[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:03.08,Default,,0000,0000,0000,,Kama vile nguvu za mungu zilivyopenya mwilini mwangu, nilihisi kuwa mwepesi, Dialogue: 0,0:00:03.08,0:00:06.96,Default,,0000,0000,0000,,Tangu siku hiyo, nimeweza kulala bila kumeza dawa yoyote Dialogue: 0,0:00:06.96,0:00:09.36,Default,,0000,0000,0000,,Mapigo ya moyo yameisha! Dialogue: 0,0:00:10.72,0:00:16.88,Default,,0000,0000,0000,,Natangaza uponyaji sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:16.88,0:00:24.12,Default,,0000,0000,0000,,Ukarejeshwe katika jina la Yesu! Ukafufuliwe katika jina Yesu kristo! Dialogue: 0,0:00:24.12,0:00:29.72,Default,,0000,0000,0000,,Chochote ambacho giza imeingiza mwilini mwako Dialogue: 0,0:00:29.72,0:00:38.60,Default,,0000,0000,0000,,inayoleta machungu, mateso, upungufu wa nguvu - nasema ukatolewe nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:38.60,0:00:42.28,Default,,0000,0000,0000,,Anza kukemea hayo magonjwa mwilini mwako. Dialogue: 0,0:00:42.28,0:00:45.48,Default,,0000,0000,0000,,Kemea hayo mateso ndani ya viungo vywa mwili wako. Dialogue: 0,0:00:45.48,0:00:48.92,Default,,0000,0000,0000,,Kemea Ugonjwa huo mwilini mwako Dialogue: 0,0:00:48.92,0:00:55.28,Default,,0000,0000,0000,,Kemea ugonjwa huo katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:00:57.00,0:00:58.80,Default,,0000,0000,0000,,tafadhali, jitambulishe, Dialogue: 0,0:00:58.80,0:01:01.92,Default,,0000,0000,0000,,Majina yako na Nchi unayotokea Dialogue: 0,0:01:01.92,0:01:05.36,Default,,0000,0000,0000,,na pia wale wanaoketi pamoja nawe. Dialogue: 0,0:01:05.36,0:01:09.44,Default,,0000,0000,0000,,majina yangu ni Emily; natoka Uingereza Dialogue: 0,0:01:09.44,0:01:13.08,Default,,0000,0000,0000,,anayeketi kando yangu ni mume na mtoto wangu. Dialogue: 0,0:01:13.08,0:01:20.00,Default,,0000,0000,0000,,nilikuwa na shida ya kupumua - hivi kwamba, kuwa na shida ya kulala. Dialogue: 0,0:01:20.00,0:01:26.80,Default,,0000,0000,0000,,nilikuwa na shida ya mapigo ya moyo, machungu, roho ya uoga na wasiwasi. Dialogue: 0,0:01:26.80,0:01:34.60,Default,,0000,0000,0000,,ilianza Mei 2023, baada tu ya kujifungua mtoto. Dialogue: 0,0:01:34.60,0:01:39.12,Default,,0000,0000,0000,,kilichofanyika kwanza ni kuwa nilikuwa na wasiwasi na uoga, Dialogue: 0,0:01:39.12,0:01:42.96,Default,,0000,0000,0000,,halafu ikafuatia mapigo uchungu ya moyo. Dialogue: 0,0:01:42.96,0:01:45.32,Default,,0000,0000,0000,,Niliambiwa niende Hospitalini Dialogue: 0,0:01:45.32,0:01:48.68,Default,,0000,0000,0000,,na Hospitalini hawakuweza kupata shida yoyote kwangu Dialogue: 0,0:01:48.68,0:01:52.12,Default,,0000,0000,0000,,nilirudi nyumbani halafu tena niliredi tena Dialogue: 0,0:01:52.12,0:01:58.48,Default,,0000,0000,0000,,niliporujdi, walipata kwamba moyo wangu ulipiga kwa haraka sana kuliko kawaida. Dialogue: 0,0:01:58.48,0:02:04.44,Default,,0000,0000,0000,,nikawaeleza