1 00:00:01,690 --> 00:00:04,700 Hii kura ya Britain kuuacha Umoja wa Uropa 2 00:00:04,700 --> 00:00:08,570 italeta madhara makuu tusioweza kutabiri. 3 00:00:08,570 --> 00:00:10,450 Kwengine twaweza, ila kwingi hatuwezi. 4 00:00:10,450 --> 00:00:14,190 Lakini kwa sasa ni vigumu kuona nchi hizi nyingi tofauti 5 00:00:14,190 --> 00:00:18,110 zikiwa na historia tofauti sana, zikiwemo historia za uadui kwa wenzio, 6 00:00:18,110 --> 00:00:21,490 ni vigumu sana kuziona zikiweza kuungana pamoja. 7 00:00:21,490 --> 00:00:24,750 Asili ya Umoja wa Uropa ni, bila shaka, Vita vya pili vya Ulimwengu- 8 00:00:24,750 --> 00:00:28,330 hili janga lisilo la kawaida- kizazi cha watu wa 9 00:00:28,330 --> 00:00:31,170 Uropa, waliosema, "Hatutafanya hivi tena!" 10 00:00:31,170 --> 00:00:34,020 Kulikuwa na kuelewana eti, ungalitaka kuweka amani, 11 00:00:34,020 --> 00:00:36,490 inabidi uwe na aina ya mfumo wa kiuchumi 12 00:00:36,490 --> 00:00:40,420 ambao husababishi chuki ama kusababisha ubinafsi. 13 00:00:40,420 --> 00:00:43,820 Watu wengi hawataelewa ama kujua eti dini ilikuwa hasa 14 00:00:43,820 --> 00:00:46,270 chembe muhimu sana katika uanzishwaji 15 00:00:46,270 --> 00:00:48,180 wa jamii ya Uvhumi Uropa. 16 00:00:48,180 --> 00:00:52,590 Bado kuna kipengele cha kidini kwa wingi wa mjadala katika Umoja wa Uropa. 17 00:00:52,590 --> 00:00:56,590 Katika mwanzo wa 2000, aliyekuwa Rais wa Tume ya Uropa, 18 00:00:56,590 --> 00:00:59,410 Romano Prodi, alinakiri kitabu. 19 00:00:59,410 --> 00:01:03,090 Kiliandikwa kwa Ki-Italia, lakini tafsiri ya mada ina maana, "Wazo la Uropa". 20 00:01:03,090 --> 00:01:07,000 Na akasema, "Nini chaweza shika hizi nchi nyingi tofauti? 21 00:01:07,000 --> 00:01:10,760 Haitoshi kwa wasomi kupendekeza muungano wa kisiasa. 22 00:01:10,760 --> 00:01:12,940 Lazima pawe na jambo la kitamaduni." 23 00:01:12,940 --> 00:01:16,280 Na akasema, "Lile jambo moja wa-Uropa wote hufanana, 24 00:01:16,280 --> 00:01:17,960 jambo moja la kutufunganisha pamoja 25 00:01:17,960 --> 00:01:19,860 ni uaminifu kwa Kanisa." 26 00:01:19,860 --> 00:01:21,740 Lakini alikuwa muItalia. Alimaanishaje? 27 00:01:21,740 --> 00:01:24,510 Alimaanisha, Kanisa la Kirumi Katoliki. 28 00:01:24,510 --> 00:01:29,290 Hio ndio hadithi ya watu wanaojaribu kufanya Uropa iwe chumba-umeme 29 00:01:29,290 --> 00:01:31,770 na bado kushindwa, tena na tena. 30 00:01:31,770 --> 00:01:36,790 Muwaze Napoleon: yote yalionekana timilifu, ila, mwongo tu, na ikashindwa. 31 00:01:36,790 --> 00:01:40,070 Muwaze Hitler: ikashindwa. 32 00:01:40,070 --> 00:01:47,520 Kama mwanaUropa, nilikua nikiuliza: "Uropa huingianaje na unabii wa Biblia?" 