1 00:00:00,726 --> 00:00:04,435 Je umeshawahi kukutana na wakati maishani 2 00:00:04,435 --> 00:00:07,941 ambao ulikuwa ni wa huzuni sana 3 00:00:07,941 --> 00:00:09,980 kiasi kitu pekee ulichotaka 4 00:00:09,980 --> 00:00:13,750 kufanya ni kujifunza zaidi na zaidi ili kuelewa hali hiyo? 5 00:00:13,750 --> 00:00:16,700 Nilipokuwa na miaka 13, rafiki wa karibu wa familia 6 00:00:16,700 --> 00:00:18,422 ambaye alikuwa kama mjomba kwangu 7 00:00:18,422 --> 00:00:21,187 alifariki kwa kansa ya kongosho. 8 00:00:21,187 --> 00:00:23,518 Wakati ugonjwa ulipokumba karibu sana na nyumbani, 9 00:00:23,518 --> 00:00:25,624 Nilitambua nahitaji kujifunza zaidi, 10 00:00:25,624 --> 00:00:28,470 nikaingia mtandaoni kutafuta majibu. 11 00:00:28,470 --> 00:00:31,560 kwa kutumia mtandao, nikapata takwimu mbalimbali 12 00:00:31,560 --> 00:00:33,238 kuhusu kansa ya kongosho, 13 00:00:33,238 --> 00:00:35,886 na kilichonishtusha. 14 00:00:35,886 --> 00:00:39,718 zaidi ya asilimia 85 ya kansa zote za kongosho 15 00:00:39,718 --> 00:00:41,294 zinagundulika kwa kuchelewa sana, 16 00:00:41,294 --> 00:00:45,620 wakati mtu ana chini ya asilimia ya kuishi. 17 00:00:45,620 --> 00:00:49,568 kwa nini hatufanyi vizuri kugundua kansa ya kongosho? 18 00:00:49,568 --> 00:00:53,153 Sababu?mfumo wetu wa utabibu na dawa 19 00:00:53,153 --> 00:00:55,408 una umri wa miaka karibu 60 sasa. 20 00:00:55,408 --> 00:00:57,913 Umri huo ni mkubwa kuliko wa baba yangu 21 00:00:57,913 --> 00:01:01,459 (vicheko) 22 00:01:01,459 --> 00:01:03,902 lakini pia, ni wa gharama kubwa sana, 23 00:01:03,902 --> 00:01:07,155 unagharimu dola za kimarekani 800 kwa kipimo, 24 00:01:07,155 --> 00:01:09,907 lakini pia vipimo havina uhakika, 25 00:01:09,907 --> 00:01:13,324 na kushindwa kugundua asilimia 30 ya kansa zote za kongosho 26 00:01:13,324 --> 00:01:16,246 Daktari wako itabidi awe ni mdadisi wa ajabu sana 27 00:01:16,246 --> 00:01:19,731 kuamua kukuandikia kipimo hiki. 28 00:01:19,731 --> 00:01:23,476 nilipojua hili, nikajua lazima iwepo njia bora zaidi. 29 00:01:23,476 --> 00:01:25,977 kwa nikaweka kigezo 30 00:01:25,977 --> 00:01:27,963 cha kipimo kinavyotakiwa kuwa 31 00:01:27,963 --> 00:01:31,380 ili kugundua vizuri kansa ya kongosho. 32 00:01:31,380 --> 00:01:35,116 Kipimo kinahitajika kuwa cha gharama nafuu, haraka, 33 00:01:35,116 --> 00:01:38,667 rahisi,kinachogundua haraka, 34 00:01:38,667 --> 00:01:41,948 na kisichohitaji kuingia kwa sehemu kubwa mwilini. 