Jambo! Jina langu ni Cindy. Leo nataka
kukuelezea kuhusu Firefox monitor.
Nirahisi kujihisi mnyonge
ukiskia kuhusu ukiukaji wa data na usijue
umeathiriwa binafsi.
Firefox monitor yakuletea uwezo huo ili
ufanye maamuzi yafaayo.
Tembelea monitor.firefox.com na uweke
anwani yako ya barua pepe.
Firefox monitor itakueleza pahali
akaunti zako zilizthiriwa. Hivyo hakikisha
umebadilisha nenosiri kila unaotumia.
Jiandikishe kwa Firefox monitor
leo na upokee habari za baadaye
ukiukaji hutokea kwa akaunti yako na
uwe na ujasiri kutumia mtandao.