33 00:01:47,520 --> 00:01:51,520 Danieli sura 2: mfalme anaota ndoto - Nebuchardnezzar anaota - 34 00:01:51,520 --> 00:01:56,510 na kwa hiyo ndoto, anaona mchongo kubawa, mchongo wa kucutia. 35 00:01:56,510 --> 00:02:00,510 Vyuma tofauti vinatumika kuashiria falme tofauti. 36 00:02:00,510 --> 00:02:05,260 anatagulia kama kichwa, kichwa cha dhahabu Babylon, Medo-Persia, himaya ya Kiyunani 37 00:02:05,260 --> 00:02:08,710 na mwisho, nguvu ya himaya ya Kirumi, 38 00:02:08,710 --> 00:02:12,390 lakini kuna jambo lingine. Kuna vidole vya miguu, na miguu, 39 00:02:12,390 --> 00:02:16,300 iliyoundwa na mchanganyiko wa udongo na chuma. 40 00:02:16,300 --> 00:02:20,000 Na Danieli, kwa namna, asema, "Havitashikamana. 41 00:02:20,000 --> 00:02:25,490 Vingine vina nguvu, vingine ni dhaifu." Na hio inaonekana ndiyo hadithi ya Uropa. 42 00:02:25,490 --> 00:02:31,280 Haswa unapotizama matukio hivi karibuni- matukio Uyunani, Spain, Italia, Cyprus - 43 00:02:31,280 --> 00:02:36,270 ambapo msingi wa nchi za EU, nchi za kaskazini za EU, zinaonekana zikionea, 44 00:02:36,270 --> 00:02:40,060 jinsi ya kuingilia mwaswala ya watu, vilevile inabidi tuseme, 45 00:02:40,060 --> 00:02:44,970 aina zote za chuki za kikablia na kitaifa zilizoonekana kama ziliaga katika 46 00:02:44,970 --> 00:02:50,790 mabaki ya Vita vya pili vya Ulimwengu, na havijaonekana kwa miak 70, 47 00:02:50,790 --> 00:02:52,960 vinarejea kifulani kwa fujo na kimiujiza. 48 00:02:54,390 --> 00:02:57,730 Hivo, ukiwaza matatizo yote yaliyomo kwa Umoja wa Uropa, kwa moja ya 49 00:02:57,730 --> 00:03:01,730 zile tatu uchumi kuu, inayochangia zaidi kwa ulinzi wa kawaida na 50 00:03:01,730 --> 00:03:08,150 sera geni, kuondoka - hii italeta utupu pale katikati. 51 00:03:09,600 --> 00:03:12,110 Unabii sio tu 52 00:03:12,110 --> 00:03:16,550 jambo la kuvutia tusomalo, wajua, kwa vitabu historia, ama madarasa ya Biblia. 53 00:03:16,550 --> 00:03:20,500 Twawezapata mielekeo yetu, mwelekeo muu, picha kuu 54 00:03:20,500 --> 00:03:21,880 kutoka unabii. 55 00:03:21,880 --> 00:03:26,640 Maandiko yanatwambia hapatakuwa Uropa moja nyingine, 56 00:03:26,640 --> 00:03:29,170 Itakuwa dhaifu and yenye nguvu. Na tunaona hilo. 57 00:03:29,170 --> 00:03:33,760 Lakini hadithi haikomei pale. Danieli sura 2 haikomi na ule 58 00:03:33,760 --> 00:03:37,760 mchongo na miguu ulochanganyika chuma na udongo. 59 00:03:37,760 --> 00:03:44,330 Kuna mwamba: ni ndogo mwanzo, lakini lili jiwe linauvunja mchongo wote. 60 00:03:44,330 --> 00:03:48,540 Hilo jiwe ndogo linalokuwa jiwe kubwa, ni Yesu Kristo. 61 00:03:48,540 --> 00:03:51,190 Ufalme mpya. Ufalme wa Mungu.