WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:02.000 Je, mnaona mahali ambapo nimeketi? 00:00:02.001 --> 00:00:07.000 Tunakuletea hili kwenye kipindi hiki cha R&D Africa kwenye AAU TV. 00:00:07.001 --> 00:00:12.000 Tunamwangazia kwa kijana Lawrence Adjei, ambaye ameweza kutengeneza 00:00:12.001 --> 00:00:16.260 pikipiki hii ya umeme kwa kutumia betri za vipakatalishi vilivyoharibika. 00:00:16.260 --> 00:00:17.890 Tegea. Tutakuonyesha zaidi. 00:00:26.050 --> 00:00:30.664 Katika enzi ambapo ulinzi wa mazingira, siha na usafiri unaotunza mazingira 00:00:30.664 --> 00:00:34.092 unathaminiwa na kufanywa kwa sana na watu, 00:00:34.402 --> 00:00:37.000 kinachokujia akilini wakati usafiri unaokuruhusu, 00:00:37.000 --> 00:00:38.614 kuepuka msongamano wa trafiki, 00:00:39.614 --> 00:00:42.000 usiochafua hewa na unaotunza mazingira unatajwa. 00:00:45.883 --> 00:00:49.930 Baiskeli zinazotumia umeme zina vifaa vya kielektroniki 00:00:49.930 --> 00:00:52.509 vilivyowekwa kusaidia au kuchukua nafasi ya kuendesha mwenyewe. 00:00:52.985 --> 00:00:55.000 Zina manufaa kadhaa. 00:00:55.425 --> 00:00:59.522 Hazitumii mafuta mengi, zina mwendo wa kasi, hupunguza msongamano wa trafiki 00:00:59.522 --> 00:01:01.850 na hazichafui mazingira. 00:01:04.020 --> 00:01:07.439 Kwa sana wavumbuzi wanategemea betri kama vile lithium-ion, 00:01:07.641 --> 00:01:08.841 nickel-cadmium, 00:01:09.231 --> 00:01:10.852 betri za lithium-cobalt 00:01:10.921 --> 00:01:11.921 lead acid, 00:01:12.081 --> 00:01:13.801 nickel-metal hydrate, 00:01:13.801 --> 00:01:14.851 lithium-manganese 00:01:14.851 --> 00:01:18.000 na betri za lithium-ion polymer kama vifuasi. 00:01:18.845 --> 00:01:22.068 Cha kushangaza, kijana mchanga wa Ghana, Lawrence Adjei 00:01:22.068 --> 00:01:26.030 amechagia kwenye uvumbuzi katika sekta ya baiskeli za umeme. 00:01:26.030 --> 00:01:29.075 Anatumia betri za vipakatalishi, ambazo ananunua 00:01:29.075 --> 00:01:34.430 kutoka kwa maduka ya takataka kompyuta huko Accra ili kutengeneza baiskeli zake. 00:01:34.800 --> 00:01:38.182 Anajulikana kuwa raia wa kwanza wa Ghana kutengeneza baiskeli za umeme 00:01:38.182 --> 00:01:42.000 kutoka kwa betri za vipakatalishi na amejifunza. 00:01:45.471 --> 00:01:49.738 Naishi karibu na Lawrence na mimi ni msaidizi wake. 00:01:49.763 --> 00:01:51.897 Hii si mara yangu ya kwanza kuendesha. 00:01:51.897 --> 00:01:54.460 Nimekuwa nikiendesha pikipiki kwa miaka miwili sasa. 00:01:54.460 --> 00:01:56.463 Hali ya uendeshaji ni tofauti. 00:01:56.521 --> 00:02:00.202 Tofauti. Siwezi hata kulinganisha kwa sababu kuendesha baiskeli ya kawaida... 00:02:00.202 --> 00:02:01.370 kuna uchungu mwingi. 00:02:01.370 --> 00:02:05.740 Na kisha unaweza kupenda idadi ya kilomita unazohitaji kwenda. 00:02:06.001 --> 00:02:10.339 Kwa hivyo hii ni tofauti kabisa ikilinganishwa na nilizowahi kutumia. 00:02:10.339 --> 00:02:13.700 Hii ina gia tatu na hizo nyingine hazina. 00:02:14.280 --> 00:02:20.543 Ina breki ambayo inachaji betri wakati unaitumia, baiskeli nyingine hazina. 