0:00:00.000,0:00:13.160 Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi! 0:00:13.160,0:00:25.480 Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, woga, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo! 0:00:26.800,0:00:40.520 Watu wa Mungu, ni hali ipi inayowazunguka leo? 0:00:40.520,0:00:49.240 Moyo wako umeumizwa au umevunjika 0:00:49.240,0:00:59.800 kwa sababu ya maswala ambayo maisha yamekukabili au yaliyosababishwa na chaguzi zisizo sahihi? 0:00:59.800,0:01:04.880 Niko hapa leo kukuambia ukweli huu. 0:01:04.880,0:01:16.280 Kuna uponyaji na utimilifu unaopatikana kwa ajili yako katika Yesu Kristo. 0:01:16.280,0:01:25.560 Labda sijui ni nini kinasumbua roho yako kwa wakati huu 0:01:25.560,0:01:30.760 unapoungana na na huduma hii, lakini jambo moja najua - 0:01:30.760,0:01:39.480 kuna pumziko katika Kristo Yesu kwa ajili yako. 0:01:39.480,0:01:43.600 Lakini zingatia hili. 0:01:43.600,0:01:50.400 Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayeweza kutatua masuala ya nafsi yako. 0:01:50.400,0:01:59.120 Ni Muumba wa moyo wako pekee ndiye anayeweza kurekebisha masuala ya moyo wako. 0:01:59.120,0:02:11.720 Kutafuta misaada katika mwili, kwa juu tu katika uso, kutasababisha tu shida zaidi. 0:02:11.720,0:02:16.000 Kutakuacha ukiwa na sonona zaidi. 0:02:16.000,0:02:22.640 Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayewez akutatua masuala ya nafsi yako. 0:02:22.640,0:02:27.440 Na ndio maana nakuambia leo hongera 0:02:27.440,0:02:30.200 kwa sababu umefanya chaguo sahihi. 0:02:30.200,0:02:35.640 Umechagua kutafuta uhusikaji wa Mungu. 0:02:35.640,0:02:42.160 Ndiyo maana uko hapa kwa wakati huu, umeunganishwa kwenye huduma hii. 0:02:42.160,0:02:46.800 Kwa hivyo swali sasa hivi ni hili. 0:02:46.800,0:02:55.960 Je, hali ya moyo wako ikoje tunapokaribia kuomba pamoja? 0:02:55.960,0:03:01.280 Je, moyo wako uko wazi kwa ajili ya Roho Mtakatifu? 0:03:01.280,0:03:05.320 Je, roho yako iko huru? 0:03:05.320,0:03:10.040 Au roho yako bado imefungwa? 0:03:10.040,0:03:20.560 Umefungwa kwa maumivu ya siku za nyuma, uchungu, kutosamehe au chuki? 0:03:20.560,0:03:30.360 Kwa sababu kinachofunga roho yako kinaweza kuwa kinazuia baraka zako. 0:03:30.360,0:03:40.040 Ni wakati sasa wa wewe kuachana na maumivu yote ya zamani. 0:03:40.040,0:03:43.240 Achana na huko kutosamehe. 0:03:43.240,0:03:53.440 Acha uchungu huo na umkaribishe Roho Mtakatifu aingie moyoni mwako sasa hivi. 0:03:53.440,0:03:57.200 Mkaribishe Roho Mtakatifu ndani ya moyo wako. 0:03:57.200,0:04:00.640 Mkaribishe Roho Mtakatifu katikati yako. 0:04:00.640,0:04:03.960 Mkaribishe Roho Mtakatifu nyumbani kwako. 