WEBVTT 00:00:01.260 --> 00:00:02.909 - Kama bado unasumbukana na kibali, 00:00:02.930 --> 00:00:05.240 fikiria tu badala ya kuanzisha ngono, 00:00:05.269 --> 00:00:07.044 unawatengezea kikombe cha chai. 00:00:07.463 --> 00:00:09.359 Unasema: "Hey, ungependa kikombe cha chai?" 00:00:09.402 --> 00:00:12.084 Na wataenda: "Oh Mungu Wangu, ndio! 00:00:12.084 --> 00:00:14.886 "Ningependa sana kikombe cha chai! Ahsante!" 00:00:15.597 --> 00:00:17.938 Kisha unajua wanataka kikombe cha chai. 00:00:18.186 --> 00:00:20.736 Ukisema, "Ungependa kikombe cha chai?" 00:00:20.736 --> 00:00:24.185 Na wako kama:"Sina uhakika kikamilifu." 00:00:24.185 --> 00:00:25.835 Basi unaeza watengezea kikombe cha chai, 00:00:25.865 --> 00:00:27.525 ama la, lakini uwe mwangalifu; 00:00:27.525 --> 00:00:29.066 wanaeza kosa kuikunywa. 00:00:29.076 --> 00:00:31.348 Na wasipoinywa, basi - 00:00:31.348 --> 00:00:33.289 - na hapa ndipo pahali muhimu - 00:00:33.289 --> 00:00:35.682 - usiwalazimishe kunywa. 00:00:35.682 --> 00:00:37.586 Kwa sababu wewe ndio uliyeitengeneza haimaanishi 00:00:37.586 --> 00:00:39.112 uko na haki ya kuwaona wakiinywa. 00:00:39.732 --> 00:00:41.669 Na wakisema, "Hapana, ahsante." 00:00:41.669 --> 00:00:44.605 basi usiwatengezee chai, kabsaa. 00:00:44.605 --> 00:00:46.537 Usiwategenzee chai. 00:00:46.537 --> 00:00:47.723 Usiwafanye wakunywe chai, 00:00:47.723 --> 00:00:48.709 usiwakasirikie 00:00:48.709 --> 00:00:50.279 kwa kukataa kutaka chai 00:00:50.279 --> 00:00:52.915 hawataki chai tu, sawa? 00:00:52.915 --> 00:00:55.452 Wanaeza sema: "Ndio, tafadhali, 00:00:55.452 --> 00:00:56.791 "Huu ndi ukarimu wako" 00:00:56.791 --> 00:00:58.406 Na alafu chai itakapo wasili, 00:00:58.406 --> 00:01:00.244 hawataki chai kabsaa. 00:01:00.244 --> 00:01:01.986 Kwa ukweli iyo inaudhi kwa sababu umejitolea 00:01:01.986 --> 00:01:04.423 nguvu ya kutengeneza chai, 00:01:04.423 --> 00:01:07.763 lakini hawako katika wajibu ya kukunywa chai. 00:01:08.413 --> 00:01:10.424 Walitaka chai, sahii hawataki. 00:01:10.424 --> 00:01:11.988 Watu wengine hubadilisha mawazo katika ule muda 00:01:11.988 --> 00:01:14.191 inachukua birika, kuandaa chai 00:01:14.191 --> 00:01:15.333 na kuongeza maziwa. 00:01:15.333 --> 00:01:17.510 na ni sawa kwa watu kubadilisha mawazo. 00:01:17.510 --> 00:01:19.449 Na bado huna haki ya kuwaona 00:01:19.449 --> 00:01:20.859 wakiinywa. 00:01:20.859 --> 00:01:23.663 And kama hawana fahamu, usiwatengezee kahawa. 00:01:23.663 --> 00:01:25.848 Watu hawana fahamu hawataki chai, na 00:01:25.848 --> 00:01:28.622 hawawezi jibu hilo swali, "Unataka chai?" 00:01:28.622 --> 00:01:31.097 kwa sababu hawana famahu. 00:01:31.097 --> 00:01:33.049 Sawa, labda walikuwa na fahamu wakati uliwauliza 00:01:33.049 --> 00:01:34.725 kama wanataka chai, na 00:01:34.725 --> 00:01:36.697 wakasema ndio, lakini katika wakati uliokuchukua 00:01:36.697 --> 00:01:38.051 kuchemsha birika, kuandaa hio chai na 00:01:38.051 --> 00:01:40.964 uongeza maziwa , hawana fahamu sahi. 00:01:40.964 --> 00:01:42.673 Unafaa kueka chai chini, 00:01:42.673 --> 00:01:45.166 hakikisha huyu 00:01:45.166 --> 00:01:47.280 Na hii ndio sehemu muhimu tena 00:01:47.280 --> 00:01:49.946 Usiwalazimishe wanywe kahawa! 00:01:49.946 --> 00:01:53.314 Walisema ndio angali, lakini watu wasio timamu 00:01:53.314 --> 00:01:55.451 hawataki chai. 00:01:55.451 --> 00:01:57.728 Kama mtu alisema ndio atakunywa chai, akanza 00:01:57.728 --> 00:01:59.002 kuinywa alafu akazimia 00:01:59.002 --> 00:02:00.964 kabla wamalize kuinywa, usiendelee 00:02:00.964 --> 00:02:02.955 kumwaga ndani mwa kinywa zao 00:02:02.955 --> 00:02:05.357 Peleka chai mbali, na uhakikishe ako salama. 00:02:05.357 --> 00:02:09.990 Kwa sababu watu wasio fahamu hawataki chai, nimamini. 00:02:10.440 --> 00:02:11.720 Kama kuna mtu alisema ndio kwa chai karibu na 00:02:11.720 --> 00:02:14.189 nyumba yako siku ya Juma Mosi, hio haimaanishi wanakutaka 00:02:14.189 --> 00:02:16.439 uwatengenezee chai kila wakati. 00:02:16.439 --> 00:02:17.399 Hawataki uje karibu na 00:02:17.399 --> 00:02:19.486 kwao bila kutarajiwa na uwatengezee chai, 00:02:19.486 --> 00:02:21.002 uwalazimishe kuinywa, ukisema: 00:02:21.002 --> 00:02:22.852 "Lakini ulisema unahitaji chai wiki iliopita." 00:02:22.852 --> 00:02:24.715 Ama waamke wapatae unawamwagia 00:02:24.715 --> 00:02:25.717 chai chini mwa vinywa vyao, ukisema: 00:02:25.717 --> 00:02:28.183 "Lakini ulisema unahitaji chai jana usiku." 00:02:28.183 --> 00:02:29.377 Kama unaeza elewa kabsaa namna ya 00:02:29.377 --> 00:02:31.180 upuzi kulazimisha watu kuchukua 00:02:31.180 --> 00:02:32.714 chai wakati hawataki kunywa chai, na 00:02:32.714 --> 00:02:34.347 unaweza kuelewa wakati watu 00:02:34.347 --> 00:02:37.206 hawataki chai, basi je, ni ugumu upi upo 00:02:37.206 --> 00:02:39.081 kuelewa inapokuja kwa ngono? 00:02:39.343 --> 00:02:41.402 Iwapo ni chai ama ngono, 00:02:42.004 --> 00:02:43.821 kibali ni kila kitu. 00:02:43.831 --> 00:02:45.831 Na juu ya huo wajibu, ninaenda 00:02:45.831 --> 00:02:48.462 kujitengezea kikombe cha chai.