WEBVTT 00:00:00.721 --> 00:00:02.428 kwa jinsi gani uligundua shauku yako 00:00:02.428 --> 00:00:03.527 ama kupata kazi yako? 00:00:03.717 --> 00:00:04.927 Je, ulikutana nayo? 00:00:04.997 --> 00:00:06.532 ama ilikua ni kufanya majaribio na kukosea? 00:00:06.862 --> 00:00:09.979 Kama mtetezi wa haki za watoto, Marian Wright Edelman alisema, 00:00:10.573 --> 00:00:13.077 ¨Hauwezi ukawa usichokiona.¨ 00:00:13.573 --> 00:00:15.788 Kwa bahati nzuri, sasa tunaishi katika wakati 00:00:15.812 --> 00:00:19.527 ambao teknolojia zinazojitokeza zaweza kutusaidia kusuluhisha tatizo hili 00:00:19.527 --> 00:00:21.186 Kwa miaka miwili iliyopita 00:00:21.186 --> 00:00:23.567 nimekua nikikuza mpango wa ukweli uliopanuliwa 00:00:23.567 --> 00:00:27.098 unaowezesha wanafunzi wa shule za kati, kutoka nchi nzima 00:00:27.098 --> 00:00:30.079 kuchukua jukumu la mwanasaikolojia wa baharini 00:00:30.079 --> 00:00:32.069 hata kama hawajawahi kuona bahari 00:00:33.429 --> 00:00:36.077 kama mwanafunzi mmoja wa darasa la saba ambaye hivi karibuni amekamilisha programu yetu 00:00:36.077 --> 00:00:38.997 alisema, ¨Niliweza kujiona ni mwanasayansi, 00:00:38.997 --> 00:00:40.834 kwa sababu nilifurahia mchezo huu.¨ 00:00:41.414 --> 00:00:43.408 Maoni haya yalinisisimua sana 00:00:43.408 --> 00:00:46.778 kwa sababu wanafunzi wachache sana hujiona kama wanasayansi 00:00:47.448 --> 00:00:53.120 Utafiti wa 2014 ulionyesha kuwa asilimia 57 ya wanafunzi wa darasa la nane na tisa 00:00:53.120 --> 00:00:55.280 walisema, ¨Sipendi sayansi¨ 00:00:55.760 --> 00:00:58.170 Vivyo hivyo, pia katika 2014, 00:00:58.170 --> 00:01:01.084 Nilikutana naye Mandë Holford, mtaalamu wa kemia ya baharini NOTE Paragraph 00:01:01.084 --> 00:01:03.680 na Lindsay Portnoy, mwanasaikolojia wa elimu. 00:01:04.560 --> 00:01:06.658 Sote watatu tulishirikiana shauku 00:01:06.658 --> 00:01:10.271 ya kuwafanya wanafunzi wavutiwe, na wawe na starehe katika sayansi. 00:01:10.751 --> 00:01:13.417 Tulifikiria juu ya jinsi tunaweza kuwapa watoto 00:01:13.417 --> 00:01:16.421 uzoefu wa kweli zaidi katika taaluma ya kisayansi 00:01:16.421 --> 00:01:18.031 Tulijadili utafiti huo; 00:01:18.031 --> 00:01:22.200 ulionyesha kuwa wanafunzi walihisi vizuri kuwa na uthubutu wakati wa kucheza michezo. 00:01:22.700 --> 00:01:26.170 Basi sote watatu tulianzisha kampuni ya michezo ya kielimu 00:01:26.170 --> 00:01:28.197 kuipa sayansi uhai 00:01:28.827 --> 00:01:33.072 Ukweli halisi ulionekana kama njia ya bei ya chini ya kuongeza ufikiaji 00:01:33.482 --> 00:01:36.212 Juu ya hayo, utafiti wa kitaalam umeonyesha 00:01:36.212 --> 00:01:39.967 ukweli halisi unaweza kusababisha kuongezeka kwa utunzaji wa kujifunza. 00:01:39.967 --> 00:01:42.852 Hii ilikuwa kamili kwetu, kama tulivyotaka kuwa mashuleni NOTE Paragraph 00:01:42.852 --> 00:01:45.755 ili tuweze kufikia idadi kubwa ya wanafunzi kadiri iwezekanavyo, 00:01:45.755 --> 00:01:48.990 haswa wanafunzi ambao wana uwakilishi mdogo katika sayansi 00:01:49.300 --> 00:01:52.394 Kwa hivyo, tukiwa na ufadhili kutoka Mfuko wa Sayansi wa Kitaifa, 00:01:52.394 --> 00:01:55.443 tulianza kukuza mpango wetu wa ukweli uliopanuliwa 00:01:55.443 --> 00:01:57.367 ulioleta pamoja ukweli halisi 00:01:57.397 --> 00:01:59.457 na jarida la kibinafsi la kidijitali 00:01:59.767 --> 00:02:02.077 Tulifanya kazi na waalimu tulipokua tukiuendeleza 00:02:02.077 --> 00:02:05.190 kuhakikisha kuwa utafaa bila shida ndani ya mitaala iliyopo NOTE Paragraph 00:02:05.930 --> 00:02:09.870 na kuwawezesha waalimu kutumia teknolojia ya kisasa madarasani mwao. 00:02:10.470 --> 00:02:12.936 Tulibuni ukweli halisi wa Kadi ya Google, 00:02:12.936 --> 00:02:15.236 ambao unahitaji simu janja tu 00:02:15.236 --> 00:02:19.223 na kitazamaji cha VR cha dola 10 kilichotengenezwa kwa kadibodi. 