0:04:03.960,0:04:07.000 Mkaribishe sasa hivi. 0:04:07.000,0:04:18.720 Ee Roho Mtakatifu, tunaomba utufungulie malango ya Mbinguni leo. 0:04:18.720,0:04:27.600 Tunapofungua mioyo yetu Kwako, fungua milango ya mafuriko kwetu katika jina la Yesu Kristo. 0:04:52.280,0:05:01.840 Hivi sasa, mbegu yoyote ya uchungu ambayo imetia mizizi moyoni mwako - 0:05:01.840,0:05:08.240 Nasema, ng'olewa kwa jina kuu la Yesu Kristo! 0:05:24.480,0:05:33.560 Unapoachilia msamaha, pokea msamaha! 0:05:33.560,0:05:39.800 Unapoachilia msamaha, wekwa kando ka ajili ya uangalifu wa Mungu! 0:05:39.800,0:05:47.400 UtengwE kwa ajili ya huruma ya Mungu! Wekwa kando kando kwa upendeleo wa Mungu leo! 0:06:06.000,0:06:12.400 Kila doa la dhambi - lioshwe! 0:06:12.400,0:06:18.440 Uoshwe kwa Damu ya Yesu Kristo! 0:06:31.640,0:06:39.680 Roho Mtakatifu, ruhusu malango yako ya ukombozi yafunguke sasa hivi. 0:06:39.680,0:06:50.240 Acha nguvu Yako ya ukombozi ishuke sasa hivi! 0:06:50.240,0:06:54.520 Pokea ukombozi wako! 0:06:54.520,0:06:58.000 Pokea, katika jina la Yesu Kristo! 0:07:21.320,0:07:28.360 Kila silaha ya giza inayosababisha dhiki katika nafsi yako, 0:07:28.360,0:07:33.280 Ninasema hivi sasa - toweshwa! 0:07:33.280,0:07:36.760 Utoweshwe, katika jina la Yesu Kristo! 0:07:36.760,0:07:40.640 Uvunjwe sasa hivi! 0:08:00.040,0:08:13.240 Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi! 0:08:13.240,0:08:26.000 Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, mashaka, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo! 0:08:55.440,0:09:05.680 Wewe pepo mchafu uletaye madhara na chuki - sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi! 0:09:05.680,0:09:08.800 Tupwa nje! 0:09:08.800,0:09:13.280 Tupwa nje, kwa jina kuu la Yesu! 0:09:25.840,0:09:37.160 Kila roho chafu iliyo nyuma ya tabia hizo mbaya, ambayo inasababisha tabia yako mbaya - 0:09:37.160,0:09:38.440 inatosha! 0:09:38.440,0:09:45.200 Ninakuamuru wewe pepo mchafu utoke sasa hivi! 0:09:45.200,0:09:53.680 Roho hiyo iliyo nyuma ya uasherati -toka kwa jina kuu la Yesu! 0:10:22.440,0:10:26.040 Watu wa Mungu, ukombozi unafanyika. 0:10:26.040,0:10:32.880 Nguvu za Roho Mtakatifu zinakutenganisha na nguvu zozote za giza. 0:10:32.880,0:10:34.960 Ikiwa uko pamoja na wanafamilia, 0:10:34.960,0:10:40.480 Ninataka kuombea familia sasa hivi kwa ajili ya ukombozi kutoka kwenye laana za vizazi. 0:10:40.480,0:10:45.120 Shikilia wanafamilia yako sasa hivi. Tuombe pamoja. 0:10:45.120,0:10:54.880 Kila roho ya umaskini inayoshikilia familia yako mateka - inatosha! 0:10:54.880,0:10:58.040 Kwa mamlaka katika jina la Yesu Kristo, 0:10:58.040,0:11:03.200 Ninakuamuru utoke katika gereza hilo la umaskini! 0:11:03.200,0:11:06.280 Toka katika gereza hilo la umaskini! 