WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:03.080 Kama vile nguvu za mungu zilivyopenya mwilini mwangu, nilihisi kuwa mwepesi, 00:00:03.080 --> 00:00:06.960 Tangu siku hiyo, nimeweza kulala bila kumeza dawa yoyote 00:00:06.960 --> 00:00:09.360 Mapigo ya moyo yameisha! 00:00:10.720 --> 00:00:16.880 Natangaza uponyaji sasa hivi! 00:00:16.880 --> 00:00:24.120 Ukarejeshwe katika jina la Yesu! Ukafufuliwe katika jina Yesu kristo! 00:00:24.120 --> 00:00:29.720 Chochote ambacho giza imeingiza mwilini mwako 00:00:29.720 --> 00:00:38.600 inayoleta machungu, mateso, upungufu wa nguvu - nasema ukatolewe nje sasa hivi! 00:00:38.600 --> 00:00:42.280 Anza kukemea hayo magonjwa mwilini mwako. 00:00:42.280 --> 00:00:45.480 Kemea hayo mateso ndani ya viungo vywa mwili wako. 00:00:45.480 --> 00:00:48.920 Kemea Ugonjwa huo mwilini mwako 00:00:48.920 --> 00:00:55.280 Kemea ugonjwa huo katika jina la Yesu Kristo! 00:00:57.000 --> 00:00:58.800 tafadhali, jitambulishe, 00:00:58.800 --> 00:01:01.920 Majina yako na Nchi unayotokea 00:01:01.920 --> 00:01:05.360 na pia wale wanaoketi pamoja nawe. 00:01:05.360 --> 00:01:09.440 majina yangu ni Emily; natoka Uingereza 00:01:09.440 --> 00:01:13.080 anayeketi kando yangu ni mume na mtoto wangu. 00:01:13.080 --> 00:01:20.000 nilikuwa na shida ya kupumua - hivi kwamba, kuwa na shida ya kulala. 00:01:20.000 --> 00:01:26.800 nilikuwa na shida ya mapigo ya moyo, machungu, roho ya uoga na wasiwasi. 00:01:26.800 --> 00:01:34.600 ilianza Mei 2023, baada tu ya kujifungua mtoto. 00:01:34.600 --> 00:01:39.120 kilichofanyika kwanza ni kuwa nilikuwa na wasiwasi na uoga, 00:01:39.120 --> 00:01:42.960 halafu ikafuatia mapigo uchungu ya moyo. 00:01:42.960 --> 00:01:45.320 Niliambiwa niende Hospitalini 00:01:45.320 --> 00:01:48.680 na Hospitalini hawakuweza kupata shida yoyote kwangu 00:01:48.680 --> 00:01:52.120 nilirudi nyumbani halafu tena niliredi tena 00:01:52.120 --> 00:01:58.480 niliporujdi, walipata kwamba moyo wangu ulipiga kwa haraka sana kuliko kawaida. 00:01:58.480 --> 00:02:04.440 nikawaeleza kuwa kwa mda wa siku tano sijaweza kupata lepe la usingizi 00:02:04.440 --> 00:02:08.520 Kila siku sikuweza kulala vizuri, ningeenda kitandani na kukosa kulala kabisa. 00:02:08.520 --> 00:02:13.720 walinipa madawa ya kuniwezesha kulala 00:02:13.720 --> 00:02:19.440 hayo ndio madawa niliyopewa 00:02:19.440 --> 00:02:25.520 nilianza kumeza madawa hayo ndipo niweze kulala lakini hayakufanya kazi 00:02:25.520 --> 00:02:33.480 niliendelea kumeza lakini shida ikaongezeka kuwa mbaya hata zaidi. 