1 00:00:00,000 --> 00:00:13,160 Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi! 2 00:00:13,160 --> 00:00:25,480 Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, woga, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo! 3 00:00:26,800 --> 00:00:40,520 Watu wa Mungu, ni hali ipi inayowazunguka leo? 4 00:00:40,520 --> 00:00:49,240 Moyo wako umeumizwa au umevunjika 5 00:00:49,240 --> 00:00:59,800 kwa sababu ya maswala ambayo maisha yamekukabili au yaliyosababishwa na chaguzi zisizo sahihi? 6 00:00:59,800 --> 00:01:04,880 Niko hapa leo kukuambia ukweli huu. 7 00:01:04,880 --> 00:01:16,280 Kuna uponyaji na utimilifu unaopatikana kwa ajili yako katika Yesu Kristo. 8 00:01:16,280 --> 00:01:25,560 Labda sijui ni nini kinasumbua roho yako kwa wakati huu 9 00:01:25,560 --> 00:01:30,760 unapoungana na na huduma hii, lakini jambo moja najua - 10 00:01:30,760 --> 00:01:39,480 kuna pumziko katika Kristo Yesu kwa ajili yako. 11 00:01:39,480 --> 00:01:43,600 Lakini zingatia hili. 12 00:01:43,600 --> 00:01:50,400 Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayeweza kutatua masuala ya nafsi yako. 13 00:01:50,400 --> 00:01:59,120 Ni Muumba wa moyo wako pekee ndiye anayeweza kurekebisha masuala ya moyo wako. 14 00:01:59,120 --> 00:02:11,720 Kutafuta misaada katika mwili, kwa juu tu katika uso, kutasababisha tu shida zaidi. 15 00:02:11,720 --> 00:02:16,000 Kutakuacha ukiwa na sonona zaidi. 16 00:02:16,000 --> 00:02:22,640 Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayewez akutatua masuala ya nafsi yako. 17 00:02:22,640 --> 00:02:27,440 Na ndio maana nakuambia leo hongera 18 00:02:27,440 --> 00:02:30,200 kwa sababu umefanya chaguo sahihi. 19 00:02:30,200 --> 00:02:35,640 Umechagua kutafuta uhusikaji wa Mungu. 20 00:02:35,640 --> 00:02:42,160 Ndiyo maana uko hapa kwa wakati huu, umeunganishwa kwenye huduma hii. 21 00:02:42,160 --> 00:02:46,800 Kwa hivyo swali sasa hivi ni hili. 22 00:02:46,800 --> 00:02:55,960 Je, hali ya moyo wako ikoje tunapokaribia kuomba pamoja? 23 00:02:55,960 --> 00:03:01,280 Je, moyo wako uko wazi kwa ajili ya Roho Mtakatifu? 24 00:03:01,280 --> 00:03:05,320 Je, roho yako iko huru? 25 00:03:05,320 --> 00:03:10,040 Au roho yako bado imefungwa? 26 00:03:10,040 --> 00:03:20,560 Umefungwa kwa maumivu ya siku za nyuma, uchungu, kutosamehe au chuki? 27 00:03:20,560 --> 00:03:30,360 Kwa sababu kinachofunga roho yako kinaweza kuwa kinazuia baraka zako. 28 00:03:30,360 --> 00:03:40,040 Ni wakati sasa wa wewe kuachana na maumivu yote ya zamani. 29 00:03:40,040 --> 00:03:43,240 Achana na huko kutosamehe. 30 00:03:43,240 --> 00:03:53,440 Acha uchungu huo na umkaribishe Roho Mtakatifu aingie moyoni mwako sasa hivi. 31 00:03:53,440 --> 00:03:57,200 Mkaribishe Roho Mtakatifu ndani ya moyo wako. 32 00:03:57,200 --> 00:04:00,640 Mkaribishe Roho Mtakatifu katikati yako. 33 00:04:00,640 --> 00:04:03,960 Mkaribishe Roho Mtakatifu nyumbani kwako. 34 00:04:03,960 --> 00:04:07,000 Mkaribishe sasa hivi. 35 00:04:07,000 --> 00:04:18,720 Ee Roho Mtakatifu, tunaomba utufungulie malango ya Mbinguni leo. 36 00:04:18,720 --> 00:04:27,600 Tunapofungua mioyo yetu Kwako, fungua milango ya mafuriko kwetu katika jina la Yesu Kristo. 