35 00:01:41,948 --> 00:01:43,979 Kuna sababu kwa nini kipimo hiki hakijabadilishwa 36 00:01:43,979 --> 00:01:47,108 kwa karibia miaka sitini, 37 00:01:47,108 --> 00:01:50,291 kwa sababu,tunapoangalia kansa ya kongosho, 38 00:01:50,291 --> 00:01:51,885 tunaangalia mzunguko wako wa damu 39 00:01:51,885 --> 00:01:56,734 ambao tayari umejaa tani nyingi za protini, 40 00:01:56,734 --> 00:01:58,869 na unatafuta chembe tofauti ndogo sana 41 00:01:58,869 --> 00:02:00,700 katika protini ndogo sana, 42 00:02:00,700 --> 00:02:01,986 protini hii moja tu. 43 00:02:01,986 --> 00:02:03,912 jambo hili ni gumu sana 44 00:02:03,912 --> 00:02:07,486 lakini, bila kukatishwa tamaa kutokana na shauku ya ujana 45 00:02:07,486 --> 00:02:13,062 (makofi) 46 00:02:13,062 --> 00:02:16,860 nikaenda mtandaoni kwa marafiki wawili sana wa kijana 47 00:02:16,860 --> 00:02:18,564 Google na Wikipedia 48 00:02:18,564 --> 00:02:22,782 Nilipata kila kitu kutoka vyanzo hivyo viwili, 49 00:02:22,782 --> 00:02:25,330 nilichokipata ilikuwa ni chapisho 50 00:02:25,330 --> 00:02:29,124 ambalo lilionyesha taarifa za protini 8000 tofauti 51 00:02:29,124 --> 00:02:31,611 ambazo zinaonekana ukiwa na kansa ya kongosho. 52 00:02:31,611 --> 00:02:35,255 kwa hiyo nikaamua hii iwe kazi yangu mpya 53 00:02:35,255 --> 00:02:38,148 kupitia protini zote hizi na kuona zipi 54 00:02:38,148 --> 00:02:40,671 zinaweza kuwa kitambulishi cha kansa ya kongosho. 55 00:02:40,671 --> 00:02:43,109 na kunirahisishia mambo, 56 00:02:43,109 --> 00:02:47,357 nikachagua kigezo, na ni hiki. 57 00:02:47,357 --> 00:02:49,789 Kwanza, protini lazima ionekane 58 00:02:49,789 --> 00:02:52,964 katika kansa zote za kongosho kwa kiasi kikubwa,katika damu 59 00:02:52,964 --> 00:02:57,337 katika hatua za mwanzoni. 60 00:02:57,337 --> 00:03:00,327 Kwa hiyo nikawa nafanya majaribio katika kazi hii ngumu, 61 00:03:00,327 --> 00:03:03,649 na mwishowe, katika jaribio la 4000, 62 00:03:03,649 --> 00:03:05,428 wakati nakaribia kuwa kichaa, 63 00:03:05,428 --> 00:03:07,318 nikaipata hiyo protini. 64 00:03:07,318 --> 00:03:09,987 jina la protini niliyoiona 65 00:03:09,987 --> 00:03:11,379 linaitwa mesothelin, 66 00:03:11,379 --> 00:03:14,109 na ni protini ya kawaida tu, 67 00:03:14,109 --> 00:03:15,817 ikiwa tu hauna kansa ya kongosho 68 00:03:15,817 --> 00:03:17,546 ya kizazi au ya mapafu, 69 00:03:17,546 --> 00:03:20,571 ikiwa unazo,protini hii inakua nyingi sana katika damu 70 00:03:20,571 --> 00:03:22,379 lakini pia muhimu ni 71 00:03:22,379 --> 00:03:25,335 kwamba inapatikana katika hatua za mwanzo kabisa za ugonjwa, 72 00:03:25,335 --> 00:03:27,538 wakati mtu ana nafasi ya asilimia 100 73 00:03:27,538 --> 00:03:28,812 ya kupona kabisa. 74 00:03:28,812 --> 00:03:32,473 baada ya kupata protini ya uhakika,kuigundua 75 00:03:32,473 --> 00:03:35,246 nikabadilisha mwelekeo kwenda katika kuigundua sasa, 76 00:03:35,246 --> 00:03:37,700 na hivyo, kugundua pia kansa ya kongosho. 