[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:04.60,Default,,0000,0000,0000,,Tangu wakati huo mnamo Machi, hadi sasa,\Nmaisha yangu hayajabaki kama ilivyokuwa. Dialogue: 0,0:00:04.60,0:00:07.36,Default,,0000,0000,0000,,Nimepona kabisa na nimekombolewa. Dialogue: 0,0:00:07.36,0:00:09.16,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna shinikizo la damu tena. Dialogue: 0,0:00:09.16,0:00:13.88,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna ugonjwa tena. Hakuna tena maumivu ya kichwa.\NHakuna kizunguzungu tena. Dialogue: 0,0:00:13.88,0:00:17.28,Default,,0000,0000,0000,,Ndoto mbaya na mashambulizi -\Nyote yamekoma! Dialogue: 0,0:00:17.28,0:00:19.64,Default,,0000,0000,0000,,Simwoni huyo mume wa kiroho tena. Dialogue: 0,0:00:21.08,0:00:23.80,Default,,0000,0000,0000,,Dada yetu wa Afrika Kusini tuombe. Dialogue: 0,0:00:23.80,0:00:35.76,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina kuu la Yesu Kristo,\Ntoka sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:35.76,0:00:42.72,Default,,0000,0000,0000,,Ewe pepo mchafu, chochote ulichoweka ndani yake, toka kwa jina la Yesu! Dialogue: 0,0:00:42.72,0:00:47.44,Default,,0000,0000,0000,,Roho nyuma ya uraibu huo -\Ntoka nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:47.44,0:00:58.68,Default,,0000,0000,0000,,Toka sasa hivi,\Nkatika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:00:58.68,0:01:01.36,Default,,0000,0000,0000,,Kitapike kwa jina la Yesu. Dialogue: 0,0:01:01.36,0:01:06.36,Default,,0000,0000,0000,,Chanzo cha mateso hayo, chanzo\Ncha uraibu huo - toka sasa hivi! Dialogue: 0,0:01:22.52,0:01:25.84,Default,,0000,0000,0000,,Asante, Yesu. Dialogue: 0,0:01:25.84,0:01:28.84,Default,,0000,0000,0000,,Dada yetu, hongera. Uko huru! Dialogue: 0,0:01:28.84,0:01:34.92,Default,,0000,0000,0000,,Mpe Mungu utukufu kwa uhuru wako.\NWewe uko huru. Asante, Yesu. Dialogue: 0,0:01:36.56,0:01:40.44,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni Esther. Ninatoka Afrika Kusini. Dialogue: 0,0:01:40.44,0:01:46.64,Default,,0000,0000,0000,,Niliwasiliana na God's Heart TV nikiwa na\Ntatizo la uraibu wa ugoro. Dialogue: 0,0:01:46.64,0:01:52.76,Default,,0000,0000,0000,,Uraibu huu ulianza nikiwa bado shuleni. Sasa nina karibu miaka 60. Dialogue: 0,0:01:52.76,0:01:56.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilijaribu mara nyingi sana kuacha peke yangu. Dialogue: 0,0:01:56.00,0:02:00.60,Default,,0000,0000,0000,,Nilienda kwa waganga na dawa\Nnilizopata kutoka kwa waganga Dialogue: 0,0:02:00.60,0:02:06.76,Default,,0000,0000,0000,,kukomesha au kuondoa hamu haikusaidia. Dialogue: 0,0:02:06.76,0:02:10.96,Default,,0000,0000,0000,,Na sijui kama kila mtu\Nanajua kuhusu hili - ni tumbaku Dialogue: 0,0:02:10.96,0:02:13.72,Default,,0000,0000,0000,,na nikotini katika kitu hicho ni mbaya sana. Dialogue: 0,0:02:13.72,0:02:18.44,Default,,0000,0000,0000,,Inaendelea na kuendelea. Unaweza kuacha kwa leo na kesho utarudia tena. Dialogue: 0,0:02:18.44,0:02:26.24,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kulala usiku. Ningepata\Nmashambulizi mabaya, ndoto mbaya kila wakati. Dialogue: 0,0:02:26.24,0:02:33.12,Default,,0000,0000,0000,,Nilishambuliwa na mume wa kiroho\Nna afya yangu haikuwa nzuri pia. Dialogue: 0,0:02:33.12,0:02:39.76,Default,,0000,0000,0000,,Nilienda kwa waganga kwa sababu nilikuwa na shinikizo la damu na vifundo vya miguu vilivyovimba. Dialogue: 0,0:02:39.76,0:02:44.08,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, nilikuwa nimepewa dawa -\Nlakini bila mafanikio. Dialogue: 0,0:02:44.08,0:02:49.20,Default,,0000,0000,0000,,Kazini, ningekuwa nikipigana na watu kwa sababu ya hasira iliyoniletea. Dialogue: 0,0:02:49.20,0:02:51.72,Default,,0000,0000,0000,,Na utendaji wangu kazini haukuwa mzuri. Dialogue: 0,0:02:51.72,0:02:57.72,Default,,0000,0000,0000,,Uchumi wangu ulikuwa