kuwa kwa mda wa siku tano sijaweza kupata lepe la usingizi Dialogue: 0,0:02:04.44,0:02:08.52,Default,,0000,0000,0000,,Kila siku sikuweza kulala vizuri, ningeenda kitandani na kukosa kulala kabisa. Dialogue: 0,0:02:08.52,0:02:13.72,Default,,0000,0000,0000,,walinipa madawa ya kuniwezesha kulala Dialogue: 0,0:02:13.72,0:02:19.44,Default,,0000,0000,0000,,hayo ndio madawa niliyopewa Dialogue: 0,0:02:19.44,0:02:25.52,Default,,0000,0000,0000,,nilianza kumeza madawa hayo ndipo niweze kulala lakini hayakufanya kazi Dialogue: 0,0:02:25.52,0:02:33.48,Default,,0000,0000,0000,,niliendelea kumeza lakini shida ikaongezeka kuwa mbaya hata zaidi. Dialogue: 0,0:02:33.48,0:02:39.72,Default,,0000,0000,0000,,halafu nikaambiwa kwamba dalili hizo zilikuwa zafanana na zile za kupata mshtuko wa moyo. Dialogue: 0,0:02:39.72,0:02:47.04,Default,,0000,0000,0000,,na pia roho ya uoga , kwa sababu ya uchungu niliyohisi moyoni Dialogue: 0,0:02:47.04,0:02:50.16,Default,,0000,0000,0000,,mapigo ya moyo kwamba ningeanguka nife wakati wowote Dialogue: 0,0:02:50.16,0:02:54.12,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa mahali na wakati mbaya sana kuwa Dialogue: 0,0:02:54.12,0:02:57.92,Default,,0000,0000,0000,,kupitia huo roho ya uoga, adui akaanza kuniongelesha Dialogue: 0,0:02:57.92,0:03:02.24,Default,,0000,0000,0000,,kwamba hata nikifa, singeenda mbinguni Dialogue: 0,0:03:02.24,0:03:07.88,Default,,0000,0000,0000,,shida hii ilinitatiza sana, hivi kwamba singeweza kuhudumia watoto wangu Dialogue: 0,0:03:07.88,0:03:17.12,Default,,0000,0000,0000,,ningekaa karibu nao na wanapolia singeweza kuwasaidia vyema. Dialogue: 0,0:03:17.12,0:03:23.96,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nilitafuta suluhisho kwa sababu sikuwa najua cha kufanya Dialogue: 0,0:03:23.96,0:03:28.68,Default,,0000,0000,0000,,singeweza kusoma neno la mungu ama kuomba nilikuwa mahali pabaya. Dialogue: 0,0:03:28.68,0:03:34.52,Default,,0000,0000,0000,,kwamba siku moja niliona video ya ndugu Chris Dialogue: 0,0:03:34.52,0:03:41.04,Default,,0000,0000,0000,,alikuwa anaongea juu ya kulisha moto usioweza kuuzima Dialogue: 0,0:03:41.04,0:03:48.92,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo video, Ndugu Chris alisema kwamba shetani anatumia mambo kama uoga, wasiwasi na huzuni Dialogue: 0,0:03:48.92,0:03:52.52,Default,,0000,0000,0000,,na kina aina ya mambo mabaya kuingi maishani mwetu. Dialogue: 0,0:03:52.52,0:03:59.44,Default,,0000,0000,0000,,kwa hivyo jinsi alivyoeleza katika video hiyo, ni vile shida zangu zilivyoanza na kuendelea. Dialogue: 0,0:03:59.44,0:04:02.84,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya kuutafuta mtandaoni Dialogue: 0,0:04:02.84,0:04:06.32,Default,,0000,0000,0000,,niliweza kutuma ujumbe ya kutaka maombi . Dialogue: 0,0:04:06.32,0:04:13.64,Default,,0000,0000,0000,,hivyo, nilialikwa katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris Desemba 2023. Dialogue: 0,0:04:13.64,0:04:18.84,Default,,0000,0000,0000,,siku hiyo ya maombi ya pamoja, Ndugu Chris akatoka Dialogue: 0,0:04:18.84,0:04:22.64,Default,,0000,0000,0000,,Akasema, sijui shida unayopitia, unachopitia Dialogue: 0,0:04:22.64,0:04:27.00,Default,,0000,0000,0000,,au uzito wa shida yako inayokusumbua Dialogue: 0,0:04:27.00,0:04:31.36,Default,,0000,0000,0000,,lakini jambo moja ni kuwa Yesu Kristo anaweza kuguza roho yako Dialogue: 0,0:04:31.36,0:04:34.52,Default,,0000,0000,0000,,Anaweza kutatua shida yako Dialogue: 0,0:04:34.52,0:04:37.40,Default,,0000,0000,0000,,na ndivyo nilivyohisi wakati huo Dialogue: 0,0:04:37.40,0:04:45.40,Default,,0000,0000,0000,,wakati Ndugu Chris alianza kuomba, nilihisi nguvu za mungu ikiniingia ndani yangu Dialogue: 0,0:04:45.40,0:04:53.72,Default,,0000,0000,0000,,nilihisi nguvu za Mungu ikitoa shida zote - kwa kuwa nilihisi uzito moyoni na mwilini Dialogue: 0,0:04:53.72,0:04:58.28,Default,,0000,0000,0000,,Wakati nguvu za mungu zilitembea mwilini, nilihis kuwa mwepesi Dialogue: 0,0:04:58.28,0:05:01.16,Default,,0000,0000,0000,,hivyo ndivyo nilivyohisi wakati huo kupitia kwa nguvu za mungu Dialogue: 0,0:05:01.16,0:05:05.24,Default,,0000,0000,0000,,na tangia siku hgiyo, naweza kulala vizuri bila kumeza dawa yoyote, Dialogue: 0,0:05:05.24,0:05:08.68,Default,,0000,0000,0000,,sina tena mapigo ya moyo, - siyasikii tena Dialogue: 0,0:05:08.68,0:05:13.44,Default,,0000,0000,0000,,sihisi uchungu tena moyoni, nafurahi tu! Dialogue: 0,0:05:13.44,0:05:17.84,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ndiyo ilinitoka - nyakati hizo sikuwa na amani, furaha Dialogue: 0,0:05:17.84,0:05:22.88,Default,,0000,0000,0000,,lakini tangu siku hiyo, ninafurahi na nina amani Dialogue: 0,0:05:22.88,0:05:26.72,Default,,0000,0000,0000,,namshukuru mungu kwa neema yake maishani mwangu, katika jina la Yesu. Dialogue: 0,0:05:26.72,0:05:29.80,Default,,0000,0000,0000,,twaweza kusikia kwa haraka neno moja kutoka kwa mume wako, Dialogue: 0,0:05:29.80,0:05:34.84,Default,,0000,0000,0000,,ili tujue zaidi jinsi shida hii ilivyomtatiza pia? Dialogue: 0,0:05:34.84,0:05:40.52,Default,,0000,0000,0000,,Kabla, nilipombeba mtoto na aanze kulia, Dialogue: 0,0:05:40.52,0:05:43.92,Default,,0000,0000,0000,,angesema mbona haumsaidii mtoto - mbona wafanya hivyo? Dialogue: 0,0:05:43.92,0:05:47.44,Default,,0000,0000,0000,,hivyo nigesema, ''Ni nini? Usijali, nitamhudumia tu' Dialogue: 0,0:05:47.44,0:05:51.72,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuwa hangetaka mtoto wake alie hakutaka hivyo. Dialogue: 0,0:05:51.72,0:05:53.88,Default,,0000,0000,0000,,alisema kuwa ilimfanya moyo wake kuruka. Dialogue: 0,0:05:53.88,0:05:59.20,Default,,0000,0000,0000,,kwa mda wa miezi mitatu iliyopita, nilishangaa kwa nini hakushughulika