0:11:06.280,0:11:10.240 Toka katika gereza hilo katika familia yako! 0:11:39.440,0:11:43.680 Sasa hivi, toka kwenye ngome hiyo katika familia yako! 0:11:43.680,0:11:51.640 Ngome hiyo ya kizuizi, vilio, kurudi nyuma - ufukuwe kutoka kwenye ngome hiyo! 0:11:51.640,0:11:57.200 Ukombolewe kutoka kwenye ngome hiyo! 0:12:18.080,0:12:21.640 Ikiwa wanafamilia wako hawako nawe kimwili lakini una picha yao, 0:12:21.640,0:12:23.200 unaweza kuishikilia kwa imani. 0:12:23.200,0:12:25.240 Unaweza kuzishikilia picha zao kwa imani. 0:12:25.240,0:12:27.440 Roho wa Mungu anatenda kazi. 0:12:27.440,0:12:32.480 Sasa hivi, vunja laana hiyo katika familia yako! 0:12:32.480,0:12:35.320 Jiepushe na laana hiyo! 0:13:05.080,0:13:16.840 Laana hiyo ya kizazi cha ugumu katika familia yako - ivunjwe sasa hivi! 0:13:16.840,0:13:24.000 Laana hiyo ya kizazi ya magonjwa, maradhi, maumivu katika familia yako - 0:13:24.000,0:13:30.400 vunjwa, katika jina la Yesu Kristo! 0:13:59.760,0:14:05.800 Katika mazingira haya ya imani, weka mkono wako popote pale unapopata maumivu. 0:14:05.800,0:14:12.240 Roho Mtakatifu sasa hivi anaachilia nguvu zake za uponyaji. 0:14:12.240,0:14:14.320 Weka mkono wako hapo sasa hivi. 0:14:14.320,0:14:21.760 Malango ya Mbinguni yanafunguka na kuachilia uponyaji katika maisha yako leo. 0:14:21.760,0:14:34.720 Ninazungumza moja kwa moja na huyo pepo mchafu anayekuletea maumivu, magonjwa, maradhi. 0:14:34.720,0:14:40.560 Sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi! 0:14:40.560,0:14:45.760 Uponywe, katika jina la Yesu! 0:14:45.760,0:14:51.160 Uponywe, katikajina kuu la Yesu Kristo! 0:15:19.880,0:15:29.280 Kila chanzo cha ugonjwa katika mfumo wako - ufurumishwe leo! 0:15:29.280,0:15:32.080 Ufurumishwe sasa hivi! 0:15:32.080,0:15:34.800 Kitapike sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo! 0:15:34.800,0:15:39.320 Popote ambapo ugonjwa huo umejificha,p opote ugonjwa huo unanyemelea - 0:15:39.320,0:15:43.760 toka kwenye mfumo wako!Kutoka kwa viungo vyako! 0:15:43.760,0:15:46.000 Kutolewa sasa hivi! 0:16:12.640,0:16:21.800 Kila kitu kigeni katika mwili wako -uoshwe nje sasa hivi! 0:16:21.800,0:16:26.000 Usafishwe kwa Damu ya Yesu Kristo! 0:16:39.600,0:16:47.440 Ninazungumza na ugonjwa huo wa ajabu katika damu yako, katika misuli yako, katika mifupa yako. 0:16:47.440,0:16:52.280 Maambukizi hayo, sasa hivi -toka kwenye mfumo wao! 0:16:52.280,0:16:54.800 Usafishwe kwa jina la Yesu! 0:16:54.800,0:16:58.360 Katika damu yako - takaswa sasa hivi! 0:16:58.360,0:17:02.160 Katika mifupa yako - takaswa hivi sasa! 0:17:02.160,0:17:06.320 Katika uwezo wako -takaswa! 0:17:31.000,0:17:42.360 Kizuizi hicho kinachoathiri kupumua kwako, kinachoathiri moyo wako, kinachoathiri mapafu yako, 0:17:42.360,0:17:51.760 Ninakiambia kizuizi hicho -kiondolewe sasa hivi! 0:17:51.760,0:18:03.520 Pokea maisha mapya katika mapafu yako, moyo, uwezo, damu, mifupa! 