Jambo! Jina langu ni Cindy. Leo nataka kukuelezea kuhusu Firefox monitor. Nirahisi kujihisi mnyonge ukiskia kuhusu ukiukaji wa data na usijue umeathiriwa binafsi. Firefox monitor yakuletea uwezo huo ili ufanye maamuzi yafaayo. Tembelea monitor.firefox.com na uweke anwani yako ya barua pepe. Firefox monitor itakueleza pahali akaunti zako zilizthiriwa. Hivyo hakikisha umebadilisha nenosiri kila unaotumia. Jiandikishe kwa Firefox monitor leo na upokee habari za baadaye ukiukaji hutokea kwa akaunti yako na uwe na ujasiri kutumia mtandao.