1 00:00:00,030 --> 00:00:02,639 Jambo! Jina langu ni Cindy. Leo nataka 2 00:00:02,639 --> 00:00:04,370 kukuelezea kuhusu Firefox monitor. 3 00:00:04,370 --> 00:00:07,200 Nirahisi kujihisi mnyonge 4 00:00:07,200 --> 00:00:09,220 ukiskia kuhusu ukiukaji wa data na usijue 5 00:00:09,220 --> 00:00:11,530 umeathiriwa binafsi. 6 00:00:11,960 --> 00:00:14,940 Firefox monitor yakuletea uwezo huo ili 7 00:00:14,940 --> 00:00:16,590 ufanye maamuzi yafaayo. 8 00:00:16,590 --> 00:00:19,590 Tembelea monitor.firefox.com na uweke 9 00:00:19,590 --> 00:00:21,750 anwani yako ya barua pepe. 10 00:00:21,750 --> 00:00:24,250 Firefox monitor itakueleza pahali 11 00:00:24,250 --> 00:00:26,470 akaunti zako zilizthiriwa. Hivyo hakikisha 12 00:00:26,470 --> 00:00:28,720 umebadilisha nenosiri kila unaotumia. 13 00:00:28,720 --> 00:00:31,960 Jiandikishe kwa Firefox monitor 14 00:00:31,960 --> 00:00:34,300 leo na upokee habari za baadaye 15 00:00:34,300 --> 00:00:36,800 ukiukaji hutokea kwa akaunti yako na 16 00:00:36,800 --> 00:00:38,770 uwe na ujasiri kutumia mtandao.