1 00:00:00,030 --> 00:00:02,370 Firefox inakuruhusu kupiga, kuhifadhi 2 00:00:02,370 --> 00:00:04,440 na kushirikishana screenshots 3 00:00:04,450 --> 00:00:06,830 bila kutoka kwenye Firefox 4 00:00:06,840 --> 00:00:08,960 Bonyeza na vuta kipande cha kurasa 5 00:00:09,080 --> 00:00:10,420 au pitisha kwa juu 6 00:00:10,420 --> 00:00:12,829 kujua ni wapi unataka kupiga screenshot 7 00:00:12,829 --> 00:00:14,450 Hifadhi screenshots zako kwenye mtandao 8 00:00:14,450 --> 00:00:15,849 ili kuwashirikisha watu kirahisi 9 00:00:15,849 --> 00:00:17,770 wakati huo URL inajidurufu yenyewe 10 00:00:17,770 --> 00:00:18,877 kwenye kifaa chako. 11 00:00:18,877 --> 00:00:20,814 Au, unaweza kuzipakua 12 00:00:20,814 --> 00:00:22,234 kwenye kompyuta yako. 13 00:00:22,510 --> 00:00:25,240 Unaweza kubonyeza "Picha zangu" 14 00:00:25,251 --> 00:00:27,131 ili kupata picha ulizochukua. 15 00:00:27,361 --> 00:00:28,901 Ni hilo tu, 16 00:00:28,961 --> 00:00:31,311 endelea kupiga screenshots 17 00:00:31,311 --> 00:00:32,851 (Muziki)