0:18:03.520,0:18:06.200 Pokea kwa jina la Yesu! 0:18:42.520,0:18:47.320 Roho hiyo ya ajabu inasumbua usingizi wako, 0:18:47.320,0:18:52.720 kusababisha kukosa utulivu usiku, kuathiri uwezo wako wa kulala, 0:18:52.720,0:18:58.320 Ninaiambia roho hiyo - toka leo! 0:18:58.320,0:19:01.720 Ondoka, kwa jina la Yesu Kristo! 0:19:01.720,0:19:08.840 Pokea hilo pumziko katika roho,nafsi na mwili wako sasa hivi! 0:19:32.360,0:19:38.560 Jeraha hilo la ndani - liponywe sasa hivi! 0:19:38.560,0:19:46.480 Jeraha hilo la ndani - upone sasa hivi! 0:19:46.480,0:19:50.480 Uwe mzima, katika jina la Yesu Kristo. 0:20:08.400,0:20:14.480 Hivi sasa, chochote ambacho shetani amekiingilia katika kazi yako 0:20:14.480,0:20:23.280 ambacho imesababisha kuchelewa, kizuizi, vilio - leo ni siku yako ya urejesho. 0:20:23.280,0:20:26.080 Urejeshwe sasa hivi! 0:20:26.080,0:20:28.640 Urejeshwe katika kazi yako! 0:20:28.640,0:20:31.480 Urejeshwe katika fedha zako! 0:20:31.480,0:20:34.360 Urejeshwe katika biashara yako! 0:20:34.360,0:20:36.800 Urejeshwe! 0:21:05.320,0:21:14.240 Ni kipi kinachosababisha 'uchhovu kupindukia' katika kazi yako? 0:21:14.240,0:21:25.080 Je, unateseka chini ya uzito wa shinikizo na mvutano mahali pa kazi yako? 0:21:25.080,0:21:29.560 Ni wakati wa kuchukua tena udhibiti wa moyo wako 0:21:29.560,0:21:36.280 na kuteka tena eneo lililochukuliwa na adui, lililoibiwa na adui. 0:21:36.280,0:21:41.440 Uchukue tena sasa hivi na upokee nguvu! 0:21:41.440,0:21:48.280 Pokea nguvu ya kuendelea kujitahidi -kupambana kufanya vizuri, 0:21:48.280,0:21:54.440 kupambania ukuu, kupambania mafanikio. Pokea nguvu hizo! 0:22:29.120,0:22:33.760 Pokea nguvu hizo katikati ya mapambano yako! 0:22:33.760,0:22:38.960 Ninakuambia kwa imani - mapambano yakoyatakufanya uwe na nguvu zaidi! 0:22:38.960,0:22:41.640 Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu! 0:22:41.640,0:22:44.640 Mapambano yako yatafanya biashara yako kuwa imara. 0:22:44.640,0:22:47.560 Mapambano yako yataimarisha ndoa yako. 0:22:47.560,0:22:50.800 Mapambano yako yatafanya fedha zako kuwa na nguvu zaidi. 0:22:50.800,0:22:55.960 Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu zaidi. Pokea leo! 0:23:31.360,0:23:37.680 Shida tuliyonayo wengi siku hizi tunajikuta tunachanganyikiwa kirahisi, 0:23:37.680,0:23:43.080 na kuchanganyikiwa kumetushawishi kuchukua maamuzi ya kizembe 0:23:43.080,0:23:45.760 ambayo hufanya hali zetu kuwa mbaya zaidi. 0:23:45.760,0:23:53.640 Ninaamuru roho hiyo ya kuchanganyikiwa ikuache leo! 0:23:53.640,0:23:55.840 Iachie biashara yako leo! 0:23:55.840,0:23:58.280 Iachie fedha zako leo! 0:23:58.280,0:24:03.560 Iachie familia yako leo ,katika jina la Yesu Kristo! 