[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:02.00,Default,,0000,0000,0000,,Je, mnaona mahali ambapo nimeketi? Dialogue: 0,0:00:02.00,0:00:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Tunakuletea hili kwenye kipindi hiki cha \NR&D Africa kwenye AAU TV. Dialogue: 0,0:00:07.00,0:00:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Tunamwangazia kwa kijana Lawrence Adjei, \Nambaye ameweza kutengeneza Dialogue: 0,0:00:12.00,0:00:16.26,Default,,0000,0000,0000,,pikipiki hii ya umeme kwa kutumia \Nbetri za vipakatalishi vilivyoharibika. Dialogue: 0,0:00:16.26,0:00:17.89,Default,,0000,0000,0000,,Tegea.\NTutakuonyesha zaidi. Dialogue: 0,0:00:26.05,0:00:30.66,Default,,0000,0000,0000,,Katika enzi ambapo ulinzi wa mazingira, \Nsiha na usafiri unaotunza mazingira Dialogue: 0,0:00:30.66,0:00:34.09,Default,,0000,0000,0000,,unathaminiwa na kufanywa kwa sana na watu, Dialogue: 0,0:00:34.40,0:00:37.00,Default,,0000,0000,0000,,kinachokujia akilini wakati \Nusafiri unaokuruhusu, Dialogue: 0,0:00:37.00,0:00:38.61,Default,,0000,0000,0000,,kuepuka msongamano wa trafiki, Dialogue: 0,0:00:39.61,0:00:42.00,Default,,0000,0000,0000,,usiochafua hewa na unaotunza mazingira unatajwa. Dialogue: 0,0:00:45.88,0:00:49.93,Default,,0000,0000,0000,,Baiskeli zinazotumia umeme \Nzina vifaa vya kielektroniki Dialogue: 0,0:00:49.93,0:00:52.51,Default,,0000,0000,0000,,vilivyowekwa kusaidia au kuchukua \Nnafasi ya kuendesha mwenyewe. Dialogue: 0,0:00:52.98,0:00:55.00,Default,,0000,0000,0000,,Zina manufaa kadhaa. Dialogue: 0,0:00:55.42,0:00:59.52,Default,,0000,0000,0000,,Hazitumii mafuta mengi, zina mwendo \Nwa kasi, hupunguza msongamano wa trafiki Dialogue: 0,0:00:59.52,0:01:01.85,Default,,0000,0000,0000,,na hazichafui mazingira. Dialogue: 0,0:01:04.02,0:01:07.44,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sana wavumbuzi wanategemea \Nbetri kama vile lithium-ion, Dialogue: 0,0:01:07.64,0:01:08.84,Default,,0000,0000,0000,,nickel-cadmium, Dialogue: 0,0:01:09.23,0:01:10.85,Default,,0000,0000,0000,,betri za lithium-cobalt Dialogue: 0,0:01:10.92,0:01:11.92,Default,,0000,0000,0000,,lead acid, Dialogue: 0,0:01:12.08,0:01:13.80,Default,,0000,0000,0000,,nickel-metal hydrate, Dialogue: 0,0:01:13.80,0:01:14.85,Default,,0000,0000,0000,,lithium-manganese Dialogue: 0,0:01:14.85,0:01:18.00,Default,,0000,0000,0000,,na betri za lithium-ion polymer\Nkama vifuasi. Dialogue: 0,0:01:18.84,0:01:22.07,Default,,0000,0000,0000,,Cha kushangaza, kijana mchanga wa Ghana,\NLawrence Adjei Dialogue: 0,0:01:22.07,0:01:26.03,Default,,0000,0000,0000,,amechagia kwenye uvumbuzi katika \Nsekta ya baiskeli za umeme. Dialogue: 0,0:01:26.03,0:01:29.08,Default,,0000,0000,0000,,Anatumia betri za vipakatalishi, ambazo ananunua Dialogue: 0,0:01:29.08,0:01:34.43,Default,,0000,0000,0000,,kutoka kwa maduka ya takataka kompyuta \Nhuko Accra ili kutengeneza baiskeli zake. Dialogue: 0,0:01:34.80,0:01:38.18,Default,,0000,0000,0000,,Anajulikana kuwa raia wa kwanza wa \NGhana kutengeneza baiskeli za umeme Dialogue: 0,0:01:38.18,0:01:42.00,Default,,0000,0000,0000,,kutoka kwa betri za vipakatalishi\Nna amejifunza. Dialogue: 0,0:01:45.47,0:01:50.09,Default,,0000,0000,0000,,Naishi karibu na Lawrence na \Nmimi ni msaidizi wake. Dialogue: 0,0:01:50.09,0:01:52.22,Default,,0000,0000,0000,,Hii si mara yangu ya kwanza kuendesha. Dialogue: 0,0:01:52.47,0:01:54.46,Default,,0000,0000,0000,,Nimekuwa nikiendesha pikipiki kwa miaka miwili sasa. Dialogue: 0,0:01:54.46,0:01:56.46,Default,,0000,0000,0000,,Hali ya uendeshaji ni tofauti. Dialogue: 0,0:01:56.62,0:02:00.20,Default,,0000,0000,0000,,Tofauti. Siwezi hata kulinganisha kwa \Nsababu kuendesha baiskeli ya kawaida... Dialogue: 0,0:02:00.20,0:02:01.37,Default,,0000,0000,0000,,kuna uchungu mwingi. Dialogue: 0,0:02:01.37,0:02:05.74,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha unaweza kupenda idadi \Nya kilomita unazohitaji kwenda. Dialogue: 0,0:02:06.00,0:02:10.34,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo hii