0:00:00.721,0:00:02.428 kwa jinsi gani uligundua shauku yako 0:00:02.428,0:00:03.527 ama kupata kazi yako? 0:00:03.717,0:00:04.927 Je, ulikutana nayo? 0:00:04.997,0:00:06.532 ama ilikua ni kufanya majaribio na kukosea? 0:00:06.862,0:00:09.979 Kama mtetezi wa haki za watoto,[br]Marian Wright Edelman alisema, 0:00:10.573,0:00:13.077 ¨Hauwezi ukawa usichokiona.¨ 0:00:13.573,0:00:15.788 Kwa bahati nzuri, sasa tunaishi katika[br]wakati 0:00:15.812,0:00:19.527 ambao teknolojia zinazojitokeza zaweza[br]kutusaidia kusuluhisha tatizo hili 0:00:19.527,0:00:21.186 Kwa miaka miwili iliyopita 0:00:21.186,0:00:23.567 nimekua nikikuza mpango wa ukweli[br]uliopanuliwa 0:00:23.567,0:00:27.098 unaowezesha wanafunzi wa shule za kati,[br]kutoka nchi nzima 0:00:27.098,0:00:30.079 kuchukua jukumu la mwanasaikolojia wa[br]baharini 0:00:30.079,0:00:32.069 hata kama hawajawahi kuona bahari 0:00:33.429,0:00:36.077 kama mwanafunzi mmoja wa darasa la saba ambaye hivi[br]karibuni amekamilisha programu yetu 0:00:36.077,0:00:38.997 alisema, ¨Niliweza kujiona ni[br]mwanasayansi, 0:00:38.997,0:00:40.834 kwa sababu nilifurahia mchezo huu.¨ 0:00:41.414,0:00:43.408 Maoni haya yalinisisimua sana 0:00:43.408,0:00:46.778 kwa sababu wanafunzi wachache sana hujiona[br]kama wanasayansi 0:00:47.448,0:00:53.120 Utafiti wa 2014 ulionyesha kuwa asilimia 57[br]ya wanafunzi wa darasa la nane na tisa 0:00:53.120,0:00:55.280 walisema, ¨Sipendi sayansi¨ 0:00:55.760,0:00:58.170 Vivyo hivyo, pia katika 2014, 0:00:58.170,0:01:01.084 Nilikutana naye Mandë Holford,[br]mtaalamu wa kemia ya baharini 0:01:01.084,0:01:03.680 na Lindsay Portnoy, mwanasaikolojia wa[br]elimu. 0:01:04.560,0:01:06.658 Sote watatu tulishirikiana shauku 0:01:06.658,0:01:10.271 ya kuwafanya wanafunzi wavutiwe, na wawe[br]na starehe katika sayansi. 0:01:10.751,0:01:13.417 Tulifikiria juu ya jinsi[br]tunaweza kuwapa watoto 0:01:13.417,0:01:16.421 uzoefu wa kweli zaidi katika taaluma ya[br]kisayansi 0:01:16.421,0:01:18.031 Tulijadili utafiti huo; 0:01:18.031,0:01:22.200 ulionyesha kuwa wanafunzi walihisi vizuri[br]kuwa na uthubutu wakati wa kucheza michezo. 0:01:22.700,0:01:26.170 Basi sote watatu tulianzisha kampuni ya[br]michezo ya kielimu 0:01:26.170,0:01:28.197 kuipa sayansi uhai 0:01:28.827,0:01:33.072 Ukweli halisi ulionekana kama njia ya bei[br]ya chini ya kuongeza ufikiaji 0:01:33.482,0:01:36.212 Juu ya hayo, utafiti wa kitaalam[br]umeonyesha 0:01:36.212,0:01:39.967 ukweli halisi unaweza kusababisha[br]kuongezeka kwa utunzaji wa kujifunza. 0:01:39.967,0:01:42.852 Hii ilikuwa kamili kwetu,[br]kama tulivyotaka kuwa mashuleni 0:01:42.852,0:01:45.755 ili tuweze kufikia[br]idadi kubwa ya wanafunzi kadiri iwezekanavyo, 0:01:45.755,0:01:48.990 haswa wanafunzi ambao wana uwakilishi mdogo katika sayansi 0:01:49.300,0:01:52.394 Kwa hivyo, tukiwa na ufadhili kutoka Mfuko wa Sayansi wa Kitaifa, 0:01:52.394,0:01:55.443 tulianza kukuza mpango wetu wa ukweli[br]uliopanuliwa 0:01:55.443,0:01:57.367 ulioleta pamoja ukweli halisi 0:01:57.397,0:01:59.457 na jarida la kibinafsi la kidijitali 0:01:59.767,0:02:02.077 Tulifanya kazi na waalimu tulipokua[br]tukiuendeleza 0:02:02.077,0:02:05.190 kuhakikisha kuwa utafaa bila shida [br]ndani ya mitaala iliyopo 0:02:05.930,0:02:09.870 na kuwawezesha waalimu kutumia teknolojia[br]ya kisasa madarasani mwao. 0:02:10.470,0:02:12.936 Tulibuni ukweli halisi wa Kadi ya Google, 0:02:12.936,0:02:15.236 ambao unahitaji simu janja tu 0:02:15.236,0:02:19.223 na kitazamaji cha VR cha dola 10[br]kilichotengenezwa kwa kadibodi. 