00:02:33.480 --> 00:02:39.720 halafu nikaambiwa kwamba dalili hizo zilikuwa zafanana na zile za kupata mshtuko wa moyo. 00:02:39.720 --> 00:02:47.040 na pia roho ya uoga , kwa sababu ya uchungu niliyohisi moyoni 00:02:47.040 --> 00:02:50.160 mapigo ya moyo kwamba ningeanguka nife wakati wowote 00:02:50.160 --> 00:02:54.120 ilikuwa mahali na wakati mbaya sana kuwa 00:02:54.120 --> 00:02:57.920 kupitia huo roho ya uoga, adui akaanza kuniongelesha 00:02:57.920 --> 00:03:02.240 kwamba hata nikifa, singeenda mbinguni 00:03:02.240 --> 00:03:07.880 shida hii ilinitatiza sana, hivi kwamba singeweza kuhudumia watoto wangu 00:03:07.880 --> 00:03:17.120 ningekaa karibu nao na wanapolia singeweza kuwasaidia vyema. 00:03:17.120 --> 00:03:23.960 Hivyo nilitafuta suluhisho kwa sababu sikuwa najua cha kufanya 00:03:23.960 --> 00:03:28.680 singeweza kusoma neno la mungu ama kuomba nilikuwa mahali pabaya. 00:03:28.680 --> 00:03:34.520 kwamba siku moja niliona video ya ndugu Chris 00:03:34.520 --> 00:03:41.040 alikuwa anaongea juu ya kulisha moto usioweza kuuzima 00:03:41.040 --> 00:03:48.920 kwa hiyo video, Ndugu Chris alisema kwamba shetani anatumia mambo kama uoga, wasiwasi na huzuni 00:03:48.920 --> 00:03:52.520 na kina aina ya mambo mabaya kuingi maishani mwetu. 00:03:52.520 --> 00:03:59.440 kwa hivyo jinsi alivyoeleza katika video hiyo, ni vile shida zangu zilivyoanza na kuendelea. 00:03:59.440 --> 00:04:02.840 Baada ya kuutafuta mtandaoni 00:04:02.840 --> 00:04:06.320 niliweza kutuma ujumbe ya kutaka maombi . 00:04:06.320 --> 00:04:13.640 hivyo, nilialikwa katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris Desemba 2023. 00:04:13.640 --> 00:04:18.840 siku hiyo ya maombi ya pamoja, Ndugu Chris akatoka 00:04:18.840 --> 00:04:22.640 Akasema, sijui shida unayopitia, unachopitia 00:04:22.640 --> 00:04:27.000 au uzito wa shida yako inayokusumbua 00:04:27.000 --> 00:04:31.360 lakini jambo moja ni kuwa Yesu Kristo anaweza kuguza roho yako 00:04:31.360 --> 00:04:34.520 Anaweza kutatua shida yako 00:04:34.520 --> 00:04:37.400 na ndivyo nilivyohisi wakati huo 00:04:37.400 --> 00:04:45.400 wakati Ndugu Chris alianza kuomba, nilihisi nguvu za mungu ikiniingia ndani yangu 00:04:45.400 --> 00:04:53.720 nilihisi nguvu za Mungu ikitoa shida zote - kwa kuwa nilihisi uzito moyoni na mwilini 00:04:53.720 --> 00:04:58.280 Wakati nguvu za mungu zilitembea mwilini, nilihis kuwa mwepesi 00:04:58.280 --> 00:05:01.160 hivyo ndivyo nilivyohisi wakati huo kupitia kwa nguvu za mungu 00:05:01.160 --> 00:05:05.240 na tangia siku hgiyo, naweza kulala vizuri bila kumeza dawa yoyote, 00:05:05.240 --> 00:05:08.680 sina tena mapigo ya moyo, - siyasikii tena 00:05:08.680 --> 00:05:13.440 sihisi uchungu tena moyoni, nafurahi tu! 00:05:13.440 --> 00:05:17.840 Hiyo ndiyo ilinitoka - nyakati hizo sikuwa na amani, furaha 00:05:17.840 --> 00:05:22.880 lakini