0:00:00.000,0:00:03.080 Kama vile nguvu za mungu zilivyopenya mwilini mwangu, nilihisi kuwa mwepesi, 0:00:03.080,0:00:06.960 Tangu siku hiyo, nimeweza kulala bila kumeza dawa yoyote 0:00:06.960,0:00:09.360 Mapigo ya moyo yameisha! 0:00:10.720,0:00:16.880 Natangaza uponyaji sasa hivi! 0:00:16.880,0:00:24.120 Ukarejeshwe katika jina la Yesu! Ukafufuliwe katika jina Yesu kristo! 0:00:24.120,0:00:29.720 Chochote ambacho giza imeingiza mwilini mwako 0:00:29.720,0:00:38.600 inayoleta machungu, mateso, upungufu wa nguvu - nasema ukatolewe nje sasa hivi! 0:00:38.600,0:00:42.280 Anza kukemea hayo magonjwa mwilini mwako. 0:00:42.280,0:00:45.480 Kemea hayo mateso ndani ya viungo vywa mwili wako. 0:00:45.480,0:00:48.920 Kemea Ugonjwa huo mwilini mwako 0:00:48.920,0:00:55.280 Kemea ugonjwa huo katika jina la Yesu Kristo! 0:00:57.000,0:00:58.800 tafadhali, jitambulishe, 0:00:58.800,0:01:01.920 Majina yako na Nchi unayotokea 0:01:01.920,0:01:05.360 na pia wale wanaoketi pamoja nawe. 0:01:05.360,0:01:09.440 majina yangu ni Emily; natoka Uingereza 0:01:09.440,0:01:13.080 anayeketi kando yangu ni mume na mtoto wangu. 0:01:13.080,0:01:20.000 nilikuwa na shida ya kupumua - hivi kwamba, kuwa na shida ya kulala. 0:01:20.000,0:01:26.800 nilikuwa na shida ya mapigo ya moyo, machungu, roho ya uoga na wasiwasi. 0:01:26.800,0:01:34.600 ilianza Mei 2023, baada tu ya kujifungua mtoto. 0:01:34.600,0:01:39.120 kilichofanyika kwanza ni kuwa nilikuwa na wasiwasi na uoga, 0:01:39.120,0:01:42.960 halafu ikafuatia mapigo uchungu ya moyo. 0:01:42.960,0:01:45.320 Niliambiwa niende Hospitalini 0:01:45.320,0:01:48.680 na Hospitalini hawakuweza kupata shida yoyote kwangu 0:01:48.680,0:01:52.120 nilirudi nyumbani halafu tena niliredi tena 0:01:52.120,0:01:58.480 niliporujdi, walipata kwamba moyo wangu ulipiga kwa haraka sana kuliko kawaida. 0:01:58.480,0:02:04.440 nikawaeleza kuwa kwa mda wa siku tano sijaweza kupata lepe la usingizi 0:02:04.440,0:02:08.520 Kila siku sikuweza kulala vizuri, ningeenda kitandani na kukosa kulala kabisa. 0:02:08.520,0:02:13.720 walinipa madawa ya kuniwezesha kulala 0:02:13.720,0:02:19.440 hayo ndio madawa niliyopewa 0:02:19.440,0:02:25.520 nilianza kumeza madawa hayo ndipo niweze kulala lakini hayakufanya kazi 0:02:25.520,0:02:33.480 niliendelea kumeza lakini shida ikaongezeka kuwa mbaya hata zaidi. 0:02:33.480,0:02:39.720 halafu nikaambiwa kwamba dalili hizo zilikuwa zafanana na zile za kupata mshtuko wa moyo. 0:02:39.720,0:02:47.040 na pia roho ya uoga , kwa sababu ya uchungu niliyohisi moyoni 0:02:47.040,0:02:50.160 mapigo ya moyo kwamba ningeanguka nife wakati wowote 0:02:50.160,0:02:54.120 ilikuwa mahali na wakati mbaya sana kuwa 0:02:54.120,0:02:57.920 kupitia huo roho ya uoga, adui akaanza kuniongelesha 0:02:57.920,0:03:02.240 kwamba hata nikifa, singeenda mbinguni 0:03:02.240,0:03:07.880 shida hii ilinitatiza sana, hivi kwamba singeweza kuhudumia watoto wangu 0:03:07.880,0:03:17.120 ningekaa karibu nao na wanapolia singeweza kuwasaidia vyema. 0:03:17.120,0:03:23.960 Hivyo nilitafuta suluhisho kwa sababu sikuwa najua cha kufanya 0:03:23.960,0:03:28.680 singeweza kusoma neno la mungu ama kuomba nilikuwa mahali pabaya. 0:03:28.680,0:03:34.520 kwamba siku moja niliona video ya ndugu Chris 0:03:34.520,0:03:41.040 alikuwa anaongea juu ya kulisha moto usioweza kuuzima 0:03:41.040,0:03:48.920 kwa hiyo video, Ndugu Chris alisema kwamba shetani anatumia mambo kama uoga, wasiwasi na huzuni 0:03:48.920,0:03:52.520 na kina aina ya mambo mabaya kuingi maishani mwetu. 0:03:52.520,0:03:59.440 kwa hivyo jinsi alivyoeleza katika video hiyo, ni vile shida zangu zilivyoanza na kuendelea. 0:03:59.440,0:04:02.840 Baada ya kuutafuta mtandaoni 0:04:02.840,0:04:06.320 niliweza kutuma ujumbe ya kutaka maombi . 