00:02:21.001 --> 00:02:24.537 Ina lango la USB ambalo linaweza kuchaji simu yako 00:02:24.537 --> 00:02:26.250 au kutumia mwangaza wa USB. 00:02:26.541 --> 00:02:28.254 Vitu ambavyo havipo kwa nyingine. 00:02:28.811 --> 00:02:32.062 Na pia ina kengele, nyingine hazikuwa na kengele. 00:02:32.962 --> 00:02:36.634 Na kisha unaweza kusimama mara moja ukitumia breko. 00:02:36.794 --> 00:02:38.010 Zinasimama mara moja. 00:02:38.370 --> 00:02:40.525 Inayofuata. Tukiangazia betri, 00:02:40.525 --> 00:02:42.944 ina kiwango cha juu unachoweza kutumia, 00:02:43.204 --> 00:02:45.586 kuweka mwanga kwa nyumba. 00:02:49.275 --> 00:02:52.640 Hapa ndipo Bw Lawrence AJ hufanya uvumbuzi wote. 00:02:52.640 --> 00:02:55.647 Hapa ndipo utengenezaji wa baiskeli za umeme 00:02:55.647 --> 00:02:58.920 kutokana na betri za vipakatalishi vilivyoharibika hufanyika na 00:02:58.920 --> 00:03:01.000 Kwa sasa nipo hapa na Bw Lawrence. 00:03:01.601 --> 00:03:03.656 Tuonyeshe mchakato unaohusika katika 00:03:03.656 --> 00:03:07.000 matumizi ya betri hizi ili kutengeneza baiskeli ya umeme. 00:03:07.481 --> 00:03:09.640 Kwa hivyo kuna betri hapa. 00:03:09.993 --> 00:03:11.986 Kwa hivyo, unazipasua hivi. 00:03:12.511 --> 00:03:15.121 Wakati mwingine unakunja au... 00:03:15.891 --> 00:03:16.891 unatumia koleo. 00:03:17.247 --> 00:03:18.267 Sawa 00:03:21.533 --> 00:03:24.500 Unaona kuwa hatutumii seli zote. 00:03:24.551 --> 00:03:26.054 Hii iko hapa, imechomoza. 00:03:26.784 --> 00:03:28.870 -Sawa -Huwezi kutumia hii, kwa hivyo 00:03:28.870 --> 00:03:30.063 Unatafuta tofauti. 00:03:30.654 --> 00:03:31.753 Jaribu nyingine. 00:03:38.610 --> 00:03:39.639 Inayofanana. 00:03:39.639 --> 00:03:42.665 Hii iko sawa. Kwa hivyo unachukua mathabodi 00:03:42.665 --> 00:03:44.180 - ya betri. Kwa hivyo... - Sawa 00:03:44.439 --> 00:03:45.439 Kwa hivyo kuziondoa 00:03:46.058 --> 00:03:48.828 [Haisikiki] 00:03:54.638 --> 00:03:56.965 Kisha ondoa seli zake hivi. 00:03:57.463 --> 00:03:58.503 Sawa 00:04:00.391 --> 00:04:02.780 Kwa hivyo kwa jumla, unahitaji seli hizi ngapi? 00:04:03.001 --> 00:04:04.260 Nahitaji nyingi, lakini 00:04:04.260 --> 00:04:05.991 Nina betri 6 pekee hapa. 00:04:05.991 --> 00:04:07.001 Sawa 00:04:07.001 --> 00:04:12.000 Kisha unapima kwa kutumia votimita ili uone iwapo kuna kiwango cha volti ndani. 00:04:12.001 --> 00:04:15.000 Unahitaji wastani wa volti ngapi katika betri? 00:04:15.001 --> 00:04:17.588 Nafikiri kama volti 2.5. Volti 2.5 ni sawa. 00:04:17.588 --> 00:04:19.131 - Sawa - Hii ni nzuri 00:04:19.131 --> 00:04:20.968 - Sawa - Kisha tunakuja hapa 00:04:20.968 --> 00:04:22.840 na kupima kupitia mashine hii hapa. 00:04:22.840 --> 00:04:24.759 Hii inaitwa Opus. 00:04:24.759 --> 00:04:27.096 Hii hufanya vipimo vya kiwango. 00:04:27.096 --> 00:04:30.000 - Sawa - Kwa hivyo unaweka seli ndani hivi. 00:04:30.001 --> 00:04:32.425 Unaweza kuona kuwa inachaji, kwa hivyo... 