0:00:00.000,0:00:04.600 Tangia mwezi wa machi, hadi wa leo, maisha yangu haijakuwa sawa. 0:00:04.600,0:00:07.360 Hakika nimepona na kuwekwa huru. 0:00:07.360,0:00:09.160 Hamna Msisimko wa damu tena 0:00:09.160,0:00:13.880 hakuna magonjwa. hakuna maumivu kichwani. hakuna mzunguko wa kichwa 0:00:13.880,0:00:17.280 Ndoto mbaya na mapigano - yote yalipotea 0:00:17.280,0:00:19.640 Simwoni mume wa kiroho tena 0:00:21.080,0:00:23.800 Dada yetu kutoka Afrika Kusini, tuombe 0:00:23.800,0:00:35.760 Katika Jina la Yesu kristo, toka sasa hivi! 0:00:35.760,0:00:42.720 Wewe Roho najisi, chochote umemwekea ndani yake, toka katika jina la Yesu! 0:00:42.720,0:00:47.440 Roho iliyo nyuma ya uraibu huo toka sasa hivi! 0:00:47.440,0:00:58.680 Toka sasa hivi, katika jina la yesu kristo! 0:00:58.680,0:01:01.360 Tabika nje katika jina la Yesu! 0:01:01.360,0:01:06.360 sababu ya maumivu, kiini cha uraibu - toka sasa! 0:01:22.520,0:01:25.840 Asante Yesu 0:01:25.840,0:01:28.840 Dad wetu, Hongera. uko huru sasa 0:01:28.840,0:01:34.920 Utukufu mpe Mungu kwa kukuweka huru. Uko Huru. asante Yesu 0:01:36.560,0:01:40.440 Kwa majina naitwa Esther. Natoka Afrika Kusini 0:01:40.440,0:01:46.640 Niliwatafuta Gods heart Tv nikiwa na shida ya kuvuta madawa ya kulevya 0:01:46.640,0:01:52.760 Uraibu huu ulianza wakati nilikuwa shuleni. niko miaka sitini (60) sasa 0:01:52.760,0:01:56.000 Nilijaribu mara nyingi kuwacha kivyangu tu 0:01:56.000,0:02:00.600 Nilienda kwa madaktari nikitafuta madawa nilizipata kwa Daktari 0:02:00.600,0:02:06.760 Ya kuweza kuzuia uraibu huo lakini haikusaidia 0:02:06.760,0:02:10.960 Na sijui kama kila mtu anajua kuhusu hii - ni tumbaku 0:02:10.960,0:02:13.720 na nikotini iliyonayo ni mbaya sana 0:02:13.720,0:02:18.440 Inaenda mbele na mbele. Unaweza kuuwacha kwa leo, kesho utairudia 0:02:18.440,0:02:26.240 Singeweza kulala usiku. Nilipata mashambulizi mabaya, ndoto mbaya kila wakati 0:02:26.240,0:02:33.120 Nilipata kushambuliwa na mume wa kiroho na afya yangu haikuwa mzuri 0:02:33.120,0:02:39.760 Nilienda kwa madaktari na msisimko wa damu ulikuwa juu na kupata kufura miguu 0:02:39.760,0:02:44.080 Nilipewa madawa - lakini haikusaidia 0:02:44.080,0:02:49.200 Kazini, nilipigana na watu kwa sababu ya hasira hii ikanifanya mimi 0:02:49.200,0:02:51.720 kukosa kufanya kazi vizuri 0:02:51.720,0:02:57.720 Fedha zangu zilikuwa mbaya singeweza hata kulipia mahitaji zangu 0:02:57.720,0:03:02.920 iliendelea hivyo kuwa hadi nikapatana na Gods Heart Tv 0:03:02.920,0:03:05.880 ili kupata Mungu aingilike kati katika maisha yangu 0:03:05.880,0:03:11.760 Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka nilipata kuombewa na Ndugu Chris 0:03:11.760,0:03:19.720 NIlihisi Mkono wa mungu ukinigusa mimi na nikatabika vitu vichafu sana 0:03:19.720,0:03:27.720 Ndani ya roho yangu kulikuwa na furaha kwamba nimepona. na mungu amenifanyia hayo 0:03:27.720,0:03:32.680 Nipo huru kutokana na uraibu huo na Yesu ameniweka huru 0:03:32.680,0:03:39.720 Na tangia wakati huo Machi hadi wa sasa maisha yangu haijakuwa sawa 0:03:39.720,0:03:42.480 Nimeponywa kabisa na kuwekwa huru 0:03:42.480,0:03:44.280 Hakuna Msisimko wa damu tena 0:03:44.280,0:03:47.000 hata madawa walionopatia niliwacha kumeza 0:03:47.000,0:03:51.720 Hakuna magonjwa tena. hakuna maumivu ya kichwa. sioni kuzunguzungu tena 0:03:51.720,0:03:58.160 asubuhi ningeamka ningehisi kizunguzungu, hivi kwamba ndani yangu nilihisi uzito 0:03:58.160,0:04:02.960 Ndoto hizo, ndoto mbaya na mashambulizi ziliisha 0:04:02.960,0:04:05.760 sioni mume wa kiroho tena 0:04:05.760,0:04:10.200 Je unayo tamaa yoyote ya kuvuta tumbaku? 0:04:10.200,0:04:16.120 La. nilipata kujua kupitia kwa neno la mungu kwamba inasema 0:04:16.120,0:04:23.400 tunapopata maombi ya ukombozi tunafaa kubadili jinsi tunavyowaza 0:04:23.400,0:04:30.440 kwa hivyo, jinsi ninavyofikiri na kukaa ndani ya neno la mungu imenisaidia sana 0:04:30.440,0:04:33.120 kwa sababu usipobadili jinsi unavyowaza, 0:04:33.120,0:04:37.280 ndivyo waweza kurudi nyuma, mahali ulikuwa 0:04:37.280,0:04:45.000 kwa kubadili jinsi unavyofikiri na kuchukua neno la mungu, ikawa rahisi 0:04:45.000,0:04:48.960 kile ninachotaka kuwapa kama wosia ni kuwa yeyote aliye katika shida kama huu 0:04:48.960,0:04:52.440 usinyamaze juu yake usiogope 0:04:52.440,0:04:56.840 kwa sababu mungu hana uoga hatasema la 0:04:56.840,0:05:00.480 Neno la Mungu linasema hivi katika Zaburi 66 0:05:00.480,0:05:05.120 Kama sikutubu dhambi zangu mungu hangeweza kunisikiza 0:05:05.120,0:05:07.880 huo ndio wosi wangu kwenu 0:05:07.880,0:05:13.040 tunafaa kusema kwa mungu ' Mungu nina shida 0:05:13.040,0:05:19.640 hatufai kuogopa na kuwa waoga na kumweleza mungu kuhusu shida zetu tunazokabili 0:05:19.640,0:05:21.040 na Mungu ni Mzuri.