WEBVTT 00:00:03.550 --> 00:00:06.123 Yakupendeza, Hivyo, kuhusiana na kutoka nje, 00:00:06.123 --> 00:00:09.550 nadhani kuna mtafaruku mwingi kuhusiana na jambo la kutoka nje. 00:00:09.550 --> 00:00:12.122 Ni vitu vigani tunafaa kuwa tunachunguza kule nje? 00:00:12.122 --> 00:00:15.240 Inachekesha, sijawahi kufanywa mbishi katika muda wangu wote wa uandishi wa habari 00:00:15.240 --> 00:00:18.200 hivyo kuna vile ina chekesha, sivyo? 00:00:18.200 --> 00:00:21.720 Ilikuwa inachekesha kwenye onyesho lingine nilifanya kazi inayoitwa Amanpour & Company. 00:00:21.720 --> 00:00:24.810 Kwa kuwa tayari tulikuwa tunafanya utafiti wa kejeli na habari potovu, 00:00:24.810 --> 00:00:27.560 Niliamua kuwaendea watu hawa wawili ili tuongee, 00:00:27.560 --> 00:00:30.350 na niwaulize wanifafanulie utani wao. 00:00:30.350 --> 00:00:31.910 Jeremy Levick na Rajat Suresh 00:00:31.910 --> 00:00:34.970 ni wacheshi na wadhihaki wanaoishi Brooklyn. 00:00:35.460 --> 00:00:39.750 Ikiwa wewe ni mcheshi au mdhihaki, ambayo ni kama, 00:00:39.750 --> 00:00:43.018 Nadhani, ni neno kiasi la kujidai, ambalo sitatumia. 00:00:43.018 --> 00:00:45.071 RS: Lakini sisi ni wa kujidai. JL: Apana. Sisi hujidai. 00:00:45.071 --> 00:00:46.119 RS: Ndio. 00:00:46.119 --> 00:00:49.340 Hivi majuzi mliwadanganya Amanpour & Company. 00:00:49.340 --> 00:00:50.900 Ni nini iliwapa wazo hilo? 00:00:50.900 --> 00:00:55.010 Tulikuwa tukitazama video mingi sana ya aina hiyo na ... 00:00:55.120 --> 00:00:57.828 Je, ilikuwa kimsingi kama, "Haiya, kuna mtu wa kahawia pale. 00:00:57.828 --> 00:00:58.828 Najua mtu wa kahawia." 00:00:58.828 --> 00:01:03.150 (Kucheka) Hapana, ilikuwa mbinu nadhifu zaidi kuliko hivyo tu. 00:01:03.362 --> 00:01:06.340 Ilikuwa tu, Ni ya kushangaza kwetu tu 00:01:06.340 --> 00:01:10.130 kusema utani wa Jeff Foxworthy, na kuwa wa kumaanisha sana kuihusu. 00:01:10.130 --> 00:01:14.310 "Nilimwona mtu akiendesha gari kwenye barabara kuu, akampiga kulungu, 00:01:14.310 --> 00:01:16.433 na akamuita 'chakula cha haraka'. RS: Ndio. 00:01:16.433 --> 00:01:19.230 Hivyo, tunaona jinsi kejeli inatumiwa 00:01:19.230 --> 00:01:20.950 kupitisha habari potovu. 00:01:20.950 --> 00:01:23.050 Je, uliwahi kufikiria ingetumika namna hii? 00:01:23.050 --> 00:01:26.650 Hiyo kwa kawaida ni hatari kwa kejeli. 00:01:26.650 --> 00:01:29.360 Inasaidia ikiwa una jina kubwa, 00:01:29.360 --> 00:01:33.110 Inayoambatana na maudhui yako kama The Onion ama SNL. 00:01:33.110 --> 00:01:36.160 Wakati unajifanyia mambo na kuyachapisha mwenyewe, 00:01:36.160 --> 00:01:37.770 Kwenye mtandao haswa 00:01:37.770 --> 00:01:40.960 kuna zile aina za lebo zinazoelekeza hadhara zinazokosekana, 00:01:40.960 --> 00:01:45.310 hivyo kuna hatari ya kueneza habari potovu na ya uongo. 