0:24:45.960,0:24:49.480 Najua kuna wengi wetu tunaungana sasa hivi 0:24:49.480,0:24:55.520 ambao wanatafuta kazi, wanatafuta kazi. 0:24:55.520,0:25:02.680 Nakuambia, leo ni siku yako! 0:25:02.680,0:25:07.360 Kwa mamlaka katika jina kuu la Yesu Kristo, 0:25:07.360,0:25:14.720 acha maombi yako ya kazi yapate kibali cha Mungu! 0:25:14.720,0:25:23.520 Acha CV yako ivutie kibali cha kimungu, katika jina la Yesu Kristo! 0:25:45.760,0:25:48.840 Baada ya Ibada hii Shirikishi ya Maombi, 0:25:48.840,0:25:58.680 tuma ombi lako la kazi n aupokee kazi uliyokusudiwa! 0:25:58.680,0:26:03.680 Pokea kupandishwa cheo kwako,kwa jina la Yesu Kristo! 0:26:27.200,0:26:30.400 Watu wa Mungu, natakamzingatie jambo fulani. 0:26:30.400,0:26:39.840 Sio kila kushindwa, tamaa katika biashara yako, fedha ni kutokana na mashambulizi ya kiroho. 0:26:39.840,0:26:47.040 Hapana! Mara nyingi, sisi ndio wabunifu wa anguko letu wenyewe 0:26:47.040,0:26:52.880 kwa sababu ya jinsi tunavyotumiavibaya rasilimali zetu. 0:26:52.880,0:26:55.240 Leo, nakuombea. 0:26:55.240,0:27:00.160 Pokea hekima yausimamizi wa fedha. 0:27:00.160,0:27:04.080 Pokea hekima yausimamizi wa biashara. 0:27:04.080,0:27:10.720 Pokea hekima ya usimamizi wa watu, katika jina la Yesu Kristo! 0:27:37.880,0:27:45.360 Sasa hivi, watu wa Mungu, nataka muombee mataifa ya ulimwengu. 0:27:45.360,0:27:51.400 Ikiwa una bendera ya taifa lako,ishikilie kama mahali pa kuwasiliana. 0:27:51.400,0:27:56.160 Tumeunganishwa kwa huduma hii kutoka kote ulimwenguni hivi sasa. 0:27:56.160,0:27:58.120 Sisi si tu hapa kwa ajili yetu wenyewe. 0:27:58.120,0:28:02.080 Tuko hapa kusimama kwenye pengokwa ajili ya mataifa. 0:28:02.080,0:28:06.480 Kumbuka sasa hivi mataifa hayoyanayoshughulika 0:28:06.480,0:28:11.000 na athari za majanga ya asili. 0:28:11.000,0:28:18.640 Kumbuka mataifa hayo na uombeMungu aingilie kati sasa hivi. 0:28:18.640,0:28:21.800 Omba uingiliaji kati wa Mungu. 0:28:45.000,0:28:53.200 Kumbuka mataifa ambayo yanashughulika na migogoro na machafuko yanayoendelea. 0:28:53.200,0:28:54.880 Kumbuka mataifa hayo. 0:28:54.880,0:28:59.920 Omba uingiliaji kati wa Mungu. 0:28:59.920,0:29:03.400 Omba Mungu aingilie kati leo. 0:29:24.280,0:29:28.000 Kumbuka taifa lako mwenyewekatika maombi sasa hivi. 0:29:28.000,0:29:30.480 Taja jina la taifa lako. 0:29:30.480,0:29:35.600 Likabidhi taifa lako, wakabidhi viongozi wako mikononi mwa Mungu 0:29:35.600,0:29:45.440 na uombe uingiliaji wa kimungukatika mambo ya taifa lako. 0:30:08.840,0:30:14.400 Kila pazia linalotia giza moyo wako, 0:30:14.400,0:30:20.040 ukizuia moyo wako kupokea ufunuo kutoka juu, 0:30:20.040,0:30:27.200 Ninasema kwa pazia hilo - vunjwa chini leo! 0:30:27.200,0:30:36.200 Macho ya imani yako na yafumbulike,kwa jina kuu la Yesu. 0:31:15.080,0:31:23.240 Macho ya imani yako - yafumbuliwe sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo! 0:31:23.240,0:31:25.960 Anza kuona maisha wazi. 0:31:25.960,0:31:28.440 Jionee wazi. 0:31:28.440,0:31:30.400 Tazama wengine wazi. 0:31:30.400,0:31:34.200 Jitambue. 