77 00:03:37,700 --> 00:03:41,069 mafanikio yangu yalipatina mahali pasipotarajiwa kabisa, 78 00:03:41,069 --> 00:03:43,710 labda sehemu isiyotegemewa kwa uvumbuzi kabisa: 79 00:03:43,710 --> 00:03:45,934 katika darasa langu la biolojia la sekondari, 80 00:03:45,934 --> 00:03:48,455 mahali ambapo ubunifu unazuiwa kabisa. 81 00:03:48,455 --> 00:03:53,379 (vicheko)(makofi) 82 00:03:53,379 --> 00:03:56,560 na nilifanikiwa kuliona andiko kuhusu vitu vinaitwa 83 00:03:56,560 --> 00:04:00,158 tyubu ndogo sana za kaboni. 84 00:04:00,158 --> 00:04:01,412 ambazo upana wake ni kama wa atom 85 00:04:01,412 --> 00:04:04,107 na kipenyo chake moja ya hamsini ya kipenyo cha nywele yako. 86 00:04:04,107 --> 00:04:06,497 pamoja na udogo huu 87 00:04:06,497 --> 00:04:08,331 zina tabia za ajabu sana. 88 00:04:08,331 --> 00:04:10,922 ni kama mashujaa wa sayansi ya maada. 89 00:04:10,922 --> 00:04:13,107 wakati nasoma chapisho 90 00:04:13,107 --> 00:04:15,202 chini ya dawati katika darasa la elimu ya viumbe, 91 00:04:15,202 --> 00:04:16,801 tulitakiwa tuwe makini 92 00:04:16,801 --> 00:04:20,510 katika molekyuli ziitwazo antibodi 93 00:04:20,510 --> 00:04:22,611 na hizi zimetulia sana kwa kuwa zinaweza ungana tu 94 00:04:22,611 --> 00:04:24,394 na protini moja, 95 00:04:24,394 --> 00:04:26,994 lakini sio za kupendeza kama tyubu ndogo za kaboni 96 00:04:26,994 --> 00:04:30,101 kwa hiyo nilikuwa darasani, 97 00:04:30,101 --> 00:04:32,639 na ghafla nikatambua: 98 00:04:32,639 --> 00:04:35,290 Kwamba naweza kuunganisha nilichokuwa nasoma, 99 00:04:35,290 --> 00:04:36,739 tyubu ndogo za kaboni, 100 00:04:36,739 --> 00:04:39,675 na kile nilichotakiwa kuwaza, antibodi. 101 00:04:39,675 --> 00:04:42,440 naweza nikazungusha antibodi hizi 102 00:04:42,440 --> 00:04:44,428 katika mkusanyiko wa tyubu ndogo za kaboni 103 00:04:44,428 --> 00:04:46,021 kiasi kwamba unakuwa na mkusanyiko 104 00:04:46,021 --> 00:04:48,451 ambao unaungana na protini moja 105 00:04:48,451 --> 00:04:51,771 lakini,pia kutokana na tabia za tyubu ndogo za kaboni, 106 00:04:51,771 --> 00:04:53,723 itabadilisha tabia zake za kiumeme 107 00:04:53,723 --> 00:04:56,231 kulingana na kiasi cha protini kilichopo 108 00:04:56,231 --> 00:04:58,314 lakini kuna jambo la kuzingatia. 109 00:04:58,314 --> 00:05:01,714 muunganiko huu wa tybu ndogo za kaboni ni laini sana 110 00:05:01,714 --> 00:05:05,203 kwa kuwa ni laini sana,zinahitaji kutegemezwa 111 00:05:05,203 --> 00:05:07,219 ndio maana nikachagua karatasi. 