1 00:00:00,000 --> 00:00:02,000 Je, mnaona mahali ambapo nimeketi? 2 00:00:02,001 --> 00:00:07,000 Tunakuletea hili kwenye kipindi hiki cha R&D Africa kwenye AAU TV. 3 00:00:07,001 --> 00:00:12,000 Tunamwangazia kwa kijana Lawrence Adjei, ambaye ameweza kutengeneza 4 00:00:12,001 --> 00:00:16,260 pikipiki hii ya umeme kwa kutumia betri za vipakatalishi vilivyoharibika. 5 00:00:16,260 --> 00:00:17,890 Tegea. Tutakuonyesha zaidi. 6 00:00:26,050 --> 00:00:30,664 Katika enzi ambapo ulinzi wa mazingira, siha na usafiri unaotunza mazingira 7 00:00:30,664 --> 00:00:34,092 unathaminiwa na kufanywa kwa sana na watu, 8 00:00:34,402 --> 00:00:37,000 kinachokujia akilini wakati usafiri unaokuruhusu, 9 00:00:37,000 --> 00:00:38,614 kuepuka msongamano wa trafiki, 10 00:00:39,614 --> 00:00:42,000 usiochafua hewa na unaotunza mazingira unatajwa. 11 00:00:45,883 --> 00:00:49,930 Baiskeli zinazotumia umeme zina vifaa vya kielektroniki 12 00:00:49,930 --> 00:00:52,509 vilivyowekwa kusaidia au kuchukua nafasi ya kuendesha mwenyewe. 13 00:00:52,985 --> 00:00:55,000 Zina manufaa kadhaa. 14 00:00:55,425 --> 00:00:59,522 Hazitumii mafuta mengi, zina mwendo wa kasi, hupunguza msongamano wa trafiki 15 00:00:59,522 --> 00:01:01,850 na hazichafui mazingira. 16 00:01:04,020 --> 00:01:07,439 Kwa sana wavumbuzi wanategemea betri kama vile lithium-ion, 17 00:01:07,641 --> 00:01:08,841 nickel-cadmium, 18 00:01:09,231 --> 00:01:10,852 betri za lithium-cobalt 19 00:01:10,921 --> 00:01:11,921 lead acid, 20 00:01:12,081 --> 00:01:13,801 nickel-metal hydrate, 21 00:01:13,801 --> 00:01:14,851 lithium-manganese 22 00:01:14,851 --> 00:01:18,000 na betri za lithium-ion polymer kama vifuasi. 23 00:01:18,845 --> 00:01:22,068 Cha kushangaza, kijana mchanga wa Ghana, Lawrence Adjei 24 00:01:22,068 --> 00:01:26,030 amechagia kwenye uvumbuzi katika sekta ya baiskeli za umeme. 25 00:01:26,030 --> 00:01:29,075 Anatumia betri za vipakatalishi, ambazo ananunua 26 00:01:29,075 --> 00:01:34,430 kutoka kwa maduka ya takataka kompyuta huko Accra ili kutengeneza baiskeli zake. 27 00:01:34,800 --> 00:01:38,182 Anajulikana kuwa raia wa kwanza wa Ghana kutengeneza baiskeli za umeme 28 00:01:38,182 --> 00:01:42,000 kutoka kwa betri za vipakatalishi na amejifunza. 29 00:01:45,471 --> 00:01:49,738 Naishi karibu na Lawrence na mimi ni msaidizi wake. 30 00:01:49,763 --> 00:01:51,897 Hii si mara yangu ya kwanza kuendesha. 31 00:01:51,897 --> 00:01:54,460 Nimekuwa nikiendesha pikipiki kwa miaka miwili sasa. 32 00:01:54,460 --> 00:01:56,463 Hali ya uendeshaji ni tofauti. 