0:04:06.320,0:04:13.640 hivyo, nilialikwa katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris Desemba 2023. 0:04:13.640,0:04:18.840 siku hiyo ya maombi ya pamoja, Ndugu Chris akatoka 0:04:18.840,0:04:22.640 Akasema, sijui shida unayopitia, unachopitia 0:04:22.640,0:04:27.000 au uzito wa shida yako inayokusumbua 0:04:27.000,0:04:31.360 lakini jambo moja ni kuwa Yesu Kristo anaweza kuguza roho yako 0:04:31.360,0:04:34.520 Anaweza kutatua shida yako 0:04:34.520,0:04:37.400 na ndivyo nilivyohisi wakati huo 0:04:37.400,0:04:45.400 wakati Ndugu Chris alianza kuomba, nilihisi nguvu za mungu ikiniingia ndani yangu 0:04:45.400,0:04:53.720 nilihisi nguvu za Mungu ikitoa shida zote - kwa kuwa nilihisi uzito moyoni na mwilini 0:04:53.720,0:04:58.280 Wakati nguvu za mungu zilitembea mwilini, nilihis kuwa mwepesi 0:04:58.280,0:05:01.160 hivyo ndivyo nilivyohisi wakati huo kupitia kwa nguvu za mungu 0:05:01.160,0:05:05.240 na tangia siku hgiyo, naweza kulala vizuri bila kumeza dawa yoyote, 0:05:05.240,0:05:08.680 sina tena mapigo ya moyo, - siyasikii tena 0:05:08.680,0:05:13.440 sihisi uchungu tena moyoni, nafurahi tu! 0:05:13.440,0:05:17.840 Hiyo ndiyo ilinitoka - nyakati hizo sikuwa na amani, furaha 0:05:17.840,0:05:22.880 lakini tangu siku hiyo, ninafurahi na nina amani 0:05:22.880,0:05:26.720 namshukuru mungu kwa neema yake maishani mwangu, katika jina la Yesu. 0:05:26.720,0:05:29.800 twaweza kusikia kwa haraka neno moja kutoka kwa mume wako, 0:05:29.800,0:05:34.840 ili tujue zaidi jinsi shida hii ilivyomtatiza pia? 0:05:34.840,0:05:40.520 Kabla, nilipombeba mtoto na aanze kulia, 0:05:40.520,0:05:43.920 angesema mbona haumsaidii mtoto - mbona wafanya hivyo? 0:05:43.920,0:05:47.440 hivyo nigesema, ''Ni nini? Usijali, nitamhudumia tu' 0:05:47.440,0:05:51.720 Kwa kuwa hangetaka mtoto wake alie hakutaka hivyo. 0:05:51.720,0:05:53.880 alisema kuwa ilimfanya moyo wake kuruka. 0:05:53.880,0:05:59.200 kwa mda wa miezi mitatu iliyopita, nilishangaa kwa nini hakushughulika wakati mtoto alilia, 0:05:59.200,0:06:01.640 ningemuuliza, 'je hautatiziki mtoto anapolia?' 0:06:01.640,0:06:07.160 ilikaa kama hana haja kwa mtoto, hivyo nilishangaa mbona. 0:06:07.160,0:06:11.400 hata na hayo machungu, hakunieleza alichokuwa akipitia 0:06:11.400,0:06:17.080 lakini aliniambia tu, kwamba alikuwa hana usingizi na moyo wake unapiga kwa kasi. 0:06:17.080,0:06:25.400 alipoenda hospitalini nikasema, 'Mungu wamjua vizuri. ni wewe unayeweza kumweka huru.' 0:06:25.400,0:06:28.280 Hakuna mtu mwingine, kwa kuwa wewe ndiye ulimuumba. 0:06:28.280,0:06:31.320 Ni wewe tu ujuaye jinsi ya kutoa shida' 0:06:31.320,0:06:35.480 kwa Neema yake mungu, akaniambia kuwa alikuwa amealikwa, 0:06:35.480,0:06:39.280 kwa maombi ya pamoja na Ndugu Chris 0:06:39.280,0:06:44.400 nikasema, 'sioni ikifika hio siku nione kwa kuwa nilijua hiyo siku itakuwa siku yake ya kuwekwa huru 0:06:44.400,0:06:51.920 Kusema ukweli, alishinda mtandaoni sana, lakini siku hizi 0:06:51.920,0:06:57.680 nimebarikiwa kuona kwamba ninaporudi nyumbani nampata akisoma neno la mungu. 0:06:57.680,0:07:02.800 nimefurahia sana jinsi anavyompenda Mungu na kuwa amejitolea kwa mambo ya mungu. 0:07:02.800,0:07:08.080 Nilikuwa nasema, Bibi yangu, twende kanisani lakini siku hizi ni yeye anayeniambia 0:07:08.080,0:07:13.760 'Leo ni Jumapili, twende kanisani', nahisi vizuri sana. 0:07:13.760,0:07:18.720 ambacho sasa tunafurahia kama familia. Nimebarikiwa! Na Mungu awabariki. 0:07:18.720,0:07:24.120 kwa kazi mnayofanya na Mungu 0:07:24.120,0:07:29.120 0:07:29.120,0:07:35.520 0:07:35.520,0:07:40.000 0:07:40.000,0:07:42.760 0:07:42.760,0:07:49.960 0:07:49.960,0:07:52.360 0:07:52.360,0:07:57.200 0:07:57.200,0:08:00.760 0:08:00.760,0:08:05.520 0:08:05.520,0:08:11.080