0:00:01.690,0:00:04.700 Hii kura ya Britain kuuacha Umoja wa Uropa 0:00:04.700,0:00:08.570 italeta madhara makuu tusioweza kutabiri. 0:00:08.570,0:00:10.450 Kwengine twaweza, ila kwingi hatuwezi. 0:00:10.450,0:00:14.190 Lakini kwa sasa ni vigumu kuona nchi hizi [br]nyingi tofauti 0:00:14.190,0:00:18.110 zikiwa na historia tofauti sana, zikiwemo [br]historia za uadui kwa wenzio, 0:00:18.110,0:00:21.490 ni vigumu sana kuziona zikiweza [br]kuungana pamoja. 0:00:21.490,0:00:24.750 Asili ya Umoja wa Uropa ni, bila shaka,[br]Vita vya pili vya Ulimwengu- 0:00:24.750,0:00:28.330 hili janga lisilo la kawaida-[br]kizazi cha watu wa 0:00:28.330,0:00:31.170 Uropa, waliosema,[br]"Hatutafanya hivi tena!" 0:00:31.170,0:00:34.020 Kulikuwa na kuelewana eti,[br]ungalitaka kuweka amani, 0:00:34.020,0:00:36.490 inabidi uwe na aina ya [br]mfumo wa kiuchumi 0:00:36.490,0:00:40.420 ambao husababishi chuki[br]ama kusababisha ubinafsi. 0:00:40.420,0:00:43.820 Watu wengi hawataelewa ama kujua[br]eti dini ilikuwa hasa 0:00:43.820,0:00:46.270 chembe muhimu sana katika[br]uanzishwaji 0:00:46.270,0:00:48.180 wa jamii ya Uvhumi Uropa. 0:00:48.180,0:00:52.590 Bado kuna kipengele cha kidini kwa wingi[br]wa mjadala katika Umoja wa Uropa. 0:00:52.590,0:00:56.590 Katika mwanzo wa 2000, aliyekuwa Rais[br]wa Tume ya Uropa, 0:00:56.590,0:00:59.410 Romano Prodi, alinakiri kitabu. 0:00:59.410,0:01:03.090 Kiliandikwa kwa Ki-Italia, lakini tafsiri [br]ya mada ina maana, "Wazo la Uropa". 0:01:03.090,0:01:07.000 Na akasema, "Nini chaweza shika hizi[br]nchi nyingi tofauti? 0:01:07.000,0:01:10.760 Haitoshi kwa wasomi kupendekeza[br]muungano wa kisiasa. 0:01:10.760,0:01:12.940 Lazima pawe na jambo la kitamaduni." 0:01:12.940,0:01:16.280 Na akasema, "Lile jambo moja wa-Uropa[br]wote hufanana, 0:01:16.280,0:01:17.960 jambo moja la kutufunganisha pamoja 0:01:17.960,0:01:19.860 ni uaminifu kwa Kanisa." 0:01:19.860,0:01:21.740 Lakini alikuwa muItalia.[br]Alimaanishaje? 0:01:21.740,0:01:24.510 Alimaanisha, Kanisa la Kirumi Katoliki. 0:01:24.510,0:01:29.290 Hio ndio hadithi ya watu wanaojaribu[br]kufanya Uropa iwe chumba-umeme 0:01:29.290,0:01:31.770 na bado kushindwa, tena na tena. 0:01:31.770,0:01:36.790 Muwaze Napoleon: yote yalionekana[br]timilifu, ila, mwongo tu, na ikashindwa. 0:01:36.790,0:01:40.070 Muwaze Hitler: ikashindwa. 0:01:40.070,0:01:47.520 Kama mwanaUropa, nilikua nikiuliza:[br]"Uropa huingianaje na unabii wa Biblia?" 0:01:47.520,0:01:51.520 Danieli sura 2: mfalme anaota ndoto -[br]Nebuchardnezzar anaota - 0:01:51.520,0:01:56.510 na kwa hiyo ndoto, anaona mchongo kubawa,[br]mchongo wa kucutia. 0:01:56.510,0:02:00.510 Vyuma tofauti vinatumika kuashiria[br]falme tofauti. 0:02:00.510,0:02:05.260 anatagulia kama kichwa, kichwa cha dhahabu[br]Babylon, Medo-Persia, himaya ya Kiyunani 0:02:05.260,0:02:08.710 na mwisho, nguvu ya himaya[br]ya Kirumi, 0:02:08.710,0:02:12.390 lakini kuna jambo lingine.[br]Kuna vidole vya miguu, na miguu, 0:02:12.390,0:02:16.300 iliyoundwa na mchanganyiko wa udongo na[br]chuma. 0:02:16.300,0:02:20.000 Na Danieli, kwa namna, asema,[br]"Havitashikamana. 0:02:20.000,0:02:25.490 0:02:25.490,0:02:31.280 0:02:31.280,0:02:36.270 0:02:36.270,0:02:40.060 0:02:40.060,0:02:44.970 0:02:44.970,0:02:50.790 0:02:50.790,0:02:52.960 0:02:54.390,0:02:57.730 0:02:57.730,0:03:01.730 0:03:01.730,0:03:07.040 0:03:09.600,0:03:12.110 0:03:12.110,0:03:16.550 0:03:16.550,0:03:20.500 0:03:20.500,0:03:21.880 0:03:21.880,0:03:26.640 0:03:26.640,0:03:29.170 0:03:29.170,0:03:33.760 0:03:33.760,0:03:37.760 0:03:37.760,0:03:44.330 0:03:44.330,0:03:48.330 0:03:48.530,0:03:51.190