00:01:45.820 --> 00:01:48.600 Kejeli kuonekana kama habari ya kweli- 00:01:48.600 --> 00:01:50.580 Unaona jambo hili kila mahali mtandaoni. 00:01:50.580 --> 00:01:51.800 Chukua mfano kama huu, 00:01:51.800 --> 00:01:55.567 Mada ya kuvutia iliekwa kwenye Twitter la gazeti la The New Yoker, 00:01:55.567 --> 00:01:59.620 "Trump ana matumaini ya kushinda Nobel Prize katika uwanja wa matibabu." 00:01:59.890 --> 00:02:04.830 Watoa maoni kadhaa walijibu, wakitokea kuamini kuwa habari hizo ni za kweli. 00:02:05.270 --> 00:02:07.764 Wengine walitumaini ilikuwa kutoka kwa The Onion 00:02:07.987 --> 00:02:08.987 Haikuwa hivyo. 00:02:09.210 --> 00:02:12.010 Lakini ilikuwa kejeli, tunawezaje kujua? 00:02:12.010 --> 00:02:13.970 Haya, bonyeza kwenye kifungu, 00:02:13.970 --> 00:02:15.530 na utaona kwamba The New Yorker wamekwenda kwa urefu mkubwa 00:02:15.530 --> 00:02:20.275 kuiita kama kejeli. 00:02:21.020 --> 00:02:23.560 Wanafanya hivi na kila kitu kutoka kwa Ripoti ya Borowitz, 00:02:23.560 --> 00:02:24.900 ambayo ni safu ya kejeli. 00:02:24.900 --> 00:02:29.874 Hata kijipicha kwenye Twitter ina kidokezo katika kaulimbiu ya safu hiyo - 00:02:29.874 --> 00:02:31.900 nukuu "Sio habari." 00:02:31.900 --> 00:02:35.948 Huu ni mfano wa makala yenye lebo kamilifu kutoka kwa tovuti inayojulikana ya kejeli, 00:02:35.948 --> 00:02:37.810 na bado, watu walidanganywa. 00:02:37.810 --> 00:02:42.170 Kwa hiyo, ni nini kinatokea wakati sehemu ya kejeli haina muktadha? 00:02:42.360 --> 00:02:47.120 Mbaya zaidi, ni nini kinatokea wakati huo muktadha umeondolewa kimakusudi? 00:02:47.240 --> 00:02:50.480 Hivyo ndivyo mwandishi mmoja alipata katika mitandao kadhaa ya tovuti 00:02:50.480 --> 00:02:53.840 inayochukua vipande vya kejeli kutoka kwa muktadha yao asili, 00:02:53.840 --> 00:02:56.900 na kuondoa lebo yoyote au kanusho zozote, 00:02:56.900 --> 00:03:02.200 kisha kuzichapisha tena kama makala ya 'habari' zinazoonekana kama za kweli. 00:03:02.580 --> 00:03:06.710 Tumeona mamia ya tovuti hizi zikiongezeka tangu Desemba, 00:03:06.710 --> 00:03:08.960 na zinapata kuenezwa kwa wingi kwenye Facebook. 00:03:08.960 --> 00:03:10.670 Tovuti moja ambayo tulikuwa tukiifuatilia mara kwa mara 00:03:10.670 --> 00:03:14.970 ilikuwa moja ya mwanzo wa habari za uwongo maarufu zaidi kwenye Facebook. 00:03:17.500 --> 00:03:19.240 Ilikuwa ikipata mamia ya maelfu ya ushirikiano 00:03:19.240 --> 00:03:22.020 kwenye kila makala iliyochapishwa. 00:03:22.020 --> 00:03:26.066 Kuiga kejeli inaonekana kwenye uso wake, 00:03:26.542 --> 00:03:29.794 njia haswa ya kimsingi ya kueneza habari potovu au uongo, 00:03:29.794 --> 00:03:31.340 tovuti hizi zinaendeshwa na watu ambao wanajua wanachofanya. 00:03:31.340 --> 00:03:33.910 Kwa nini wanafanya hivyo? 