1 00:00:00,721 --> 00:00:02,428 kwa jinsi gani uligundua shauku yako 2 00:00:02,428 --> 00:00:03,527 ama kupata kazi yako? 3 00:00:03,717 --> 00:00:04,927 Je, ulikutana nayo? 4 00:00:04,997 --> 00:00:06,532 ama ilikua ni kufanya majaribio na kukosea? 5 00:00:06,862 --> 00:00:09,979 Kama mtetezi wa haki za watoto, Marian Wright Edelman alisema, 6 00:00:10,573 --> 00:00:13,077 ¨Hauwezi ukawa usichokiona.¨ 7 00:00:13,573 --> 00:00:15,788 Kwa bahati nzuri, sasa tunaishi katika wakati 8 00:00:15,812 --> 00:00:19,527 ambao teknolojia zinazojitokeza zaweza kutusaidia kusuluhisha tatizo hili 9 00:00:19,527 --> 00:00:21,186 Kwa miaka miwili iliyopita 10 00:00:21,186 --> 00:00:23,567 nimekua nikikuza mpango wa ukweli uliopanuliwa 11 00:00:23,567 --> 00:00:27,098 unaowezesha wanafunzi wa shule za kati, kutoka nchi nzima 12 00:00:27,098 --> 00:00:30,079 kuchukua jukumu la mwanasaikolojia wa baharini 13 00:00:30,079 --> 00:00:32,069 hata kama hawajawahi kuona bahari 14 00:00:33,429 --> 00:00:36,077 kama mwanafunzi mmoja wa darasa la saba ambaye hivi karibuni amekamilisha programu yetu 15 00:00:36,077 --> 00:00:38,997 alisema, ¨Niliweza kujiona ni mwanasayansi, 16 00:00:38,997 --> 00:00:40,834 kwa sababu nilifurahia mchezo huu.¨ 17 00:00:41,414 --> 00:00:43,408 Maoni haya yalinisisimua sana 18 00:00:43,408 --> 00:00:46,778 kwa sababu wanafunzi wachache sana hujiona kama wanasayansi 19 00:00:47,448 --> 00:00:53,120 Utafiti wa 2014 ulionyesha kuwa asilimia 57 ya wanafunzi wa darasa la nane na tisa 20 00:00:53,120 --> 00:00:55,280 walisema, ¨Sipendi sayansi¨ 21 00:00:55,760 --> 00:00:58,170 Vivyo hivyo, pia katika 2014, 22 00:00:58,170 --> 00:01:01,084 Nilikutana naye Mandë Holford, mtaalamu wa kemia ya baharini 23 00:01:01,084 --> 00:01:03,680 na Lindsay Portnoy, mwanasaikolojia wa elimu. 24 00:01:04,560 --> 00:01:06,658 Sote watatu tulishirikiana shauku 25 00:01:06,658 --> 00:01:10,271 ya kuwafanya wanafunzi wavutiwe, na wawe na starehe katika sayansi. 26 00:01:10,751 --> 00:01:13,417 Tulifikiria juu ya jinsi tunaweza kuwapa watoto 27 00:01:13,417 --> 00:01:16,421 uzoefu wa kweli zaidi katika taaluma ya kisayansi 28 00:01:16,421 --> 00:01:18,031 Tulijadili utafiti huo; 29 00:01:18,031 --> 00:01:22,200 ulionyesha kuwa wanafunzi walihisi vizuri kuwa na uthubutu wakati wa kucheza michezo. 30 00:01:22,700 --> 00:01:26,170 Basi sote watatu tulianzisha kampuni ya michezo ya kielimu 31 00:01:26,170 --> 00:01:28,197 kuipa sayansi uhai 32 00:01:28,827 --> 00:01:33,072 Ukweli halisi ulionekana kama njia ya bei ya chini ya kuongeza ufikiaji 33 00:01:33,482 --> 00:01:36,212 Juu ya hayo, utafiti wa kitaalam umeonyesha 34 00:01:36,212 --> 00:01:39,967 ukweli halisi unaweza kusababisha kuongezeka kwa utunzaji wa kujifunza. 