33 00:01:56,521 --> 00:02:00,202 Tofauti. Siwezi hata kulinganisha kwa sababu kuendesha baiskeli ya kawaida... 34 00:02:00,202 --> 00:02:01,370 kuna uchungu mwingi. 35 00:02:01,370 --> 00:02:05,740 Na kisha unaweza kupenda idadi ya kilomita unazohitaji kwenda. 36 00:02:06,001 --> 00:02:10,339 Kwa hivyo hii ni tofauti kabisa ikilinganishwa na nilizowahi kutumia. 37 00:02:10,339 --> 00:02:13,700 Hii ina gia tatu na hizo nyingine hazina. 38 00:02:14,280 --> 00:02:20,543 Ina breki ambayo inachaji betri wakati unaitumia, baiskeli nyingine hazina. 39 00:02:21,001 --> 00:02:24,537 Ina lango la USB ambalo linaweza kuchaji simu yako 40 00:02:24,537 --> 00:02:26,250 au kutumia mwangaza wa USB. 41 00:02:26,541 --> 00:02:28,254 Vitu ambavyo havipo kwa nyingine. 42 00:02:28,811 --> 00:02:32,062 Na pia ina kengele, nyingine hazikuwa na kengele. 43 00:02:32,962 --> 00:02:36,634 Na kisha unaweza kusimama mara moja ukitumia breko. 44 00:02:36,794 --> 00:02:38,010 Zinasimama mara moja. 45 00:02:38,370 --> 00:02:40,525 Inayofuata. Tukiangazia betri, 46 00:02:40,525 --> 00:02:42,944 ina kiwango cha juu unachoweza kutumia, 47 00:02:43,204 --> 00:02:45,586 kuweka mwanga kwa nyumba. 48 00:02:49,275 --> 00:02:52,640 Hapa ndipo Bw Lawrence AJ hufanya uvumbuzi wote. 49 00:02:52,640 --> 00:02:55,647 Hapa ndipo utengenezaji wa baiskeli za umeme 50 00:02:55,647 --> 00:02:58,920 kutokana na betri za vipakatalishi vilivyoharibika hufanyika na 51 00:02:58,920 --> 00:03:01,000 Kwa sasa nipo hapa na Bw Lawrence. 52 00:03:01,601 --> 00:03:03,656 Tuonyeshe mchakato unaohusika katika 53 00:03:03,656 --> 00:03:07,000 matumizi ya betri hizi ili kutengeneza baiskeli ya umeme. 54 00:03:07,481 --> 00:03:09,640 Kwa hivyo kuna betri hapa. 55 00:03:09,993 --> 00:03:11,986 Kwa hivyo, unazipasua hivi. 56 00:03:12,511 --> 00:03:15,121 Wakati mwingine unakunja au... 57 00:03:15,891 --> 00:03:16,891 unatumia koleo. 58 00:03:17,247 --> 00:03:18,267 Sawa 59 00:03:21,533 --> 00:03:24,500 Unaona kuwa hatutumii seli zote. 60 00:03:24,551 --> 00:03:26,054 Hii iko hapa, imechomoza. 61 00:03:26,784 --> 00:03:28,870 -Sawa -Huwezi kutumia hii, kwa hivyo 62 00:03:28,870 --> 00:03:30,063 Unatafuta tofauti. 63 00:03:30,654 --> 00:03:31,753 Jaribu nyingine. 64 00:03:38,610 --> 00:03:39,639 Inayofanana. 65 00:03:39,639 --> 00:03:42,665 Hii iko sawa. Kwa hivyo unachukua mathabodi 66 00:03:42,665 --> 00:03:44,180 - ya betri. Kwa hivyo... - Sawa 67 00:03:44,439 --> 00:03:45,439 Kwa hivyo kuziondoa 68 00:03:46,058 --> 00:03:48,828 [Haisikiki] 69 00:03:54,638 --> 00:03:56,965 Kisha ondoa seli zake hivi. 70 00:03:57,463 --> 00:03:58,503 Sawa 71 00:04:00,391 --> 00:04:02,780 Kwa hivyo kwa jumla, unahitaji seli hizi ngapi? 