: 0,0:35:30.48,0:35:33.72,Default,,0000,0000,0000,,na neema ya kuendelea.