tangu siku hiyo, ninafurahi na nina amani 00:05:22.880 --> 00:05:26.720 namshukuru mungu kwa neema yake maishani mwangu, katika jina la Yesu. 00:05:26.720 --> 00:05:29.800 twaweza kusikia kwa haraka neno moja kutoka kwa mume wako, 00:05:29.800 --> 00:05:34.840 ili tujue zaidi jinsi shida hii ilivyomtatiza pia? 00:05:34.840 --> 00:05:40.520 Kabla, nilipombeba mtoto na aanze kulia, 00:05:40.520 --> 00:05:43.920 angesema mbona haumsaidii mtoto - mbona wafanya hivyo? 00:05:43.920 --> 00:05:47.440 hivyo nigesema, ''Ni nini? Usijali, nitamhudumia tu' 00:05:47.440 --> 00:05:51.720 Kwa kuwa hangetaka mtoto wake alie hakutaka hivyo. 00:05:51.720 --> 00:05:53.880 alisema kuwa ilimfanya moyo wake kuruka. 00:05:53.880 --> 00:05:59.200 kwa mda wa miezi mitatu iliyopita, nilishangaa kwa nini hakushughulika wakati mtoto alilia, 00:05:59.200 --> 00:06:01.640 ningemuuliza, 'je hautatiziki mtoto anapolia?' 00:06:01.640 --> 00:06:07.160 ilikaa kama hana haja kwa mtoto, hivyo nilishangaa mbona. 00:06:07.160 --> 00:06:11.400 hata na hayo machungu, hakunieleza alichokuwa akipitia 00:06:11.400 --> 00:06:17.080 lakini aliniambia tu, kwamba alikuwa hana usingizi na moyo wake unapiga kwa kasi. 00:06:17.080 --> 00:06:25.400 alipoenda hospitalini nikasema, 'Mungu wamjua vizuri. ni wewe unayeweza kumweka huru.' 00:06:25.400 --> 00:06:28.280 Hakuna mtu mwingine, kwa kuwa wewe ndiye ulimuumba. 00:06:28.280 --> 00:06:31.320 Ni wewe tu ujuaye jinsi ya kutoa shida' 00:06:31.320 --> 00:06:35.480 kwa Neema yake mungu, akaniambia kuwa alikuwa amealikwa, 00:06:35.480 --> 00:06:39.280 kwa maombi ya pamoja na Ndugu Chris 00:06:39.280 --> 00:06:44.400 nikasema, 'sioni ikifika hio siku nione kwa kuwa nilijua hiyo siku itakuwa siku yake ya kuwekwa huru 00:06:44.400 --> 00:06:51.920 Kusema ukweli, alishinda mtandaoni sana, lakini siku hizi 00:06:51.920 --> 00:06:57.680 nimebarikiwa kuona kwamba ninaporudi nyumbani nampata akisoma neno la mungu. 00:06:57.680 --> 00:07:02.800 nimefurahia sana jinsi anavyompenda Mungu na kuwa amejitolea kwa mambo ya mungu. 00:07:02.800 --> 00:07:08.080 Nilikuwa nasema, Bibi yangu, twende kanisani lakini siku hizi ni yeye anayeniambia 00:07:08.080 --> 00:07:13.760 'Leo ni Jumapili, twende kanisani', nahisi vizuri sana. 00:07:13.760 --> 00:07:18.720 ambacho sasa tunafurahia kama familia. Nimebarikiwa! Na Mungu awabariki. 00:07:18.720 --> 00:07:24.120 kwa kazi mnayofanya na Mungu 00:07:24.120 --> 00:07:29.120 00:07:29.120 --> 00:07:35.520 00:07:35.520 --> 00:07:40.000 00:07:40.000 --> 00:07:42.760 00:07:42.760 --> 00:07:49.960 00:07:49.960 --> 00:07:52.360 00:07:52.360 --> 00:07:57.200 00:07:57.200 --> 00:08:00.760 00:08:00.760 --> 00:08:05.520 00:08:05.520 --> 00:08:11.080