72 00:04:03,001 --> 00:04:04,260 Nahitaji nyingi, lakini 73 00:04:04,260 --> 00:04:05,991 Nina betri 6 pekee hapa. 74 00:04:05,991 --> 00:04:07,001 Sawa 75 00:04:07,001 --> 00:04:12,000 Kisha unapima kwa kutumia votimita ili uone iwapo kuna kiwango cha volti ndani. 76 00:04:12,001 --> 00:04:15,000 Unahitaji wastani wa volti ngapi katika betri? 77 00:04:15,001 --> 00:04:17,588 Nafikiri kama volti 2.5. Volti 2.5 ni sawa. 78 00:04:17,588 --> 00:04:19,131 - Sawa - Hii ni nzuri 79 00:04:19,131 --> 00:04:20,968 - Sawa - Kisha tunakuja hapa 80 00:04:20,968 --> 00:04:22,840 na kupima kupitia mashine hii hapa. 81 00:04:22,840 --> 00:04:24,759 Hii inaitwa Opus. 82 00:04:24,759 --> 00:04:27,096 Hii hufanya vipimo vya kiwango. 83 00:04:27,096 --> 00:04:30,000 - Sawa - Kwa hivyo unaweka seli ndani hivi. 84 00:04:30,001 --> 00:04:32,425 Unaweza kuona kuwa inachaji, kwa hivyo... 85 00:04:32,425 --> 00:04:34,940 Itachaji betri kwa takribani saa mbili 86 00:04:34,940 --> 00:04:36,470 - Sawa - Saa mbili pekee 87 00:04:36,470 --> 00:04:43,000 Baada ya hilo, mashine itaondoa umeme kwenye betri na kukuonyesha kiwango, 88 00:04:43,159 --> 00:04:44,970 -Sawa -Kisha tunaiondoa. 89 00:04:44,970 --> 00:04:48,360 Kisha tunaandika kiwango juu yake. 90 00:04:52,001 --> 00:04:53,951 Kulinganisha vitu vingine pia 91 00:04:53,951 --> 00:04:58,000 Ina kifaa cha Bluetooth ndani yake, unachoweza kutumia kusanidi simu yako. 92 00:04:58,270 --> 00:05:02,309 Kwa hivyo fikiri naenda kwa kasi ya juu, haupunguzi kasi 93 00:05:02,309 --> 00:05:05,000 kwenye simu yako na kisha itapungua kiotomatiki. 94 00:05:05,001 --> 00:05:07,000 Haijalishi mchapuko. 95 00:05:07,001 --> 00:05:10,000 Kwa baiskeli nyingine, hazina gia ya nyuma. 96 00:05:10,001 --> 00:05:12,000 Unahitaji tu kuzikuma nyuma hivi. 97 00:05:12,001 --> 00:05:13,778 Lakini hii ina gia ya nyuma. 98 00:05:13,778 --> 00:05:15,000 Kwa hivyo hamna haja. 99 00:05:15,001 --> 00:05:19,000 Wakati umewasha ufunguo, bonyeza tu kitufe na kisha unaanza kwenda. 100 00:05:19,001 --> 00:05:21,919 Haichapuki kama unapokua kwenye kasi ya juu 101 00:05:21,931 --> 00:05:27,000 lakini ina nguvu na inapunguza kasi taratibu. 102 00:05:27,250 --> 00:05:31,000 Bila kujali kizuizi, itapunguza kasi taratibu. 103 00:05:31,001 --> 00:05:34,000 Nafikiri haya ni yote kuihusu. 104 00:05:34,001 --> 00:05:37,000 Kwa baiskeli nyingine, hatuna shokomzoba za mbele. 105 00:05:37,100 --> 00:05:41,800 Na kisha, shokomzoba za mbele, tukizungumzia hili, limejazwa hewa. 106 00:05:41,800 --> 00:05:43,570 Ni tofauti na hilo lingine. 