112 00:05:07,219 --> 00:05:09,513 Kutengeneza kipimo cha kansa kwa karatasi 113 00:05:09,513 --> 00:05:11,881 ni rahisi kama kutengeneza biskuti za chokleti 114 00:05:11,881 --> 00:05:15,430 ambazo nazipenda 115 00:05:15,430 --> 00:05:18,775 unaanza na maji,unamimina nanotubes, 116 00:05:18,775 --> 00:05:21,189 ongeza antibodies, changanya, 117 00:05:21,189 --> 00:05:23,557 chukua karatasi,chovya,ikaushe, 118 00:05:23,557 --> 00:05:26,989 na unaweza ukagundua kansa. 119 00:05:26,989 --> 00:05:33,496 (makofi) 120 00:05:33,496 --> 00:05:36,730 ghafla, wazo likanijia, 121 00:05:36,730 --> 00:05:41,076 lililoweka doa katika mpango wangu wa ajabu. 122 00:05:41,076 --> 00:05:42,931 siwezi nikafanya utafiti wa kansa 123 00:05:42,931 --> 00:05:44,173 katika jiko langu. 124 00:05:44,173 --> 00:05:46,316 mama yangu hatapenda kitu hicho. 125 00:05:46,316 --> 00:05:49,566 kwa hiyo, nikaamua kwenda maabara. 126 00:05:49,566 --> 00:05:51,970 nikaandika bajeti, orodha ya vifaa, 127 00:05:51,970 --> 00:05:54,197 ratiba na taratibu zitakazotumika, 128 00:05:54,197 --> 00:05:56,716 nikatuma kama barua pepe kwa maprofesa 200 tofauti 129 00:05:56,716 --> 00:05:58,405 katika chuo cha Johns Hopkins 130 00:05:58,405 --> 00:06:00,109 na katika taasisi ya afya ya taifa, 131 00:06:00,109 --> 00:06:03,285 kimsingi yoyote ambaye alikuwa na chochote kuhusu kansa ya kongosho. 132 00:06:03,285 --> 00:06:06,234 nikakaa nikisubiri majibu mazuri kuingia, 133 00:06:06,234 --> 00:06:07,751 yakisema, "wewe una kipaji cha ajabu! 134 00:06:07,751 --> 00:06:09,333 unaenda kutusaidia sisi wote!" 135 00:06:09,333 --> 00:06:13,622 na - (vicheko) 136 00:06:13,622 --> 00:06:14,943 baadae ukweli ukaanza kuonekana, 137 00:06:14,943 --> 00:06:17,357 na ndani ya mwezi mmoja, 138 00:06:17,357 --> 00:06:21,932 nikapata majibu ya kukataa 199 kati ya barua pepe zile 200. 139 00:06:21,932 --> 00:06:24,392 profesa mmoja akapitia mpango wangu wote 140 00:06:24,392 --> 00:06:27,365 sijui alipata wapi muda wote huu -- 141 00:06:27,365 --> 00:06:31,349 na akaanza kusema kwa nini kila hatua 142 00:06:31,349 --> 00:06:34,220 ni kosa kubwa sana. 143 00:06:34,220 --> 00:06:36,857 wazi wazi kabisa kila profesa hakuwa na maono makubwa 144 00:06:36,857 --> 00:06:39,979 kuhusu kazi yangu kama nilivyokuwa mimi. 145 00:06:39,979 --> 00:06:42,121 lakini, kulikuwa bado na tumaini. 146 00:06:42,121 --> 00:06:45,132 profesa mmoja, "labda naweza kukusaidia kijana." 147 00:06:45,132 --> 00:06:47,620 kwa hiyo nikaenda katika mwelekeo huo. 148 00:06:47,620 --> 00:06:51,517 (vicheko) 149 00:06:51,517 --> 00:06:54,181 kwa kuwa hauwezi kumkatalia mtoto. 