[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.69,0:00:04.70,Default,,0000,0000,0000,,Hii kura ya Britain kuuacha Umoja wa Uropa Dialogue: 0,0:00:04.70,0:00:08.57,Default,,0000,0000,0000,,italeta madhara makuu tusioweza kutabiri. Dialogue: 0,0:00:08.57,0:00:10.45,Default,,0000,0000,0000,,Kwengine twaweza, ila kwingi hatuwezi. Dialogue: 0,0:00:10.45,0:00:14.19,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa sasa ni vigumu kuona nchi hizi \Nnyingi tofauti Dialogue: 0,0:00:14.19,0:00:18.11,Default,,0000,0000,0000,,zikiwa na historia tofauti sana, zikiwemo \Nhistoria za uadui kwa wenzio, Dialogue: 0,0:00:18.11,0:00:21.49,Default,,0000,0000,0000,,ni vigumu sana kuziona zikiweza \Nkuungana pamoja. Dialogue: 0,0:00:21.49,0:00:24.75,Default,,0000,0000,0000,,Asili ya Umoja wa Uropa ni, bila shaka,\NVita vya pili vya Ulimwengu- Dialogue: 0,0:00:24.75,0:00:28.33,Default,,0000,0000,0000,,hili janga lisilo la kawaida-\Nkizazi cha watu wa Dialogue: 0,0:00:28.33,0:00:31.17,Default,,0000,0000,0000,,Uropa, waliosema,\N"Hatutafanya hivi tena!" Dialogue: 0,0:00:31.17,0:00:34.02,Default,,0000,0000,0000,,Kulikuwa na kuelewana eti,\Nungalitaka kuweka amani, Dialogue: 0,0:00:34.02,0:00:36.49,Default,,0000,0000,0000,,inabidi uwe na aina ya \Nmfumo wa kiuchumi Dialogue: 0,0:00:36.49,0:00:40.42,Default,,0000,0000,0000,,ambao husababishi chuki\Nama kusababisha ubinafsi. Dialogue: 0,0:00:40.42,0:00:43.82,Default,,0000,0000,0000,,Watu wengi hawataelewa ama kujua\Neti dini ilikuwa hasa Dialogue: 0,0:00:43.82,0:00:46.27,Default,,0000,0000,0000,,chembe muhimu sana katika\Nuanzishwaji Dialogue: 0,0:00:46.27,0:00:48.18,Default,,0000,0000,0000,,wa jamii ya Uvhumi Uropa. Dialogue: 0,0:00:48.18,0:00:52.59,Default,,0000,0000,0000,,Bado kuna kipengele cha kidini kwa wingi\Nwa mjadala katika Umoja wa Uropa. Dialogue: 0,0:00:52.59,0:00:56.59,Default,,0000,0000,0000,,Katika mwanzo wa 2000, aliyekuwa Rais\Nwa Tume ya Uropa, Dialogue: 0,0:00:56.59,0:00:59.41,Default,,0000,0000,0000,,Romano Prodi, alinakiri kitabu. Dialogue: 0,0:00:59.41,0:01:03.09,Default,,0000,0000,0000,,Kiliandikwa kwa Ki-Italia, lakini tafsiri \Nya mada ina maana, "Wazo la Uropa". Dialogue: 0,0:01:03.09,0:01:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Na akasema, "Nini chaweza shika hizi\Nnchi nyingi tofauti? Dialogue: 0,0:01:07.00,0:01:10.76,Default,,0000,0000,0000,,Haitoshi kwa wasomi kupendekeza\Nmuungano wa kisiasa. Dialogue: 0,0:01:10.76,0:01:12.94,Default,,0000,0000,0000,,Lazima pawe na jambo la kitamaduni." Dialogue: 0,0:01:12.94,0:01:16.28,Default,,0000,0000,0000,,Na akasema, "Lile jambo moja wa-Uropa\Nwote hufanana, Dialogue: 0,0:01:16.28,0:01:17.96,Default,,0000,0000,0000,,jambo moja la kutufunganisha pamoja Dialogue: 0,0:01:17.96,0:01:19.86,Default,,0000,0000,0000,,ni uaminifu kwa Kanisa." Dialogue: 0,0:01:19.86,0:01:21.74,Default,,0000,0000,0000,,Lakini alikuwa muItalia.\NAlimaanishaje? Dialogue: 0,0:01:21.74,0:01:24.51,Default,,0000,0000,0000,,Alimaanisha, Kanisa la Kirumi Katoliki. Dialogue: 0,0:01:24.51,0:01:29.29,Default,,0000,0000,0000,,Hio ndio hadithi ya watu wanaojaribu\Nkufanya Uropa iwe chumba-umeme Dialogue: 0,0:01:29.29,0:01:31.77,Default,,0000,0000,0000,,na bado kushindwa, tena na tena. Dialogue: 0,0:01:31.77,0:01:36.79,Default,,0000,0000,0000,,Muwaze Napoleon: yote yalionekana\Ntimilifu, ila, mwongo tu, na ikashindwa. Dialogue: 0,0:01:36.79,0:01:40.07,Default,,0000,0000,0000,,Muwaze Hitler: ikashindwa. Dialogue: 0,0:01:40.07,0:01:47.52,Default,,0000,0000,0000,,Kama mwanaUropa, nilikua nikiuliza:\N"Uropa huingianaje na unabii wa Biblia?" Dialogue: 0,0:01:47.52,0:01:51.52,Default,,0000,0000,0000,,Danieli sura 2: mfalme anaota ndoto -\NNebuchardnezzar anaota - Dialogue: 0,0:01:51.52,0:01:56.51,Default,,0000,0000,0000,,na kwa hiyo ndoto, anaona mchongo kubawa,\Nmchongo wa kucutia. Dialogue: 0,0:01:56.51,0:02:00.51,Default,,0000,0000,0000,,Vyuma tofauti vinatumika kuashiria\Nfalme tofauti. Dialogue: 0,0:02:00.51,0:02:05.26,Default,,0000,0000,0000,,anatagulia kama kichwa, kichwa cha dhahabu\NBabylon, Medo-Persia, himaya ya Kiyunani Dialogue: 0,0:02:05.26,0:02:08.71,Default,,0000,0000,0000,,na mwisho, nguvu ya himaya\Nya Kirumi, Dialogue: 0,0:02:08.71,0:02:12.39,Default,,0000,0000,0000,,lakini kuna jambo lingine.\NKuna vidole vya miguu, na miguu, Dialogue: 0,0:02:12.39,0:02:16.30,Default,,0000,0000,0000,,iliyoundwa na mchanganyiko wa udongo na\Nchuma. Dialogue: 0,0:02:16.30,0:02:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Na Danieli, kwa namna, asema,\N"Havitashikamana. Dialogue: 0,0:02:20.00,0:02:25.49,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:25.49,0:02:31.28,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:31.28,0:02:36.27,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:36.27,0:02:40.06,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:40.06,0:02:44.97,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:44.97,0:02:50.79,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:50.79,0:02:52.96,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:54.39,0:02:57.73,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:57.73,0:03:01.73,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:01.73,0:03:07.04,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:09.60,0:03:12.11,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:12.11,0:03:16.55,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:16.55,0:03:20.50,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:20.50,0:03:21.88,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:21.88,0:03:26.64,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:26.64,0:03:29.17,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:29.17,0:03:33.76,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:33.76,0:03:37.76,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:37.76,0:03:44.33,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:44.33,0:03:48.33,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:48.53,0:03:51.19,Default,,0000,0000,0000,,