107 00:05:43,570 --> 00:05:47,000 Hiyo nyingine ina hewa kidogo na mafuta mengi. 108 00:05:47,001 --> 00:05:51,000 Lakini hii ina hewa, kwa hivyo unasimama mara moja. 109 00:05:51,001 --> 00:05:53,000 Na unaona kuna ya nyuma pia. 110 00:05:53,001 --> 00:05:55,000 Pia ni tofauti upande wa nyuma. 111 00:05:55,150 --> 00:05:57,347 Kwa kweli, baiskeli nyingine, unapoendesha 112 00:05:57,347 --> 00:06:00,721 na upitie kwenye shimo, unahisi uchungu kwenye kiuno. 113 00:06:00,721 --> 00:06:02,420 Lakini kwa hii, huhisi uchungu. 114 00:06:02,420 --> 00:06:05,000 Unapitia tu shimoni na unakuwa sawa. 115 00:06:05,001 --> 00:06:08,165 Kwa hivyo wakati wowote unapoendesha baiskeli hii, inakufanya 116 00:06:08,177 --> 00:06:11,000 utamani kwenda zaidi na zaidi. 117 00:06:11,150 --> 00:06:14,700 Ni vyema zaidi kuwa na mojawapo ya baiskeli hizi. 118 00:06:18,860 --> 00:06:20,625 Jina langu ni AJ Lawarence. 119 00:06:20,650 --> 00:06:23,000 Naishi Kaswa katika eneo la kati la Ghana. 120 00:06:23,075 --> 00:06:25,934 Akiwa na miaka 11, wakati Lawrence aligundua talanta yake, 121 00:06:25,946 --> 00:06:31,000 alijifunza kucheza na vifaa vya kielektroniki kama vile kompyuta. 122 00:06:31,425 --> 00:06:34,170 Mwaka mmoja baada ya mvuto wake kukua katika nyanya hiyo, 123 00:06:34,182 --> 00:06:37,000 alichukua kasi ya kurekebisha baiskeli. 124 00:06:37,001 --> 00:06:40,000 Hadi leo, bado anarekebisha baiskeli kadhaa. 125 00:06:40,100 --> 00:06:44,000 Kufikia sasa, Lawrence ametengeneza na kuuza baiskeli nne za umeme mwenyewe. 126 00:06:44,125 --> 00:06:49,810 Baiskeli ya sasa ina vitu vilivyoboreshwa ikilinganishwa na alizotengeneza zamani. 127 00:06:49,810 --> 00:06:51,831 Profesa Jaya anatazamia kuwasiliana na 128 00:06:51,831 --> 00:06:54,220 vyuo kwa ajili ya ushirikiano 129 00:06:54,250 --> 00:06:59,000 ili kuboresha mawazo yake ya ubunifu. 130 00:06:59,001 --> 00:07:04,000 Ana ndoto ya kutumia sola kuendesha baiskeli zake baadaye, lakini anahitaji 131 00:07:04,001 --> 00:07:06,927 ushirikiano na vyumo na taasisi za 132 00:07:06,939 --> 00:07:10,000 kiufundi ili kuboresha utengenzaji kutoka sampuli 133 00:07:10,450 --> 00:07:12,000 hadi kuwa biashara. 134 00:07:12,150 --> 00:07:15,005 Katika ushirikiano huo, anatafuta kuwafunza 135 00:07:15,017 --> 00:07:18,000 wanafunzi wa kiufundi kuboresha ufahamu wao kuhusu elektroniki. 136 00:07:21,430 --> 00:07:23,291 Nina swali. 