WEBVTT 00:00:01.690 --> 00:00:04.700 Hii kura ya Britain kuuacha Umoja wa Uropa 00:00:04.700 --> 00:00:08.570 italeta madhara makuu tusioweza kutabiri. 00:00:08.570 --> 00:00:10.450 Kwengine twaweza, ila kwingi hatuwezi. 00:00:10.450 --> 00:00:14.190 Lakini kwa sasa ni vigumu kuona nchi hizi nyingi tofauti 00:00:14.190 --> 00:00:18.110 zikiwa na historia tofauti sana, zikiwemo historia za uadui kwa wenzio, 00:00:18.110 --> 00:00:21.490 ni vigumu sana kuziona zikiweza kuungana pamoja. 00:00:21.490 --> 00:00:24.750 Asili ya Umoja wa Uropa ni, bila shaka, Vita vya pili vya Ulimwengu- 00:00:24.750 --> 00:00:28.330 hili janga lisilo la kawaida- kizazi cha watu wa 00:00:28.330 --> 00:00:31.170 Uropa, waliosema, "Hatutafanya hivi tena!" 00:00:31.170 --> 00:00:34.020 Kulikuwa na kuelewana eti, ungalitaka kuweka amani, 00:00:34.020 --> 00:00:36.490 inabidi uwe na aina ya mfumo wa kiuchumi 00:00:36.490 --> 00:00:40.420 ambao husababishi chuki ama kusababisha ubinafsi. 00:00:40.420 --> 00:00:43.820 Watu wengi hawataelewa ama kujua eti dini ilikuwa hasa 00:00:43.820 --> 00:00:46.270 chembe muhimu sana katika uanzishwaji 00:00:46.270 --> 00:00:48.180 wa jamii ya Uvhumi Uropa. 00:00:48.180 --> 00:00:52.590 Bado kuna kipengele cha kidini kwa wingi wa mjadala katika Umoja wa Uropa. 00:00:52.590 --> 00:00:56.590 Katika mwanzo wa 2000, aliyekuwa Rais wa Tume ya Uropa, 00:00:56.590 --> 00:00:59.410 Romano Prodi, alinakiri kitabu. 00:00:59.410 --> 00:01:03.090 Kiliandikwa kwa Ki-Italia, lakini tafsiri ya mada ina maana, "Wazo la Uropa". 00:01:03.090 --> 00:01:07.000 Na akasema, "Nini chaweza shika hizi nchi nyingi tofauti? 00:01:07.000 --> 00:01:10.760 Haitoshi kwa wasomi kupendekeza muungano wa kisiasa. 00:01:10.760 --> 00:01:12.940 Lazima pawe na jambo la kitamaduni." 00:01:12.940 --> 00:01:16.280 Na akasema, "Lile jambo moja wa-Uropa wote hufanana, 00:01:16.280 --> 00:01:17.960 jambo moja la kutufunganisha pamoja 00:01:17.960 --> 00:01:19.860 ni uaminifu kwa Kanisa." 00:01:19.860 --> 00:01:21.740 Lakini alikuwa muItalia. Alimaanishaje? 00:01:21.740 --> 00:01:24.510 Alimaanisha, Kanisa la Kirumi Katoliki. 00:01:24.510 --> 00:01:29.290 Hio ndio hadithi ya watu wanaojaribu kufanya Uropa iwe chumba-umeme 00:01:29.290 --> 00:01:31.770 na bado kushindwa, tena na tena. 00:01:31.770 --> 00:01:36.790 Muwaze Napoleon: yote yalionekana timilifu, ila, mwongo tu, na ikashindwa. 00:01:36.790 --> 00:01:40.070 Muwaze Hitler: ikashindwa. 00:01:40.070 --> 00:01:47.520 Kama mwanaUropa, nilikua nikiuliza: "Uropa huingianaje na unabii wa Biblia?" 00:01:47.520 --> 00:01:51.520 Danieli sura 2: mfalme anaota ndoto - Nebuchardnezzar anaota - 00:01:51.520 --> 00:01:56.510 na kwa hiyo ndoto, anaona mchongo kubawa, mchongo wa kucutia. 00:01:56.510 --> 00:02:00.510 Vyuma tofauti vinatumika kuashiria falme tofauti. 00:02:00.510 --> 00:02:05.260 anatagulia kama kichwa, kichwa cha dhahabu Babylon, Medo-Persia, himaya ya Kiyunani 00:02:05.260 --> 00:02:08.710 na mwisho, nguvu ya himaya ya Kirumi, 00:02:08.710 --> 00:02:12.390 lakini kuna jambo lingine. Kuna vidole vya miguu, na miguu, 00:02:12.390 --> 00:02:16.300 iliyoundwa na mchanganyiko wa udongo na chuma. 00:02:16.300 --> 00:02:20.000 Na Danieli, kwa namna, asema, "Havitashikamana. 00:02:20.000 --> 00:02:25.490 Vingine vina nguvu, vingine ni dhaifu." Na hio inaonekana ndiyo hadithi ya Uropa. 00:02:25.490 --> 00:02:31.280 Haswa unapotizama matukio hivi karibuni- matukio Uyunani, Spain, Italia, Cyprus - 00:02:31.280 --> 00:02:36.270 ambapo msingi wa nchi za EU, nchi za kaskazini za EU, zinaonekana zikionea, 00:02:36.270 --> 00:02:40.060 jinsi ya kuingilia mwaswala ya watu, vilevile inabidi tuseme, 00:02:40.060 --> 00:02:44.970 aina zote za chuki za kikablia na kitaifa zilizoonekana kama ziliaga katika 00:02:44.970 --> 00:02:50.790 mabaki ya Vita vya pili vya Ulimwengu, na havijaonekana kwa miak 70, 00:02:50.790 --> 00:02:52.960 vinarejea kifulani kwa fujo na kimiujiza. 00:02:54.390 --> 00:02:57.730 Hivo, ukiwaza matatizo yote yaliyomo kwa Umoja wa Uropa, kwa moja ya 00:02:57.730 --> 00:03:01.730 zile tatu uchumi kuu, inayochangia zaidi kwa ulinzi wa kawaida na 00:03:01.730 --> 00:03:08.150 sera geni, kuondoka - hii italeta utupu pale katikati. 00:03:09.600 --> 00:03:12.110 Unabii sio tu 00:03:12.110 --> 00:03:16.550 jambo la kuvutia tusomalo, wajua, kwa vitabu historia, ama madarasa ya Biblia. 00:03:16.550 --> 00:03:20.500 Twawezapata mielekeo yetu, mwelekeo muu, picha kuu 00:03:20.500 --> 00:03:21.880 kutoka unabii. 00:03:21.880 --> 00:03:26.640 Maandiko yanatwambia hapatakuwa Uropa moja nyingine, 00:03:26.640 --> 00:03:29.170 Itakuwa dhaifu and yenye nguvu. Na tunaona hilo. 00:03:29.170 --> 00:03:33.760 Lakini hadithi haikomei pale. Danieli sura 2 haikomi na ule 00:03:33.760 --> 00:03:37.760 mchongo na miguu ulochanganyika chuma na udongo. 00:03:37.760 --> 00:03:44.330 Kuna mwamba: ni ndogo mwanzo, lakini lili jiwe linauvunja mchongo wote. 00:03:44.330 --> 00:03:48.540 Hilo jiwe ndogo linalokuwa jiwe kubwa, ni Yesu Kristo. 00:03:48.540 --> 00:03:51.190 Ufalme mpya. Ufalme wa Mungu.