0:31:34.200,0:31:41.480 Pata maoni ya Mungu juu yako mwenyewe na wengine,katika jina la Yesu Kristo! 0:32:10.880,0:32:17.000 Katika jina kuu la Yesu Kristo tunaomba. 0:32:24.840,0:32:33.080 Watu wa Mungu, Maandiko yanasemakatika kitabu cha Zaburi 142:7 0:32:33.080,0:32:43.160 ili Mungu aachilie roho zetu kutoka gerezaniili tulisifu jina lake takatifu. 0:32:43.160,0:32:51.200 Ninasema sasa hivi, leo, kwa mamlakakatika jina la Yesu Kristo, 0:32:51.200,0:32:55.960 nafsi yako imefunguliwakutoka katika gereza hilo la utumwa. 0:32:55.960,0:33:01.440 Familia yako imeachiliwa kutoka katika gereza la laana za vizazi. 0:33:01.440,0:33:06.200 Biashara yako imeachiliwa kutoka kwa gereza la vilio. 0:33:06.200,0:33:10.880 Afya yako imetolewa kutoka katika gereza la mateso. 0:33:10.880,0:33:13.880 Maisha yako yametolewa leo. 0:33:13.880,0:33:17.760 Furahia kutolewa kwako! 0:33:17.760,0:33:23.960 Ndiyo, furahia kuachiliwa kwako na ulisifujina lake kwa uponyaji wako. 0:33:23.960,0:33:26.640 Lisifuni jina lake kwa ukombozi wako. 0:33:26.640,0:33:29.120 Lisifuni jina lake kwa uhuru wako. 0:33:29.120,0:33:31.640 Lisifuni jina lake kwa kazi hiyo mpya. 0:33:31.640,0:33:34.160 Lisifiwe jina lake kwa upandishaji huo. 0:33:34.160,0:33:36.760 Lisifuni jina lake kwa kuzaa huko. 0:33:36.760,0:33:39.600 Lisifuni jina lake kwa upatanisho huo. 0:33:39.600,0:33:42.880 Lisifuni jina lake! 0:33:42.880,0:33:49.600 Kila mwenye pumzina amsifu Bwana! 0:33:49.600,0:34:01.280 Na zingatia haya - unapomtafuta Mungu katikati ya hali yako. 0:34:01.280,0:34:06.880 utamwona Mungu katikatiya hali yako. 0:34:06.880,0:34:12.960 Lakini hamu yako ya kupokeakutoka kwa Yesu Kristo 0:34:12.960,0:34:23.360 lazima iambatane na kujitolea kumfuata Yesu Kristo. 0:34:23.360,0:34:30.560 Je, kuna eneo lolote la maisha yako,maisha yako ya kila siku, 0:34:30.560,0:34:40.440 kwamba unajua unahitaji kurekebisha ili kudumisha uhusiano wako pamoja na Mungu? 0:34:40.440,0:34:47.280 Ukweli wa utayari wakowa kumfuata Yesu 0:34:47.280,0:34:54.080 inaonyeshwa na uzito ambaounajibu swali hili - 0:34:54.080,0:35:01.040 si kwa midomo tu bali kwa maisha yako. 0:35:01.040,0:35:02.960 Kumbuka, watu wa Mungu. 0:35:02.960,0:35:07.000 Bila shaka, kila mtu hufanya makosa. 0:35:07.000,0:35:12.080 Na ndio, sote tunashindanana udhaifu wetu. 0:35:12.080,0:35:22.920 Lakini la msingi ni wewekumkimbilia Mungu kwa toba. 0:35:22.920,0:35:30.480 Unapomkimbilia Mungu kwa toba,utapata nguvu ya kushinda 0:35:30.480,0:35:33.720 na neema ya kuendelea.