Firefox inakuruhusu kupiga, kuhifadhi
na kushirikishana screenshots
bila kutoka kwenye Firefox
Bonyeza na vuta kipande cha kurasa
au pitisha kwa juu
kujua ni wapi unataka kupiga screenshot
Hifadhi screenshots zako kwenye mtandao
ili kuwashirikisha watu kirahisi
wakati huo URL inajidurufu yenyewe
kwenye kifaa chako.
Au, unaweza kuzipakua
kwenye kompyuta yako.
Unaweza kubonyeza "Picha zangu"
ili kupata picha ulizochukua.
Ni hilo tu,
endelea kupiga screenshots
(Muziki)