ni tofauti kabisa \Nikilinganishwa na nilizowahi kutumia. Dialogue: 0,0:02:10.34,0:02:13.70,Default,,0000,0000,0000,,Hii ina gia tatu \Nna hizo nyingine hazina. Dialogue: 0,0:02:14.28,0:02:20.54,Default,,0000,0000,0000,,Ina breki ambayo inachaji betri wakati \Nunaitumia, baiskeli nyingine hazina. Dialogue: 0,0:02:21.00,0:02:24.54,Default,,0000,0000,0000,,Ina lango la USB ambalo linaweza \Nkuchaji simu yako Dialogue: 0,0:02:24.54,0:02:26.25,Default,,0000,0000,0000,,au kutumia mwangaza wa USB. Dialogue: 0,0:02:26.54,0:02:28.25,Default,,0000,0000,0000,,Vitu ambavyo havipo kwa nyingine. Dialogue: 0,0:02:28.81,0:02:32.06,Default,,0000,0000,0000,,Na pia ina kengele, nyingine \Nhazikuwa na kengele. Dialogue: 0,0:02:32.96,0:02:36.63,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha unaweza kusimama \Nmara moja ukitumia breko. Dialogue: 0,0:02:36.79,0:02:38.01,Default,,0000,0000,0000,,Zinasimama mara moja. Dialogue: 0,0:02:38.37,0:02:40.52,Default,,0000,0000,0000,,Inayofuata. Tukiangazia betri, Dialogue: 0,0:02:40.52,0:02:42.94,Default,,0000,0000,0000,,ina kiwango cha juu unachoweza kutumia, Dialogue: 0,0:02:43.20,0:02:45.59,Default,,0000,0000,0000,,kuweka mwanga kwa nyumba. Dialogue: 0,0:02:49.28,0:02:52.64,Default,,0000,0000,0000,,Hapa ndipo Bw Lawrence AJ \Nhufanya uvumbuzi wote. Dialogue: 0,0:02:52.64,0:02:55.65,Default,,0000,0000,0000,,Hapa ndipo utengenezaji \Nwa baiskeli za umeme Dialogue: 0,0:02:55.65,0:02:58.92,Default,,0000,0000,0000,,kutokana na betri za vipakatalishi\Nvilivyoharibika hufanyika na Dialogue: 0,0:02:58.92,0:03:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sasa nipo hapa na Bw Lawrence. Dialogue: 0,0:03:01.60,0:03:03.66,Default,,0000,0000,0000,,Tuonyeshe \Nmchakato unaohusika katika Dialogue: 0,0:03:03.66,0:03:07.00,Default,,0000,0000,0000,,matumizi ya betri hizi ili \Nkutengeneza baiskeli ya umeme. Dialogue: 0,0:03:07.48,0:03:09.64,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo kuna betri hapa. Dialogue: 0,0:03:09.99,0:03:11.99,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo, unazipasua hivi. Dialogue: 0,0:03:12.51,0:03:15.12,Default,,0000,0000,0000,,Wakati mwingine unakunja au... Dialogue: 0,0:03:15.89,0:03:16.89,Default,,0000,0000,0000,,unatumia koleo. Dialogue: 0,0:03:17.25,0:03:18.27,Default,,0000,0000,0000,,Sawa Dialogue: 0,0:03:21.53,0:03:24.50,Default,,0000,0000,0000,,Unaona kuwa hatutumii seli zote. Dialogue: 0,0:03:24.55,0:03:26.05,Default,,0000,0000,0000,,Hii iko hapa, imechomoza. Dialogue: 0,0:03:26.78,0:03:28.87,Default,,0000,0000,0000,,-Sawa\N-Huwezi kutumia hii, kwa hivyo Dialogue: 0,0:03:28.87,0:03:30.06,Default,,0000,0000,0000,,Unatafuta tofauti. Dialogue: 0,0:03:30.65,0:03:31.75,Default,,0000,0000,0000,,Jaribu nyingine. Dialogue: 0,0:03:38.61,0:03:39.64,Default,,0000,0000,0000,,Inayofanana. Dialogue: 0,0:03:39.64,0:03:42.66,Default,,0000,0000,0000,,Hii iko sawa. Kwa hivyo unachukua \Nmathabodi Dialogue: 0,0:03:42.66,0:03:44.18,Default,,0000,0000,0000,,- ya betri. Kwa hivyo...\N- Sawa Dialogue: 0,0:03:44.44,0:03:45.44,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo kuziondoa Dialogue: 0,0:03:46.06,0:03:48.83,Default,,0000,0000,0000,,[Haisikiki] Dialogue: 0,0:03:54.64,0:03:56.96,Default,,0000,0000,0000,,Kisha ondoa seli zake hivi. Dialogue: 0,0:03:57.46,0:03:58.50,Default,,0000,0000,0000,,Sawa Dialogue: 0,0:04:00.39,0:04:02.78,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo kwa jumla, \Nunahitaji seli hizi ngapi? Dialogue: 0,0:04:03.00,0:04:04.26,Default,,0000,0000,0000,,Nahitaji nyingi, lakini Dialogue: 0,0:04:04.26,0:04:05.99,Default,,0000,0000,0000,,Nina betri 6 pekee hapa. Dialogue: 0,0:04:05.99,0:04:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Sawa Dialogue: 0,0:04:07.00,0:04:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Kisha unapima kwa kutumia votimita ili \Nuone iwapo kuna kiwango cha volti ndani. Dialogue: 0,0:04:12.00,0:04:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Unahitaji wastani wa \Nvolti ngapi katika betri? Dialogue: 0,0:04:15.00,0:04:17.59,Default,,0000,0000,0000,,Nafikiri kama volti 2.5.