35 00:01:39,967 --> 00:01:42,852 Hii ilikuwa kamili kwetu, kama tulivyotaka kuwa mashuleni 36 00:01:42,852 --> 00:01:45,755 ili tuweze kufikia idadi kubwa ya wanafunzi kadiri iwezekanavyo, 37 00:01:45,755 --> 00:01:48,990 haswa wanafunzi ambao wana uwakilishi mdogo katika sayansi 38 00:01:49,300 --> 00:01:52,394 Kwa hivyo, tukiwa na ufadhili kutoka Mfuko wa Sayansi wa Kitaifa, 39 00:01:52,394 --> 00:01:55,443 tulianza kukuza mpango wetu wa ukweli uliopanuliwa 40 00:01:55,443 --> 00:01:57,367 ulioleta pamoja ukweli halisi 41 00:01:57,397 --> 00:01:59,457 na jarida la kibinafsi la kidijitali 42 00:01:59,767 --> 00:02:02,077 Tulifanya kazi na waalimu tulipokua tukiuendeleza 43 00:02:02,077 --> 00:02:05,190 kuhakikisha kuwa utafaa bila shida ndani ya mitaala iliyopo 44 00:02:05,930 --> 00:02:09,870 na kuwawezesha waalimu kutumia teknolojia ya kisasa madarasani mwao. 45 00:02:10,470 --> 00:02:12,936 Tulibuni ukweli halisi wa Kadi ya Google, 46 00:02:12,936 --> 00:02:15,236 ambao unahitaji simu janja tu 47 00:02:15,236 --> 00:02:19,223 na kitazamaji cha VR cha dola 10 kilichotengenezwa kwa kadibodi. 48 00:02:19,553 --> 00:02:21,480 kwa hivi vifaa vya kichwa visivyo ghali, 49 00:02:21,480 --> 00:02:24,700 wanafunzi husafirishwa katika msafara chini ya maji. 50 00:02:25,190 --> 00:02:27,071 Wanafunzi hutumia jarida lao la kidijitali 51 00:02:27,071 --> 00:02:28,592 kuandika maelezo yao, 52 00:02:28,592 --> 00:02:30,022 kujibu maswali, 53 00:02:30,022 --> 00:02:31,582 kujenga mifano 54 00:02:31,582 --> 00:02:32,882 na kukuza nadharia. 55 00:02:33,402 --> 00:02:36,844 Wanafunzi basi huenda katika ulimwengu wa kweli kujaribu nadharia zao 56 00:02:36,844 --> 00:02:38,594 ili waone ikiwa ni sahihi, 57 00:02:38,594 --> 00:02:40,184 kadiri wanasayansi waendavyo katika nyanja za utafiti 58 00:02:40,184 --> 00:02:41,827 katika kazi zao. 59 00:02:42,807 --> 00:02:44,817 Wanafunzi wanaporudi kwa jarida lao la kidijitali, 60 00:02:44,817 --> 00:02:47,057 hushiriki uchunguzi wao, madai, 61 00:02:47,057 --> 00:02:48,925 hoja na ushahidi. 62 00:02:49,395 --> 00:02:53,986 Majibu ya wanafunzi yaliyoandikwa na mwingiliano wa kawaida 63 00:02:53,986 --> 00:02:55,796 zote husasishwa moja kwa moja 64 00:02:55,796 --> 00:02:57,919 kwenye dashibodi ya tathmini ya mwalimu, 65 00:02:57,919 --> 00:03:00,331 ili walimu waweze kufuata maendeleo yao 66 00:03:00,331 --> 00:03:02,901 na wawasaidie kama inavyohitajika. 