150 00:06:54,181 --> 00:06:56,661 kwa hiyo miezi mitatu baadae, 151 00:06:56,661 --> 00:06:59,537 nilifanikiwa kupanga kukutana na mtu huyu, 152 00:06:59,537 --> 00:07:00,901 nikaingia katika maabara yake, 153 00:07:00,901 --> 00:07:03,220 nikawa na shauku kubwa, halafu nikakaa chini 154 00:07:03,220 --> 00:07:04,967 nikaanza kuongea, 155 00:07:04,967 --> 00:07:07,600 sekunde tano baadaye akamwita Daktari wa fasafa 156 00:07:07,600 --> 00:07:11,317 madaktari wa falsafa wakajaa katika chumba hiki kidogo, 157 00:07:11,317 --> 00:07:13,532 wakawa wananiuliza maswali, 158 00:07:13,532 --> 00:07:16,014 na mwishowe,nikahisi kama nilikuwa katika gari lililojaa watu wengi mno 159 00:07:16,014 --> 00:07:17,965 Kulikuwa na madaktari wa falsafa 20, mimi na huyu Profesa 160 00:07:17,965 --> 00:07:20,252 tumejazana katika ofisi ndogo 161 00:07:20,252 --> 00:07:23,323 wakinirushia maswali ya haraka haraka 162 00:07:23,323 --> 00:07:25,661 wakijaribu kuzamisha mpango wangu. 163 00:07:25,661 --> 00:07:28,130 Jinsi gani jambo hili lilivyokuwa gumu? 164 00:07:28,130 --> 00:07:32,478 (vicheko) 165 00:07:32,478 --> 00:07:35,202 bila kujali kuhojiwa kote kule, 166 00:07:35,202 --> 00:07:36,660 nilijibu maswali yao yote, 167 00:07:36,660 --> 00:07:38,818 nilibahatisha katika baadhi ya maswali lakini nilikuwa sahihi, 168 00:07:38,818 --> 00:07:43,370 mwishowe nikafanikiwa kupata nafasi ya maabara niliyoihitaji. 169 00:07:43,370 --> 00:07:45,563 muda mfupi baadae ndipo nikagundua 170 00:07:45,563 --> 00:07:47,562 mpango wango mahiri 171 00:07:47,562 --> 00:07:49,589 kuwa na makosa karibia milioni moja, 172 00:07:49,589 --> 00:07:51,170 na ndani ya miezi saba, 173 00:07:51,170 --> 00:07:54,626 nikaanza kazi nzito ya kusahihisha makosa haya yote moja baada ya jingine. 174 00:07:54,626 --> 00:07:57,676 Matokeo yake? kipimo cha karatasi 175 00:07:57,676 --> 00:08:00,826 kikigharimu senti tatu za dola kikichukua dakika tano. 176 00:08:00,826 --> 00:08:04,411 hii inakifanya kiwe mara 168 haraka zaidi, 177 00:08:04,411 --> 00:08:07,238 kikiwa na gharama ya chini ya mara 26,000 178 00:08:07,238 --> 00:08:09,897 na kikiwa cha uhakika kwa zaidi ya mara 400 179 00:08:09,897 --> 00:08:12,907 kushinda kipimo cha sasa cha kansa ya kongosho 180 00:08:12,907 --> 00:08:22,465 (makofi) 181 00:08:22,465 --> 00:08:24,860 moja kati ya vitu muhimu kuhusu kipimo hiki, 182 00:08:24,860 --> 00:08:27,457 ni kuwa kinatoa majibu sahihi kwa karibia asilimia 100, 183 00:08:27,457 --> 00:08:29,819 na kinagundua kansa katika hatua za mwanzo kabisa 184 00:08:29,819 --> 00:08:33,212 wakati mtu ana nafasi ya asilimia 100 ya kupona. 