0:00:13.280,0:00:17.280 Tunapitia mambo mengi moja kwa moja. [br]Tunajua kilichojiri kwa sababu tulikuwepo. 0:00:18.400,0:00:22.960 Kwa sababu haiwezekani kujionea kila kitu,[br]lazima tutegemee ripoti za wengine. 0:00:24.320,0:00:28.520 Kwa mashirika ya kitaalamu ya habari kazi[br]ya kubuni ripoti hizi hufanyika kupitia 0:00:28.520,0:00:34.560 mchakato wa uandishi wa habari. Uanahabari[br]ni desturi ya kukusanya, kutathmini, 0:00:34.560,0:00:39.960 na kuonyesha habari na maelezo kwa [br]ajili ya gazeti, matangazo au mtandao. 0:00:39.960,0:00:43.395 Kazi ya mwanahabari ni kufanya [br]utafiti, kuhakikisha ukweli, 0:00:43.395,0:00:46.840 na kuonyesha ripoti sahihi [br]zinazofafanua masuala na matukio. 0:00:47.680,0:00:53.700 Uanahabari unaweza kukabili mada yoyote [br]kuanzia spoti, burudani, afya na siasa. 0:00:55.040,0:00:59.040 Uanahabari unaotolewa na mashirika ya [br]habari ni muhimu zaidi kwa demokrasia. 0:00:59.680,0:01:02.850 Kama raia tunategemea wanahabari [br]kutoa maelezo tunayohitaji 0:01:02.850,0:01:08.139 ili kufanya uamuzi bora zaidi kuhusu [br]maisha, jumuiya na serikali zetu. 0:01:08.520,0:01:11.640 Kuna majukumu kadhaa muhimu[br]ambayo uandishi wa habari hutimiza. 0:01:11.720,0:01:15.110 Uandishi wa habari husaidia kuwaarifu [br]watu kuhusu matukio na masuala 0:01:15.150,0:01:17.366 ambayo ni muhimu kwa jamii kwa jumla. 0:01:18.332,0:01:20.000 Inachangia maarifa ya jumla 0:01:20.000,0:01:22.750 na husaidia kubadili maoni kuhusu [br]kinachoendelea duniani. 0:01:23.040,0:01:27.880 Uanahabari unaweza pia kutoa taswira [br]tofauti ya masuala na baraza la mijadala. 0:01:29.040,0:01:32.920 Wanahabari hutenda kama wanaohakikisha[br]walio katika mamlaka wanawajibika. 0:01:33.520,0:01:38.480 Wanahimiza ukweli na uwazi kwa maafisa [br]wa serikali na wengine walio mamlakani 0:01:38.480,0:01:41.980 kwa kuuliza maswali kuhusu matendo na [br]maamuzi yao na kwa kufichua ukweli. 0:01:43.280,0:01:48.560 Uanahabari unaweza kuwakilisha wanyonge[br]katika jamii kwa kushiriki hadithi za 0:01:48.560,0:01:50.381 wanaokumbana na changamoto tofauti. 0:01:50.381,0:01:54.320 Wanahabari wanaweza kusaidia kubuni uwezo[br]wa kuhisi maoni ya wengine katika umma. 0:01:54.320,0:01:58.080 Uandishi wa habari ni muhimu kwa [br]demokrasia kwa sababu unaangazia maeneo 0:01:58.080,0:02:03.096 ambayo yamefichika na huwasaidia [br]watu kupata taarifa kuhusu masuala muhimu.