37 00:04:52,280 --> 00:05:01,840 Hivi sasa, mbegu yoyote ya uchungu ambayo imetia mizizi moyoni mwako - 38 00:05:01,840 --> 00:05:08,240 Nasema, ng'olewa kwa jina kuu la Yesu Kristo! 39 00:05:24,480 --> 00:05:33,560 Unapoachilia msamaha, pokea msamaha! 40 00:05:33,560 --> 00:05:39,800 Unapoachilia msamaha, wekwa kando ka ajili ya uangalifu wa Mungu! 41 00:05:39,800 --> 00:05:47,400 UtengwE kwa ajili ya huruma ya Mungu! Wekwa kando kando kwa upendeleo wa Mungu leo! 42 00:06:06,000 --> 00:06:12,400 Kila doa la dhambi - lioshwe! 43 00:06:12,400 --> 00:06:18,440 Uoshwe kwa Damu ya Yesu Kristo! 44 00:06:31,640 --> 00:06:39,680 Roho Mtakatifu, ruhusu malango yako ya ukombozi yafunguke sasa hivi. 45 00:06:39,680 --> 00:06:50,240 Acha nguvu Yako ya ukombozi ishuke sasa hivi! 46 00:06:50,240 --> 00:06:54,520 Pokea ukombozi wako! 47 00:06:54,520 --> 00:06:58,000 Pokea, katika jina la Yesu Kristo! 48 00:07:21,320 --> 00:07:28,360 Kila silaha ya giza inayosababisha dhiki katika nafsi yako, 49 00:07:28,360 --> 00:07:33,280 Ninasema hivi sasa - toweshwa! 50 00:07:33,280 --> 00:07:36,760 Utoweshwe, katika jina la Yesu Kristo! 51 00:07:36,760 --> 00:07:40,640 Uvunjwe sasa hivi! 52 00:08:00,040 --> 00:08:13,240 Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi! 53 00:08:13,240 --> 00:08:26,000 Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, mashaka, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo! 54 00:08:55,440 --> 00:09:05,680 Wewe pepo mchafu uletaye madhara na chuki - sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi! 55 00:09:05,680 --> 00:09:08,800 Tupwa nje! 56 00:09:08,800 --> 00:09:13,280 Tupwa nje, kwa jina kuu la Yesu! 57 00:09:25,840 --> 00:09:37,160 Kila roho chafu iliyo nyuma ya tabia hizo mbaya, ambayo inasababisha tabia yako mbaya - 58 00:09:37,160 --> 00:09:38,440 inatosha! 59 00:09:38,440 --> 00:09:45,200 Ninakuamuru wewe pepo mchafu utoke sasa hivi! 60 00:09:45,200 --> 00:09:53,680 Roho hiyo iliyo nyuma ya uasherati -toka kwa jina kuu la Yesu! 61 00:10:22,440 --> 00:10:26,040 Watu wa Mungu, ukombozi unafanyika. 62 00:10:26,040 --> 00:10:32,880 Nguvu za Roho Mtakatifu zinakutenganisha na nguvu zozote za giza. 63 00:10:32,880 --> 00:10:34,960 Ikiwa uko pamoja na wanafamilia, 64 00:10:34,960 --> 00:10:40,480 Ninataka kuombea familia sasa hivi kwa ajili ya ukombozi kutoka kwenye laana za vizazi. 65 00:10:40,480 --> 00:10:45,120 Shikilia wanafamilia yako sasa hivi. Tuombe pamoja. 66 00:10:45,120 --> 00:10:54,880 Kila roho ya umaskini inayoshikilia familia yako mateka - inatosha! 67 00:10:54,880 --> 00:10:58,040 Kwa mamlaka katika jina la Yesu Kristo, 68 00:10:58,040 --> 00:11:03,200 Ninakuamuru utoke katika gereza hilo la umaskini! 69 00:11:03,200 --> 00:11:06,280 Toka katika gereza hilo la umaskini! 