Hii kura ya Britain kuuacha Umoja wa Uropa
italeta madhara makuu tusioweza kutabiri.
Kwengine twaweza, ila kwingi hatuwezi.
Lakini kwa sasa ni vigumu kuona nchi hizi
nyingi tofauti
zikiwa na historia tofauti sana, zikiwemo
historia za uadui kwa wenzio,
ni vigumu sana kuziona zikiweza
kuungana pamoja.
Asili ya Umoja wa Uropa ni, bila shaka,
Vita vya pili vya Ulimwengu-
hili janga lisilo la kawaida-
kizazi cha watu wa
Uropa, waliosema,
"Hatutafanya hivi tena!"
Kulikuwa na kuelewana eti,
ungalitaka kuweka amani,
inabidi uwe na aina ya
mfumo wa kiuchumi
ambao husababishi chuki
ama kusababisha ubinafsi.
Watu wengi hawataelewa ama kujua
eti dini ilikuwa hasa
chembe muhimu sana katika
uanzishwaji
wa jamii ya Uvhumi Uropa.
Bado kuna kipengele cha kidini kwa wingi
wa mjadala katika Umoja wa Uropa.
Katika mwanzo wa 2000, aliyekuwa Rais
wa Tume ya Uropa,
Romano Prodi, alinakiri kitabu.
Kiliandikwa kwa Ki-Italia, lakini tafsiri
ya mada ina maana, "Wazo la Uropa".
Na akasema, "Nini chaweza shika hizi
nchi nyingi tofauti?
Haitoshi kwa wasomi kupendekeza
muungano wa kisiasa.
Lazima pawe na jambo la kitamaduni."
Na akasema, "Lile jambo moja wa-Uropa
wote hufanana,
jambo moja la kutufunganisha pamoja
ni uaminifu kwa Kanisa."
Lakini alikuwa muItalia.
Alimaanishaje?
Alimaanisha, Kanisa la Kirumi Katoliki.
Hio ndio hadithi ya watu wanaojaribu
kufanya Uropa iwe chumba-umeme
na bado kushindwa, tena na tena.
Muwaze Napoleon: yote yalionekana
timilifu, ila, mwongo tu, na ikashindwa.
Muwaze Hitler: ikashindwa.
Kama mwanaUropa, nilikua nikiuliza:
"Uropa huingianaje na unabii wa Biblia?"
Danieli sura 2: mfalme anaota ndoto -
Nebuchardnezzar anaota -
na kwa hiyo ndoto, anaona mchongo kubawa,
mchongo wa kucutia.
Vyuma tofauti vinatumika kuashiria
falme tofauti.
anatagulia kama kichwa, kichwa cha dhahabu
Babylon, Medo-Persia, himaya ya Kiyunani
na mwisho, nguvu ya himaya
ya Kirumi,
lakini kuna jambo lingine.
Kuna vidole vya miguu, na miguu,
iliyoundwa na mchanganyiko wa udongo na
chuma.
Na Danieli, kwa namna, asema,
"Havitashikamana.
Vingine vina nguvu, vingine ni dhaifu."
Na hio inaonekana ndiyo hadithi ya Uropa.
Haswa unapotizama matukio hivi karibuni-
matukio Uyunani, Spain, Italia, Cyprus -
ambapo msingi wa nchi za EU, nchi za
kaskazini za EU, zinaonekana zikionea,
jinsi ya kuingilia mwaswala ya watu,
vilevile inabidi tuseme,
aina zote za chuki za kikablia na kitaifa
zilizoonekana kama ziliaga katika
mabaki ya Vita vya pili vya Ulimwengu, na
havijaonekana kwa miak 70,
vinarejea kifulani kwa fujo na kimiujiza.
Hivo, ukiwaza matatizo yote yaliyomo
kwa Umoja wa Uropa, kwa moja ya
zile tatu uchumi kuu, inayochangia zaidi
kwa ulinzi wa kawaida na
sera geni, kuondoka - hii italeta
utupu pale katikati.
Unabii sio tu
jambo la kuvutia tusomalo, wajua, kwa
vitabu historia, ama madarasa ya Biblia.
Twawezapata mielekeo yetu, mwelekeo muu,
picha kuu
kutoka unabii.
Maandiko yanatwambia hapatakuwa
Uropa moja nyingine,
Itakuwa dhaifu and yenye nguvu.
Na tunaona hilo.
Lakini hadithi haikomei pale.
Danieli sura 2 haikomi na ule
mchongo na miguu
ulochanganyika chuma na udongo.
Kuna mwamba: ni ndogo mwanzo,
lakini lili jiwe linauvunja mchongo wote.
Hilo jiwe ndogo linalokuwa jiwe kubwa,
ni Yesu Kristo.
Ufalme mpya. Ufalme wa Mungu.