\NVolti 2.5 ni sawa. Dialogue: 0,0:04:17.59,0:04:19.13,Default,,0000,0000,0000,,- Sawa\N- Hii ni nzuri Dialogue: 0,0:04:19.13,0:04:20.97,Default,,0000,0000,0000,,- Sawa\N- Kisha tunakuja hapa Dialogue: 0,0:04:20.97,0:04:22.84,Default,,0000,0000,0000,,na kupima kupitia mashine hii hapa. Dialogue: 0,0:04:22.84,0:04:24.76,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaitwa Opus. Dialogue: 0,0:04:24.76,0:04:27.10,Default,,0000,0000,0000,,Hii hufanya vipimo vya kiwango. Dialogue: 0,0:04:27.10,0:04:30.00,Default,,0000,0000,0000,,- Sawa\N- Kwa hivyo unaweka seli ndani hivi. Dialogue: 0,0:04:30.00,0:04:32.42,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuona kuwa inachaji, kwa hivyo... Dialogue: 0,0:04:32.42,0:04:34.94,Default,,0000,0000,0000,,Itachaji betri kwa \Ntakribani saa mbili Dialogue: 0,0:04:34.94,0:04:36.47,Default,,0000,0000,0000,,- Sawa\N- Saa mbili pekee Dialogue: 0,0:04:36.47,0:04:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya hilo, mashine itaondoa umeme\Nkwenye betri na kukuonyesha kiwango, Dialogue: 0,0:04:43.16,0:04:44.97,Default,,0000,0000,0000,,-Sawa\N-Kisha tunaiondoa. Dialogue: 0,0:04:44.97,0:04:48.36,Default,,0000,0000,0000,,Kisha tunaandika kiwango juu yake. Dialogue: 0,0:04:52.00,0:04:53.95,Default,,0000,0000,0000,,Kulinganisha vitu vingine pia Dialogue: 0,0:04:53.95,0:04:58.00,Default,,0000,0000,0000,,Ina kifaa cha Bluetooth ndani yake, \Nunachoweza kutumia kusanidi simu yako. Dialogue: 0,0:04:58.27,0:05:02.31,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo fikiri naenda kwa kasi ya juu,\Nhaupunguzi kasi Dialogue: 0,0:05:02.31,0:05:05.00,Default,,0000,0000,0000,,kwenye simu yako na \Nkisha itapungua kiotomatiki. Dialogue: 0,0:05:05.00,0:05:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Haijalishi mchapuko. Dialogue: 0,0:05:07.00,0:05:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa baiskeli nyingine, \Nhazina gia ya nyuma. Dialogue: 0,0:05:10.00,0:05:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Unahitaji tu kuzikuma nyuma hivi. Dialogue: 0,0:05:12.00,0:05:13.78,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hii ina gia ya nyuma. Dialogue: 0,0:05:13.78,0:05:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo hamna haja. Dialogue: 0,0:05:15.00,0:05:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Wakati umewasha ufunguo, bonyeza tu \Nkitufe na kisha unaanza kwenda. Dialogue: 0,0:05:19.00,0:05:21.92,Default,,0000,0000,0000,,Haichapuki kama unapokua \Nkwenye kasi ya juu Dialogue: 0,0:05:21.93,0:05:27.00,Default,,0000,0000,0000,,lakini ina nguvu na \Ninapunguza kasi taratibu. Dialogue: 0,0:05:27.25,0:05:31.00,Default,,0000,0000,0000,,Bila kujali kizuizi, \Nitapunguza kasi taratibu. Dialogue: 0,0:05:31.00,0:05:34.00,Default,,0000,0000,0000,,Nafikiri haya ni yote kuihusu. Dialogue: 0,0:05:34.00,0:05:37.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa baiskeli nyingine, \Nhatuna shokomzoba za mbele. Dialogue: 0,0:05:37.10,0:05:41.80,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha, shokomzoba za mbele, \Ntukizungumzia hili, limejazwa hewa. Dialogue: 0,0:05:41.80,0:05:43.57,Default,,0000,0000,0000,,Ni tofauti na hilo lingine. Dialogue: 0,0:05:43.57,0:05:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo nyingine ina hewa kidogo \Nna mafuta mengi. Dialogue: 0,0:05:47.00,0:05:51.