Tangia mwezi wa machi, hadi wa leo, maisha yangu haijakuwa sawa. Hakika nimepona na kuwekwa huru. Hamna Msisimko wa damu tena hakuna magonjwa. hakuna maumivu kichwani. No more dizziness.