67 00:03:02,901 --> 00:03:04,909 Ili kukupa hisia nzuri, nitakuonyesha 68 00:03:04,909 --> 00:03:07,039 kidogo ya yale wanafunzi huona. 69 00:03:07,789 --> 00:03:10,433 Huu ndio ukweli halisi wanapokuwa chini ya maji 70 00:03:10,433 --> 00:03:13,373 wakiangalia mimea na wanyama. 71 00:03:14,453 --> 00:03:16,935 Hii ni jarida la kidijitali ambapo wanaunda mifano yao 72 00:03:16,935 --> 00:03:20,295 kulingana na data hii ya kawaida kuonyesha wanachotarajia kuona. 73 00:03:21,415 --> 00:03:24,165 Hapa, wanaunga mkono hiyo na taarifa za ubora. 74 00:03:24,165 --> 00:03:27,079 Na hii ndio dashibodi ya ualimu inayoonyesha maendeleo 75 00:03:27,079 --> 00:03:30,806 na inawezesha [waalimu] kuona majibu ya wanafunzi wanapoendelea. 76 00:03:32,716 --> 00:03:34,716 Tulipokua tunaunda BioDive, 77 00:03:34,716 --> 00:03:36,950 tulitaka sana kuzingatia ufikiaji, 78 00:03:36,950 --> 00:03:41,090 kwa hivyo tuliijenga kuhitaji simu moja tu kwa kila wanafunzi wanne. 79 00:03:41,090 --> 00:03:44,880 Tulijua pia jinsi kazi ya sayansi inavyoshirikisha, 80 00:03:44,880 --> 00:03:47,420 kwa hivyo tuliunda uzoefu kutatuliwa tu 81 00:03:47,420 --> 00:03:49,330 kupitia kushirikiana 82 00:03:49,330 --> 00:03:53,224 kwani kila mwanafunzi ni mtaalam katika eneo tofauti la kijiografia. 83 00:03:53,594 --> 00:03:56,893 Kwa kuzingatia kwamba akili za watoto hawa bado inaendelea kukua, 84 00:03:56,893 --> 00:04:00,853 tulipunguza kila uzoefu kudumu kiwango kisichozidi dakika mbili. 85 00:04:00,853 --> 00:04:05,303 Na mwishowe, kwa sababu tunajua umuhimu wa kudhihirishwa mara kwa mara 86 00:04:05,303 --> 00:04:06,869 ili kufahamu maarifa 87 00:04:06,869 --> 00:04:10,569 tuliunda BioDive ifanyike zaidi ya vipindi vya darasa tano. 88 00:04:11,519 --> 00:04:14,992 Tulianza majaribio ya BioDive mnamo 2017 89 00:04:14,992 --> 00:04:17,826 katika shule 20 huko New York na New Jersey. 90 00:04:17,826 --> 00:04:20,617 Tulitaka kuona wanafunzi walipokuwa wakitumia teknolojia hii mpya. 91 00:04:21,467 --> 00:04:23,913 Mnamo mwaka wa 2019, sasa, 92 00:04:23,913 --> 00:04:27,606 tunafanya majaribio katika majimbo 26 kwa sasa. 93 00:04:27,996 --> 00:04:30,776 Tulichosikia kutoka kwa waalimu ambao wamefundisha kwa kutumia programu yetu: 94 00:04:30,776 --> 00:04:34,491 "Ilikuwa njia nzuri ya kuonyesha mienendo ya bahari bila anasa ya kuwa huko hasa 95 00:04:34,491 --> 00:04:35,881 kwa kuwa tupo Ohio. " 96 00:04:35,881 --> 00:04:36,891 (Kicheko) 97 00:04:36,891 --> 00:04:38,401 "Ni ya kushangaza sana." 98 00:04:38,401 --> 00:04:40,722 "Wanafunzi walishiriki kabisa." 