0:00:00.000,0:00:02.000 Je, mnaona mahali ambapo nimeketi? 0:00:02.001,0:00:07.000 Tunakuletea hili kwenye kipindi hiki cha [br]R&D Africa kwenye AAU TV. 0:00:07.001,0:00:12.000 Tunamwangazia kwa kijana Lawrence Adjei, [br]ambaye ameweza kutengeneza 0:00:12.001,0:00:16.260 pikipiki hii ya umeme kwa kutumia [br]betri za vipakatalishi vilivyoharibika. 0:00:16.260,0:00:17.890 Tegea.[br]Tutakuonyesha zaidi. 0:00:26.050,0:00:30.664 Katika enzi ambapo ulinzi wa mazingira, [br]siha na usafiri unaotunza mazingira 0:00:30.664,0:00:34.092 unathaminiwa na kufanywa kwa sana na watu, 0:00:34.402,0:00:37.000 kinachokujia akilini wakati [br]usafiri unaokuruhusu, 0:00:37.000,0:00:38.614 kuepuka msongamano wa trafiki, 0:00:39.614,0:00:42.000 usiochafua hewa na unaotunza mazingira unatajwa. 0:00:45.883,0:00:49.930 Baiskeli zinazotumia umeme [br]zina vifaa vya kielektroniki 0:00:49.930,0:00:52.509 vilivyowekwa kusaidia au kuchukua [br]nafasi ya kuendesha mwenyewe. 0:00:52.985,0:00:55.000 Zina manufaa kadhaa. 0:00:55.425,0:00:59.522 Hazitumii mafuta mengi, zina mwendo [br]wa kasi, hupunguza msongamano wa trafiki 0:00:59.522,0:01:01.850 na hazichafui mazingira. 0:01:04.020,0:01:07.439 Kwa sana wavumbuzi wanategemea [br]betri kama vile lithium-ion, 0:01:07.641,0:01:08.841 nickel-cadmium, 0:01:09.231,0:01:10.852 betri za lithium-cobalt 0:01:10.921,0:01:11.921 lead acid, 0:01:12.081,0:01:13.801 nickel-metal hydrate, 0:01:13.801,0:01:14.851 lithium-manganese 0:01:14.851,0:01:18.000 na betri za lithium-ion polymer[br]kama vifuasi. 0:01:18.845,0:01:22.068 Cha kushangaza, kijana mchanga wa Ghana,[br]Lawrence Adjei 0:01:22.068,0:01:26.030 amechagia kwenye uvumbuzi katika [br]sekta ya baiskeli za umeme. 0:01:26.030,0:01:29.075 Anatumia betri za vipakatalishi, ambazo ananunua 0:01:29.075,0:01:34.430 kutoka kwa maduka ya takataka kompyuta [br]huko Accra ili kutengeneza baiskeli zake. 0:01:34.800,0:01:38.182 Anajulikana kuwa raia wa kwanza wa [br]Ghana kutengeneza baiskeli za umeme 0:01:38.182,0:01:42.000 kutoka kwa betri za vipakatalishi[br]na amejifunza. 0:01:45.471,0:01:50.088 Naishi karibu na Lawrence na [br]mimi ni msaidizi wake. 0:01:50.088,0:01:52.222 Hii si mara yangu ya kwanza kuendesha. 0:01:52.472,0:01:54.460 Nimekuwa nikiendesha pikipiki kwa miaka miwili sasa. 0:01:54.460,0:01:56.463 Hali ya uendeshaji ni tofauti. 0:01:56.621,0:02:00.202 Tofauti. Siwezi hata kulinganisha kwa [br]sababu kuendesha baiskeli ya kawaida... 0:02:00.202,0:02:01.370 kuna uchungu mwingi. 0:02:01.370,0:02:05.740 Na kisha unaweza kupenda idadi [br]ya kilomita unazohitaji kwenda. 0:02:06.001,0:02:10.339 Kwa hivyo hii ni tofauti kabisa [br]ikilinganishwa na nilizowahi kutumia. 0:02:10.339,0:02:13.700 Hii ina gia tatu [br]na hizo nyingine hazina. 