Kama vile nguvu za mungu zilivyopenya mwilini mwangu, nilihisi kuwa mwepesi, Tangu siku hiyo, nimeweza kulala bila kumeza dawa yoyote Mapigo ya moyo yameisha! Natangaza uponyaji sasa hivi! Ukarejeshwe katika jina la Yesu! Ukafufuliwe katika jina Yesu kristo! Chochote ambacho giza imeingiza mwilini mwako inayoleta machungu, mateso, upungufu wa nguvu - nasema ukatolewe nje sasa hivi! Anza kukemea hayo magonjwa mwilini mwako. Kemea hayo mateso ndani ya viungo vywa mwili wako. Kemea Ugonjwa huo mwilini mwako Kemea ugonjwa huo katika jina la Yesu Kristo! tafadhali, jitambulishe, Majina yako na Nchi unayotokea na pia wale wanaoketi pamoja nawe. majina yangu ni Emily; natoka Uingereza anayeketi kando yangu ni mume na mtoto wangu. nilikuwa na shida ya kupumua - hivi kwamba, kuwa na shida ya kulala. nilikuwa na shida ya mapigo ya moyo, machungu, roho ya uoga na wasiwasi. ilianza Mei 2023, baada tu ya kujifungua mtoto. kilichofanyika kwanza ni kuwa nilikuwa na wasiwasi na uoga, halafu ikafuatia mapigo uchungu ya moyo. Niliambiwa niende Hospitalini na Hospitalini hawakuweza kupata shida yoyote kwangu nilirudi nyumbani halafu tena niliredi tena niliporujdi, walipata kwamba moyo wangu ulipiga kwa haraka sana kuliko kawaida. nikawaeleza kuwa kwa mda wa siku tano sijaweza kupata lepe la usingizi Kila siku sikuweza kulala vizuri, ningeenda kitandani na kukosa kulala kabisa. walinipa madawa ya kuniwezesha kulala hayo ndio madawa niliyopewa nilianza kumeza madawa hayo ndipo niweze kulala lakini hayakufanya kazi niliendelea kumeza lakini shida ikaongezeka kuwa mbaya hata zaidi. halafu nikaambiwa kwamba dalili hizo zilikuwa zafanana na zile za kupata mshtuko wa moyo. na pia roho ya uoga , kwa sababu ya uchungu niliyohisi moyoni mapigo ya moyo kwamba ningeanguka nife wakati wowote ilikuwa mahali na wakati mbaya sana kuwa kupitia huo roho ya uoga, adui akaanza kuniongelesha kwamba hata nikifa, singeenda mbinguni shida hii ilinitatiza sana, hivi kwamba singeweza kuhudumia watoto wangu ningekaa karibu nao na wanapolia singeweza kuwasaidia vyema. Hivyo nilitafuta suluhisho kwa sababu sikuwa najua cha kufanya singeweza kusoma neno la mungu ama kuomba nilikuwa mahali pabaya. kwamba siku moja niliona video ya ndugu Chris alikuwa anaongea juu ya kulisha moto usioweza kuuzima kwa hiyo video, Ndugu Chris alisema kwamba shetani anatumia mambo kama uoga, wasiwasi na huzuni na kina aina ya mambo mabaya kuingi maishani mwetu. kwa hivyo jinsi alivyoeleza katika video hiyo, ni vile shida zangu zilivyoanza na kuendelea. Baada ya kuutafuta mtandaoni niliweza kutuma ujumbe ya kutaka maombi . hivyo, nilialikwa katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris Desemba 2023.