70 00:11:06,280 --> 00:11:10,240 Toka katika gereza hilo katika familia yako! 71 00:11:39,440 --> 00:11:43,680 Sasa hivi, toka kwenye ngome hiyo katika familia yako! 72 00:11:43,680 --> 00:11:51,640 Ngome hiyo ya kizuizi, vilio, kurudi nyuma - ufukuwe kutoka kwenye ngome hiyo! 73 00:11:51,640 --> 00:11:57,200 Ukombolewe kutoka kwenye ngome hiyo! 74 00:12:18,080 --> 00:12:21,640 Ikiwa wanafamilia wako hawako nawe kimwili lakini una picha yao, 75 00:12:21,640 --> 00:12:23,200 unaweza kuishikilia kwa imani. 76 00:12:23,200 --> 00:12:25,240 Unaweza kuzishikilia picha zao kwa imani. 77 00:12:25,240 --> 00:12:27,440 Roho wa Mungu anatenda kazi. 78 00:12:27,440 --> 00:12:32,480 Sasa hivi, vunja laana hiyo katika familia yako! 79 00:12:32,480 --> 00:12:35,320 Jiepushe na laana hiyo! 80 00:13:05,080 --> 00:13:16,840 Laana hiyo ya kizazi cha ugumu katika familia yako - ivunjwe sasa hivi! 81 00:13:16,840 --> 00:13:24,000 Laana hiyo ya kizazi ya magonjwa, maradhi, maumivu katika familia yako - 82 00:13:24,000 --> 00:13:30,400 vunjwa, katika jina la Yesu Kristo! 83 00:13:59,760 --> 00:14:05,800 Katika mazingira haya ya imani, weka mkono wako popote pale unapopata maumivu. 84 00:14:05,800 --> 00:14:12,240 Roho Mtakatifu sasa hivi anaachilia nguvu zake za uponyaji. 85 00:14:12,240 --> 00:14:14,320 Weka mkono wako hapo sasa hivi. 86 00:14:14,320 --> 00:14:21,760 Malango ya Mbinguni yanafunguka na kuachilia uponyaji katika maisha yako leo. 87 00:14:21,760 --> 00:14:34,720 Ninazungumza moja kwa moja na huyo pepo mchafu anayekuletea maumivu, magonjwa, maradhi. 88 00:14:34,720 --> 00:14:40,560 Sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi! 89 00:14:40,560 --> 00:14:45,760 Uponywe, katika jina la Yesu! 90 00:14:45,760 --> 00:14:51,160 Uponywe, katikajina kuu la Yesu Kristo! 91 00:15:19,880 --> 00:15:29,280 Kila chanzo cha ugonjwa katika mfumo wako - ufurumishwe leo! 92 00:15:29,280 --> 00:15:32,080 Ufurumishwe sasa hivi! 93 00:15:32,080 --> 00:15:34,800 Kitapike sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo! 94 00:15:34,800 --> 00:15:39,320 Popote ambapo ugonjwa huo umejificha,p opote ugonjwa huo unanyemelea - 95 00:15:39,320 --> 00:15:43,760 toka kwenye mfumo wako!Kutoka kwa viungo vyako! 96 00:15:43,760 --> 00:15:46,000 Kutolewa sasa hivi! 97 00:16:12,640 --> 00:16:21,800 Kila kitu kigeni katika mwili wako -uoshwe nje sasa hivi! 98 00:16:21,800 --> 00:16:26,000 Usafishwe kwa Damu ya Yesu Kristo! 99 00:16:39,600 --> 00:16:47,440 Ninazungumza na ugonjwa huo wa ajabu katika damu yako, katika misuli yako, katika mifupa yako. 100 00:16:47,440 --> 00:16:52,280 Maambukizi hayo, sasa hivi -toka kwenye mfumo wao! 101 00:16:52,280 --> 00:16:54,800 Usafishwe kwa jina la Yesu! 102 00:16:54,800 --> 00:16:58,360 Katika damu yako - takaswa sasa hivi! 103 00:16:58,360 --> 00:17:02,160 Katika mifupa yako - takaswa hivi sasa! 104 00:17:02,160 --> 00:17:06,320 Katika uwezo wako -takaswa! 105 00:17:31,000 --> 00:17:42,360 Kizuizi hicho kinachoathiri kupumua kwako, kinachoathiri moyo wako, kinachoathiri mapafu yako, 106 00:17:42,360 --> 00:17:51,760 Ninakiambia kizuizi hicho -kiondolewe sasa hivi! 107 00:17:51,760 --> 00:18:03,520 Pokea maisha mapya katika mapafu yako, moyo, uwezo, damu, mifupa! 