0:02:14.280,0:02:20.543 Ina breki ambayo inachaji betri wakati [br]unaitumia, baiskeli nyingine hazina. 0:02:21.001,0:02:24.537 Ina lango la USB ambalo linaweza [br]kuchaji simu yako 0:02:24.537,0:02:26.250 au kutumia mwangaza wa USB. 0:02:26.541,0:02:28.254 Vitu ambavyo havipo kwa nyingine. 0:02:28.811,0:02:32.062 Na pia ina kengele, nyingine [br]hazikuwa na kengele. 0:02:32.962,0:02:36.634 Na kisha unaweza kusimama [br]mara moja ukitumia breko. 0:02:36.794,0:02:38.010 Zinasimama mara moja. 0:02:38.370,0:02:40.525 Inayofuata. Tukiangazia betri, 0:02:40.525,0:02:42.944 ina kiwango cha juu unachoweza kutumia, 0:02:43.204,0:02:45.586 kuweka mwanga kwa nyumba. 0:02:49.275,0:02:52.640 Hapa ndipo Bw Lawrence AJ [br]hufanya uvumbuzi wote. 0:02:52.640,0:02:55.647 Hapa ndipo utengenezaji [br]wa baiskeli za umeme 0:02:55.647,0:02:58.920 kutokana na betri za vipakatalishi[br]vilivyoharibika hufanyika na 0:02:58.920,0:03:01.000 Kwa sasa nipo hapa na Bw Lawrence. 0:03:01.601,0:03:03.656 Tuonyeshe [br]mchakato unaohusika katika 0:03:03.656,0:03:07.000 matumizi ya betri hizi ili [br]kutengeneza baiskeli ya umeme. 0:03:07.481,0:03:09.640 Kwa hivyo kuna betri hapa. 0:03:09.993,0:03:11.986 Kwa hivyo, unazipasua hivi. 0:03:12.511,0:03:15.121 Wakati mwingine unakunja au... 0:03:15.891,0:03:16.891 unatumia koleo. 0:03:17.247,0:03:18.267 Sawa 0:03:21.533,0:03:24.500 Unaona kuwa hatutumii seli zote. 0:03:24.551,0:03:26.054 Hii iko hapa, imechomoza. 0:03:26.784,0:03:28.870 -Sawa[br]-Huwezi kutumia hii, kwa hivyo 0:03:28.870,0:03:30.063 Unatafuta tofauti. 0:03:30.654,0:03:31.753 Jaribu nyingine. 0:03:38.610,0:03:39.639 Inayofanana. 0:03:39.639,0:03:42.665 Hii iko sawa. Kwa hivyo unachukua [br]mathabodi 0:03:42.665,0:03:44.180 - ya betri. Kwa hivyo...[br]- Sawa 0:03:44.439,0:03:45.439 Kwa hivyo kuziondoa 0:03:46.058,0:03:48.828 [Haisikiki] 0:03:54.638,0:03:56.965 Kisha ondoa seli zake hivi. 0:03:57.463,0:03:58.503 Sawa 0:04:00.391,0:04:02.780 Kwa hivyo kwa jumla, [br]unahitaji seli hizi ngapi? 0:04:03.001,0:04:04.260 Nahitaji nyingi, lakini 0:04:04.260,0:04:05.991 Nina betri 6 pekee hapa. 0:04:05.991,0:04:07.001 Sawa 0:04:07.001,0:04:12.000 Kisha unapima kwa kutumia votimita ili [br]uone iwapo kuna kiwango cha volti ndani. 0:04:12.001,0:04:15.000 Unahitaji wastani wa [br]volti ngapi katika betri? 0:04:15.001,0:04:17.588 Nafikiri kama volti 2.5.[br]Volti 2.5 ni sawa. 0:04:17.588,0:04:19.131 - Sawa[br]- Hii ni nzuri 0:04:19.131,0:04:20.968 - Sawa[br]- Kisha tunakuja hapa 0:04:20.968,0:04:22.840 na kupima kupitia mashine hii hapa. 0:04:22.840,0:04:24.759 Hii inaitwa Opus. 0:04:24.759,0:04:27.096 Hii hufanya vipimo vya kiwango. 0:04:27.096,0:04:30.000 - Sawa[br]- Kwa hivyo unaweka seli ndani hivi. 0:04:30.001,0:04:32.425 Unaweza kuona kuwa inachaji, kwa hivyo... 