137 00:07:23,326 --> 00:07:26,087 Kwa hivyo jaribio hili hufanikiwa tu wakati unatumia betri 138 00:07:26,087 --> 00:07:29,560 za kuunganishwa au za vipakatilishi vibovu au unaweza kutumia betri mpya. 139 00:07:29,580 --> 00:07:31,160 Kwa hakika unaweza kutumia mpya. 140 00:07:31,160 --> 00:07:32,190 Sawa 141 00:07:32,190 --> 00:07:33,230 Sawa. 142 00:07:33,230 --> 00:07:36,000 Sasa kuhusu kuchaji baiskeli, inafanywa vipi? 143 00:07:36,001 --> 00:07:39,184 Inachajiwa kwa kutumia chaja hii hapa. 144 00:07:39,184 --> 00:07:40,952 Hii ni chaja maalum niliyobuni. 145 00:07:40,952 --> 00:07:42,540 Si kama chaja ya kawaida. 146 00:07:42,540 --> 00:07:44,980 Huenda ikachukua saa 12, saa 6 ili kuchaji. 147 00:07:44,980 --> 00:07:46,010 Sawa 148 00:07:46,010 --> 00:07:47,689 Hii huchaji kwa takribani saa 3. 149 00:07:47,689 --> 00:07:49,171 Sawa. 150 00:07:50,801 --> 00:07:52,270 Na, uliitengeneza mwenyewe? 151 00:07:52,270 --> 00:07:53,359 Ndiyo. 152 00:07:53,359 --> 00:07:54,740 Nilinunua sehemu. 153 00:07:54,740 --> 00:07:55,810 Sawa. 154 00:07:56,081 --> 00:07:59,700 Kwa sehemu ulizotumia, unaweza kuangazia kwa kifupi 155 00:07:59,701 --> 00:08:02,200 mchakato, ulivyofikia hitimisho hilo? 156 00:08:02,301 --> 00:08:04,800 Kwa hii, ni chanzo cha nishati cha seva. 157 00:08:04,801 --> 00:08:05,820 Sawa. 158 00:08:05,820 --> 00:08:07,500 Inatumika katika huduma ya mwanga. 159 00:08:07,601 --> 00:08:11,326 Unajua, huduma ya mwanga, zina kompyuta nyingi ndani. 160 00:08:11,450 --> 00:08:13,395 Kwa hivyo zina prosesa nzuri sana. 161 00:08:14,185 --> 00:08:18,319 Na hii hapa inaitwa konvata ya kuongeza nishati 162 00:08:18,319 --> 00:08:19,578 Sawa 163 00:08:19,578 --> 00:08:22,318 Kwa hivyo ukiweka volti 3 164 00:08:22,342 --> 00:08:25,175 Inaibadilisha kuwa volti 84 165 00:08:25,199 --> 00:08:27,199 Sawa 166 00:08:27,223 --> 00:08:29,841 Sasa kuhusu vipengele vya baiskeli yako 167 00:08:29,841 --> 00:08:35,655 Baiskeli yako ina vipengele vipi ambavyo havipo kwenye baiskeli zilizo sokoni> 168 00:08:35,679 --> 00:08:38,252 Kila kitu kimesanidiwa kwenye hii. 169 00:08:38,276 --> 00:08:41,822 Unaweza kuchagua programu inayofanya kazi kwenye simu yako. 170 00:08:41,846 --> 00:08:43,846 Sawa, sawa. 171 00:08:45,016 --> 00:08:48,289 Pia ina sehemu ya kuchaji simu zako. 172 00:08:48,992 --> 00:08:52,252 Pia ina breki za Evergine. 173 00:08:52,276 --> 00:08:56,076 Hiyo inamaanisha unapofunga breki, inachaji baiskeli 174 00:08:56,127 --> 00:09:02,173 Hivyo, hujaribu kutumia Venoma Veperseto unapofunga breki 175 00:09:02,197 --> 00:09:04,630 Inafanya mara moja unapofunga breki 176 00:09:06,766 --> 00:09:10,458 Unashughulikia vipi usaidizi wa mrai huu? 177 00:09:10,458 --> 00:09:11,866 Umekuwa ukiifanya vipi? 178 00:09:11,891 --> 00:09:13,170 Kujiamini. 