108 00:18:03,520 --> 00:18:06,200 Pokea kwa jina la Yesu! 109 00:18:42,520 --> 00:18:47,320 Roho hiyo ya ajabu inasumbua usingizi wako, 110 00:18:47,320 --> 00:18:52,720 kusababisha kukosa utulivu usiku, kuathiri uwezo wako wa kulala, 111 00:18:52,720 --> 00:18:58,320 Ninaiambia roho hiyo - toka leo! 112 00:18:58,320 --> 00:19:01,720 Ondoka, kwa jina la Yesu Kristo! 113 00:19:01,720 --> 00:19:08,840 Pokea hilo pumziko katika roho,nafsi na mwili wako sasa hivi! 114 00:19:32,360 --> 00:19:38,560 Jeraha hilo la ndani - liponywe sasa hivi! 115 00:19:38,560 --> 00:19:46,480 Jeraha hilo la ndani - upone sasa hivi! 116 00:19:46,480 --> 00:19:50,480 Uwe mzima, katika jina la Yesu Kristo. 117 00:20:08,400 --> 00:20:14,480 Hivi sasa, chochote ambacho shetani amekiingilia katika kazi yako 118 00:20:14,480 --> 00:20:23,280 ambacho imesababisha kuchelewa, kizuizi, vilio - leo ni siku yako ya urejesho. 119 00:20:23,280 --> 00:20:26,080 Urejeshwe sasa hivi! 120 00:20:26,080 --> 00:20:28,640 Urejeshwe katika kazi yako! 121 00:20:28,640 --> 00:20:31,480 Urejeshwe katika fedha zako! 122 00:20:31,480 --> 00:20:34,360 Urejeshwe katika biashara yako! 123 00:20:34,360 --> 00:20:36,800 Urejeshwe! 124 00:21:05,320 --> 00:21:14,240 Ni kipi kinachosababisha 'uchhovu kupindukia' katika kazi yako? 125 00:21:14,240 --> 00:21:25,080 Je, unateseka chini ya uzito wa shinikizo na mvutano mahali pa kazi yako? 126 00:21:25,080 --> 00:21:29,560 Ni wakati wa kuchukua tena udhibiti wa moyo wako 127 00:21:29,560 --> 00:21:36,280 na kuteka tena eneo lililochukuliwa na adui, lililoibiwa na adui. 128 00:21:36,280 --> 00:21:41,440 Uchukue tena sasa hivi na upokee nguvu! 129 00:21:41,440 --> 00:21:48,280 Pokea nguvu ya kuendelea kujitahidi -kupambana kufanya vizuri, 130 00:21:48,280 --> 00:21:54,440 kupambania ukuu, kupambania mafanikio. Pokea nguvu hizo! 131 00:22:29,120 --> 00:22:33,760 Pokea nguvu hizo katikati ya mapambano yako! 132 00:22:33,760 --> 00:22:38,960 Ninakuambia kwa imani - mapambano yakoyatakufanya uwe na nguvu zaidi! 133 00:22:38,960 --> 00:22:41,640 Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu! 134 00:22:41,640 --> 00:22:44,640 Mapambano yako yatafanya biashara yako kuwa imara. 135 00:22:44,640 --> 00:22:47,560 Mapambano yako yataimarisha ndoa yako. 136 00:22:47,560 --> 00:22:50,800 Mapambano yako yatafanya fedha zako kuwa na nguvu zaidi. 137 00:22:50,800 --> 00:22:55,960 Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu zaidi. Pokea leo! 138 00:23:31,360 --> 00:23:37,680 Shida tuliyonayo wengi siku hizi tunajikuta tunachanganyikiwa kirahisi, 139 00:23:37,680 --> 00:23:43,080 na kuchanganyikiwa kumetushawishi kuchukua maamuzi ya kizembe 140 00:23:43,080 --> 00:23:45,760 ambayo hufanya hali zetu kuwa mbaya zaidi. 141 00:23:45,760 --> 00:23:53,640 Ninaamuru roho hiyo ya kuchanganyikiwa ikuache leo! 142 00:23:53,640 --> 00:23:55,840 Iachie biashara yako leo! 143 00:23:55,840 --> 00:23:58,280 Iachie fedha zako leo! 144 00:23:58,280 --> 00:24:03,560 Iachie familia yako leo ,katika jina la Yesu Kristo! 