185 00:08:33,212 --> 00:08:35,476 kwa hiyo ndani ya miaka miwili mpaka mitano ijayo, 186 00:08:35,476 --> 00:08:38,741 kipimo hiki kinaweza kikaongeza watu kupona kansa ya kongosho 187 00:08:38,741 --> 00:08:40,876 kutoka asilimia 5.5 188 00:08:40,876 --> 00:08:42,972 mpaka karibu na asilimia 100, 189 00:08:42,972 --> 00:08:45,863 na pia itafanya hivyo hivyo kwa kansa ya kizazi na ya mapafu. 190 00:08:45,863 --> 00:08:48,205 lakini haitaishia hapo tu. 191 00:08:48,205 --> 00:08:49,900 Kwa kuifunga hiyo antibodi, 192 00:08:49,900 --> 00:08:51,519 unaweza ukaangalia protini mbalimbali, 193 00:08:51,519 --> 00:08:53,125 kwa hiyo pia magonjwa mbalimbali, 194 00:08:53,125 --> 00:08:56,830 lakini uwezo huu ni kwa ugonjwa wowote duniani 195 00:08:56,830 --> 00:08:58,671 kutoka ugonjwa wa moyo 196 00:08:58,671 --> 00:09:01,404 mpaka Malaria,HIV,AIDS, 197 00:09:01,404 --> 00:09:04,133 pia ni aina nyingine za kansa-- ugonjwa wowote ule. 198 00:09:04,133 --> 00:09:06,324 Kwa hiyo, tumaini ni kuwa siku moja 199 00:09:06,324 --> 00:09:08,740 wote tunaweza tukawa na yule mjomba wa ziada, 200 00:09:08,740 --> 00:09:11,824 yule mama,yule kaka,dada, 201 00:09:11,824 --> 00:09:14,850 tunaweza kuwa na ndugu wa kumpenda, 202 00:09:14,850 --> 00:09:19,706 na mioyo yetu itapunguziwa mzigo wa ugonjwa mmoja 203 00:09:19,706 --> 00:09:22,567 utokanao na kansa ya kongosho,kizazi na mapafu, 204 00:09:22,567 --> 00:09:24,872 au ugonjwa wowote mwingine, 205 00:09:24,872 --> 00:09:27,270 na kupitia mtandao mengi yanawezekana. 206 00:09:27,270 --> 00:09:28,948 tunaweza kushirikishana nadharia, 207 00:09:28,948 --> 00:09:30,400 na sio lazima uwe profesa 208 00:09:30,400 --> 00:09:33,060 na shahada nyingi ili mawazo yako yathaminike. 209 00:09:33,060 --> 00:09:34,462 ni eneo lililo wazi kwa mtu yeyote 210 00:09:34,462 --> 00:09:37,322 ambapo mwonekano,umri wako au jinsia, 211 00:09:37,322 --> 00:09:38,496 haijalishi. 212 00:09:38,496 --> 00:09:40,698 ni mawazo yako tu ndiyo yanayojalisha. 213 00:09:40,698 --> 00:09:43,651 Kwangu mimi,ni suala la kuangalia mtandao wa intaneti 214 00:09:43,651 --> 00:09:45,739 kwa mtazamo mpya kabisa 215 00:09:45,739 --> 00:09:47,858 ili kujua kuna mengi sana ndani yake 216 00:09:47,858 --> 00:09:52,755 badala ya kuweka picha zako tu mtandaoni. 217 00:09:52,755 --> 00:09:56,012 unaweza ukaibadilisha dunia. 218 00:09:56,012 --> 00:09:58,045 kwa hiyo kama kijana wa miaka 15 219 00:09:58,045 --> 00:10:01,132 ambaye alikuwa hajui hata kongosho ni nini 220 00:10:01,132 --> 00:10:04,706 anaweza akavumbua njia mpya ya kugundua kansa ya kongosho. 221 00:10:04,706 --> 00:10:07,197 jaribu kufikiri unaweza ukafanya mangapi. 222 00:10:07,197 --> 00:10:08,529 Asante sana 223 00:10:08,529 --> 00:10:14,237 (makofi)