mbaya sana kiasi kwamba\Nsikuweza hata kulipa bili yoyote. Dialogue: 0,0:02:57.72,0:03:02.92,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo iliendelea hivyo hadi\Nnikawasiliana na TV ya Moyo wa Mungu Dialogue: 0,0:03:02.92,0:03:05.88,Default,,0000,0000,0000,,kupata uingiliaji kati wa Mungu katika maisha yangu. Dialogue: 0,0:03:05.88,0:03:11.76,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka , mwezi Machi nilipopokea maombi kutoka kwa Ndugu Chris. Dialogue: 0,0:03:11.76,0:03:19.72,Default,,0000,0000,0000,,Nilihisi mkono wa Mungu ukinigusa kwa sababu nilitapika vitu vyenye sumu. Dialogue: 0,0:03:19.72,0:03:27.72,Default,,0000,0000,0000,,Na moyoni mwangu kulikuwa na furaha fulani niliyokuwa nayo - kwamba nimekombolewa. Mungu amenitendea! Dialogue: 0,0:03:27.72,0:03:32.68,Default,,0000,0000,0000,,Niko huru kutoka kwenye uraibu huu\Nna Yesu ameniweka huru. Dialogue: 0,0:03:32.68,0:03:39.72,Default,,0000,0000,0000,,Na tangu wakati huo mnamo Machi, hadi sasa, maisha yangu hayabaki vile vile. Dialogue: 0,0:03:39.72,0:03:42.48,Default,,0000,0000,0000,,Nimepona kabisa na nimekombolewa. Dialogue: 0,0:03:42.48,0:03:44.28,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna shinikizo la damu tena. Dialogue: 0,0:03:44.28,0:03:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Hata dawa walizonipa\Nnimeacha kuzitumia. Dialogue: 0,0:03:47.00,0:03:51.72,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna ugonjwa tena. Hakuna tena maumivu ya kichwa.\NHakuna kizunguzungu tena. Dialogue: 0,0:03:51.72,0:03:58.16,Default,,0000,0000,0000,,Asubuhi nilipoamka, nilikuwa nikihisi kizunguzungu na uzito ndani lakini sivyo tena. Dialogue: 0,0:03:58.16,0:04:02.96,Default,,0000,0000,0000,,Ndoto hizo zote, ndoto mbaya\Nna mashambulizi - yote yamekoma! Dialogue: 0,0:04:02.96,0:04:05.76,Default,,0000,0000,0000,,Simwoni huyo mume wa kiroho tena. Dialogue: 0,0:04:05.76,0:04:10.20,Default,,0000,0000,0000,,Je, una hamu yoyote ya kutumia\Nugoro (tumbaku)? Dialogue: 0,0:04:10.20,0:04:16.12,Default,,0000,0000,0000,,Hapana. Kwa kweli nilijifunza kwamba\Nkatika Neno la Mungu linasema, Dialogue: 0,0:04:16.12,0:04:23.40,Default,,0000,0000,0000,,tunapopokea maombi ya wokovu,\Ninatubidi kubadili namna tunavyofikiri. Dialogue: 0,0:04:23.40,0:04:30.44,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, kubadili jinsi ninavyofikiri na kukaa katika Neno la Mungu kumenisaidia sana. Dialogue: 0,0:04:30.44,0:04:33.12,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu ikiwa hautabadilisha\Njinsi unavyofikiri, Dialogue: 0,0:04:33.12,0:04:37.28,Default,,0000,0000,0000,,basi unaweza kurudi nyuma\Nkwa kile ulichokuwa nacho. Dialogue: 0,0:04:37.28,0:04:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa kubadilisha namna unavyofikiri na kumkubali Mungu katika Neno lake, inakuwa 'rahisi'. Dialogue: 0,0:04:45.00,0:04:48.96,Default,,0000,0000,0000,,Ninachotaka kushauri kwa yeyote\Naliye na hali kama hiyo - Dialogue: 0,0:04:48.96,0:04:52.44,Default,,0000,0000,0000,,usikae kimya juu yake;\Nusiwe na aibu juu yake. Dialogue: 0,0:04:52.44,0:04:56.84,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu Mungu haoni haya.\NWala haendi kusema hapana. Dialogue: 0,0:04:56.84,0:05:00.48,Default,,0000,0000,0000,,Neno la Mungu linasema katika Zaburi 66: Dialogue: 0,0:05:00.48,0:05:05.12,Default,,0000,0000,0000,,'Kama singeungama dhambi yangu,\NMungu asingenisikia.' Dialogue: 0,0:05:05.12,0:05:07.88,Default,,0000,0000,0000,,Huo ndio ushauri ninaotaka kukupa. Dialogue: 0,0:05:07.88,0:05:13.04,Default,,0000,0000,0000,,Inatubidi kusema hivyo kwa Mungu, kusema,\N'Mungu, nina hali fulani.' Dialogue: 0,0:05:13.04,0:05:19.64,Default,,0000,0000,0000,,Hatupaswi kuogopa au kuwa na haya kumwambia Mungu kuhusu shida tunayoikabili. Dialogue: 0,0:05:19.64,0:05:21.04,Default,,0000,0000,0000,,Na Mungu ni mwema.