wakati mtoto alilia, Dialogue: 0,0:05:59.20,0:06:01.64,Default,,0000,0000,0000,,ningemuuliza, 'je hautatiziki mtoto anapolia?' Dialogue: 0,0:06:01.64,0:06:07.16,Default,,0000,0000,0000,,ilikaa kama hana haja kwa mtoto, hivyo nilishangaa mbona. Dialogue: 0,0:06:07.16,0:06:11.40,Default,,0000,0000,0000,,hata na hayo machungu, hakunieleza alichokuwa akipitia Dialogue: 0,0:06:11.40,0:06:17.08,Default,,0000,0000,0000,,lakini aliniambia tu, kwamba alikuwa hana usingizi na moyo wake unapiga kwa kasi. Dialogue: 0,0:06:17.08,0:06:25.40,Default,,0000,0000,0000,,alipoenda hospitalini nikasema, 'Mungu wamjua vizuri. ni wewe unayeweza kumweka huru.' Dialogue: 0,0:06:25.40,0:06:28.28,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna mtu mwingine, kwa kuwa wewe ndiye ulimuumba. Dialogue: 0,0:06:28.28,0:06:31.32,Default,,0000,0000,0000,,Ni wewe tu ujuaye jinsi ya kutoa shida' Dialogue: 0,0:06:31.32,0:06:35.48,Default,,0000,0000,0000,,kwa Neema yake mungu, akaniambia kuwa alikuwa amealikwa, Dialogue: 0,0:06:35.48,0:06:39.28,Default,,0000,0000,0000,,kwa maombi ya pamoja na Ndugu Chris Dialogue: 0,0:06:39.28,0:06:44.40,Default,,0000,0000,0000,,nikasema, 'sioni ikifika hio siku nione kwa kuwa nilijua hiyo siku itakuwa siku yake ya kuwekwa huru Dialogue: 0,0:06:44.40,0:06:51.92,Default,,0000,0000,0000,,Kusema ukweli, alishinda mtandaoni sana, lakini siku hizi Dialogue: 0,0:06:51.92,0:06:57.68,Default,,0000,0000,0000,,nimebarikiwa kuona kwamba ninaporudi nyumbani nampata akisoma neno la mungu. Dialogue: 0,0:06:57.68,0:07:02.80,Default,,0000,0000,0000,,nimefurahia sana jinsi anavyompenda Mungu na kuwa amejitolea kwa mambo ya mungu. Dialogue: 0,0:07:02.80,0:07:08.08,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nasema, Bibi yangu, twende kanisani lakini siku hizi ni yeye anayeniambia Dialogue: 0,0:07:08.08,0:07:13.76,Default,,0000,0000,0000,,'Leo ni Jumapili, twende kanisani', nahisi vizuri sana. Dialogue: 0,0:07:13.76,0:07:18.72,Default,,0000,0000,0000,,ambacho sasa tunafurahia kama familia. Nimebarikiwa! Na Mungu awabariki. Dialogue: 0,0:07:18.72,0:07:24.12,Default,,0000,0000,0000,,kwa kazi mnayofanya na Mungu Dialogue: 0,0:07:24.12,0:07:29.12,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:29.12,0:07:35.52,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:35.52,0:07:40.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:40.00,0:07:42.76,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:42.76,0:07:49.96,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:49.96,0:07:52.36,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:52.36,0:07:57.20,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:57.20,0:08:00.76,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:00.76,0:08:05.52,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:08:05.52,0:08:11.08,Default,,0000,0000,0000,,