00:04:32.425 --> 00:04:34.940 Itachaji betri kwa takribani saa mbili 00:04:34.940 --> 00:04:36.470 - Sawa - Saa mbili pekee 00:04:36.470 --> 00:04:43.000 Baada ya hilo, mashine itaondoa umeme kwenye betri na kukuonyesha kiwango, 00:04:43.159 --> 00:04:44.970 -Sawa -Kisha tunaiondoa. 00:04:44.970 --> 00:04:48.360 Kisha tunaandika kiwango juu yake. 00:04:52.001 --> 00:04:53.951 Kulinganisha vitu vingine pia 00:04:53.951 --> 00:04:58.000 Ina kifaa cha Bluetooth ndani yake, unachoweza kutumia kusanidi simu yako. 00:04:58.270 --> 00:05:02.309 Kwa hivyo fikiri naenda kwa kasi ya juu, haupunguzi kasi 00:05:02.309 --> 00:05:05.000 kwenye simu yako na kisha itapungua kiotomatiki. 00:05:05.001 --> 00:05:07.000 Haijalishi mchapuko. 00:05:07.001 --> 00:05:10.000 Kwa baiskeli nyingine, hazina gia ya nyuma. 00:05:10.001 --> 00:05:12.000 Unahitaji tu kuzikuma nyuma hivi. 00:05:12.001 --> 00:05:13.778 Lakini hii ina gia ya nyuma. 00:05:13.778 --> 00:05:15.000 Kwa hivyo hamna haja. 00:05:15.001 --> 00:05:19.000 Wakati umewasha ufunguo, bonyeza tu kitufe na kisha unaanza kwenda. 00:05:19.001 --> 00:05:21.919 Haichapuki kama unapokua kwenye kasi ya juu 00:05:21.931 --> 00:05:27.000 lakini ina nguvu na inapunguza kasi taratibu. 00:05:27.250 --> 00:05:31.000 Bila kujali kizuizi, itapunguza kasi taratibu. 00:05:31.001 --> 00:05:34.000 Nafikiri haya ni yote kuihusu. 00:05:34.001 --> 00:05:37.000 Kwa baiskeli nyingine, hatuna shokomzoba za mbele. 00:05:37.100 --> 00:05:41.800 Na kisha, shokomzoba za mbele, tukizungumzia hili, limejazwa hewa. 00:05:41.800 --> 00:05:43.570 Ni tofauti na hilo lingine. 00:05:43.570 --> 00:05:47.000 Hiyo nyingine ina hewa kidogo na mafuta mengi. 00:05:47.001 --> 00:05:51.000 Lakini hii ina hewa, kwa hivyo unasimama mara moja. 00:05:51.001 --> 00:05:53.000 Na unaona kuna ya nyuma pia. 00:05:53.001 --> 00:05:55.000 Pia ni tofauti upande wa nyuma. 00:05:55.150 --> 00:05:57.347 Kwa kweli, baiskeli nyingine, unapoendesha 00:05:57.347 --> 00:06:00.721 na upitie kwenye shimo, unahisi uchungu kwenye kiuno. 00:06:00.721 --> 00:06:02.420 Lakini kwa hii, huhisi uchungu. 00:06:02.420 --> 00:06:05.000 Unapitia tu shimoni na unakuwa sawa. 00:06:05.001 --> 00:06:08.165 Kwa hivyo wakati wowote unapoendesha baiskeli hii, inakufanya 00:06:08.177 --> 00:06:11.000 utamani kwenda zaidi na zaidi. 00:06:11.150 --> 00:06:14.700 Ni vyema zaidi kuwa na mojawapo ya baiskeli hizi. 00:06:18.860 --> 00:06:20.625 Jina langu ni AJ Lawarence. 00:06:20.650 --> 00:06:23.000 Naishi Kaswa katika eneo la kati la Ghana. 00:06:23.075 --> 00:06:25.934 Akiwa na miaka 11, wakati Lawrence aligundua talanta yake, 00:06:25.946 --> 00:06:31.000 alijifunza kucheza na vifaa vya kielektroniki kama vile kompyuta. 00:06:31.425 --> 00:06:34.170 Mwaka mmoja baada ya mvuto wake kukua katika nyanya hiyo, 00:06:34.182 --> 00:06:37.000 alichukua kasi ya kurekebisha baiskeli. 00:06:37.001 --> 00:06:40.000 Hadi leo, bado anarekebisha baiskeli kadhaa. 00:06:40.100 --> 00:06:44.000 Kufikia sasa, Lawrence ametengeneza na kuuza baiskeli nne za umeme mwenyewe. 