Hii kura ya Britain kuuacha Umoja wa Uropa italeta madhara makuu tusioweza kutabiri. Kwengine twaweza, ila kwingi hatuwezi. Lakini kwa sasa ni vigumu kuona nchi hizi nyingi tofauti zikiwa na historia tofauti sana, zikiwemo historia za uadui kwa wenzio, ni vigumu sana kuziona zikiweza kuungana pamoja. Asili ya Umoja wa Uropa ni, bila shaka, Vita vya pili vya Ulimwengu- hili janga lisilo la kawaida- kizazi cha watu wa Uropa, waliosema, "Hatutafanya hivi tena!" Kulikuwa na kuelewana eti, ungalitaka kuweka amani, inabidi uwe na aina ya mfumo wa kiuchumi ambao husababishi chuki ama kusababisha ubinafsi. Watu wengi hawataelewa ama kujua eti dini ilikuwa hasa chembe muhimu sana katika uanzishwaji wa jamii ya Uvhumi Uropa. Bado kuna kipengele cha kidini kwa wingi wa mjadala katika Umoja wa Uropa. Katika mwanzo wa 2000, aliyekuwa Rais wa Tume ya Uropa, Romano Prodi, alinakiri kitabu. Kiliandikwa kwa Ki-Italia, lakini tafsiri ya mada ina maana, "Wazo la Uropa". Na akasema, "Nini chaweza shika hizi nchi nyingi tofauti? Haitoshi kwa wasomi kupendekeza muungano wa kisiasa. Lazima pawe na jambo la kitamaduni." Na akasema, "Lile jambo moja wa-Uropa wote hufanana, jambo moja la kutufunganisha pamoja ni uaminifu kwa Kanisa." Lakini alikuwa muItalia. Alimaanishaje? Alimaanisha, Kanisa la Kirumi Katoliki. Hio ndio hadithi ya watu wanaojaribu kufanya Uropa iwe chumba-umeme na bado kushindwa, tena na tena. Muwaze Napoleon: yote yalionekana timilifu, ila, mwongo tu, na ikashindwa. Muwaze Hitler: ikashindwa. Kama mwanaUropa, nilikua nikiuliza: "Uropa huingianaje na unabii wa Biblia?" Danieli sura 2: mfalme anaota ndoto - Nebuchardnezzar anaota - na kwa hiyo ndoto, anaona mchongo kubawa, mchongo wa kucutia. Vyuma tofauti vinatumika kuashiria falme tofauti. anatagulia kama kichwa, kichwa cha dhahabu Babylon, Medo-Persia, himaya ya Kiyunani na mwisho, nguvu ya himaya ya Kirumi, lakini kuna jambo lingine. Kuna vidole vya miguu, na miguu, iliyoundwa na mchanganyiko wa udongo na chuma. Na Danieli, kwa namna, asema, "Havitashikamana.