0:00:00.030,0:00:02.639 Jambo! Jina langu ni Cindy. Leo nataka 0:00:02.639,0:00:04.370 kukuelezea kuhusu Firefox monitor. 0:00:04.370,0:00:07.200 Nirahisi kujihisi mnyonge 0:00:07.200,0:00:09.220 ukiskia kuhusu ukiukaji wa data na usijue 0:00:09.220,0:00:11.530 umeathiriwa binafsi. 0:00:11.960,0:00:14.940 Firefox monitor yakuletea uwezo huo ili 0:00:14.940,0:00:16.590 ufanye maamuzi yafaayo. 0:00:16.590,0:00:19.590 Tembelea monitor.firefox.com na uweke 0:00:19.590,0:00:21.750 anwani yako ya barua pepe. 0:00:21.750,0:00:24.250 Firefox monitor itakueleza pahali 0:00:24.250,0:00:26.470 akaunti zako zilizthiriwa. Hivyo hakikisha 0:00:26.470,0:00:28.720 umebadilisha nenosiri kila unaotumia. 0:00:28.720,0:00:31.960 Jiandikishe kwa Firefox monitor 0:00:31.960,0:00:34.300 leo na upokee habari za baadaye 0:00:34.300,0:00:36.800 ukiukaji hutokea kwa akaunti yako na 0:00:36.800,0:00:38.770 uwe na ujasiri kutumia mtandao.