0:04:32.425,0:04:34.940 Itachaji betri kwa [br]takribani saa mbili 0:04:34.940,0:04:36.470 - Sawa[br]- Saa mbili pekee 0:04:36.470,0:04:43.000 Baada ya hilo, mashine itaondoa umeme[br]kwenye betri na kukuonyesha kiwango, 0:04:43.159,0:04:44.970 -Sawa[br]-Kisha tunaiondoa. 0:04:44.970,0:04:48.360 Kisha tunaandika kiwango juu yake. 0:04:52.001,0:04:53.951 Kulinganisha vitu vingine pia 0:04:53.951,0:04:58.000 Ina kifaa cha Bluetooth ndani yake, [br]unachoweza kutumia kusanidi simu yako. 0:04:58.270,0:05:02.309 Kwa hivyo fikiri naenda kwa kasi ya juu,[br]haupunguzi kasi 0:05:02.309,0:05:05.000 kwenye simu yako na [br]kisha itapungua kiotomatiki. 0:05:05.001,0:05:07.000 Haijalishi mchapuko. 0:05:07.001,0:05:10.000 Kwa baiskeli nyingine, [br]hazina gia ya nyuma. 0:05:10.001,0:05:12.000 Unahitaji tu kuzikuma nyuma hivi. 0:05:12.001,0:05:13.778 Lakini hii ina gia ya nyuma. 0:05:13.778,0:05:15.000 Kwa hivyo hamna haja. 0:05:15.001,0:05:19.000 Wakati umewasha ufunguo, bonyeza tu [br]kitufe na kisha unaanza kwenda. 0:05:19.001,0:05:21.919 Haichapuki kama unapokua [br]kwenye kasi ya juu 0:05:21.931,0:05:27.000 lakini ina nguvu na [br]inapunguza kasi taratibu. 0:05:27.250,0:05:31.000 Bila kujali kizuizi, [br]itapunguza kasi taratibu. 0:05:31.001,0:05:34.000 Nafikiri haya ni yote kuihusu. 0:05:34.001,0:05:37.000 Kwa baiskeli nyingine, [br]hatuna shokomzoba za mbele. 0:05:37.100,0:05:41.800 Na kisha, shokomzoba za mbele, [br]tukizungumzia hili, limejazwa hewa. 0:05:41.800,0:05:43.570 Ni tofauti na hilo lingine. 0:05:43.570,0:05:47.000 Hiyo nyingine ina hewa kidogo [br]na mafuta mengi. 0:05:47.001,0:05:51.000 Lakini hii ina hewa, kwa hivyo [br]unasimama mara moja. 0:05:51.001,0:05:53.000 Na unaona kuna ya nyuma pia. 0:05:53.001,0:05:55.000 Pia ni tofauti upande wa nyuma. 0:05:55.150,0:05:57.347 Kwa kweli, baiskeli nyingine, unapoendesha 0:05:57.347,0:06:00.721 na upitie kwenye shimo, [br]unahisi uchungu kwenye kiuno. 0:06:00.721,0:06:02.420 Lakini kwa hii, huhisi uchungu. 0:06:02.420,0:06:05.000 Unapitia tu shimoni na unakuwa sawa. 0:06:05.001,0:06:08.165 Kwa hivyo wakati wowote unapoendesha[br]baiskeli hii, inakufanya 0:06:08.177,0:06:11.000 utamani kwenda zaidi na zaidi. 0:06:11.150,0:06:14.700 Ni vyema zaidi kuwa na [br]mojawapo ya baiskeli hizi. 0:06:18.860,0:06:20.625 Jina langu ni AJ Lawarence. 0:06:20.650,0:06:23.000 Naishi Kaswa katika eneo la kati la Ghana. 0:06:23.075,0:06:25.934 Akiwa na miaka 11, wakati [br]Lawrence aligundua talanta yake, 0:06:25.946,0:06:31.000 alijifunza kucheza na vifaa vya [br]kielektroniki kama vile kompyuta. 0:06:31.425,0:06:34.170 Mwaka mmoja baada ya mvuto [br]wake kukua katika nyanya hiyo, 0:06:34.182,0:06:37.000 alichukua kasi ya [br]kurekebisha baiskeli. 