0:02:19.553,0:02:21.480 kwa hivi vifaa vya kichwa visivyo ghali, 0:02:21.480,0:02:24.700 wanafunzi husafirishwa katika msafara[br]chini ya maji. 0:02:25.190,0:02:27.071 Wanafunzi hutumia jarida lao la kidijitali 0:02:27.071,0:02:28.592 kuandika maelezo yao, 0:02:28.592,0:02:30.022 kujibu maswali, 0:02:30.022,0:02:31.582 kujenga mifano 0:02:31.582,0:02:32.882 na kukuza nadharia. 0:02:33.402,0:02:36.844 Wanafunzi basi huenda katika ulimwengu wa kweli kujaribu nadharia zao 0:02:36.844,0:02:38.594 ili waone ikiwa ni sahihi, 0:02:38.594,0:02:40.184 kadiri wanasayansi waendavyo katika[br]nyanja za utafiti 0:02:40.184,0:02:41.827 katika kazi zao. 0:02:42.807,0:02:44.817 Wanafunzi wanaporudi kwa jarida lao la[br]kidijitali, 0:02:44.817,0:02:47.057 hushiriki uchunguzi wao, madai, 0:02:47.057,0:02:48.925 hoja na ushahidi. 0:02:49.395,0:02:53.986 Majibu ya wanafunzi yaliyoandikwa na[br]mwingiliano wa kawaida 0:02:53.986,0:02:55.796 zote husasishwa moja kwa moja 0:02:55.796,0:02:57.919 kwenye dashibodi ya tathmini ya mwalimu, 0:02:57.919,0:03:00.331 ili walimu waweze kufuata maendeleo yao 0:03:00.331,0:03:02.901 na wawasaidie kama inavyohitajika. 0:03:02.901,0:03:04.909 Ili kukupa hisia nzuri, nitakuonyesha 0:03:04.909,0:03:07.039 kidogo ya yale wanafunzi huona. 0:03:07.789,0:03:10.433 Huu ndio ukweli halisi wanapokuwa chini ya[br]maji 0:03:10.433,0:03:13.373 wakiangalia mimea na wanyama. 0:03:14.453,0:03:16.935 Hii ni jarida la kidijitali[br]ambapo wanaunda mifano yao 0:03:16.935,0:03:20.295 kulingana na data hii ya kawaida kuonyesha[br]wanachotarajia kuona. 0:03:21.415,0:03:24.165 Hapa, wanaunga mkono hiyo na taarifa za[br]ubora. 0:03:24.165,0:03:27.079 Na hii ndio dashibodi ya ualimu[br]inayoonyesha maendeleo 0:03:27.079,0:03:30.806 na inawezesha [waalimu] kuona majibu ya[br]wanafunzi wanapoendelea. 0:03:32.716,0:03:34.716 Tulipokua tunaunda BioDive, 0:03:34.716,0:03:36.950 tulitaka sana kuzingatia ufikiaji, 0:03:36.950,0:03:41.090 kwa hivyo tuliijenga kuhitaji simu moja tu[br]kwa kila wanafunzi wanne. 0:03:41.090,0:03:44.880 Tulijua pia jinsi kazi ya sayansi inavyoshirikisha, 0:03:44.880,0:03:47.420 kwa hivyo tuliunda uzoefu kutatuliwa tu 0:03:47.420,0:03:49.330 kupitia kushirikiana 0:03:49.330,0:03:53.224 kwani kila mwanafunzi ni mtaalam katika[br]eneo tofauti la kijiografia. 0:03:53.594,0:03:56.893 Kwa kuzingatia kwamba akili za watoto hawa[br]bado inaendelea kukua, 0:03:56.893,0:04:00.853 tulipunguza kila uzoefu kudumu kiwango[br]kisichozidi dakika mbili. 0:04:00.853,0:04:05.303 Na mwishowe, kwa sababu tunajua umuhimu[br]wa kudhihirishwa mara kwa mara 0:04:05.303,0:04:06.869 ili kufahamu maarifa 0:04:06.869,0:04:10.569 tuliunda BioDive ifanyike zaidi ya vipindi[br]vya darasa tano. 0:04:11.519,0:04:14.992 Tulianza majaribio ya BioDive mnamo 2017 0:04:14.992,0:04:17.826 katika shule 20 huko New York na New Jersey. 