00:02:19.553 --> 00:02:21.480 kwa hivi vifaa vya kichwa visivyo ghali, 00:02:21.480 --> 00:02:24.700 wanafunzi husafirishwa katika msafara chini ya maji. 00:02:25.190 --> 00:02:27.071 Wanafunzi hutumia jarida lao la kidijitali 00:02:27.071 --> 00:02:28.592 kuandika maelezo yao, 00:02:28.592 --> 00:02:30.022 kujibu maswali, 00:02:30.022 --> 00:02:31.582 kujenga mifano 00:02:31.582 --> 00:02:32.882 na kukuza nadharia. 00:02:33.402 --> 00:02:36.844 Wanafunzi basi huenda katika ulimwengu wa kweli kujaribu nadharia zao 00:02:36.844 --> 00:02:38.594 ili waone ikiwa ni sahihi, 00:02:38.594 --> 00:02:40.184 kadiri wanasayansi waendavyo katika nyanja za utafiti 00:02:40.184 --> 00:02:41.827 katika kazi zao. 00:02:42.807 --> 00:02:44.817 Wanafunzi wanaporudi kwa jarida lao la kidijitali, 00:02:44.817 --> 00:02:47.057 hushiriki uchunguzi wao, madai, 00:02:47.057 --> 00:02:48.925 hoja na ushahidi. 00:02:49.395 --> 00:02:53.986 Majibu ya wanafunzi yaliyoandikwa na mwingiliano wa kawaida 00:02:53.986 --> 00:02:55.796 zote husasishwa moja kwa moja 00:02:55.796 --> 00:02:57.919 kwenye dashibodi ya tathmini ya mwalimu, 00:02:57.919 --> 00:03:00.331 ili walimu waweze kufuata maendeleo yao 00:03:00.331 --> 00:03:02.901 na wawasaidie kama inavyohitajika. 00:03:02.901 --> 00:03:04.909 Ili kukupa hisia nzuri, nitakuonyesha 00:03:04.909 --> 00:03:07.039 kidogo ya yale wanafunzi huona. 00:03:07.789 --> 00:03:10.433 Huu ndio ukweli halisi wanapokuwa chini ya maji 00:03:10.433 --> 00:03:13.373 wakiangalia mimea na wanyama. 00:03:14.453 --> 00:03:16.935 Hii ni jarida la kidijitali ambapo wanaunda mifano yao 00:03:16.935 --> 00:03:20.295 kulingana na data hii ya kawaida kuonyesha wanachotarajia kuona. NOTE Paragraph 00:03:21.415 --> 00:03:24.165 Hapa, wanaunga mkono hiyo na taarifa za ubora. 00:03:24.165 --> 00:03:27.079 Na hii ndio dashibodi ya ualimu inayoonyesha maendeleo 00:03:27.079 --> 00:03:30.806 na inawezesha [waalimu] kuona majibu ya wanafunzi wanapoendelea. 00:03:32.716 --> 00:03:34.716 Tulipokua tunaunda BioDive, 00:03:34.716 --> 00:03:36.950 tulitaka sana kuzingatia ufikiaji, 00:03:36.950 --> 00:03:41.090 kwa hivyo tuliijenga kuhitaji simu moja tu kwa kila wanafunzi wanne. 00:03:41.090 --> 00:03:44.880 Tulijua pia jinsi kazi ya sayansi inavyoshirikisha, 00:03:44.880 --> 00:03:47.420 kwa hivyo tuliunda uzoefu kutatuliwa tu 00:03:47.420 --> 00:03:49.330 kupitia kushirikiana NOTE Paragraph 00:03:49.330 --> 00:03:53.224 kwani kila mwanafunzi ni mtaalam katika eneo tofauti la kijiografia. 00:03:53.594 --> 00:03:56.893 Kwa kuzingatia kwamba akili za watoto hawa bado inaendelea kukua, 00:03:56.893 --> 00:04:00.853 tulipunguza kila uzoefu kudumu kiwango kisichozidi dakika mbili. 00:04:00.853 --> 00:04:05.303 Na mwishowe, kwa sababu tunajua umuhimu wa kudhihirishwa mara kwa mara 00:04:05.303 --> 00:04:06.869 ili kufahamu maarifa 00:04:06.869 --> 00:04:10.569 tuliunda BioDive ifanyike zaidi ya vipindi vya darasa tano. 00:04:11.519 --> 00:04:14.992 Tulianza majaribio ya BioDive mnamo 2017 00:04:14.992 --> 00:04:17.826 katika shule 20 huko New York na New Jersey. 