00:06:44.125 --> 00:06:49.810 Baiskeli ya sasa ina vitu vilivyoboreshwa ikilinganishwa na alizotengeneza zamani. 00:06:49.810 --> 00:06:51.831 Profesa Jaya anatazamia kuwasiliana na 00:06:51.831 --> 00:06:54.220 vyuo kwa ajili ya ushirikiano 00:06:54.250 --> 00:06:59.000 ili kuboresha mawazo yake ya ubunifu. 00:06:59.001 --> 00:07:04.000 Ana ndoto ya kutumia sola kuendesha baiskeli zake baadaye, lakini anahitaji 00:07:04.001 --> 00:07:06.927 ushirikiano na vyumo na taasisi za 00:07:06.939 --> 00:07:10.000 kiufundi ili kuboresha utengenzaji kutoka sampuli 00:07:10.450 --> 00:07:12.000 hadi kuwa biashara. 00:07:12.150 --> 00:07:15.005 Katika ushirikiano huo, anatafuta kuwafunza 00:07:15.017 --> 00:07:18.000 wanafunzi wa kiufundi kuboresha ufahamu wao kuhusu elektroniki. 00:07:21.430 --> 00:07:23.291 Nina swali. 00:07:23.326 --> 00:07:26.087 Kwa hivyo jaribio hili hufanikiwa tu wakati unatumia betri 00:07:26.087 --> 00:07:29.560 za kuunganishwa au za vipakatilishi vibovu au unaweza kutumia betri mpya. 00:07:29.580 --> 00:07:31.160 Kwa hakika unaweza kutumia mpya. 00:07:31.160 --> 00:07:32.190 Sawa 00:07:32.190 --> 00:07:33.230 Sawa. 00:07:33.230 --> 00:07:36.000 Sasa kuhusu kuchaji baiskeli, inafanywa vipi? 00:07:36.001 --> 00:07:39.184 Inachajiwa kwa kutumia chaja hii hapa. 00:07:39.184 --> 00:07:40.952 Hii ni chaja maalum niliyobuni. 00:07:40.952 --> 00:07:42.540 Si kama chaja ya kawaida. 00:07:42.540 --> 00:07:44.980 Huenda ikachukua saa 12, saa 6 ili kuchaji. 00:07:44.980 --> 00:07:46.010 Sawa 00:07:46.010 --> 00:07:47.689 Hii huchaji kwa takribani saa 3. 00:07:47.689 --> 00:07:49.171 Sawa. 00:07:50.801 --> 00:07:52.270 Na, uliitengeneza mwenyewe? 00:07:52.270 --> 00:07:53.359 Ndiyo. 00:07:53.359 --> 00:07:54.740 Nilinunua sehemu. 00:07:54.740 --> 00:07:55.810 Sawa. 00:07:56.081 --> 00:07:59.700 Kwa sehemu ulizotumia, unaweza kuangazia kwa kifupi 00:07:59.701 --> 00:08:02.200 mchakato, ulivyofikia hitimisho hilo? 00:08:02.301 --> 00:08:04.800 Kwa hii, ni chanzo cha nishati cha seva. 00:08:04.801 --> 00:08:05.820 Sawa. 00:08:05.820 --> 00:08:07.500 Inatumika katika huduma ya mwanga. 00:08:07.601 --> 00:08:11.326 Unajua, huduma ya mwanga, zina kompyuta nyingi ndani. 00:08:11.450 --> 00:08:13.395 Kwa hivyo zina prosesa nzuri sana. 00:08:14.185 --> 00:08:18.319 Na hii hapa inaitwa konvata ya kuongeza nishati 00:08:18.319 --> 00:08:19.578 Sawa 00:08:19.578 --> 00:08:22.318 Kwa hivyo ukiweka volti 3 00:08:22.342 --> 00:08:25.175 Inaibadilisha kuwa volti 84 00:08:25.199 --> 00:08:27.199 Sawa 00:08:27.223 --> 00:08:29.841 Sasa kuhusu vipengele vya baiskeli yako 00:08:29.841 --> 00:08:35.655 Baiskeli yako ina vipengele vipi ambavyo havipo kwenye baiskeli zilizo sokoni> 00:08:35.679 --> 00:08:38.252 Kila kitu kimesanidiwa kwenye hii. 00:08:38.276 --> 00:08:41.822 Unaweza kuchagua programu inayofanya kazi kwenye simu yako. 00:08:41.846 --> 00:08:43.846 Sawa, sawa. 00:08:45.016 --> 00:08:48.289 Pia ina sehemu ya kuchaji simu zako. 00:08:48.992 --> 00:08:52.252 Pia ina breki za Evergine. 