0:04:17.826,0:04:20.617 Tulitaka kuona wanafunzi walipokuwa[br]wakitumia teknolojia hii mpya. 0:04:21.467,0:04:23.913 Mnamo mwaka wa 2019, sasa, 0:04:23.913,0:04:27.606 tunafanya majaribio katika majimbo 26 kwa[br]sasa. 0:04:27.996,0:04:30.776 Tulichosikia kutoka kwa waalimu[br]ambao wamefundisha kwa kutumia programu yetu: 0:04:30.776,0:04:34.491 "Ilikuwa njia nzuri ya kuonyesha mienendo ya bahari[br]bila anasa ya kuwa huko hasa 0:04:34.491,0:04:35.881 kwa kuwa tupo Ohio. " 0:04:35.881,0:04:36.891 (Kicheko) 0:04:36.891,0:04:38.401 "Ni ya kushangaza sana." 0:04:38.401,0:04:40.722 "Wanafunzi walishiriki kabisa." 0:04:41.052,0:04:44.329 Lakini kinachotupa tumaini ni tunachosikia[br]kutoka kwa wanafunzi 0:04:44.799,0:04:46.914 "Nilipenda jinsi ilivyoonekana kana kwamba[br]nilikuwa pale." 0:04:46.914,0:04:49.392 "Ina maingiliano na ni njia nzuri ya[br]kufurahia unapojifunza." 0:04:49.392,0:04:52.912 "Ilinipa mifano ya kweli ya jinsi viumbe[br]hawa wanavyoonekana. " 0:04:53.652,0:04:58.162 "Nilijiona kama mwanasayansi[br]kwa sababu inaonekana kufurahisha sana. " 0:04:58.772,0:05:01.270 Maoni yetu hayakuwa mazuri kila wakati. 0:05:01.740,0:05:03.496 Tulipoanza kukuza, 0:05:03.496,0:05:05.428 tulianza kwa kuwauliza wanafunzi 0:05:05.428,0:05:06.562 walichokipenda, 0:05:06.562,0:05:07.662 kile wasichokipenda 0:05:07.662,0:05:09.742 na kile walichokipata kinawachanganya. 0:05:09.742,0:05:13.319 Mwishowe tulianza kuuliza walichokua[br]nahamu ya kufanya. 0:05:13.909,0:05:17.469 Maoni yao yakatupa vitu halisi vya kujenga[br]ndani 0:05:17.469,0:05:21.140 ili kuwa na uhakika kuwa tunajumuisha[br]sauti za wanafunzi katika tulichokibuni. 0:05:22.020,0:05:26.347 Kwa jumla, kile tumejifunza ni kwamba huu[br]ni mwanzo wa jukwaa mpya 0:05:26.347,0:05:29.383 la kuwapa wanafunzi sauti na umiliki 0:05:29.383,0:05:31.701 katika kuamua jinsi wanataka kuwa na athari 0:05:31.701,0:05:33.157 katika kazi zao. 0:05:33.607,0:05:35.057 Tulilenga sayansi, 0:05:35.057,0:05:36.757 kwa sababu twafahamu kuwa twawahitaji wanasayansi 0:05:36.757,0:05:39.927 ili kutusaidia kutatua hali yetu ya sasa na[br]changamoto za baadaye. 0:05:40.537,0:05:44.607 Lakini ukweli halisi unaweza kusaidia[br]wanafunzi katika eneo lolote. 0:05:44.607,0:05:49.220 Tunawezaje kuwasaidia wanafunzi katika[br]kutafuta tamaa zao zote 0:05:49.220,0:05:53.020 kwa uzoefu huu wa kufungua jicho na nafasi[br]za kujifunza kutoka kwa vyanzo vya msingi? 0:05:53.020,0:05:57.295 Tunaweza kuunda... VR za vifaa vya kichwa[br]visivyo ghali 0:05:57.885,0:06:00.550 ambazo zinawaruhusu wazame katika fasihi[br]ya mdomo 0:06:00.550,0:06:02.920 au katika wakati mgumu wa historia ya wanadamu? 0:06:03.250,0:06:07.204 Ukweli uliopanuliwa una uwezo[br]wakubadilisha mwelekeo 0:06:07.204,0:06:08.896 wa maisha ya watoto wetu 0:06:08.896,0:06:11.476 na uwaongoze kwenye kazi hawakuwahi[br]kufikiria 0:06:11.926,0:06:15.336 kwa kuwapa nafasi ya kuona ni nini[br]wanaweza wakawa. 0:06:15.336,0:06:16.249 Asanteni 0:06:16.249,0:06:17.513 (Makofi)