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hii ina hewa, kwa hivyo \Nunasimama mara moja. Dialogue: 0,0:05:51.00,0:05:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Na unaona kuna ya nyuma pia. Dialogue: 0,0:05:53.00,0:05:55.00,Default,,0000,0000,0000,,Pia ni tofauti upande wa nyuma. Dialogue: 0,0:05:55.15,0:05:57.35,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kweli, baiskeli nyingine, unapoendesha Dialogue: 0,0:05:57.35,0:06:00.72,Default,,0000,0000,0000,,na upitie kwenye shimo, \Nunahisi uchungu kwenye kiuno. Dialogue: 0,0:06:00.72,0:06:02.42,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa hii, huhisi uchungu. Dialogue: 0,0:06:02.42,0:06:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Unapitia tu shimoni na unakuwa sawa. Dialogue: 0,0:06:05.00,0:06:08.16,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo wakati wowote unapoendesha\Nbaiskeli hii, inakufanya Dialogue: 0,0:06:08.18,0:06:11.00,Default,,0000,0000,0000,,utamani kwenda zaidi na zaidi. Dialogue: 0,0:06:11.15,0:06:14.70,Default,,0000,0000,0000,,Ni vyema zaidi kuwa na \Nmojawapo ya baiskeli hizi. Dialogue: 0,0:06:18.86,0:06:20.62,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni AJ Lawarence. Dialogue: 0,0:06:20.65,0:06:23.00,Default,,0000,0000,0000,,Naishi Kaswa katika eneo la kati la Ghana. Dialogue: 0,0:06:23.08,0:06:25.93,Default,,0000,0000,0000,,Akiwa na miaka 11, wakati \NLawrence aligundua talanta yake, Dialogue: 0,0:06:25.95,0:06:31.00,Default,,0000,0000,0000,,alijifunza kucheza na vifaa vya \Nkielektroniki kama vile kompyuta. Dialogue: 0,0:06:31.42,0:06:34.17,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka mmoja baada ya mvuto \Nwake kukua katika nyanya hiyo, Dialogue: 0,0:06:34.18,0:06:37.00,Default,,0000,0000,0000,,alichukua kasi ya \Nkurekebisha baiskeli. Dialogue: 0,0:06:37.00,0:06:40.00,Default,,0000,0000,0000,,Hadi leo, bado \Nanarekebisha baiskeli kadhaa. Dialogue: 0,0:06:40.10,0:06:44.00,Default,,0000,0000,0000,,Kufikia sasa, Lawrence ametengeneza na\Nkuuza baiskeli nne za umeme mwenyewe. Dialogue: 0,0:06:44.12,0:06:49.81,Default,,0000,0000,0000,,Baiskeli ya sasa ina vitu vilivyoboreshwa\Nikilinganishwa na alizotengeneza zamani. Dialogue: 0,0:06:49.81,0:06:51.83,Default,,0000,0000,0000,,Profesa Jaya anatazamia \Nkuwasiliana na Dialogue: 0,0:06:51.83,0:06:54.22,Default,,0000,0000,0000,,vyuo kwa ajili \Nya ushirikiano Dialogue: 0,0:06:54.25,0:06:59.00,Default,,0000,0000,0000,,ili kuboresha mawazo \Nyake ya ubunifu. Dialogue: 0,0:06:59.00,0:07:04.00,Default,,0000,0000,0000,,Ana ndoto ya kutumia sola kuendesha \Nbaiskeli zake baadaye, lakini anahitaji Dialogue: 0,0:07:04.00,0:07:06.93,Default,,0000,0000,0000,,ushirikiano na vyumo na taasisi za Dialogue: 0,0:07:06.94,0:07:10.00,Default,,0000,0000,0000,,kiufundi ili kuboresha \Nutengenzaji kutoka sampuli Dialogue: 0,0:07:10.45,0:07:12.00,Default,,0000,0000,0000,,hadi kuwa biashara. Dialogue: 0,0:07:12.15,0:07:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika ushirikiano huo, \Nanatafuta kuwafunza Dialogue: 0,0:07:15.02,0:07:18.00,Default,,0000,0000,0000,,wanafunzi wa kiufundi kuboresha\Nufahamu wao kuhusu elektroniki. Dialogue: 0,0:07:21.90,0:07:23.76,Default,,0000,0000,0000,,Nina swali. Dialogue: 0,0:07:23.79,0:07:26.77,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:26.77,0:07:29.38,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:29.38,0:07:31.16,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:31.16,0:07:32.19,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:32.19,0:07:33.23,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:33.23,0:07:36.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:36.00,0:07:39.18,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:39.18,0:07:40.95,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:40.95,0:07:42.54,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:42.54,0:07:44.98,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:44.98,0:07:46.01,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:46.01,0:07:47.69,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:47.69,0:07:49.17,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:50.80,0:07:52.27,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:52.27,0:07:53.36,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:53.36,0:07:54.74,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:54.74,0:07:55.81,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:56.08,0:07:59.70,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:59.70,0:08:02.20,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:02.30,0:08:04.80,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:04.80,0:08:05.82,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:05.82,0:08:07.50,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:07.60,0:08:11.33,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:11.45,0:08:13.40,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:14.18,0:08:18.