00:03:33.910 --> 00:03:37.770 PolitiFact imechunguza mamia ya tovuti hizi, 00:03:37.770 --> 00:03:41.110 na kwa karibu zote, kuna vifuatiliaji vya Google Adsense. 00:03:41.110 --> 00:03:44.690 Hiyo ina maana kwamba, yoyote atakaye tazama tovuti hiyo 00:03:44.690 --> 00:03:47.020 ataenda kwenye maonyesho ya matangazo ya Google kwenye tovuti hiyo. 00:03:47.020 --> 00:03:49.180 Hivyo kimsingi, zaidi watu wanaona nakala hiyo, 00:03:49.180 --> 00:03:53.245 zaidi mwenye tovuti hiyo hulipwa. 00:03:53.245 --> 00:03:56.150 Unajuaje wakati kitu ni mzaha 00:03:56.150 --> 00:04:00.070 dhidi ya wakati kitu ni habari ya kweli? 00:04:00.070 --> 00:04:01.720 kila wakati, utataka kufanya utafiti mwingi kabisa 00:04:01.720 --> 00:04:04.810 kwenye tovuti iwezekanavyo kabla ya kusambaza kitu. 00:04:04.810 --> 00:04:06.810 Hivyo, kila wakati nenda kwenye tovuti hiyo, na utafute ukurasa wao wa Kuhusu. 00:04:06.810 --> 00:04:09.820 Ikiwa hakuna habari nyingi hapo kuwahusu, 00:04:09.820 --> 00:04:13.260 au kuna makosa ya tahajia, au inaonekana kama ya kienyeji, 00:04:13.260 --> 00:04:16.540 hiyo inaweza kuwa ishara kwako kwamba tovuti hiyo si ya kuaminika. 00:04:16.540 --> 00:04:17.620 Na ukiwa na shaka, kama huwezi kupata chochote kuhusu tovuti hiyo, 00:04:17.620 --> 00:04:20.410 Usiieneze. 00:04:20.410 --> 00:04:22.950 Ni sawa kabisa kutoshiriki kitu kwenye mitandao ya kijamii. 00:04:22.950 --> 00:04:26.520 Ni bora kuwa salama kuliko pole. 00:04:26.520 --> 00:04:29.750 Kejeli inakusudiwa kuchochea, kupata majibu ya kihisia, 00:04:29.750 --> 00:04:33.360 ili kuvutia umakini wako, labda upate kucheka au ubadilishe mawazo yako, 00:04:33.670 --> 00:04:35.406 lakini kejeli haijakusudiwa kueneza habari potovu. 00:04:35.630 --> 00:04:37.700 Kwa hivyo usidanganywe mtandaoni. 00:04:37.910 --> 00:04:40.810 Soma zaidi ya vichwa vya habari. 00:04:40.810 --> 00:04:44.550 Ikiwa kitu kinaonekana kuwa cha kijinga na inaweza kuwa imeandikwa 00:04:44.860 --> 00:04:46.810 na watu kama marafiki wetu Rajat na Jeremy - labda ni wao. 00:04:46.810 --> 00:04:47.830 Mpaka wakati ujao. Usieneze habari za uwongo. 00:04:47.830 --> 00:04:50.164 Iweke kweli. 00:04:53.740 --> 00:04:59.160 Mimi ni Hari Sreenivasan. Hii ilikuwa Take on Fake. 00:04:59.510 --> 00:05:01.126 Mama yangu alitaka sana kuelezea kila mtoa maoni 00:05:01.126 --> 00:05:04.220 ambaye hakuelewa kejeli zangu. (kucheka) 00:05:04.220 --> 00:05:05.428 Kwa hivyo jibu la swali lako ni kumpata mama... 00:05:05.428 --> 00:05:08.090 Ningesema ndio. 00:05:08.090 --> 00:05:11.830 Hapa kuna 'Wow, mama yake alikuwa anaelezea utani huo.' 00:05:11.830 --> 00:05:15.283 Kweli, nadhani nahitaji kumpa mama yangu akaunti ya bandia au kitu kama hicho, 99:59:59.999 --> 99:59:59.999 ili isiweze kufuatiliwa kwangu. (Kucheka)