00:04:17.826 --> 00:04:20.617 Tulitaka kuona wanafunzi walipokuwa wakitumia teknolojia hii mpya. 00:04:21.467 --> 00:04:23.913 Mnamo mwaka wa 2019, sasa, 00:04:23.913 --> 00:04:27.606 tunafanya majaribio katika majimbo 26 kwa sasa. 00:04:27.996 --> 00:04:30.776 Tulichosikia kutoka kwa waalimu ambao wamefundisha kwa kutumia programu yetu: NOTE Paragraph 00:04:30.776 --> 00:04:34.491 "Ilikuwa njia nzuri ya kuonyesha mienendo ya bahari bila anasa ya kuwa huko hasa 00:04:34.491 --> 00:04:35.881 kwa kuwa tupo Ohio. " 00:04:35.881 --> 00:04:36.891 (Kicheko) 00:04:36.891 --> 00:04:38.401 "Ni ya kushangaza sana." 00:04:38.401 --> 00:04:40.722 "Wanafunzi walishiriki kabisa." 00:04:41.052 --> 00:04:44.329 Lakini kinachotupa tumaini ni tunachosikia kutoka kwa wanafunzi 00:04:44.799 --> 00:04:46.914 "Nilipenda jinsi ilivyoonekana kana kwamba nilikuwa pale." 00:04:46.914 --> 00:04:49.392 "Ina maingiliano na ni njia nzuri ya kufurahia unapojifunza." NOTE Paragraph 00:04:49.392 --> 00:04:52.912 "Ilinipa mifano ya kweli ya jinsi viumbe hawa wanavyoonekana. " NOTE Paragraph 00:04:53.652 --> 00:04:58.162 "Nilijiona kama mwanasayansi kwa sababu inaonekana kufurahisha sana. " 00:04:58.772 --> 00:05:01.270 Maoni yetu hayakuwa mazuri kila wakati. 00:05:01.740 --> 00:05:03.496 Tulipoanza kukuza, 00:05:03.496 --> 00:05:05.428 tulianza kwa kuwauliza wanafunzi 00:05:05.428 --> 00:05:06.562 walichokipenda, 00:05:06.562 --> 00:05:07.662 kile wasichokipenda 00:05:07.662 --> 00:05:09.742 na kile walichokipata kinawachanganya. NOTE Paragraph 00:05:09.742 --> 00:05:13.319 Mwishowe tulianza kuuliza walichokua nahamu ya kufanya. 00:05:13.909 --> 00:05:17.469 Maoni yao yakatupa vitu halisi vya kujenga ndani 00:05:17.469 --> 00:05:21.140 ili kuwa na uhakika kuwa tunajumuisha sauti za wanafunzi katika tulichokibuni. 00:05:22.020 --> 00:05:26.347 Kwa jumla, kile tumejifunza ni kwamba huu ni mwanzo wa jukwaa mpya 00:05:26.347 --> 00:05:29.383 la kuwapa wanafunzi sauti na umiliki 00:05:29.383 --> 00:05:31.701 katika kuamua jinsi wanataka kuwa na athari 00:05:31.701 --> 00:05:33.157 katika kazi zao. 00:05:33.607 --> 00:05:35.057 Tulilenga sayansi, 00:05:35.057 --> 00:05:36.757 kwa sababu twafahamu kuwa twawahitaji wanasayansi 00:05:36.757 --> 00:05:39.927 ili kutusaidia kutatua hali yetu ya sasa na changamoto za baadaye. 00:05:40.537 --> 00:05:44.607 Lakini ukweli halisi unaweza kusaidia wanafunzi katika eneo lolote. 00:05:44.607 --> 00:05:49.220 Tunawezaje kuwasaidia wanafunzi katika kutafuta tamaa zao zote 00:05:49.220 --> 00:05:53.020 kwa uzoefu huu wa kufungua jicho na nafasi za kujifunza kutoka kwa vyanzo vya msingi? NOTE Paragraph 00:05:53.020 --> 00:05:57.295 Tunaweza kuunda... VR za vifaa vya kichwa visivyo ghali 00:05:57.885 --> 00:06:00.550 ambazo zinawaruhusu wazame katika fasihi ya mdomo 00:06:00.550 --> 00:06:02.920 au katika wakati mgumu wa historia ya wanadamu? 00:06:03.250 --> 00:06:07.204 Ukweli uliopanuliwa una uwezo wakubadilisha mwelekeo 00:06:07.204 --> 00:06:08.896 wa maisha ya watoto wetu 00:06:08.896 --> 00:06:11.476 na uwaongoze kwenye kazi hawakuwahi kufikiria 00:06:11.926 --> 00:06:15.336 kwa kuwapa nafasi ya kuona ni nini wanaweza wakawa. 00:06:15.336 --> 00:06:16.249 Asanteni 00:06:16.249 --> 00:06:17.513 (Makofi)