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:18.32,0:08:19.58,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:19.58,0:08:22.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:22.34,0:08:25.18,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:25.20,0:08:27.20,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:27.22,0:08:29.84,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:29.84,0:08:35.66,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:35.68,0:08:38.25,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:38.28,0:08:41.82,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:41.85,0:08:43.85,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:45.02,0:08:48.29,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:48.99,0:08:52.25,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:52.28,0:08:56.08,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:56.13,0:09:02.17,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:02.20,0:09:04.63,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:06.77,0:09:10.46,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:10.46,0:09:11.87,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:11.89,0:09:13.17,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:16.94,0:09:19.84,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:19.87,0:09:23.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:23.00,0:09:25.71,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:25.71,0:09:28.33,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:28.33,0:09:32.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:32.10,0:09:35.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:35.00,0:09:39.38,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:39.38,0:09:41.58,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:41.58,0:09:44.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:44.00,0:09:47.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:47.00,0:09:49.60,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:49.61,0:09:52.57,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:52.57,0:09:54.65,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:54.65,0:09:57.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:09:57.00,0:10:00.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:00.00,0:10:05.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:09.00,0:10:11.83,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:11.84,0:10:15.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:15.00,0:10:19.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:19.02,0:10:21.94,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:21.95,0:10:25.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:25.40,0:10:28.19,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:28.20,0:10:32.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:32.00,0:10:35.72,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:35.73,0:10:39.20,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:39.20,0:10:42.48,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:42.48,0:10:45.09,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:45.11,0:10:49.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:49.05,0:10:52.01,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:52.02,0:10:55.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:55.00,0:10:56.85,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:56.85,0:10:59.20,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:10:59.20,0:11:14.00,Default,,0000,0000,0000,,