145 00:24:45,960 --> 00:24:49,480 Najua kuna wengi wetu tunaungana sasa hivi 146 00:24:49,480 --> 00:24:55,520 ambao wanatafuta kazi, wanatafuta kazi. 147 00:24:55,520 --> 00:25:02,680 Nakuambia, leo ni siku yako! 148 00:25:02,680 --> 00:25:07,360 Kwa mamlaka katika jina kuu la Yesu Kristo, 149 00:25:07,360 --> 00:25:14,720 acha maombi yako ya kazi yapate kibali cha Mungu! 150 00:25:14,720 --> 00:25:23,520 Acha CV yako ivutie kibali cha kimungu, katika jina la Yesu Kristo! 151 00:25:45,760 --> 00:25:48,840 Baada ya Ibada hii Shirikishi ya Maombi, 152 00:25:48,840 --> 00:25:58,680 tuma ombi lako la kazi n aupokee kazi uliyokusudiwa! 153 00:25:58,680 --> 00:26:03,680 Pokea kupandishwa cheo kwako, kwa jina la Yesu Kristo! 154 00:26:27,200 --> 00:26:30,400 Watu wa Mungu, nataka mzingatie jambo fulani. 155 00:26:30,400 --> 00:26:39,840 Sio kila kushindwa, kukokufanikiwa katika biashara yako, fedha ni kutokana na mashambulizi ya kiroho. 156 00:26:39,840 --> 00:26:47,040 Hapana! Mara nyingi, sisi ndio wabunifu wa anguko letu wenyewe 157 00:26:47,040 --> 00:26:52,880 kwa sababu ya jinsi tunavyotumia vibaya rasilimali zetu. 158 00:26:52,880 --> 00:26:55,240 Leo, nakuombea. 159 00:26:55,240 --> 00:27:00,160 Pokea hekima yausimamizi wa fedha. 160 00:27:00,160 --> 00:27:04,080 Pokea hekima yausimamizi wa biashara. 161 00:27:04,080 --> 00:27:10,720 Pokea hekima ya usimamizi wa watu, katika jina la Yesu Kristo! 162 00:27:37,880 --> 00:27:45,360 Sasa hivi, watu wa Mungu, nataka muombee mataifa ya ulimwengu. 163 00:27:45,360 --> 00:27:51,400 Ikiwa una bendera ya taifa lako, ishikilie kama mahali pa kuwasiliana. 164 00:27:51,400 --> 00:27:56,160 Tumeunganishwa kwa huduma hii kutoka kote ulimwenguni hivi sasa. 165 00:27:56,160 --> 00:27:58,120 Sisi hatuko hapa kwa ajili yetu wenyewe tu. 166 00:27:58,120 --> 00:28:02,080 Tuko hapa kusimama kwenye pengo kwa ajili ya mataifa. 167 00:28:02,080 --> 00:28:06,480 Kumbuka sasa hivi mataifa hayoyanayoshughulika 168 00:28:06,480 --> 00:28:11,000 na athari za majanga ya asili. 169 00:28:11,000 --> 00:28:18,640 Kumbuka mataifa hayo na uombe Mungu aingilie kati sasa hivi. 170 00:28:18,640 --> 00:28:21,800 Omba uingiliaji kati wa Mungu. 171 00:28:45,000 --> 00:28:53,200 Kumbuka mataifa ambayo yanashughulika na migogoro na machafuko inayoendelea. 172 00:28:53,200 --> 00:28:54,880 Kumbuka mataifa hayo. 173 00:28:54,880 --> 00:28:59,920 Omba uingiliaji kati wa Mungu. 174 00:28:59,920 --> 00:29:03,400 Omba Mungu aingilie kati leo. 175 00:29:24,280 --> 00:29:28,000 Kumbuka taifa lako mwenyewe katika maombi sasa hivi. 176 00:29:28,000 --> 00:29:30,480 Taja jina la taifa lako. 177 00:29:30,480 --> 00:29:35,600 Likabidhi taifa lako, wakabidhi viongozi wako mikononi mwa Mungu 178 00:29:35,600 --> 00:29:45,440 na uombe uingiliaji wa kimungu katika mambo ya taifa lako. 179 00:30:08,840 --> 00:30:14,400 Kila pazia linalotia giza moyo wako, 180 00:30:14,400 --> 00:30:20,040 ukizuia moyo wako kupokea ufunuo kutoka juu, 181 00:30:20,040 --> 00:30:27,200 Ninasema kwa pazia hilo - vunjwa leo! 182 00:30:27,200 --> 00:30:36,200 Macho ya imani yako na yafumbuke, kwa jina kuu la Yesu. 183 00:31:15,080 --> 00:31:23,240 Macho ya imani yako - yafumbuliwe sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo! 184 00:31:23,240 --> 00:31:25,960 Anza kuona maisha dhahiri. 