Kama vile nguvu za mungu zilivyopenya mwilini mwangu, nilihisi kuwa mwepesi,
Tangu siku hiyo, nimeweza kulala bila kumeza dawa yoyote
Mapigo ya moyo yameisha!
Natangaza uponyaji sasa hivi!
Ukarejeshwe katika jina la Yesu! Ukafufuliwe katika jina Yesu kristo!
Chochote ambacho giza imeingiza mwilini mwako
inayoleta machungu, mateso, upungufu wa nguvu - nasema ukatolewe nje sasa hivi!
Anza kukemea hayo magonjwa mwilini mwako.
Kemea hayo mateso ndani ya viungo vywa mwili wako.
Kemea Ugonjwa huo mwilini mwako
Kemea ugonjwa huo katika jina la Yesu Kristo!
tafadhali, jitambulishe,
Majina yako na Nchi unayotokea
na pia wale wanaoketi pamoja nawe.
majina yangu ni Emily; natoka Uingereza
anayeketi kando yangu ni mume na mtoto wangu.
nilikuwa na shida ya kupumua - hivi kwamba, kuwa na shida ya kulala.
nilikuwa na shida ya mapigo ya moyo, machungu, roho ya uoga na wasiwasi.
ilianza Mei 2023, baada tu ya kujifungua mtoto.
kilichofanyika kwanza ni kuwa nilikuwa na wasiwasi na uoga,
halafu ikafuatia mapigo uchungu ya moyo.
Niliambiwa niende Hospitalini
na Hospitalini hawakuweza kupata shida yoyote kwangu
nilirudi nyumbani halafu tena niliredi tena
niliporujdi, walipata kwamba moyo wangu ulipiga kwa haraka sana kuliko kawaida.
nikawaeleza kuwa kwa mda wa siku tano sijaweza kupata lepe la usingizi
Kila siku sikuweza kulala vizuri, ningeenda kitandani na kukosa kulala kabisa.
walinipa madawa ya kuniwezesha kulala
hayo ndio madawa niliyopewa
nilianza kumeza madawa hayo ndipo niweze kulala lakini hayakufanya kazi
niliendelea kumeza lakini shida ikaongezeka kuwa mbaya hata zaidi.
halafu nikaambiwa kwamba dalili hizo zilikuwa zafanana na zile za kupata mshtuko wa moyo.
na pia roho ya uoga , kwa sababu ya uchungu niliyohisi moyoni
mapigo ya moyo kwamba ningeanguka nife wakati wowote
ilikuwa mahali na wakati mbaya sana kuwa
kupitia huo roho ya uoga, adui akaanza kuniongelesha
kwamba hata nikifa, singeenda mbinguni
shida hii ilinitatiza sana, hivi kwamba singeweza kuhudumia watoto wangu
ningekaa karibu nao na wanapolia singeweza kuwasaidia vyema.
Hivyo nilitafuta suluhisho kwa sababu sikuwa najua cha kufanya
singeweza kusoma neno la mungu ama kuomba nilikuwa mahali pabaya.
kwamba siku moja niliona video ya ndugu Chris
alikuwa anaongea juu ya kulisha moto usioweza kuuzima
kwa hiyo video, Ndugu Chris alisema kwamba shetani anatumia mambo kama uoga, wasiwasi na huzuni
na kina aina ya mambo mabaya kuingi maishani mwetu.
kwa hivyo jinsi alivyoeleza katika video hiyo, ni vile shida zangu zilivyoanza na kuendelea.
Baada ya kuutafuta mtandaoni
niliweza kutuma ujumbe ya kutaka maombi .
hivyo, nilialikwa katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris Desemba 2023.
siku hiyo ya maombi ya pamoja, Ndugu Chris akatoka
Akasema, sijui shida unayopitia, unachopitia
au uzito wa shida yako inayokusumbua
lakini jambo moja ni kuwa Yesu Kristo anaweza kuguza roho yako
Anaweza kutatua shida yako
na ndivyo nilivyohisi wakati huo
wakati Ndugu Chris alianza kuomba, nilihisi nguvu za mungu ikiniingia ndani yangu
nilihisi nguvu za Mungu ikitoa shida zote - kwa kuwa nilihisi uzito moyoni na mwilini
Wakati nguvu za mungu zilitembea mwilini, nilihis kuwa mwepesi
hivyo ndivyo nilivyohisi wakati huo kupitia kwa nguvu za mungu
na tangia siku hgiyo, naweza kulala vizuri bila kumeza dawa yoyote,
sina tena mapigo ya moyo, - siyasikii tena
sihisi uchungu tena moyoni, nafurahi tu!
Hiyo ndiyo ilinitoka - nyakati hizo sikuwa na amani, furaha
lakini tangu siku hiyo, ninafurahi na nina amani
namshukuru mungu kwa neema yake maishani mwangu, katika jina la Yesu.
twaweza kusikia kwa haraka neno moja kutoka kwa mume wako,
ili tujue zaidi jinsi shida hii ilivyomtatiza pia?
Kabla, nilipombeba mtoto na aanze kulia,
angesema mbona haumsaidii mtoto - mbona wafanya hivyo?
hivyo nigesema, ''Ni nini? Usijali, nitamhudumia tu'
Kwa kuwa hangetaka mtoto wake alie hakutaka hivyo.
alisema kuwa ilimfanya moyo wake kuruka.
kwa mda wa miezi mitatu iliyopita, nilishangaa kwa nini hakushughulika wakati mtoto alilia,
ningemuuliza, 'je hautatiziki mtoto anapolia?'
ilikaa kama hana haja kwa mtoto, hivyo nilishangaa mbona.
hata na hayo machungu, hakunieleza alichokuwa akipitia
lakini aliniambia tu, kwamba alikuwa hana usingizi na moyo wake unapiga kwa kasi.
alipoenda hospitalini nikasema, 'Mungu wamjua vizuri. ni wewe unayeweza kumweka huru.'
Hakuna mtu mwingine, kwa kuwa wewe ndiye ulimuumba.
Ni wewe tu ujuaye jinsi ya kutoa shida'
kwa Neema yake mungu, akaniambia kuwa alikuwa amealikwa,
kwa maombi ya pamoja na Ndugu Chris
nikasema, 'sioni ikifika hio siku nione kwa kuwa nilijua hiyo siku itakuwa siku yake ya kuwekwa huru
Kusema ukweli, alishinda mtandaoni sana, lakini siku hizi
nimebarikiwa kuona kwamba ninaporudi nyumbani nampata akisoma neno la mungu.
nimefurahia sana jinsi anavyompenda Mungu na kuwa amejitolea kwa mambo ya mungu.
Nilikuwa nasema, Bibi yangu, twende kanisani lakini siku hizi ni yeye anayeniambia
'Leo ni Jumapili, twende kanisani', nahisi vizuri sana.
ambacho sasa tunafurahia kama familia. Nimebarikiwa! Na Mungu awabariki.
kwa kazi mnayofanya na Mungu