0:06:37.001,0:06:40.000 Hadi leo, bado [br]anarekebisha baiskeli kadhaa. 0:06:40.100,0:06:44.000 Kufikia sasa, Lawrence ametengeneza na[br]kuuza baiskeli nne za umeme mwenyewe. 0:06:44.125,0:06:49.810 Baiskeli ya sasa ina vitu vilivyoboreshwa[br]ikilinganishwa na alizotengeneza zamani. 0:06:49.810,0:06:51.831 Profesa Jaya anatazamia [br]kuwasiliana na 0:06:51.831,0:06:54.220 vyuo kwa ajili [br]ya ushirikiano 0:06:54.250,0:06:59.000 ili kuboresha mawazo [br]yake ya ubunifu. 0:06:59.001,0:07:04.000 Ana ndoto ya kutumia sola kuendesha [br]baiskeli zake baadaye, lakini anahitaji 0:07:04.001,0:07:06.927 ushirikiano na vyumo na taasisi za 0:07:06.939,0:07:10.000 kiufundi ili kuboresha [br]utengenzaji kutoka sampuli 0:07:10.450,0:07:12.000 hadi kuwa biashara. 0:07:12.150,0:07:15.005 Katika ushirikiano huo, [br]anatafuta kuwafunza 0:07:15.017,0:07:18.000 wanafunzi wa kiufundi kuboresha[br]ufahamu wao kuhusu elektroniki. 0:07:21.900,0:07:23.761 Nina swali. 0:07:23.786,0:07:26.767 0:07:26.767,0:07:29.380 0:07:29.380,0:07:31.160 0:07:31.160,0:07:32.190 0:07:32.190,0:07:33.230 0:07:33.230,0:07:36.000 0:07:36.001,0:07:39.184 0:07:39.184,0:07:40.952 0:07:40.952,0:07:42.540 0:07:42.540,0:07:44.980 0:07:44.980,0:07:46.010 0:07:46.010,0:07:47.689 0:07:47.689,0:07:49.171 0:07:50.801,0:07:52.270 0:07:52.270,0:07:53.359 0:07:53.359,0:07:54.740 0:07:54.740,0:07:55.810 0:07:56.081,0:07:59.700 0:07:59.701,0:08:02.200 0:08:02.301,0:08:04.800 0:08:04.801,0:08:05.820 0:08:05.820,0:08:07.500 0:08:07.601,0:08:11.326 0:08:11.450,0:08:13.395 0:08:14.185,0:08:18.319 0:08:18.319,0:08:19.578 0:08:19.578,0:08:22.318 0:08:22.342,0:08:25.175 0:08:25.199,0:08:27.199 0:08:27.223,0:08:29.841 0:08:29.841,0:08:35.655 0:08:35.679,0:08:38.252 0:08:38.276,0:08:41.822 0:08:41.846,0:08:43.846 0:08:45.016,0:08:48.289 0:08:48.992,0:08:52.252 0:08:52.276,0:08:56.076 0:08:56.127,0:09:02.173 0:09:02.197,0:09:04.630 0:09:06.766,0:09:10.458 0:09:10.458,0:09:11.866 0:09:11.891,0:09:13.170 0:09:16.943,0:09:19.843 0:09:19.868,0:09:23.000 0:09:23.001,0:09:25.710 0:09:25.710,0:09:28.330 0:09:28.330,0:09:32.000 0:09:32.100,0:09:35.000 0:09:35.001,0:09:39.380 0:09:39.380,0:09:41.576 0:09:41.576,0:09:44.000 0:09:44.001,0:09:47.000 0:09:47.001,0:09:49.600 0:09:49.612,0:09:52.570 0:09:52.570,0:09:54.650 0:09:54.650,0:09:57.000 0:09:57.001,0:10:00.000 0:10:00.001,0:10:05.000 0:10:09.000,0:10:11.833 0:10:11.845,0:10:15.000 0:10:15.001,0:10:19.000 0:10:19.025,0:10:21.937 0:10:21.949,0:10:25.000 0:10:25.400,0:10:28.188 0:10:28.200,0:10:32.000 0:10:32.001,0:10:35.722 0:10:35.734,0:10:39.200 0:10:39.200,0:10:42.480 0:10:42.480,0:10:45.094 0:10:45.106,0:10:49.001 0:10:49.050,0:10:52.013 0:10:52.025,0:10:55.000 0:10:55.001,0:10:56.850 0:10:56.850,0:10:59.200 0:10:59.200,0:11:14.000