00:08:52.276 --> 00:08:56.076 Hiyo inamaanisha unapofunga breki, inachaji baiskeli 00:08:56.127 --> 00:09:02.173 Hivyo, hujaribu kutumia Venoma Veperseto unapofunga breki 00:09:02.197 --> 00:09:04.630 Inafanya mara moja unapofunga breki 00:09:06.766 --> 00:09:10.458 Unashughulikia vipi usaidizi wa mrai huu? 00:09:10.458 --> 00:09:11.866 Umekuwa ukiifanya vipi? 00:09:11.891 --> 00:09:13.170 Kujiamini. 00:09:16.943 --> 00:09:19.843 Sawa, kwa hivyo changamoto nilipokuwa nikitengeneza baiskeli 00:09:19.868 --> 00:09:23.000 zilikuwa, mwanzo sikuwa na mashine ya kushikanisha vyuma na mashine ya rangi. 00:09:23.001 --> 00:09:25.710 Kwa hivyo napeleka kwa waunganisha vyuma na wapaka rangi. 00:09:25.710 --> 00:09:28.330 Lakini wanachukua pesa na hawafanyi kazi nzuri. 00:09:28.330 --> 00:09:32.000 Niliamua kunua mashine hizo. 00:09:32.100 --> 00:09:35.000 Kisha nikaanza kujifuza kuchomelea na kupaka rangi mwenyewe. 00:09:35.001 --> 00:09:39.380 Ilinichukua takribani wiki moja au mbili kujifunza zote. 00:09:39.380 --> 00:09:41.576 Wakati mwingine marafiki zangu hunishusha moyo 00:09:41.576 --> 00:09:44.000 kuwa haitafanikiwa na kila mara unapoteza wakati 00:09:44.001 --> 00:09:47.000 kwa jambo hili, nenda ukatafute kazi na upate pesa. 00:09:47.001 --> 00:09:49.600 Changamoto zangu kuhusu fedha ni kama wakati mwingine 00:09:49.612 --> 00:09:52.570 Sipati pesa kwa wingi za kununua sehemu. 00:09:52.570 --> 00:09:54.650 Kwa hivyo nitanunua moja mwezi huu, 00:09:54.650 --> 00:09:57.000 mwezi unaofuata ninunue nyingine na zote 00:09:57.001 --> 00:10:00.000 husafirishwa, ambayo ni gharama kubwa. 00:10:00.001 --> 00:10:05.000 Kwa hivyo nikipata fedha ya kuzinunua kwa wingi, nafikiri itasaidia mchakato. 00:10:09.000 --> 00:10:11.833 Lawrence anatazamia kujenga eneo la kazi 00:10:11.845 --> 00:10:15.000 ili kubuni ajira kwa 00:10:15.001 --> 00:10:19.000 wavumbuzi wanaovutiwa na kusaidia jamii. 00:10:19.025 --> 00:10:21.937 Lawrence Adjei haweki tu Bara la 00:10:21.949 --> 00:10:25.000 Afrika kwenye ramani, pia ameonekana kuwa 00:10:25.400 --> 00:10:28.188 mmoja wa watu wengi afrika wenye akili za uvumbuzi 00:10:28.200 --> 00:10:32.000 ambao wanaweza kunawiri wakisaidiwa kiasi. 00:10:32.001 --> 00:10:35.722 Huu ndio mwisho wa kipindi cha kufana, kinachofichua 00:10:35.734 --> 00:10:39.200 na cha mafunzo cha R&D Africa kwenye AAU TV. 00:10:39.200 --> 00:10:42.480 Usisahau kuwa huenda wakati mwingine ni wewe utakayeangaziwa. 00:10:42.480 --> 00:10:45.094 Kwa hivyo iwapo una uvumbuzi wowote, 00:10:45.106 --> 00:10:49.001 wasiliana na AAU TV na tutakufikia. 00:10:49.050 --> 00:10:52.013 Tufuatilie kwenye YouTube, Facebook na kwenye 00:10:52.025 --> 00:10:55.000 mifumo yetu yote ya mtandao jamii ili upate maudhui zaidi. 00:10:55.001 --> 00:10:56.850 Jina langu - Maame Ekua Otuakoa Nyame. 00:10:56.850 --> 00:10:59.200 Hadi wakati mwingine, tumemaliza! 00:10:59.200 --> 00:11:14.000 [Muziki].