185 00:31:25,960 --> 00:31:28,440 Jionee dhahiri. 186 00:31:28,440 --> 00:31:30,400 Tazama wengine kwa uwazi. 187 00:31:30,400 --> 00:31:34,200 Jitambue. 188 00:31:34,200 --> 00:31:41,480 Pata maoni ya Mungu juu yako mwenyewe na wengine, katika jina la Yesu Kristo! 189 00:32:10,880 --> 00:32:17,000 Katika jina kuu la Yesu Kristo tunaomba. 190 00:32:24,840 --> 00:32:33,080 Watu wa Mungu, Maandiko yanasema katika kitabu cha Zaburi 142:7 191 00:32:33,080 --> 00:32:43,160 ili Mungu azifungue roho zetu kutoka gerezani ili tulisifu jina lake takatifu. 192 00:32:43,160 --> 00:32:51,200 Ninasema sasa hivi, leo, kwa mamlakakatika jina la Yesu Kristo, 193 00:32:51,200 --> 00:32:55,960 nafsi yako imefunguliwa kutoka katika gereza hilo la utumwa. 194 00:32:55,960 --> 00:33:01,440 Familia yako imeachiliwa kutoka katika gereza la laana za vizazi. 195 00:33:01,440 --> 00:33:06,200 Biashara yako imeachiliwa kutoka kwenye gereza la vilio. 196 00:33:06,200 --> 00:33:10,880 Afya yako imetolewa kutoka katika gereza la mateso. 197 00:33:10,880 --> 00:33:13,880 Maisha yako yamekombolewa leo. 198 00:33:13,880 --> 00:33:17,760 Furahia kukombolewa kwako! 199 00:33:17,760 --> 00:33:23,960 Ndiyo, furahia kuachiliwa kwako na ulisifu jina lake kwa uponyaji wako. 200 00:33:23,960 --> 00:33:26,640 Lisifuni jina lake kwa ukombozi wako. 201 00:33:26,640 --> 00:33:29,120 Lisifuni jina lake kwa uhuru wako. 202 00:33:29,120 --> 00:33:31,640 Lisifuni jina lake kwa kazi hiyo mpya. 203 00:33:31,640 --> 00:33:34,160 Lisifiwe jina lake kwa kupandiswa cheo. 204 00:33:34,160 --> 00:33:36,760 Lisifuni jina lake kwa ongezeko hilo. 205 00:33:36,760 --> 00:33:39,600 Lisifuni jina lake kwa upatanisho huo. 206 00:33:39,600 --> 00:33:42,880 Lisifuni jina lake! 207 00:33:42,880 --> 00:33:49,600 Kila mwenye pumzina amsifu Bwana! 208 00:33:49,600 --> 00:34:01,280 Na zingatia haya - unapomtafuta Mungu katikati ya hali yako. 209 00:34:01,280 --> 00:34:06,880 utamwona Mungu katikati ya hali yako. 210 00:34:06,880 --> 00:34:12,960 Lakini hamu yako ya kupokea kutoka kwa Yesu Kristo 211 00:34:12,960 --> 00:34:23,360 lazima iambatane na kujitolea kumfuata Yesu Kristo. 212 00:34:23,360 --> 00:34:30,560 Je, kuna eneo lolote la maisha yako ,maisha yako ya kila siku, 213 00:34:30,560 --> 00:34:40,440 kwamba unajua unahitaji kulirekebisha ili kudumisha uhusiano wako pamoja na Mungu? 214 00:34:40,440 --> 00:34:47,280 Ukweli wa utayari wako wa kumfuata Yesu 215 00:34:47,280 --> 00:34:54,080 unaonyeshwa na uzito ambao unajibu swali hili - 216 00:34:54,080 --> 00:35:01,040 si kwa midomo tu bali kwa maisha yako. 217 00:35:01,040 --> 00:35:02,960 Kumbuka, watu wa Mungu. 218 00:35:02,960 --> 00:35:07,000 Bila shaka, kila mtu hufanya makosa. 219 00:35:07,000 --> 00:35:12,080 Na ndio, sote tunapambana na udhaifu wetu. 220 00:35:12,080 --> 00:35:22,920 Lakini la msingi ni wewe kumkimbilia Mungu kwa ajili ya toba. 221 00:35:22,920 --> 00:35:30,480 Unapomkimbilia Mungu kwa toba,utapata nguvu ya kushinda 222 00:35:30,480 --> 00:35:33,720 na neema ya kuendelea.