99 00:04:41,052 --> 00:04:44,329 Lakini kinachotupa tumaini ni tunachosikia kutoka kwa wanafunzi 100 00:04:44,799 --> 00:04:46,914 "Nilipenda jinsi ilivyoonekana kana kwamba nilikuwa pale." 101 00:04:46,914 --> 00:04:49,392 "Ina maingiliano na ni njia nzuri ya kufurahia unapojifunza." 102 00:04:49,392 --> 00:04:52,912 "Ilinipa mifano ya kweli ya jinsi viumbe hawa wanavyoonekana. " 103 00:04:53,652 --> 00:04:58,162 "Nilijiona kama mwanasayansi kwa sababu inaonekana kufurahisha sana. " 104 00:04:58,772 --> 00:05:01,270 Maoni yetu hayakuwa mazuri kila wakati. 105 00:05:01,740 --> 00:05:03,496 Tulipoanza kukuza, 106 00:05:03,496 --> 00:05:05,428 tulianza kwa kuwauliza wanafunzi 107 00:05:05,428 --> 00:05:06,562 walichokipenda, 108 00:05:06,562 --> 00:05:07,662 kile wasichokipenda 109 00:05:07,662 --> 00:05:09,742 na kile walichokipata kinawachanganya. 110 00:05:09,742 --> 00:05:13,319 Mwishowe tulianza kuuliza walichokua nahamu ya kufanya. 111 00:05:13,909 --> 00:05:17,469 Maoni yao yakatupa vitu halisi vya kujenga ndani 112 00:05:17,469 --> 00:05:21,140 ili kuwa na uhakika kuwa tunajumuisha sauti za wanafunzi katika tulichokibuni. 113 00:05:22,020 --> 00:05:26,347 Kwa jumla, kile tumejifunza ni kwamba huu ni mwanzo wa jukwaa mpya 114 00:05:26,347 --> 00:05:29,383 la kuwapa wanafunzi sauti na umiliki 115 00:05:29,383 --> 00:05:31,701 katika kuamua jinsi wanataka kuwa na athari 116 00:05:31,701 --> 00:05:33,157 katika kazi zao. 117 00:05:33,607 --> 00:05:35,057 Tulilenga sayansi, 118 00:05:35,057 --> 00:05:36,757 kwa sababu twafahamu kuwa twawahitaji wanasayansi 119 00:05:36,757 --> 00:05:39,927 ili kutusaidia kutatua hali yetu ya sasa na changamoto za baadaye. 120 00:05:40,537 --> 00:05:44,607 Lakini ukweli halisi unaweza kusaidia wanafunzi katika eneo lolote. 121 00:05:44,607 --> 00:05:49,220 Tunawezaje kuwasaidia wanafunzi katika kutafuta tamaa zao zote 122 00:05:49,220 --> 00:05:53,020 kwa uzoefu huu wa kufungua jicho na nafasi za kujifunza kutoka kwa vyanzo vya msingi? 123 00:05:53,020 --> 00:05:57,295 Tunaweza kuunda... VR za vifaa vya kichwa visivyo ghali 124 00:05:57,885 --> 00:06:00,550 ambazo zinawaruhusu wazame katika fasihi ya mdomo 125 00:06:00,550 --> 00:06:02,920 au katika wakati mgumu wa historia ya wanadamu? 126 00:06:03,250 --> 00:06:07,204 Ukweli uliopanuliwa una uwezo wakubadilisha mwelekeo 127 00:06:07,204 --> 00:06:08,896 wa maisha ya watoto wetu 128 00:06:08,896 --> 00:06:11,476 na uwaongoze kwenye kazi hawakuwahi kufikiria 129 00:06:11,926 --> 00:06:15,336 kwa kuwapa nafasi ya kuona ni nini wanaweza wakawa. 130 00:06:15,336 --> 00:06:16,249 Asanteni 131 00:06:16,249 --> 00:06:17,513 (Makofi)