179 00:09:16,943 --> 00:09:19,843 Sawa, kwa hivyo changamoto nilipokuwa nikitengeneza baiskeli 180 00:09:19,868 --> 00:09:23,000 zilikuwa, mwanzo sikuwa na mashine ya kushikanisha vyuma na mashine ya rangi. 181 00:09:23,001 --> 00:09:25,710 Kwa hivyo napeleka kwa waunganisha vyuma na wapaka rangi. 182 00:09:25,710 --> 00:09:28,330 Lakini wanachukua pesa na hawafanyi kazi nzuri. 183 00:09:28,330 --> 00:09:32,000 Niliamua kunua mashine hizo. 184 00:09:32,100 --> 00:09:35,000 Kisha nikaanza kujifuza kuchomelea na kupaka rangi mwenyewe. 185 00:09:35,001 --> 00:09:39,380 Ilinichukua takribani wiki moja au mbili kujifunza zote. 186 00:09:39,380 --> 00:09:41,576 Wakati mwingine marafiki zangu hunishusha moyo 187 00:09:41,576 --> 00:09:44,000 kuwa haitafanikiwa na kila mara unapoteza wakati 188 00:09:44,001 --> 00:09:47,000 kwa jambo hili, nenda ukatafute kazi na upate pesa. 189 00:09:47,001 --> 00:09:49,600 Changamoto zangu kuhusu fedha ni kama wakati mwingine 190 00:09:49,612 --> 00:09:52,570 Sipati pesa kwa wingi za kununua sehemu. 191 00:09:52,570 --> 00:09:54,650 Kwa hivyo nitanunua moja mwezi huu, 192 00:09:54,650 --> 00:09:57,000 mwezi unaofuata ninunue nyingine na zote 193 00:09:57,001 --> 00:10:00,000 husafirishwa, ambayo ni gharama kubwa. 194 00:10:00,001 --> 00:10:05,000 Kwa hivyo nikipata fedha ya kuzinunua kwa wingi, nafikiri itasaidia mchakato. 195 00:10:09,000 --> 00:10:11,833 Lawrence anatazamia kujenga eneo la kazi 196 00:10:11,845 --> 00:10:15,000 ili kubuni ajira kwa 197 00:10:15,001 --> 00:10:19,000 wavumbuzi wanaovutiwa na kusaidia jamii. 198 00:10:19,025 --> 00:10:21,937 Lawrence Adjei haweki tu Bara la 199 00:10:21,949 --> 00:10:25,000 Afrika kwenye ramani, pia ameonekana kuwa 200 00:10:25,400 --> 00:10:28,188 mmoja wa watu wengi afrika wenye akili za uvumbuzi 201 00:10:28,200 --> 00:10:32,000 ambao wanaweza kunawiri wakisaidiwa kiasi. 202 00:10:32,001 --> 00:10:35,722 Huu ndio mwisho wa kipindi cha kufana, kinachofichua 203 00:10:35,734 --> 00:10:39,200 na cha mafunzo cha R&D Africa kwenye AAU TV. 204 00:10:39,200 --> 00:10:42,480 Usisahau kuwa huenda wakati mwingine ni wewe utakayeangaziwa. 205 00:10:42,480 --> 00:10:45,094 Kwa hivyo iwapo una uvumbuzi wowote, 206 00:10:45,106 --> 00:10:49,001 wasiliana na AAU TV na tutakufikia. 207 00:10:49,050 --> 00:10:52,013 Tufuatilie kwenye YouTube, Facebook na kwenye 208 00:10:52,025 --> 00:10:55,000 mifumo yetu yote ya mtandao jamii ili upate maudhui zaidi. 209 00:10:55,001 --> 00:10:56,850 Jina langu - Maame Ekua Otuakoa Nyame. 210 00:10:56,850 --> 00:10:59,200 Hadi wakati mwingine, tumemaliza! 211 00:10:59,200 --> 00:11:14,000 [Muziki].