Hii kura ya Britain kuuacha Umoja wa Uropa italeta madhara makuu tusioweza kutabiri. Kwengine twaweza, ila kwingi hatuwezi. Lakini kwa sasa ni vigumu kuona nchi hizi nyingi tofauti zikiwa na historia tofauti sana, zikiwemo historia za uadui kwa wenzio, ni vigumu sana kuziona zikiweza kuungana pamoja. Asili ya Umoja wa Uropa ni, bila shaka, Vita vya pili vya Ulimwengu- hili janga lisilo la kawaida- kizazi cha watu wa Uropa, waliosema, "Hatutafanya hivi tena!" Kulikuwa na kuelewana eti, ungalitaka kuweka amani, inabidi uwe na aina ya mfumo wa kiuchumi ambao husababishi chuki ama kusababisha ubinafsi. Watu wengi hawataelewa ama kujua eti dini ilikuwa hasa chembe muhimu sana katika uanzishwaji wa jamii ya Uvhumi Uropa. Bado kuna kipengele cha kidini kwa wingi wa mjadala katika Umoja wa Uropa. Katika mwanzo wa 2000, aliyekuwa Rais wa Tume ya Uropa,